Ushangiliaje wa Mbeya City sijapenda kiukwel, Mungu ni mwema kwa kumaliza mchezo wa mpira salama, Na Mungu awatangulie mfike salama Dar watani zangu, poleni kwa ku-droo
hiyo ndo koma Ku mwanya style wenye mbeya city yetu tunaipenda sana hiyo style n raha xana,,,, simba waendelee kuja na marefa wao huku mby LA sivyo tutawaua,,, game na tz prison walipewa goal la uongo mpira ulkuwa umetoka na Leo la of side,
Mimi Kama mshabiki WA Simba na sema Kwa Hii timu yetu ni Heli tuwa Nunulie Vyombo Waka Kopeshe Mitaani kama Muha labda ela Ita Rudi lakini sio Kwa Mpira tu waachi majirani Zetu .. Kuanzia Leo majirani Hatuto waita Tena Utupolo utu polo ni Sisi na Makolo ni Sisi MIKIA ni Sisi Vyura ni Sisi Bila kusahau NGADA ni Sisi 😂😂😂 Ina uma Sana😭😂😭😂😭😂
Huo ubingwa tuwaachie yanga tu tunang'ang'ania kuwa ligi ngumu mbona wenzetu hawapotez sisi tunakwama wapi sjui viongoz tunaomba mjitathmini sisi simba tumechoka na haya matokeo
Thimba ya nyumbani (kwamkapa)thiyo ya ugenini (mikoani),, mtani hiko ndo kiwango chako tunachokijua chonde chonde usisahau kurudi na mchele,..alafu nimesahau swali dogo mwenye jibu anipe kwani Chama hakuwepo uwanjani kuwapa burudani Wana mthimbazi???maana nasikia chama ni mmoja tuu ila lomalisa na Azizi K wamchongo hamna kitu
Simba mnapewa upendeleo na tff muitangulie Yanga ona leo hii mpo mbele michezo miwili mbele Yanga lakini Yanga ndo mfalme anaongoza ligi. Ngoja avitafune hivyo vipolo viwili ndo by by. Ubingwa jangwani.
Ivi beki kama kenedy kuna uwa wanamweka benji kwann au viongozi akili zenu zimelala kama mabundi maana haiwezekani mashabiki tunamuona ni mzuri halafu viongozi hamuon nyie mchezesheni Kenedy acheni ufara viongozi wa simba wote akili matope tu
Hawa vijana wa mbeya city 1. Gasper Mwaipasi 2. Hasaan Nassor Wanapaswa kutizamwa kwa jicho lingine Ni mafundi sanaaaaa Hasaan Nassor Dimba umeliweza sana Na Mwaipasi uMeitendea haki Winger! Tumeziona kazi zenu Hongereni
Mungu akipenda tutashukua ubingwa tofaut ya point 12💛💚💛💚
Offside goal ...bao la Simba....wanaojua mpira wanaelewa
Kabisa ni Offside
Wana thimbaaa naona Leo chama hakuwepo uwanjani 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Chama kama mrenda tyuuu
Nauliza ni beki gani alipotiwa dole akainama chini
Kawa CHAUMA
We jinga kweli
Ushangiliaje wa Mbeya City sijapenda kiukwel, Mungu ni mwema kwa kumaliza mchezo wa mpira salama, Na Mungu awatangulie mfike salama Dar watani zangu, poleni kwa ku-droo
Kwanini hujapenda Dada?
U shangiliaji wa baloteli uo
TFF wawape onyo hawa vjana wa Mbeya City, kwani nyie mmependa action hyo ya ushangiliaji au!?
Ushangilaji Nzuri Sana...
