DOCTOR MO:CHAMA ATOKE ZAKE TUMECHOKA KWANZA YEYE NDIO SABABU TUMEKOSA UBINGWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 июн 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

Комментарии • 50

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 4 дня назад +2

    Ishu nikusajili mtu Bora kuliko chama bas watatusaarisha kwakuondoka chama bila hivo hatuta sahau amefanya mengi Simba ila mtu akikaa sana kwenye timu walio wengi huwa wanaleta kiburi aende salama akatfute lizik pengine

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 4 дня назад +1

    Aondoke, ataigharimu timu. Ukimlipa avyotaka , Wachezaji wengine je??

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 4 дня назад +1

    Mmoja alipwe 35 milioni. Hivi akina baker wanalipwa ngapi? Kama Mimi nawaacha huyo WA 35 milioni achezee

  • @MawazoKitumbo
    @MawazoKitumbo 4 дня назад +1

    Mimi binafs chama nilikua simpend ameiferisha Simba pakubwa kaz hamna Kila kocha anae kuja Simba chama nimzigo bola asepe zake hatufai kabsa

  • @shaabanramadhan
    @shaabanramadhan 4 дня назад +1

    Pia aliwshi kumvimbia kocha wetu wa viungo wakati wa Benchika Kwa mkapa.Alijifanye fadha

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt 4 дня назад +1

    Akamalize. Mpira yanga kashazeeka

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 4 дня назад +1

    Ganda la mua la jana,chungu kaona kivuno,ndicho Yanga wanachofanya.mke kaachwa na mwenzako wewe ndiyo unaona mali na kuandaa harusi ya kufa na shoka na kumzodoa mtaraka wake" kuna nini kipya asichokijua kwake"

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 дня назад +1

      Mbona kama .... Unajifariji Sana ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣🤣......

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 4 дня назад +1

    Aende aliuza match

  • @KisururaSimon
    @KisururaSimon 4 дня назад +1

    Let him go,enough is enough.He has nothing new 2 help Simba

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 4 дня назад +1

    SIMBA NGUVU MOJA

  • @jamesmarco98
    @jamesmarco98 3 дня назад

    Mnahoji kila kiumbe kinacho pumua nowdays

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 дня назад

    Chama aondoke hatumtaki ni msaliti

  • @AmosMsodoki
    @AmosMsodoki 3 дня назад

    Chama alienda belikane akafeli tukamjenga aendetu

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 3 дня назад

    Hapana mchango wa chama ni mkubwa ,hatuwezi dharau

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 4 дня назад +2

    Kuna wakati Wabongo ni wanafiki sana, juzi juzi tu kwenye mjadala wa nani bora kati ya Chama na Aziz K mlitoka mapovu kumpamba leo kawa hata chini ya Saido, jmn tumuogope Mungu

  • @FrankPaul-ip5tr
    @FrankPaul-ip5tr 4 дня назад

    Huy😂😂🎉on mwamba hanahakili

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 4 дня назад

    Kweli dunia ipo kasi yaani leo saidoo bora kuliko chama

  • @florakasike4331
    @florakasike4331 4 дня назад

    wee kumbe hamna kitu

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 4 дня назад +1

    Chama ni msariti

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 4 дня назад +1

      Ukiambiwa uthibitishe itawezekana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 дня назад +1

      ​@@mwanangusanaTUAMBIE WEWE HAKIMU WA MAHAKAMANI AU WA VIBARAZANI TUKUTHIBITISHIE 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 дня назад +1

      @@salimmalaka256Endelea kumsikiliza msemaji wenu 🤣🤣🤣 .... Oblongata yako ipo slow Sana ndo maana jambo dogo unashindwa kulitambua 🤣🤣🤣

  • @thomasantapa8353
    @thomasantapa8353 4 дня назад +1

    Ndio maana Simba wamekufungia kujihusisha na mambo yao coz akili zako hazina akili

  • @mohdabdalla7070
    @mohdabdalla7070 4 дня назад +1

    sizitaki mbichi hizi

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx 4 дня назад

    Wewe unajikosha tu Kwa viongonzi hàmna chochote

  • @godyjafari6033
    @godyjafari6033 4 дня назад

    Chama ndio aliwabeba na Power dynamo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 дня назад +1

      MAYELE KAWABEBA SANA MBONA AMEONDOKA????

  • @rizalsalim3151
    @rizalsalim3151 4 дня назад

    Nimwigizaji huyu kisa kaenda yanga

  • @user-wi6ci2ms3b
    @user-wi6ci2ms3b 4 дня назад

    Uyu jamaa hana akili mana uyu uyu wiki 2 zilizopita alisema chama kashaongeza mkataba alafu leo anasema saidoo ni bora kuliko chama

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 4 дня назад

    AMA KWELI MBAAZI UKIKOSA USINGIZIA JUA...SIMBA KIMUEMUE CHA NN ? MNAWEWESEKA NA YANGA ? MNACHEKESHA SANA SANA SANA

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 4 дня назад

    Wewe jamaaa
    Huwa hueleweki yaani

    • @mohdabdalla7070
      @mohdabdalla7070 4 дня назад

      sizitaki mbichi hzi dah polen makolo hii inaitw meza hata km chungu kula chuma ikoo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 дня назад +1

      ​@@mohdabdalla7070LIPENI PESA ZA WATU MILIONI 860 UTOPOLO MACHOGO FC NYIE 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx 4 дня назад

    Mandunduka ni mandunduka tu huyu jamaa alikuwa anatoa mapovu na macho Leo tena amekuwa tena siyo bora

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 4 дня назад

    Makelele meengi pumba mtupu! we kubali tu mmepigwa na kitu kizito mbwa nyie...Mlidhani tumesahau mlivyompora Bernars Morris na bado mpaka maji muite mma mamae!

  • @NasraJuma-zr4kg
    @NasraJuma-zr4kg 4 дня назад

    Kwer ww ujiele chama ana cheza peke yake au

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 4 дня назад

    Sizitaki Mbichi Hizi

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 4 дня назад

    Ukiambiwa wewe ni dunduka pigana sana asee maana wako kama madada poa mchana madela usiku ni vichupi😂...leo Saidoo kamzidi Chama kwa ubora wapelekeni milembe hawa jamaa😂😂😂😂. Hersi unaimaliza kabisa timu ya mikia

  • @AmosMsodoki
    @AmosMsodoki 3 дня назад

    Chama alienda belikane akafeli tukamjenga aendetu