To me Mgandu is one of the very very best Catholic music composers of all time to have graced the church in abundance with the holy music. RIP our legend!
Amatha, nakupa hi kibao kwa kumtendea haki John Mgandu!!! Tupo wengi sana tulioupenda na kuheshimu sana utaalamu wake wa mziki! Lakini cha kusikitisha, kama walivyokuja na kutuacha wanamziki wengine mahiri; sikuwahi mwona binafsi na kujua undani wa maisha na uhusiano wake na watu wengine, mpaka nilipoisikiliza documentary yako hii! Great job sister, great job!
Paix à son âme. Ces beaux morceaux méditatif remuent mon passé en famille. On aimait bien écouter celle belle mélodie. Dieu lui accorde un repos auprès de Lui dans l'éternité parmi ses élus.
Mungu apokee roho ya Mwl.John Mugandu. Mwl.wangu wa Kiswahili na muziki (brass band)st.Mary’s sec now Milambosec in the 70s Ali kuwa na utume wa uinjilishaji kupitia muziki. RIP JOHN MUGANDU.
Ñakumbuka kipindi nakua Wazazi walinunua kanda yenye wimbo huo muda wote ulikuwa hautoki kwenye kaset mpaka sasa ni wimbo ambao naupenda sana...hakika Mungu amlaze mahala pema Hayati J.Mgandu.
Asante sanaaa. Hii ndiyo kiu yangu KUBWA. Watu wajifunze. Nashukuru kwamba hata Kwa hiki kidogo napata mrejesho. Kuna ambao wananipigia pia na kutoa mrejesho wao. Asanteni Sanaa Kwa kunitia moyo, naamin nilichokifanya hakijaenda bure
Shukrani kwa kutumegea japo kwa ufupi namna ulivyomfahamu Mwalimu Mgandu. Lakini nakushauri uibireshe zaidi hii documentary kwa kuiongezea picha mbalimbali za matukio ya John Mgandu, Familia yake na wanafamilia kama wapo, mwaka na mahali alipozaliwa, watu mbalimbali waliomfahamu, pia sehemu ya mahojiano yake ambayo sisi watazamaji wako tutaisikia sauti yake.
Asee nilitamani kumuona Mzee Mgandu lakini Mungu amrehemu zaidi japo NAMI now najivunia kuimba ama kufundisha Moja wapo ya Kwaya alizo asisi hapa Jimbo kuu katoriki Dar es salaam kiukweli tungo za huyu Mzee wetu zinabariki zinatafakarisha sana 🙏🙏
J. mgandu was a legend in gospel music and an icon within the music fraternity a person I would listen to and dedicated to his call of divine service .Thank you for giving a good testimony about John. However its my humble request if you can can a discourse of his life's profile I'm sure we can learn alot from the life of mgandu especially musicians. Thank you.
Mwalim John mgandu ndio alionifanya nikapenda kujifunza Muziki kupitia nyimbo zake tangu nikiwa Mdogo nilizipenda sana. 1.Bwana amejaa huruma 2.Ee Bwana kumbuka Rehema 3.Furahi Jerusalem 4.Neema ya Roho mtakatifu 5.Angalien kesheni 6.Enenden duniani kote 7.Waipeleka Roho 8.Mawazo ninayowawazia ni Yaan nyimbo zake nyingi nazipenda zinautulivu wa liturujia.Mungu rehem Mzee wetu huyu
Asante sana Amatha, yaani nimeimba kwaya tangu nikiwa na miaka3 ofcourse ni mama, kuanzia hapo hadi leo nikiwa hapa Ujerumani nyimbo zake naskiliza kila iitwapo j2 hata rafiki zangu japo hawaelewi kiswahili but husifiwa kwa mziki bora🌺🌺🌺🎉
@@peaceisrael8158 nyimbo zake ni sala tosha, zoote alizitoa kwenye biblia. Binafsi Jambo lolote likinikwaza nyimbo zake ndiyo tiba yangu😂🤣😂tumwombee apumzike Kwa amani
John Mgandu left a legacy, he should be emulated by all. Sura yake nimeiona Kwa hii video lakini nyimbo zake nyingi nazifahamu! Pumzika Kwa Amani.
Aminaaaa
To me Mgandu is one of the very very best Catholic music composers of all time to have graced the church in abundance with the holy music. RIP our legend!
Ameeen, let's pray for him
Am thinking swahili music without Mgandu!!! May his soul rest in peace
Ameeen
Napenda sana nyimbo za mwalimu Mgandu, alitucha ila hadi sasa sijaona mwalimu yeyote anaye karibia hata nusu kwa ubora wa tungo zake
😭💔😭😭💔😭💔😭💔😭apumzike kwa amani
Safi Sana dada, binafsi napenda Sana nyimbo za mwalimu mgandu.🙏🙏🙏 Be blessed.