Baba mwali apangiwi staili ya Kucheza😂😂😂
👏😭 Simba bira chana😁🤪
Nimependaa mashabiki wa mbeya city Wana vibe hatar😜😜😜
Wanathimbaaa kunyweni hata jasho la mayele ili mumwagilie moyo kidogo,naona mbeya city wamewakausha kwakweli🤣🤣
Kwa dalili hizi Yanga bingwa Tena ubingwa mnono
Yangaa Oyeeeeeeh💛💛💛 Wana Thimbaaa
Sisi Kama Ngada Efusii Tunakubali Kuwa Hawa Yanga Wameshindikana Wapewe Kombe Lao Sisi Tuendelee Kuvuta Ngada Ahsanteni
Chama hajacheza hahahaha 😂🤣😂🤣🤣🤣😂😂 waoooooo
Kuhama simba labda simba ifte
Imekua Offside Goli la sc Simba
Sema naona kuna udhaif mkubwa sana wa washika vibendera, offside nyingi siyo. TFA waliangalie hili
Simba 0 mbeya 1
Asa kwanini Simba hawajamchezesha boco tungeshinda nyingii
Mlijua zitatolewa kadi nyekundu ili uwe mbululoo yaaaniii yanga rahaaa Keisha habari yenuuu
Simba ya chama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Makocha wanyonge zama hizi wanatumia mfumo wa 4-4-2....mfumo umepitwa na wakati...!
hiyo ndo koma Ku mwanya style wenye mbeya city yetu tunaipenda sana hiyo style n raha xana,,,, simba waendelee kuja na marefa wao huku mby LA sivyo tutawaua,,, game na tz prison walipewa goal la uongo mpira ulkuwa umetoka na Leo la of side,
Kwa ubishi na hasiraa
NO Gol Offsaeid Unabebwa Simba 0-Mbeya C.1
sahihi kabisa. hawa jamaa wanabebwa kila mechi
Ety sakho sakho 😂😂
Chama ......Chaumaa......Tyuuuuu.....Mimi Ni Yanga....
Mpira mchezo wa wazi, kiwango cha timu ya kawaida kimeonekana
Pigs hiya koroooooo
Marefa wengie duh
Kumamae kochabwa wweeeee
Ushangiliaji gani huu
Bora angekuwepo Chama nd maneno ya Kuambiwa ya mashabiki wa simba.... hahah
ok
TUMEFURAHI😂😂😂
Sisi ssc na mcc ni watani
Unga umetuzidia
Nilijua tu🤣🤣🤣🤣 hili la unga linapitaje amjawatania
IKUMBUKWE SIMBA ANA MECHI 4 MFULULIZO KUCHEZA MIKOANI KILA LA KHERI MTANI MKOANI.
Mwanajeshi hachagui pa kupambania kama ukiwa na kikosi kizuri mechi za mkoani siyo shida
Ndio maana limerudi mbona goli offside kabisa Bocco kamziba Golikipa Yaani nibeleko ya wazi kabisa
Simba msimulaum mtu mlishaambiwa wachezaj weng hapo ni mizgo muwaache hamtak aya ona ss hy aibu
Ushangiliaji wao unaitwa komakumwanya
Ushangiliaji wa mbeya city wanamaanisha wamewapiga Simba kidude alafu kikawaingia
Kumbe hadi chama alikuwepo😂😂😂😂😂
Hawana rorote Hao makoro, bby, sisi wananchi balidi inaenderea kirereni💚💛😘😘
@@enockabumba7513 🔥🔥🔥🔥
@@hamidayanga8224 🌹🌹
Mimi Kama mshabiki WA Simba na sema Kwa Hii timu yetu ni Heli tuwa Nunulie Vyombo Waka Kopeshe Mitaani kama Muha labda ela Ita Rudi lakini sio Kwa Mpira tu waachi majirani Zetu ..
Kuanzia Leo majirani Hatuto waita Tena Utupolo utu polo ni Sisi na Makolo ni Sisi MIKIA ni Sisi Vyura ni Sisi Bila kusahau NGADA ni Sisi 😂😂😂 Ina uma Sana😭😂😭😂😭😂
Hayo majina jiite ww
@@luckybrown2324 Tulia wew Dawa itu ingine😂😂
Wewe ni shabiki wa Yanga
@@ramseyrmsy3366 tulie ndoige iwaingie 😂😂
@@ramseyrmsy3366 Mimi ni Makolo 😭😭😂😂
Wanatafuta Penati, wanafikiri Ntibwa shuga
Nauliza hivi phir na okra wapo?
😂😂😂😂 mm mwenyewe ndo najiuliza apaa 🤣🤣
Kama ni mchezaji kibu tumepata wanathimbaaaa
😂😂😂😂
Goal la simba mfungaji ni Bocco sio Mzamiru,pia ule mpira bocco alitoa pasi akiwa on side haiwezi kuwa offside tena kwake yeye mfungaji
Hakuskiliza uchambuzi
Oya we talk shangilia gani hiyo bhana
Hawa Mbeya City wakikutana na Simba huwa wanajiandaa sana kucheza rafu mbaya sana na kucheza na refa asiwahukumu tu basi,huo ndio ushindi wao
Hamna loloteee,kiwango chenu kidogo sana
@@gemandorobo1536 Sio kesi kiwango sio mchongo nyie bora ngoja tuone mwisho wenu.
