CHEKA NA FUTUHI : KUJIFANYA ANAJUA KIINGEREZA BROTHER K AUMBUKA MBELE YA WANAKIJIJI UONGO WAMPONZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

Комментарии • 402

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 3 года назад +127

    Brother k ni bonge la comedian Tanzania, naomba likes zake please

    • @mozemgaya2263
      @mozemgaya2263 3 года назад +2

      Honger ako bwan

    • @neemamahushi8910
      @neemamahushi8910 2 года назад

      Huwa wanachekesha lakn wanafikisha ujembe kwa serikali sisi lugha yetu kiswahili why english

  • @isayamichael
    @isayamichael 3 года назад +31

    Brother k wewe ni fundi wa kuchekesha pia na kupenyeza ukweli ufike kwa jamii hongera sana MUNGU AKUPE MAISHA MALEFU YA UCHEKESHAJI WAKO Amina

  • @matheobaha773
    @matheobaha773 Год назад +10

    Dooh🤣🤣🤣🤣 kama umesikia "You know what am saying my man?" Kutoka kwa braza K naomba like zenu 🤣

  • @shebbytrante7025
    @shebbytrante7025 Год назад +3

    Anae pajua mgalaganza unipe like

  • @kimolankenyenge7158
    @kimolankenyenge7158 3 года назад +21

    Ahahahah!! umenifurahisha sana bro k mungu awe pamoja nawe

  • @prospermbatha5976
    @prospermbatha5976 3 года назад +38

    This what called comedy. You're the best number one in East Africa.

  • @happinessandrea2118
    @happinessandrea2118 3 года назад +51

    Aliyecheka hizo Kwanza kabla......🤣🤣njoo hapa

  • @eliawangwe7975
    @eliawangwe7975 3 года назад +8

    Nmeshndwa hata lakuandka ,,,nikaishiaa kuchekaaa sana,,, brother k wee noma sanaaa

  • @johnbrain3263
    @johnbrain3263 3 года назад +15

    Brother K is funniest Tanzania one!

  • @janosajanjaboy5464
    @janosajanjaboy5464 3 года назад +4

    Mh brother K noma jaman

  • @theophilOmbeni-l3n
    @theophilOmbeni-l3n 11 месяцев назад

    Bro k unajuwa sana bonge la komedy mungu akupe afya njema

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 месяца назад +1

    Leo Nipo nanyi tena 2024

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben Месяц назад +1

    My brother ana mafunzo yake sema awa muelewi

  • @nyotamcheshi7521
    @nyotamcheshi7521 3 года назад +25

    Brother k aiseee!!! atali utatuua mashabiki zako kwahizo kabla kabla

  • @georgegerald3598
    @georgegerald3598 3 года назад +3

    Da hatar hi nmeipends Sana big up Brada k

  • @roberterasto9566
    @roberterasto9566 3 года назад +9

    Brother k uko vizuri

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 3 года назад +3

    Brother K mpuuzi kweli😀😀😀 kabla kabla kabla kabla m nakukubali Sana😀😀

  • @abdullyhafidh7298
    @abdullyhafidh7298 3 года назад +2

    😂😂👈 bro k bhna dangerous sna salute kwako

  • @immaantony7697
    @immaantony7697 3 года назад +6

    Nakubali mtoto wakigoma

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Месяц назад

    Hongera Bro K

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 3 года назад +1

    Weee Kali sana bro big up

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 2 года назад +5

    🤣🤣🤣Khatarii saan huwiiiiiiiii jamani kazi kweli brother K bana

  • @jonasmatalamoto547
    @jonasmatalamoto547 3 года назад +6

    Brother k bangi sana

  • @faiongala3012
    @faiongala3012 3 года назад +5

    😀😀😀😀 brather k nakupenda

  • @RubazaReuben
    @RubazaReuben Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂My brother ni muongo uyo

  • @nyotamcheshi7521
    @nyotamcheshi7521 3 года назад +14

    Naomba kwenye comedy nyingine hizo kabla ziludiwe

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 года назад +23

    Da! Nilichelewa kuipata hii , nimefurahi sana

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 2 года назад +6

    Brother K,huo ukorofi sio kwakuchekesha huku.

  • @emirymartine6260
    @emirymartine6260 3 года назад +2

    Hahaha brother k nomaaaaa xna kwel ndo maana umexomea nyanzeba p/school

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 3 года назад +17

    Mi kingereza nakijua ila kinakujaga usiku.

