Aki mumechelewesha xnaa waaah nilikuwa nmesahau kamwe lungodisha ila poleni hatujui ni nini kilichowakumba pia twaombeni mtuletee mapema ili msipoteze mashabiki wenu🎉🎉🎉
Tulishasahau kumbe bado Kuna mwendelezo 😂 au kulikuwa na changamoto za kiafya ? tunaomba kujua itakuwa inschukua mda gani Kama wiki,mwezi au miezi tujue sio kwa kuchungulia huku hadi tunasahau , tunaomba majibu au mashabiki mnassmaje?
Kwa hali hii eti mnasema kuna msanii wa kuchukua nafasi ya kanumba kweli, SIDHANI. Movie nzuri ila usiriaz mdogo sana ktk hili, UTAPOTEZA WATEJA HATA WALIOTAKA KUKUJUA ZAIDI
Waah Adi tulikuwa tushasahau hii movie mbna ukapotea Ivo any way mnipeeni ata likes 10 tu Wa kwanza leo
Aki kweli tulikuwa tumeshahau kabisaa
Pia mm nilishagaa sahau nimeshangaa hatukumalizia
Mnachelewa sana jamani
Pppppp0
𝐻𝑑𝑦 𝑚𝑚 𝑛𝑖𝑙𝑖𝑘𝑢𝑎 𝑛𝑚𝑒𝑠𝑎ℎ𝑎𝑢 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎😂😂
Hongera sana kwa kurudi msipotee hvo tena much love
Sawa asante sna
@africansinema7420 your welcome
Nimefika juu nilikua nko mbio kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hdi hapa nilipo sahii weerh nmechoka naombeni kiti nikae 😂😂😂😂jmn lugodisha mbona watucheleweshea hdi nilikua nmesahau tyr
Nilikuwa bado naimw
Baady ya mapesa pesa 🔥🔥🔥🔥ni Kwa mwasiti mwana habari mzuri tu na pozi hv duuh umbea kazi eeeeeee
Mwasit hatar sna 🙏
Wakwanza jamani 1 kutoka TANZANIA❤
Karibu sna
😅😅🎉🎉mutashinda
Asante
Mnakawia sana.., anyway congrats 👏👏 guys.,nasubiri mapesa na umbea nikacheke😂
Karibu sna
Huyu mwasiti hana tofauti na mapesa😂😂😂 kumbe kumtupa kwenye shimo ni kumuonea tu hata yeye ni mbea🙌😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mlikuwa kimya ivo ❤❤❤❤nawapenda bure kazi nzuri sana
Asante sna
🎉musikatetama mutashinda😅
Asante
Hogera sana💕💕💕
Asante sna
Hainaaa ladhaa tenaaa mnachelewaa mnoo mpk tunawasahauuu😮😮
Mtusamehe Bure tu jamn
Aki kunakawanga na shida gani,,nlikuwa nmeisahau lakn kazi nzuri ❤❤❤❤
Asante sna
Asante sna
Asante sna sikuwa poa kiafya .. Ila nmelud kwa kishindo
Mpaka nilisahaugi kwakweli duuuh❤❤❤ hongerni
Asante sna
Karibu tusahau hii movie😂😂
Kakweli 😁
Mtusamehe bure
🙏🙏🙏
Duuh ila nyie hii movi mwezi mpka mwezi 😂 duuh hataree 😂😂😂
😂😂😂😂
Hapana sikuwa sawa tu
❤❤ nice job 👍
Thanxs so more much
Daaaaaaaaaa mbona mwachelewesha mambo mazuri ivo❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mambo ni firee
Nilidhania imeisha....hongera sana
Asante sana sna
Yani adi mashabik wamepungua jamn mmh
Hatukuwa poa
🎉nawapenda
Tunakupenda pia
Jaman jaman jaman Lugodisha wetu mmechelewa sana hadi nilianza kuisahau❤❤❤
Pole sana mambo yaliingiliana
Nimechelewa kidogotu🎉🎉🎉
Karibu huhachlwa sana
Aki mumechelewesha xnaa waaah nilikuwa nmesahau kamwe lungodisha ila poleni hatujui ni nini kilichowakumba pia twaombeni mtuletee mapema ili msipoteze mashabiki wenu🎉🎉🎉
