MTOTO NYOKA ( EPISODE 28 )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #cram #wrong #kicheche #familia #boss #snake #film #funny #comedy #ghost

Комментарии • 521

  • @saudianew2045
    @saudianew2045 7 месяцев назад +5

    😂😂😂😂😂😂hata selina wangu mmmmmh jamani 😂😂😂ukamchapa viboko vikali kuliko wote bila huruma❤❤❤❤❤

  • @abubakarsaeed3521
    @abubakarsaeed3521 7 месяцев назад +8

    Mapesa anaeka movie inakaa nzuri sana hongera kaka 😂😂😂😂😂😂

  • @Kakajammzke
    @Kakajammzke 7 месяцев назад +6

    Mimi nlisema episode iliipita kuwa huyu mtoto ni hatari. Nmekua fan wake namba moja. More love

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      Hongera sna tuko pamoja ..

    • @MiltonOngang
      @MiltonOngang Месяц назад

      Mimi hapa natami mapesa angepewa hata viboko 100😂😂😂

  • @rajabachu878
    @rajabachu878 7 месяцев назад +4

    Kazi nzuri sana mnajitahidi shida ni kwamba kazi zinachelewa dakika pia ni chache fikilieni hilo

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 7 месяцев назад +5

    am also learning from this young babygirl(sister to Rahma❤❤❤❤)i realy love wat i see,,,,,hongera sanaaaaa tunawapenda kutoka kenya

  • @MaA-kn9ty
    @MaA-kn9ty 7 месяцев назад +41

    Mm wa kwanza kutoka 🇰🇪 naomba like zangu hata 5 tu huyo mapesa yuwahitaji viboko vya kisawasawa ili awache umbea mm yuwanikera sana

  • @Simonnjeru-u4d
    @Simonnjeru-u4d 7 месяцев назад +18

    Na mfuatilia ni kiwa Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kazi nzuri muno

  • @MpoloMpolo-y1u
    @MpoloMpolo-y1u 2 месяца назад +1

    Kiukweli move ipo vizur Kali kinomanoma naikubali saaaaana❤

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 7 месяцев назад +21

    Nyinyi mnao omba like kwan hamjui kucomment Kuhusu movie nyinyi mwashinda tu kuomba likes bure kabisa😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @FatumaPoiu7890
    @FatumaPoiu7890 7 месяцев назад +4

    😂😂😂😂😂mapesa leo kimekuramba na hauta koma kamwe 😂😂😂

  • @AnnaMathias-h3s
    @AnnaMathias-h3s 7 месяцев назад +1

    Me naona watu humu wanaomba sanaa like..embu nijuzeni hizo like huwaga mnazipeleka wap?

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @HawiaJabiri
      @HawiaJabiri 4 месяца назад

      Ata mi nashangaa kwan zina faida gan namm nanze kuomb

  • @ArsenSilayo-r4o
    @ArsenSilayo-r4o 7 месяцев назад +5

    Saivi mnachelewesha jmn ila sio mbaya kazi iko vizur

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 7 месяцев назад +3

    Tena mpamoto kweli pasikize kwa makini sana ❤❤❤❤

  • @EmilyNurahn
    @EmilyNurahn 3 месяца назад +1

    😂😂selina omba siku isitokee mapesa atakukamia wew😂😂😂😂

  • @WemaBabez-z4i
    @WemaBabez-z4i 7 месяцев назад +1

    Yani leo nimefurai sana kwakumpa mapesa adabu ya umbea 😂😂 ila kazi yenu nzuri sana ❤❤🎉🎉

  • @StacyKakuu-qz9rn
    @StacyKakuu-qz9rn 7 месяцев назад +1

    Wow!!, nimeanza jana episode 1 hadi leo nimewapata episode 28 , shukrani sana

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 7 месяцев назад +11

    Like ata 4❤❤❤❤ nipen like

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад +1

      Asante sna

    • @Luchanganya_TZ
      @Luchanganya_TZ 7 месяцев назад

      ​@@africansinema7420location ya hii movie ni wap nimependa sana❤❤❤❤

  • @MpoloMpolo-y1u
    @MpoloMpolo-y1u 2 месяца назад +1

    Kiukweli move ipo vizur Kali kinomanoma naikubali saaaaana

  • @NYAMBISHANI
    @NYAMBISHANI 4 месяца назад

    😂😂😂😂akitok apo kukaa awez lakin mdom sijui kam ataach😂😂😂

  • @Mariahsimiyu-ce4ie
    @Mariahsimiyu-ce4ie 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri,hongera sana

  • @InnocentBoatLake-bq4gk
    @InnocentBoatLake-bq4gk 7 месяцев назад +7

    Namimi nataka nije nimchape vimbo kumi mspesa mana ananikera😅😅😅😅

  • @AnnahMeshack
    @AnnahMeshack 7 месяцев назад +4

    Lugodosha alishamrusha juu siku nyingine akamwagiwa maji bado umbea haujamuisha tu jamn

