Shukran sana sheik Jazakka Allahu kher.Niliahidi moyo wangu hdi nikuone au tuwasiluane In Sha Allah Mola akupe umri uzidi kuokia umma wake Muhamma( S. A. W)🙏.
Asalam aleikum shekhe MashaAllah tabarakllah darsa nzuri Sana MashaAllah ila mmi nipo na mmangu asumbuliwa na presha hadi hupoteza fahamu je yawezekana kupata dawa
Asalam mwalaikum warahmatullay wabarakatuhu shekh mimi nilianguka chooni ila namshukuru Allah mpaka sasa Niko Salma Japo nimebaki mlemavu wamguu natembeya n'a magongo naomba nambayasimu maana nipo mbali shekh
Sheh, shukran kwa ilimu hiyo muhimu illa kwa BAHATI mbaya sisi huku tuko mbali na hatuna uwezo kukufikiya kwani hapa hatujaona wajuzi kama nyinyi maradhi nimengi mmoja wapo Niko nakijana myaka takriban 28 alikumbwa jinni kaafir upenda sana ka chooni ,hana chochote anachopenda illa kulala Paso sijapata usaidizi {maalim Ismail mustafa Hoima Uganda
Shkh samahn m nna mtt wa miaka mitatu ila anatatz upnde wa kulia umepooz wte hlo tatz alikuw nalo toka alipo kuw na miez sita je hzo daw zinawez kumsaidia?
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu, sukran kwa kutuelimisha lakini Niko na shwahili ni hivi umesema tusiingie chooni kichwa wazi je kama unataka kuonga tuna fanya vipi kichwa? Shukran.
Asalaamu alaikum doctor Nina dada yangu alipata tatizo la kutoweza kuongea hafla maneno hayafahamiki ni Zaid ya mwaka wa Tano Sasa maneno hayatoki vizuri hafahamiki akiongea..Naomba unifahamishe naipata vip hiyo dawa. Nipo Zanzibar
Watu niwagonjwa Sheikh lakini inakuja kwa matibabu yanayo mpendeza Allah niyale yameamlishwa na Allah ni Yale alio yatumia bwana Mtume Mohammad rasulullah?
Asalaam aleykum Athuman Michael Allah akulinde na wachawi na mashetwani kakangu. Mie kupenda sababu zangu ni kwamba huna uchoyo wa elimu
Mashaallah mola akuzidishiye elmu na akuhifathi
Mashaallah MwenyeziMungu akuzdishie elm
Shukran shekhe othman. Napenda sana saut yako shekhe, inanifanya nielewe somo kwa urahisi wallah. Allah akulipe kheri kwa darsa lako in shaa Allah
شكرن يا أستاذ وبركAllah akujaalie pepo inshaAllah kw elimu yako.
Swauti wardi hahaha...wanawake jamani haya,,,Allah amlipe kheri sheikh wetu
Mola akupe umri mtefu sheikh
Shukran sana sheik Jazakka Allahu kher.Niliahidi moyo wangu hdi nikuone au tuwasiluane In Sha Allah Mola akupe umri uzidi kuokia umma wake Muhamma( S. A. W)🙏.
Asalam aleikum shekhe MashaAllah tabarakllah darsa nzuri Sana MashaAllah ila mmi nipo na mmangu asumbuliwa na presha hadi hupoteza fahamu je yawezekana kupata dawa
Maa shaa Allah shukrni sana Shekhe Allah akujaalie umri mrefu uzidi kuelimisha waislam in Shaa Allah
Shukran shehe wetu kwakutufunza yenye faida ktk maisha haya ya duniani
Mashallah jazzaka llah kher
Takkbrrrr
Nakupenda sana wewe ni mkarimu
Shukran JazakaahAllah kherah ❤ ila ss wa Saudia tunazipataje
Asalamu alykum. Naitwa biassna nasumbuliwa sana nagadzi yamikono sana shekhe
Mashaa llah Allah bariik fii Allah akulipe kwa darsa tunaelimika Sana
Alla akuongoze
Mashallah shukran Allah akuzidishie umri mrefu azidi kukufungulia na tiba zingine Mashallah shukran
Asalam mwalaikum warahmatullay wabarakatuhu shekh mimi nilianguka chooni ila namshukuru Allah mpaka sasa Niko Salma Japo nimebaki mlemavu wamguu natembeya n'a magongo naomba nambayasimu maana nipo mbali shekh
Ameen
Sheh, shukran kwa ilimu hiyo muhimu illa kwa BAHATI mbaya sisi huku tuko mbali na hatuna uwezo kukufikiya kwani hapa hatujaona wajuzi kama nyinyi maradhi nimengi mmoja wapo Niko nakijana myaka takriban 28 alikumbwa jinni kaafir upenda sana ka chooni ,hana chochote anachopenda illa kulala Paso sijapata usaidizi {maalim Ismail mustafa Hoima Uganda
Mashaa allahu, tabarakah allahu,hasbiya allahu, Allah amuhifandi shekh wetu,amin
Mashallah.Allah.akulipe.kila.la kheri.inshallah
MashaAllah shukran Sana sheikh wetu Allah Akulipe Kila la kheri
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh shukran shekh Nina ndugu yangu amepooza miguu iyo dawa ataipata jee
Mashallah shekhe allah akupe umri mlefu
Sana ata mimi nampendaga
Jazakalah khaira
Vzr
Masha Allah sheikh
Hata sisi wakristo tuko hapa
Karibu Lilian tupate mawaidha
You are welcome
Shukran sheikh
Shkrn shekhe
Shukuran baraqa Allah fiq
Asalaam aleikum.nitazipataje izo dawa za stroke tafadhali nipo Mombasa kenya
Allah akulipe kheri Kwa darsa lako
Allh akupe miaka mingi shehe utibu watu wengi
Maashallah 💖
Masha Allah💕
Mashalah amina
Shukuran shekhe
Allha.akupe.umri.mrefu
Mashallah
mashaAllah,niko kenya na nilikuwa nataka dua uniombe jia zangu zifunguke inshaAllah na mi nitakukumbuka.