Nilikuwa naumwa sana Ila asante sna nimepona kwa sasa .. Kazi iendelee
Mnachelewesha sana movie zenu mpaka tunasahau
Tusamehe Bure jamn
Vizuri sana napenda hii movie pongezi sana
Asante San sana
Yaaan jmn moves inachelewa na punguzo la dak sasa ndo baraaa ongezeko la dk 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sawa Haina neno asante sna
Lugotisha najua kuna chakamoto lakini jitaiti tunakupenda tunataka kazi after kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Asante sana sna 🙏
Duuu kiukweli mnachelewa mno mbaka tunasahau kabisa
Mtusamehe Bure tu sikuwa poa kabisa
Karibuni, maan tulikua tulishasahau hii movies
Asante sana na karibu
Mbona nilisahau hii movie haki weeeeh❤❤❤
Karibu tumelud kwa kas
Mbona mnachelewesha movie nzuri sana❤❤
Hatukuwa sawa kidogo
Karibu nikutagute bana nilijua umepotea😂😂😂😂😂
Hapana bado sana
Duuh 😂😂😂 hila mapesa yeye zake umbey tu lkn nguvu ana hata kidogo mpka mwasit pia ana mpiga duuh mapesa umbeya tuuuuuuuu nguvu ahaaaaaaaaaaaaa
🤣🤣🤣hatar sana
Msiwe mnachelewesha hivo mnatukera sana
Sawa kiongoz 🙏🙏🙏
Sana family mm leo nimekuwa wa kwaza naombeni Link zangu
Mbona umetake soo long aki ata tujuwi place tuliachia usitufanyie hivo bwana
Sorry sikiw poa kiafya
Karibu sana
Waaah nilikwa nimesahau mnatuchelewesha sana
Mtusamehe tu .. asante ssna
Yanii hamna mpangilio ama mlienda mazishi ya bi rahima😂😂 ,tulikuwa tushasahsu. Hii movie walae
🤣🤣🤣🤣🤣sikuwa poa kiafya
Wa kwanza kutoka Ethiopia nawapenda sana like ata 20 tu
Asante sana
Hawa wanatuona kama matako yao😅
Duh!🥺🥺🥺🥺
Baada ya miaka kumi ndio mnaachilia,anyway like zije
😂😂😂😂did you just say 10years
@@noreennafula-zj8zp 😂😂
Karibu
🤣🤣🤣
Mnachelewesha mv zenu bh
Sikuwa poa
Jaman msiwe mnaichelewesha sana tunaisahau
Sawa asante sana
Sawa asante
Utamu wa movie n kwa mfululizo wala sio kwa mda hivo tunawashukuru kwa kurudi watching from Kenya
Asante sna
Tulishasahau kumbe bado Kuna mwendelezo 😂 au kulikuwa na changamoto za kiafya ? tunaomba kujua itakuwa inschukua mda gani Kama wiki,mwezi au miezi tujue sio kwa kuchungulia huku hadi tunasahau , tunaomba majibu au mashabiki mnassmaje?
Hii movie yenu iishe 2 juu mnachelewesha next episode I think ni next year kama cjakosea
Nilikuwa mgonjwa sana Ila kwa sasa Niko poa itkuwa mfululizo
Hpana baada ya siku mbili sikuwa sawa kiafya
Waa ni muda mrefu sana kutoa hii movie jamani na vile ilikua imenoga kunoga sana nadhani hamtatukalisha sana nezt episode plix
Kabisa
Mnakawia jmn pka tunasahau
Tupo matzo kidogo
Mnakawia sana,almanusra tuvuke mwaka
🤣🤣🤣🤣hapana
Yani atujuwi kama nn wamechoka kuingiza
Hatujachoka kiongoz matatizo madogo madogo
Wanaouza haraka, hupata faida haraka.
Iyagamba weka mizigo mfululizo tusikuchoke.