  • @BarickMchami
    @BarickMchami 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri Ila mnachelewesha... Watazanaji wanamchango mkubwa Sana fikirieni kuhusu hili ikiwezekana kuwe na ratiba rasmi kuwa baada ya siku kadhaa itatoka.. asante

  • @paupink8238
    @paupink8238 7 месяцев назад +5

    Oooh wakwanza mm leo😂

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад +1

      Karibu

    • @paupink8238
      @paupink8238 7 месяцев назад

      @@africansinema7420 asante jamani ♥️

    • @paupink8238
      @paupink8238 7 месяцев назад

      To be honest hii move Kali jamani Yani kila sku nakaa kuisubria Kam nasubr xjh nn msichelewe San bc kutoa tunasubr saaan 🙄

  • @aishajuwinji3818
    @aishajuwinji3818 7 месяцев назад +4

    Kazi nzur san 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DavidsonMusili-o8w
    @DavidsonMusili-o8w 7 месяцев назад +1

    Mohammed from kenya I like your comedy love it naomba likes basi....

  • @NasraNgoda
    @NasraNgoda 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana ira mnacherewesha🎉🎉❤

  • @LeviRin-e8u
    @LeviRin-e8u 4 месяца назад +1

    😂😂😂 mapesa katiwa hamsini leo

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 7 месяцев назад +1

    Jee mapesa umeyakanyaga leo eee yamoto moto hiyo ndio dawa ya umbea 😂😂😂😂😂

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m 7 месяцев назад +1

    Leo nime peda sana hiyo dio dawa yaumbea 😂😂😂❤🎉🇰🇪🇰🇪

  • @PreciousKalikawe
    @PreciousKalikawe 7 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mapesa sizani kama amekoma uyo

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 7 месяцев назад +2

    Selina wako ndio kazidisha uchungu kwa makalio😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DiniceMerry
    @DiniceMerry 7 месяцев назад +1

    Jamani mapesa unakera wewe 😅😅😅 lkn show Iko sawa big up

  • @kidofyarashid1141
    @kidofyarashid1141 6 месяцев назад +1

    Mbona kimy sana au imeisha move zenu

  • @MaryamRashid-cn4te
    @MaryamRashid-cn4te 7 месяцев назад +5

    Angeongezwa viboko vyengine uyo mapesa😅😂😂

  • @LucySifuna-n8z
    @LucySifuna-n8z 3 месяца назад +1

    Nawafutilia nikiwa Nairobi movie mzuri sana

  • @Munnawwaralharih
    @Munnawwaralharih 6 месяцев назад +1

    Swaiba tunaomb sehem 29 maan move ip 🔥🔥🔥🔥

  • @AbitoAtieno
    @AbitoAtieno 7 месяцев назад +2

    Mapesa Leo ataacha umbea😂😂😂😂😂😊

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      Labda Atakuwa kajifunza

    • @AbitoAtieno
      @AbitoAtieno 7 месяцев назад

      @@africansinema7420 sidhani kama ataacha 🤣🤣

  • @MerynaGodfrey
    @MerynaGodfrey 7 месяцев назад +1

    Kazi nzri sana❤ ila mapesa hiyo adhabu aimtoshi muongzee

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      Hahahahaha sawa

    • @MerynaGodfrey
      @MerynaGodfrey 7 месяцев назад

      @@africansinema7420 ongezini mda na jitahidi kuwaisha kiukweli tunaipenda sana hii movem

    • @MerynaGodfrey
      @MerynaGodfrey 6 месяцев назад

      Jamni lin move inalejea

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 7 месяцев назад +2

    Umbea huo mapesa umekuponza hivi walaumu watu 😂😂😂😂na bado

  • @elmalikoye1727
    @elmalikoye1727 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri nawapenda sana nikiwa 🇰🇪🇰🇪

  • @مستورهالعنزي-ي6ه
    @مستورهالعنزي-ي6ه 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂mapesa bado hiyo c adhabu haitoshi yafaa uongezwe viboko😂😂😂

  • @AbitoAtieno
    @AbitoAtieno 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri ❤❤mapesa 😂😂😂😂😂

  • @MkupeteMkupete
    @MkupeteMkupete 2 месяца назад +1

    Move nzur sanaaa ila mapesa duuh

  • @OctavianShipelele
    @OctavianShipelele 4 месяца назад

    Umbeya co mzuri jamaa anaferi sana mapesa

  • @LilianAnyango-lf2bn
    @LilianAnyango-lf2bn 7 месяцев назад +1

    Mapesa leo kapatimana😂😂😂😂

  • @Web0Labo
    @Web0Labo 6 месяцев назад +2

    Mm wa kwanza

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 7 месяцев назад

    Moto mdogo mwenye busara anyways congrats 👏 nex plz 🎉🎉❤

  • @Halimah-ho5us
    @Halimah-ho5us 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri kaka nakufutilia nikiwa 🇰🇪