  • @daliaagustino3270
    @daliaagustino3270 3 года назад +1

    Kabla,kabla,kabla daaah brother K mnoma

  • @lichstudio2024
    @lichstudio2024 2 года назад +1

    Nakufaaaaaaaa

  • @MustafaBallack-j5y
    @MustafaBallack-j5y 9 месяцев назад

    Brother k nakukubali toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮😅😅😅😅😂😂😂😂😂aise nimecheka Hadi 😂😂

  • @Reginaantony-e4d
    @Reginaantony-e4d Месяц назад

    Ww ni nomaa

  • @dizzoboy907
    @dizzoboy907 3 года назад +2

    Very nice

  • @mosesmwasanga4697
    @mosesmwasanga4697 3 года назад +11

    Mi shati tu Hilo, linanitengua Nguvu😂😂

  • @mkamantale6491
    @mkamantale6491 3 года назад +2

    Safiii sanaaa

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 года назад +5

    Kila nikiangalia hii video na brother k sinambavu na hiyo barua kuisoma 😁😁😁

  • @FastonNsangila-mr4bq
    @FastonNsangila-mr4bq Год назад +1

    daaaah br K we n noma😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @saimonjoel1288
    @saimonjoel1288 3 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂 kabla nyiiiiingiii dah brother K salute

  • @neyotz5342
    @neyotz5342 3 года назад +8

    🤣🤣🤣😭😭 brother k bongo siwezi toka

    • @SilvesterApolo
      @SilvesterApolo 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂huyu mwamba hata kama unaumwa unapona

  • @ediusgabriely615
    @ediusgabriely615 2 года назад +3

    😂😂😂 mobimba utakuja kuniuaa...😂🔥🔥

  • @hamisimjahasi5262
    @hamisimjahasi5262 3 года назад +1

    Brother k. balaa sana

  • @hajiabdalla770
    @hajiabdalla770 3 года назад

    Star tv habar muko vzr, mno

  • @abedysteven5397
    @abedysteven5397 3 года назад +13

    Mungu wangu oko mbavu zang!!!

  • @levocatuspaul1994
    @levocatuspaul1994 3 года назад +8

    We Braza K wewe utatuvunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nani kaona miwani ya Braza k

  • @jeniphachabili4517
    @jeniphachabili4517 3 года назад +6

    🤣🤣ati alikosea kuweka b 🤣🤣

  • @doricedaniel3563
    @doricedaniel3563 3 года назад +1

    Nampenda sana brother k

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 Год назад

    Mwakey mr K wakwetu kigoma 😂😂😂 🙌

  • @johannesmaryvianney7870
    @johannesmaryvianney7870 3 года назад +2

    Hawa wana wake wajitahidi katika uigizaji #badosanaaaa

  • @sarahpetro9122
    @sarahpetro9122 3 года назад +2

    😂😂😂 brother k we noma hicho kiingereza ni baraa tupu

  • @BrightonAllen
    @BrightonAllen Год назад

    Nakubali❤

  • @eliyany2264
    @eliyany2264 3 года назад +7

    Hahahahahaaaah! Tusojua kiingereza tutapata tabu sana! Duh

  • @joshuambilinyi660
    @joshuambilinyi660 3 года назад +1

    Safi kijana k

  • @greysonsimba5366
    @greysonsimba5366 3 года назад +4

    Sasa jamani naomba nikimbie mara moja 😆😆😆

  • @jajamage8891
    @jajamage8891 3 года назад +3

    Brother umetisha

  • @potterstvonline2141
    @potterstvonline2141 2 года назад +5

    Huyu mtu ni hatari aisee! Kwanza kabla sijaa...

  • @wizzoskywizzo957
    @wizzoskywizzo957 3 года назад

    Jamani

  • @joycelufunda8230
    @joycelufunda8230 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣😂brother k mungu anakuona ndo wameandika hvyo unavyotusomea

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 3 года назад +3

    Huyo mama mwenye kilemba kashindwa kujizuia🤣🤣🤣🤣

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 2 года назад

    Hatari sana

  • @DeborahJackson-ys4cl
    @DeborahJackson-ys4cl Год назад

    Ahaaaaa mbavu zangu bro K ,we ni noumaa

  • @bensonbrown952
    @bensonbrown952 3 года назад +1

    Mh uyo baba nom sana

  • @bellnardonardoboy5517
    @bellnardonardoboy5517 3 года назад

    Braza k

  • @e-mzambuli6647
    @e-mzambuli6647 3 года назад +5

    Yan brother k. Umenivuja mbavuuu

  • @shukuludickson4854
    @shukuludickson4854 Год назад +1

    Nawasikiliza 5/5 uku Bujumbura

  • @patrickjoely3968
    @patrickjoely3968 3 года назад +1

    😂😂😂😂nmeshindwa kumalizia we brz K ww n atari💥💥💥💥💥💥

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 года назад +1

    Papa mobimba🔥🔥🔥🔥

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 года назад +5

    Sio lazima kingereza alikosea aliye watumia kwa kingereza......so kwa kuwa ni komed tujifunze kitu pia