Sawa asante sna 🙏🤝
Jitahidini bhn, mtoe kwa wakati, mashabiki mnatukata
Sawa asante
Surely after one month, mnabowa, NKT 😏
Tusamehe tu jmn
Karibu tusahau hivi movie munaboa
Tusamehe bure
Mimi ata nilikuwa nimesaau kama
Tusamehe Bure
Mapesa kapatikana😂😂😂😂😂
Hahahahhhaaa
Kumbe bado yaendelea
Ipo
Tunafurahi kwa movie hii
Asante sana
Série ziko nyingi
Karibu
Movi zuri san mashallah lkn mnachuwa muda san kultea kwa wakati kwann lkn lugadisha ww na masailo kwan ni ndug kwenye movi ya mtoto wa salwrt
Sijaelewa sms Yako hapo mwisho.. kukawia nilikuwa naumwa
Wangapi wali iimiss hii move kam mimi gonga like tujuane🎉🎉
Asante sna sna
Nivema mumeludi nilijua mumesha acha iyi movi kbx
Asante sana sna
Nimemwona jamaangu gilo Toka ilagala kigoma nimefurai sanaa
Asante na karibu sana
Kweli
Kabisa karibu
Mnatuboo sasa mnakawia
Mtusamehe Bure
Mani chukua tumeshakata tamaa kabisa tukijua ya kwamba wameshaahirisha jamani ah basi ngoja tushuhudie
Karibu sna
Hivi munavyo chelewesha mutakosa Mashabiki kwamwezi ndo munatowa
Hapana hatukuwa poa tu
@@africansinema7420 asant
Yani the way inavoonekana nkwamba ameshindwa kutunga stor ya kuendeleza movie yake ndo maana, amekaa mawiki kama hvo 😮
Hahaha hapana sikuwa vzur kiafya boss
Aise uandaaji hupo vizuri
Asante sna
Daaaah nilisha sahau
Mtusamehe bure
Nilijua no bs tena isha isha kiaina
Bado kabisa
From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤
🙏🙏🙏🙏
Nawatakia kazi njema ,wakwanza kutoka USA Illinois
Karibu
Since one month 😮
🙏🙏🙏🙏
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😮😮😢😢
🤝🤝🤝👍👍🙏🙏🙏
Jaman sku zote hizo mnatoa moja msitutanie jaman...tunaipenda
Jamn nilikuwa naumwa sana .. Niko vzur kwa sasa Kaz iendeleee
Mnatupa furaha na kuondoa mawazo
Asante snaa sna
Nyie malizeni hii movie mbaka tumeanza kuisahau,,, mwezi mzima kweli kama hamujaleta next episode heeee
Tusamehe Bure buss hatukuwa sawa
Jmn muwahishw
Sawa asante sna
Jamani mumekawiya kuitowa❤
Kulikuwa na tatzo kidogo
Ila munapotea Sana jamani🎉❤
Tusamehe tu
@africansinema7420 okay Sawa haina shida tuko pamoja 🙏🙏
Jamani kwani mulikua mumetusahau kwamba mwatuburudisha tafadali musiende kabisa nime miss mapesa na mwasiti
Asante sna karibu pia
Mnachelewesha sana
Tusamehe bure
Vizuri lakini mnakaa sana kutuletea episode nyingine.
Ntajitahid
Nyinyi Sasa hamtushikii .Sasa ..nishaboeka na nyinyi
Jamn usifanye hvo..
Nilikua nimesaha hiki kipindi waa nikitambo sana
Karibu
𝑀𝑒𝑛𝑑𝑒 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑒𝑙𝑒𝑤𝑒 😂😂
Hatuchelw
Tuko pamoja kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante sana
Yan mwachelewa mpka mwakera hvyoo
Tusamehe Bure
Tumeshaisahau😮kbs
Mtusamehe Bure
Jaman nilizan movie imeishia njian make nilisubili mpaka nikachoka ebu jaribun kuwai bwana mnatufelisha watazamaji wenu 😢😢
Kabisa kabisa tunawah sana
Merci beaucouq👌
🙏🙏🙏
Du napenda xanahi muve🇹🇿
Hahahaha
Kwa hali hii eti mnasema kuna msanii wa kuchukua nafasi ya kanumba kweli, SIDHANI.
Movie nzuri ila usiriaz mdogo sana ktk hili, UTAPOTEZA WATEJA HATA WALIOTAKA KUKUJUA ZAIDI
Tusamehe Bure tu nilikuwa naumwa sana Ila now Niko poa Kazi juu ya kaz
Mwasiti nawe kichwa ikojuu nyoka
Iko juu juu sna
ii kitu bando iko....alaah!
Ipo
Walahi munatutesa sana mbona ywangoja sana 😢😢😢
Jamn mtusamehe Bure tu
Aaah mbna mwakimbia after tumesahai ndo mwarudi
Jamn
Nilikua nimesahau hii movie jamani
Karibu sana tumelud
Kwan Bado movie Iko,,anyway wacheni kukalisha hvo mpaka wengine tunasahau
Sawa asante sna
Mnachelewa sana
Hatukuwa sawa