MashaAllah tabarakllah Allah akuzidishie ukarimu uliokuwanao na Allah akuzidishie elimu uzidi kutufunza inshaAllah dawa pesa ngapi ya kenya
Mashaallah sisi wengine tuko mbali kweli
Mashaallah sheikh Osman Allah akupe umri mrefu uendelee kutufunza dawa ni Hela ngapi
Shukran
Mashallah Allah akupe mda mrefu
Tunaomba hizo dawa mulete zaidi za Kenya kwanzia Nairobi ,kisumu Busia bungoma etc asante
❤❤
maa shaa Allah
Assalamu Alykum kunamtu ananiambia kila binadamu anajini je sheikh nikweli
Sheikh hauna dawa ya matatizo
ya uzaz kwa akina mama
Shkh samahn m nna mtt wa miaka mitatu ila anatatz upnde wa kulia umepooz wte hlo tatz alikuw nalo toka alipo kuw na miez sita je hzo daw zinawez kumsaidia?
Asalam alaikum warahmathullah wabarakatuh
Asalam alleykum shekhe nilikuwa nauliza maana ya neno ijama Mimi sijui maana yake
Hijama nikutolewa damu mbovu wengine huchanjwa na kijembe Kisha damu ikavutwa kwa pembe but cku hizi Kuna mashini zakufanyia hijama
👍
Mashaalah
Assalm alykum kwema shekh ugetoa number yko maana Kuna maswalii tunataka kuliZa Kwa Siri tukupte mwenyewe
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu, sukran kwa kutuelimisha lakini Niko na shwahili ni hivi umesema tusiingie chooni kichwa wazi je kama unataka kuonga tuna fanya vipi kichwa? Shukran.
Yaani wakati unapingia chooni tu unajifunika lakini ukianza kuoga au haja nyengine unajifinua haimaaninishi muda wote ujifunike kichwa
Asalaamu alaikum doctor Nina dada yangu alipata tatizo la kutoweza kuongea hafla maneno hayafahamiki ni Zaid ya mwaka wa Tano Sasa maneno hayatoki vizuri hafahamiki akiongea..Naomba unifahamishe naipata vip hiyo dawa. Nipo Zanzibar
Assalam alaykum nnaomba namba ya sim ya WhatsApp
Asalam alaykum
Ndio wengi waliodondoka chooni walipata matatizo makubwa ata mama alisema
Assalam Aleykum Sheikh, Niko hapo Kwa HULQUUM napataje? Niko Kenya
Sheikh hio dawa ya ulcers nihela ngapi.. mm mwili unamaumivu sana na mgongo mpaka shingo..nachili ya tumbo
Asalamu aleykum
Arwa al Ismaili
Umefanana sana na husen Kato wa tanga
Ahsant
Aslm Aleikum warramatullahi,nitazipata vp hizo dawa?Bbake rafiki yangu yupo na ugonjwa wa kiharusi
aalamalaykum shekh naumia sana nipo hapa dar lkn nasindwa kuonana na wewr alla akuhifadd na kunijalua mie tizk ya halaln nije kuktana na wewe
Janjajanja nyingi imaan imepotea
Minakitupa hicho chombo😢
Yaani ngekua karibu ngechkua iyo dawa..mana nkilala usiku paja lafa ganzi na mkono pia yani uwa sielewi Janga gani
Assalam aleikum warhatulah wabarakatuh....kwani sheikh kaowa?
Uyu shekhe kaowa na anawake 2 sjui km kaongeza wengne
Wap inapaikana
Watu niwagonjwa Sheikh lakini inakuja kwa matibabu yanayo mpendeza Allah niyale yameamlishwa na Allah ni Yale alio yatumia bwana Mtume Mohammad rasulullah?
Caption ni tofauti na kilichozungumzwa
Kuwa na subra ktk kusikiliza mpaka mwisho,hicho kilichoandikwa ni moja ya maudhui yalioelezwa ktk clip hii
Nitapata wapi hayo mafuta Niko lamu
Waitumiaje hiyo dawa mwalimu
N shilingi ngapi hijama
Mimi yangu inapanda
Mimi ndio napotenza hela kila siku mamani.
kwa nn
Kwa nini shelh huna ndevu
Uwe unataja na bei zake kuepusha janjajanja
Unaweza kumpigia simu kupitia number hizo kuuliza
Hijama ni nini ????
Hijama ni nn ? Shekhe
Waliowahi kutumia dawa tunaomba watoe feedback
Mashallah
Mashaallah
Shukran
Asalam alaykum
Mashaallah
Mashaallah