And may His soul rest in peace of the Almighty God whom he served.
Aminaa, sifa na shukrani zimrudie Mungu aliyeniwezesha haya
Amatha, nakupa hi kibao kwa kumtendea haki John Mgandu!!! Tupo wengi sana tulioupenda na kuheshimu sana utaalamu wake wa mziki! Lakini cha kusikitisha, kama walivyokuja na kutuacha wanamziki wengine mahiri; sikuwahi mwona binafsi na kujua undani wa maisha na uhusiano wake na watu wengine, mpaka nilipoisikiliza documentary yako hii! Great job sister, great job!
@@msafirichelewa2978 aminaaa, tumshukuru Mungu kwa kunifunulia haya. Na jina lake litukuzwe si jina langu🙏🙏
Paix à son âme. Ces beaux morceaux méditatif remuent mon passé en famille. On aimait bien écouter celle belle mélodie. Dieu lui accorde un repos auprès de Lui dans l'éternité parmi ses élus.
Ameeen, stay blessed
Endelea kupumzika kwa amani Legend wa mziki Mtakatifu Prof. J.Mgandu.
Amina
Nzuri Sana Dada ake
Asante
Mungu apokee roho ya Mwl.John Mugandu.
Mwl.wangu wa Kiswahili na muziki (brass band)st.Mary’s sec now Milambosec in the 70s
Ali kuwa na utume wa uinjilishaji kupitia muziki.
RIP JOHN MUGANDU.
Amina🙏🙏🙏
Ñakumbuka kipindi nakua Wazazi walinunua kanda yenye wimbo huo muda wote ulikuwa hautoki kwenye kaset mpaka sasa ni wimbo ambao naupenda sana...hakika Mungu amlaze mahala pema Hayati J.Mgandu.
Amina
Mungu ampumzishe mahali pema mzee Mgandu ametuachia alama kwenye nyimbo zake
Aminaaa, tuendelee kumuombea
Nyimbo za mwalimu mgandu hunifariji sana na hunitia nguvu 🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Tupo wengi dear
Nyimbo nzuri sanaa hasa wimbo wa " Kanisa la kitume" wenye ujuzi wa hali ya Juu. Alitupa mfano mwema sanaa. Mungu ampe faraja ya milele
Aminaaa
Kuna mambo kadhaa nimejifunza kutoka historia hii! Hongera sana kwa kupata bahati ya kufanya utume na Nguli huyu.
Asante sanaaa. Hii ndiyo kiu yangu KUBWA. Watu wajifunze. Nashukuru kwamba hata Kwa hiki kidogo napata mrejesho. Kuna ambao wananipigia pia na kutoa mrejesho wao. Asanteni Sanaa Kwa kunitia moyo, naamin nilichokifanya hakijaenda bure
Pumziko la milele umpe ee bwana napenda sana nyimbo zake,🎉🎉
Aminaaa
Asante dada yetu
Amina
RIP mwalimu John. You taught me and I remain grateful
Ameeen😥😥
Shukrani kwa kutumegea japo kwa ufupi namna ulivyomfahamu Mwalimu Mgandu. Lakini nakushauri uibireshe zaidi hii documentary kwa kuiongezea picha mbalimbali za matukio ya John Mgandu, Familia yake na wanafamilia kama wapo, mwaka na mahali alipozaliwa, watu mbalimbali waliomfahamu, pia sehemu ya mahojiano yake ambayo sisi watazamaji wako tutaisikia sauti yake.
Tumshukuru Mungu, na tumwombee apumzike kwa amani
Asee nilitamani kumuona Mzee Mgandu lakini Mungu amrehemu zaidi japo NAMI now najivunia kuimba ama kufundisha Moja wapo ya Kwaya alizo asisi hapa Jimbo kuu katoriki Dar es salaam kiukweli tungo za huyu Mzee wetu zinabariki zinatafakarisha sana 🙏🙏
Aminaaa, tumwombee apumzike Kwa Amani
Dada unaweza tutumia au tuandikia nyimbo zake kwenye album ya mwisho
@@Jimmsuva-be5dc follow my page on Facebook kisha nitumie mawasiliano yako inbox nikuunganishe na kiongoz atakayekusaidia
Very touching 💕💕💕 I love his songs so much 😍
Ameen
💕
Barikiwa kwa kazi ya Bwana madam Amatha
Aminaaa Sir, asante tuombeane
Aisee dah
Napenda sana nyimbo za mtunzi huyu nguli hasa ule wa ingekuwa heri leo na ule mawazo ninayowawazia dah
Aminaaa
Andelee kupumzika kwa amani🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Asante sana kwa kutuandalia Video hii
Tumshukuru Mungu
J. mgandu was a legend in gospel music and an icon within the music fraternity a person I would listen to and dedicated to his call of divine service .Thank you for giving a good testimony about John. However its my humble request if you can can a discourse of his life's profile I'm sure we can learn alot from the life of mgandu especially musicians. Thank you.