  • @gideonmajichi5793
    @gideonmajichi5793 3 года назад +4

    Big up San brother karumanzila

  • @dshazarajabu9950
    @dshazarajabu9950 3 года назад +3

    Huyu jamaa anajua sana

  • @agnesmwampamba744
    @agnesmwampamba744 2 года назад

    Yaaa

  • @steveboniphace3607
    @steveboniphace3607 3 года назад +14

    Maeneo ya kitangiri kona ya Jeshi hapo kwa mzee mhoja

    • @josianse
      @josianse 3 года назад

      Kwetu hapo kwa mzee muhoja unapajua kumbe

    • @steveboniphace3607
      @steveboniphace3607 3 года назад

      @@josianse napajua mkuu, mzee Evarist nampata vema niko jirani nae

  • @kelvinkaijage3275
    @kelvinkaijage3275 3 года назад +1

    Ushauri tosha

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 10 месяцев назад

    Blaza k ninoma

  • @WazunguWapo-ow8sk
    @WazunguWapo-ow8sk Год назад +1

    Yani wengi nmewalambisha kukufatilia na machekesho yako na wote wamekukubari mpaka mwingine tunaitana majina yako cjui unayatoa wapi namwita otolonyonyo nae anaiita mbuyukwile nmemsevi na kwenye cm

  • @mickdady1461
    @mickdady1461 3 года назад

    Aiseeeeeeeee

  • @adamsthedonytv636
    @adamsthedonytv636 3 года назад +7

    Hii kingereza iko hovyo sna 😂😂😂😂😂😂

  • @witingela6283
    @witingela6283 3 года назад +2

    😀😀alikuwa sekta ya mboga hasa mchicha🤣🤣🤣🤣🤣tajir wa kigoma htr

  • @boniphacemathias3433
    @boniphacemathias3433 3 года назад +1

    Brather k kboko unajuwa kwel

  • @zuluphapascal2540
    @zuluphapascal2540 3 года назад +8

    😂😂😂😂 Kwanza kabla.....

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 2 года назад +1

    Eti kila mtu achimbe kisima mtajijua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abedysteven5397
    @abedysteven5397 3 года назад +9

    Brother k ameongea ukweli ss n waswahili kwann mikataba iandikwe kwa kingereza au hospitalin!!

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 3 года назад +1

    Bro K unawachana Wasomi haahhaahah
    Ndo wanajielezaga hivo

  • @NduwayoRahma
    @NduwayoRahma 5 месяцев назад

    Umenifurahisha saaaaaanaaa😅brother k hhhhhhh😅😂😂😂😅

  • @boaziludovick257
    @boaziludovick257 3 года назад +4

    Hatari brother k unatuvunja mbavu....

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 3 года назад +2

    😆😆😆❤❤❤❤ bother k evodia ni shidah.

  • @latifajabil1707
    @latifajabil1707 3 года назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 brothe k wewe mungu anakuona

  • @ramadhanimaganga8068
    @ramadhanimaganga8068 3 года назад +1

    Haaaah aaaa daah eti sasa. niwaache kidogo

  • @fredyjaphet5645
    @fredyjaphet5645 3 года назад +4

    😁😁😁😁😁 wanawake wanafuga kucha kuliko kuku

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 3 года назад +15

    serikal yetu ijipange tutabk tunawalaumu askali wetu hawajui shelia nawakat shelizetu zimeandikwa kingeleza

  • @zaudullah9020
    @zaudullah9020 3 года назад +3

    Nimecheka mpk nimekaa uyu brother k n konyo sana hahahaahahhahaha daaah

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 года назад

    ila ww brother K mmmh watanzania wanakuona tu....mh

  • @poureenmkude8659
    @poureenmkude8659 3 года назад

    Mmmmh machoo

  • @Hussein-l1r
    @Hussein-l1r 11 месяцев назад

    😂😂🎉 nice comedy

  • @runwaysaid2261
    @runwaysaid2261 3 года назад +1

    B k noma sana namkubali hahahaaaaaaa

  • @king-size8114
    @king-size8114 2 года назад

    Kingereza hicho ujuee naumwa mm 😂😂😂😋

  • @SaraphinaKwiyima
    @SaraphinaKwiyima 9 месяцев назад

    You know what I'm saying ma men 😂😂😂😂

  • @KingKala-ik8oh
    @KingKala-ik8oh 8 месяцев назад +1

    wap msaiziii. atariiiiii,,,,,

  • @runwaysaid2261
    @runwaysaid2261 3 года назад +1

    Mmmh brother k nomaa hahahaaaaaaa