Ajali ya Ndege Korea Kusini: Idadi ya waliopoteza maisha yafikia 176

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 56

  • @MariyimJumanin
    @MariyimJumanin 19 дней назад +8

    Polen sana jaman khaaa ee Mollah wetu tuepushie maajali

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 19 дней назад +5

    Mungu awapumzishe kwa amani

  • @MasomeAbell-cr1um
    @MasomeAbell-cr1um 19 дней назад +2

    Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 19 дней назад +4

    Subhananllah 😢

  • @CristinahKimaro
    @CristinahKimaro 18 дней назад +1

    Pole kwa wafiwa na kwa Korea nzima😪

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 19 дней назад +3

    Mmeambiwa kulikua na matatizo ya hali ya hewa na ndege pori....sasa watu mmekazana oooh Boeing sio ndege nzuri....ss wabongo watu wa hovyo sana

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 19 дней назад +7

    Inna lillah wainna ileihy rajiun

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 19 дней назад +1

      Mbona hii inatisha sana.....ajali Kila unapofungua vyombo vya habari.

  • @Zahra1-wf4kj
    @Zahra1-wf4kj 18 дней назад

    😭😭😭 Inalilahi wainalilahi rajuna polen sana wafiwa Allah tunusuru waja wako kwa hizo ajali zinazotokea kila siku

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 18 дней назад

    Pole kwa ndungu jamaa na marafi walio potelewa na ndungu zao

  • @albertyustasi9103
    @albertyustasi9103 19 дней назад +1

    Poleni sana mwenyezi mungu azidi kuwaponya

  • @annmmbone7525
    @annmmbone7525 18 дней назад

    Ooh God have mercy on us 🙏

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 19 дней назад +4

    Innalillah wa innalillah lajiun😢😢😢

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 19 дней назад +4

    daaaaa mtihani mkubwa bwana ametoa na ametwaa

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 19 дней назад +2

    Dah inasikitisha sana

  • @meowzna
    @meowzna 19 дней назад +1

    Allah bless them🙏

  • @FxL_47
    @FxL_47 19 дней назад +3

    Innalilah wainailayhi Rajiun 😢

  • @d-manb-free3478
    @d-manb-free3478 18 дней назад

    Ajali 2 mwezi huu😢😢😢

  • @mornasaidtindwa3622
    @mornasaidtindwa3622 18 дней назад

    Subuhanallah

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 18 дней назад

    Daaah! sio pw ajali kila siku😢

  • @hassanabdallah3202
    @hassanabdallah3202 19 дней назад +3

    Tumrudieni sana MUNGU Dunia inaelekea mwisho hii 😢

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 18 дней назад

      Mimi Tyr ujue watu huwez kuwambia watubu watanzaa ooh sijui Nini kikubwa we jiandae na akhera yako

  • @starjay3052
    @starjay3052 19 дней назад +3

    mwisho wa mwaka 😢

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 19 дней назад +5

    Mbona saiv ajali za ndege zimekuwa nyingi sana

    • @hopechidera
      @hopechidera 19 дней назад

      Ni sababu safari za ndege zipo nyingi saiv...

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 19 дней назад +1

      @@hopechiderasio kwel

    • @FxL_47
      @FxL_47 19 дней назад +2

      ​@@hopechidera hiyo sio Sababu... Hiyo ni mipango ya MUNGU (ALLAH) ndio anajua

    • @aloycekomba1
      @aloycekomba1 19 дней назад

      ​@@FxL_47Sio kila kitu mipango ya MUNGU hizi ndege za boeng zinahitilafu baada ya kuambiwa na whistleblower wawili wa marekani wakaziba masikio na hao whistleblower walikutwa wameuwawa.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 19 дней назад +1

      ​@@hopechideraKwn safari za ndege zimewahi kuwa chache?

  • @LilGida-d3j
    @LilGida-d3j 19 дней назад +2

    Pole yaoh

  • @KingMswati-i8e
    @KingMswati-i8e 19 дней назад +1

    Hata kwenye gari ukikaa nyuma huwa mara nyingi unapona inapotokea hivyo wale wanaopenda kukaa mbele kama jamaa zangu wa longindo😮😮😮😮😮kazi kwenu

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 19 дней назад +3

    Mbona ajal za ndege zinaongezeka tangu December ianze

  • @aloycekomba1
    @aloycekomba1 19 дней назад +1

    Hizi ndege za boeng sio salama tena kwani kuna wale whistleblower waliuwawa kwenye mazingira ya kutatanisha baada ya kutoa report ya hitilafu kwenye hizi ndege za boeng wakawaua kuwanyamazisha ndo matokeo yake hya.

  • @JoyceLucas-wq7hr
    @JoyceLucas-wq7hr 19 дней назад +1

    Poleni sana

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 18 дней назад

    Bora angepeleka kwenye maji maana Korea sio mbali na bahari, kisha aishushe kwenye ufukwe wa bahari. Bac tu imeshatokea hamna namna.

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 19 дней назад +1

    Rest easy compred

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 19 дней назад +2

    Hizi Boeng Dash za USA mbona zinaua sana ukilinganisha na Airbus

  • @edsonkennedy8027
    @edsonkennedy8027 19 дней назад +2

    Urusi na mwenza wake walikanusha ni ndege ila urusi wanatafuta tatizo maana mwisho wa mwaka software upishana kama tulivyoona juzi ajari nyengine.

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 18 дней назад

    Kaka sky.. Sija elewa hapa. Denge WA porini... Jo nini kaka. Sija elewa???? 🤔

  • @NadiaNadu-r3v
    @NadiaNadu-r3v 19 дней назад

    Pole 😢😢

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 19 дней назад +1

    😢😢😢

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 19 дней назад +1

    Sns ...hivi mbona mnafuta comments za watu...

  • @staritsolutioncenter7100
    @staritsolutioncenter7100 18 дней назад

    Ukiichunguza wakati inatua ni kama matairi hayakutoka kwa hiyo ilikua inaburuzika

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 19 дней назад +1

    imetengenezwa wapi

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 19 дней назад +1

    Nasubilia vyombo vya habari vya uchwala kutika magharibi waongelee kama walivyo ongelea ajali ya Azerbaijan ndani ya Urusi 😂😂

  • @sgfbase
    @sgfbase 19 дней назад +1

    Maembe Motors ni wanoma kiukweli

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR 19 дней назад

    unamaanisha nini kwamba wote wamefarikiii

  • @IsaiahThomas-ff6ct
    @IsaiahThomas-ff6ct 19 дней назад +1

    Jesus is coming soon

  • @AbiyolaSaidi-qe2ku
    @AbiyolaSaidi-qe2ku 19 дней назад

    Duj

  • @OmarKalita-le9uo
    @OmarKalita-le9uo 19 дней назад

    Poleni sana