@@malkavoice2570 kwa akili zako unazani nani Bingwa
Huo ubingwa tuwaachie yanga tu tunang'ang'ania kuwa ligi ngumu mbona wenzetu hawapotez sisi tunakwama wapi sjui viongoz tunaomba mjitathmini sisi simba tumechoka na haya matokeo
Nabado
MNA taka matoke Mazuri kweni Nyinyi YANGA😂😂😂
@@pmall8867 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Simba mmewajir. Vyura wachezaji wenu ni vyura ao
Thimba ya nyumbani (kwamkapa)thiyo ya ugenini (mikoani),, mtani hiko ndo kiwango chako tunachokijua chonde chonde usisahau kurudi na mchele,..alafu nimesahau swali dogo mwenye jibu anipe kwani Chama hakuwepo uwanjani kuwapa burudani Wana mthimbazi???maana nasikia chama ni mmoja tuu ila lomalisa na Azizi K wamchongo hamna kitu
😂😂😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mbea wamenishinda tabia nasikia leo kazaliwa mtoto wamemuita mwanasimba mwakidroo mwakasare. 😂
Mwakasare 😂😂
@@pmall8867 😂😂😂😂 kumbe ulisikia na ww nilisahau huyo babu wa mtt
@@suleimanrashid3918 😂😂Kesho tuta Faidi sana Habar za michezo
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Hakuna kipindi Simba inacheza mpira wa Hali ya chin kama sasa. Kocha, wachezaji wazee na wachovu ni tatizo
JOHN BOKO ALIKUWA OFFSIDE NA ALI INTERFERE NA GOALKEEPER NDO MAANA WENZETU WAZUNGU WANATUZIDI ILE INGEKUWA LIGI YA UINGEREZA INGETOLEWA
0
Simba mnapewa upendeleo na tff muitangulie Yanga ona leo hii mpo mbele michezo miwili mbele Yanga lakini Yanga ndo mfalme anaongoza ligi. Ngoja avitafune hivyo vipolo viwili ndo by by. Ubingwa jangwani.
We nawe hujielewi sasa kucheza michezo zaid ndo upendeleo kweli
Umeongea Ukwel kabisaà..Kuna ambaye anajizima data kwamba hajakuelewaa 😂😂😂
Mungu mkubwa, alivyo Zina kipa wa Mbeya , na Manura kazibwa 1:1
😆😆😆 tumefurahi
Tunaomba muwe mnaonyedha wansvyo ingia
Haha maamuz ya referee wetu ni ya kusikitisha sna
Ivi beki kama kenedy kuna uwa wanamweka benji kwann au viongozi akili zenu zimelala kama mabundi maana haiwezekani mashabiki tunamuona ni mzuri halafu viongozi hamuon nyie mchezesheni Kenedy acheni ufara viongozi wa simba wote akili matope tu
xo mbaya watakuja tu taifa
Labda kwa magoli ya offside
Kwahy nyi taifa tu
ivi mgunda Ana kazi gani Simba au anataka atuue na plesha aache upuuzi mechi ya Jana cyo yakutoa saale davido boy
Wakwanza
Muongo wa kwanza ni azam tv wenyewe
Makolo. Mmajiona. Nyie. Ndio. WataLamu. Lakini. Your. Are. Nothing. But. Skin. And. Born
Hawa vijana wa mbeya city
1. Gasper Mwaipasi
2. Hasaan Nassor
Wanapaswa kutizamwa kwa jicho lingine
Ni mafundi sanaaaaa
Hasaan Nassor Dimba umeliweza sana
Na Mwaipasi uMeitendea haki Winger!
Tumeziona kazi zenu
Hongereni
Huyo gaspa sio poa yani anasumbua... hata game na geita alisumbua sana
@@lyovajr.768 fundi sanaaa namfatilia game nyingi! Halafu ni ball dancer
Chama hayupo.oo?
Kumbe chama pia alikuepo 😂😂😂😂😂