  • @JustineMusungu
    @JustineMusungu 7 месяцев назад

    Kazi poa mirriam nimependa jinsi alivyo jieleza❤

  • @danwariyo6281
    @danwariyo6281 Месяц назад +1

    kutoka Nairobi kenya 🇰🇪 kazi nzuri

  • @EuniceKhavere-h9w
    @EuniceKhavere-h9w 6 месяцев назад +1

    Mapesa atakoma opea💕😃

  • @rehemalugodisha49
    @rehemalugodisha49 7 месяцев назад +1

    😂😂😂mapesa kapewa chai yake

  • @NemaItangishaka
    @NemaItangishaka 5 месяцев назад +1

    Mapesa Amekua mapesa 😂😂😂😂😂

  • @BiashazambaraZushybby
    @BiashazambaraZushybby 7 месяцев назад

    😂😂😂😂msmapesa angeuwa tu mana anakera😂😂😂😢😢😢😢😢

  • @fguy2687
    @fguy2687 7 месяцев назад +1

    Safi sana broo🎉🎉❤❤

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 7 месяцев назад +3

    Lugodisha bana mnachelewesha sanaaa jitahidi kutoa Kwa nyakati ila jifikilie maneno miliam sanaaa alafu uyaweke pamoja na ya Abdullah ili ukapate jibu Sahi nawapenda bure mapesa anasitahili adabu nyingi

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад +1

      Sawa kiongozi ntajitahid kufanya hvo.. 🙏🙏🙏🙏.. asante sana

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 7 месяцев назад

      @@africansinema7420 santii sanaa Kwa kua mtiifu

  • @hassanlyanga9415
    @hassanlyanga9415 7 месяцев назад +1

    Leo angalau hikijawa kiporo sanaa maana kilasiku huwa nachelewaa😂

  • @EdwardPeter-l8e
    @EdwardPeter-l8e 6 месяцев назад

    Aaaaaaaaa rahma mbona nakuogopa Sasa hongera Sana mtoto 🎉🎉

  • @haroldeliud5964
    @haroldeliud5964 7 месяцев назад +2

    Ila mapesa ni mmbeya sana kuliko kipara😂 wa snakeboy

  • @dollar105
    @dollar105 6 месяцев назад

    Huyo mtoto miriam anajua fumbo juu ya fumbo🎉🎉😂nmeipenda.

  • @InnocentBoatLake-bq4gk
    @InnocentBoatLake-bq4gk 7 месяцев назад +3

    Nimewahi jaman 🎉🎉🎉

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray 7 месяцев назад +3

    Kula chuma icho kutoka kwa mdog wake rahma😅

  • @mariasimonmuhando-m8x
    @mariasimonmuhando-m8x 6 месяцев назад +1

    Hongeleni kwa kanzi nzuri lakini mbona hamtuletei mwendelezo😢

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  6 месяцев назад

      Mwendelezo kesho jion utakuwa hewan sikuwa vizur kiafya

    • @mariasimonmuhando-m8x
      @mariasimonmuhando-m8x 6 месяцев назад

      @@africansinema7420 sawa pole sana mungu azidi kuwalinda

  • @FatmaMangale
    @FatmaMangale 7 месяцев назад +1

    Jaman natamani ningekua mm nimuchape vbko zaidi ya maisha yke maana n mjinga sana? 😂😅😅😅😅

  • @maurine3503
    @maurine3503 7 месяцев назад +1

    Good job my people keep it up❤❤❤

  • @user-ic7felix
    @user-ic7felix 7 месяцев назад +1

    Mapesa akokwe 😂😂😂❤

  • @Ali-vg8ob
    @Ali-vg8ob 7 месяцев назад +3

    Watching from capital city of Kenya

  • @KenWamalwa-ik5vz
    @KenWamalwa-ik5vz 7 месяцев назад +2

    Niko locked 🔒 nikiwa kenya

  • @Mwanahawa-jn2zf
    @Mwanahawa-jn2zf 7 месяцев назад

    Hahaha haha dawa ya umbea iyooo nimeopenda

  • @nzoisabazephania854
    @nzoisabazephania854 2 месяца назад +1

    Selinaaaa wewe 😂😂😂😂😂

  • @AgathaKomba-qk7pz
    @AgathaKomba-qk7pz 7 месяцев назад +1

    Kaz nzuri kaka

  • @aishajuma439
    @aishajuma439 7 месяцев назад +1

    😳😳huy anaekula kucha kha

  • @AnaziethaMathayo
    @AnaziethaMathayo 7 месяцев назад +1

    Leo nimewahi jmn nimekua wa 5 nipeni like zangu🎉🎉

  • @linetokari
    @linetokari 7 месяцев назад +1

    Ad Mrembowako kakupa adabu mapesa ww umezidi

  • @MwanadiaMkufi
    @MwanadiaMkufi 3 месяца назад +1

    Nn pia nataka kujua like zi nn labda ela ss tunatoa tu

  • @EstherChirangu
    @EstherChirangu 7 месяцев назад +1

    Naona mambo so mabaya

  • @DorinCherop
    @DorinCherop 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri jamani ila mwachelewesha episode