Ameen, you're welcome
R.I.P I know u with the Choir of Angels.
Ameen
Babu Aendelee kupumzika kwa Mungu
Amina
Endelea kupumzika Kwa amani mwalimu Mgandu
@@NIKODEMASMWANYANDE amina
Hongera sana kipenz kaz nzuri sana👏👏
Asante sanaa
Kazi nzuri dada yangu. Be blessed
Asante, nibarikiwe pamoja nawe
Mgandu ni lejendari wa muziki
Tumwombee Apumzike Kwa Amani
RIP Musicandus J. Mgandu
Ameeen😭💔😭
Hongera Sana Dada Amatha,
Asante sana
Hongera sana Beloved, 👏👏
Asante
R.I.P mwalimu J.Mgandu 🙏
Ameeen
Apumzike kwa amani
Amina
Rest in peace Prof John Mgandu
Amen
Hongera sana dada
Asante mtumishi
Kazi nzuri😍
Asante sana mkwe🥰🥰🥰
Nzuri sana dada
Asante Sanaa Mdogoangu
Mjukuu kama mjukuu 🤗 wa mgandu
@@joachimbahati2792 🤣😂🤣😂
Ubarikiwe sana
Amina mdogoang
Mwalim John mgandu ndio alionifanya nikapenda kujifunza Muziki kupitia nyimbo zake tangu nikiwa Mdogo nilizipenda sana.
1.Bwana amejaa huruma
2.Ee Bwana kumbuka Rehema
3.Furahi Jerusalem
4.Neema ya Roho mtakatifu
5.Angalien kesheni
6.Enenden duniani kote
7.Waipeleka Roho
8.Mawazo ninayowawazia ni
Yaan nyimbo zake nyingi nazipenda zinautulivu wa liturujia.Mungu rehem Mzee wetu huyu
Aminaaaaa
Marehemu Mgandu alitisha sana. Huwa najiuliza kuna wimbo gani ambao sio mtamu wa Nguli huyu. Tunamshukuru Mungu kwa kipaji chake na ampokee kwake❤❤❤
Kazi nzuri Dada Amatha 🙏
Asante mdogoangu
Penda sana dada yangu kazi nzuri
@@adelinamwapinga3678 asante dear OTIMBI 🤣😂🤣😂🙏🙏
Kazi sawa dada God bless you 🙏🙏
Ameeeeeeen
Sauti tamuuu...hongereni
Asante sana
Rest in Peace Mtunzi wetu we miss you biiiiig🌺🌺🌺🎉🙏
Ameeen
Rip JM.
Amen
🙏🙏
👏👏👏
Naomba kujua hizo nyimbo 8 alizoziacha hazijatoka tena?
Zilitoka zipo kwenye album toleo la 7 @kwaya ya Mtakatifu Paulo Mtume Ubungo msewe.
Alikua akiishi wapi? Hajawahi kuwa na toleo baya ..kipaji OG hiki❤
Alikuwa anaishi DSM na alizikwa DSM
Asante sana Amatha, yaani nimeimba kwaya tangu nikiwa na miaka3 ofcourse ni mama, kuanzia hapo hadi leo nikiwa hapa Ujerumani nyimbo zake naskiliza kila iitwapo j2 hata rafiki zangu japo hawaelewi kiswahili but husifiwa kwa mziki bora🌺🌺🌺🎉
Kipindi cha lockdown hadi hivi leo misa inaweza kuwa mara1 kwa miezi 3 so nikasema isiwe tabu ni kutwanga nyimbo hizo tu ..zaidi labda online mass
@@peaceisrael8158 nyimbo zake ni sala tosha, zoote alizitoa kwenye biblia. Binafsi Jambo lolote likinikwaza nyimbo zake ndiyo tiba yangu😂🤣😂tumwombee apumzike Kwa amani
Ni sala 100% nakubaliana na wewe..Rest in Peace Baba yetu🙏
Alikua mwenyeji wa wapi
Mkoa gani
Tabora - Nzega