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      Tusamehe bure

    • @DorinCherop
      @DorinCherop 7 месяцев назад

      @@africansinema7420 sawaa naelewa maana c rahisi kwa kweli najua kuna baadhi ya changamoto mnazipitia

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 7 месяцев назад +6

    Jaman waoo jaman naomba kujiunga na wasaniin wako from msata masai girl❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LorineAbuko
    @LorineAbuko 7 месяцев назад +1

    Viboko vya nguvu baba umbea😂😂😂

  • @MerynaGodfrey
    @MerynaGodfrey 6 месяцев назад +1

    Jamani epsd29ndoamna au jitahidi kuwaisha mpka tunasaau saaa

  • @JamilaNduta
    @JamilaNduta 7 месяцев назад +1

    Leo mapesa ata koma 😂😂😂😂

  • @jonjohntydesword3521
    @jonjohntydesword3521 6 месяцев назад +1

    29 iwasili, tumepoteza utulivu, kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AlmaClaire-u9w
    @AlmaClaire-u9w 7 месяцев назад +1

    Labda tuu mumuchome moto vinginevyo bado tuu atapanua domo😅

  • @valinemkanamkuverammbone-ci9ou
    @valinemkanamkuverammbone-ci9ou 7 месяцев назад +1

    Ile siku ya kumwagiwa maji aikutosha ila mapesa awezi wacha umbea😂😂😂

  • @elizabethkatamba
    @elizabethkatamba 7 месяцев назад +1

    Da nilimc sana kilasiku naweka bad

  • @Petersonbarakeongera
    @Petersonbarakeongera 4 месяца назад +1

    Kweli mapesa anafaaa kunyongwa ata 8:40

  • @RamadhaniMatonya-h1i
    @RamadhaniMatonya-h1i 6 месяцев назад

    Kweli mapesa kazidi umbea jaman😂😂😂adhab ya viboko alali yake

  • @FoundationSanaaGroup
    @FoundationSanaaGroup 7 месяцев назад +1

    Hhh kazi nzuli

  • @IleneWami
    @IleneWami 6 месяцев назад

    Vip Leo umbea unafika hafiki Mishipa yote has inakuumaae😮😮😮

  • @mwanashabilo3757
    @mwanashabilo3757 7 месяцев назад

    Mapesa angeongezewa viboko vyengine 50 😂😂😂😂

  • @boniboy-x2h
    @boniboy-x2h 7 месяцев назад +1

    Mapesa anchomwe🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HawaaUmibrahim-um7zi
    @HawaaUmibrahim-um7zi 6 месяцев назад +1

    Mbona mchezo hauendelei tumesubiri zamani

  • @FatmaMangale
    @FatmaMangale 7 месяцев назад +1

    Yaaa upo sahihi dada mapesa haez kuacha

  • @Mariam55-hz8if
    @Mariam55-hz8if 7 месяцев назад +1

    Mapesa leo kayatimba viboko vidogo hivyo 😂😂 sana hawezi acha umbea

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 7 месяцев назад +2

    😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @hotspotcommunicationcenter3682
    @hotspotcommunicationcenter3682 7 месяцев назад +2

    jamn ishirini na tisa ipo wap mbn kuna watu xijawaona mmewaficha wapi kwani

    • @africansinema7420
      @africansinema7420  7 месяцев назад

      Utawaona tu kiongoz

    • @Munnawwaralharih
      @Munnawwaralharih 6 месяцев назад

      ​@@africansinema7420 tunaomb sehem 29 na kuendelea au hakun ndio mwisho😊

    • @Munnawwaralharih
      @Munnawwaralharih 6 месяцев назад

      Umeon 29 ipo wap jamn maan mov 🔥🔥🔥🔥

  • @CatherineMutuku-s6w
    @CatherineMutuku-s6w 2 месяца назад +1

    Uyo mapesa kwany analipwa nn ama ni adhabu tu.

  • @TeraMan-n2c
    @TeraMan-n2c 7 месяцев назад +2

    Kaz nzur sana

  • @valinemkanamkuverammbone-ci9ou
    @valinemkanamkuverammbone-ci9ou 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤from 🇰🇪