I am very proud of Yusuph. Proud to have been one of the sponsors. Look what God can do. Life changed forever he will go far. God bless all the students and guide them always. God bless the teachers.
Hakuna tendo zuri ata dogo namna gani ambalo halina malipo. Waliomfikisha hapa Yusuph mmemkopesha Mungu. Tuliomwona mtoto huyu kwenye media tangu akiwa kijijini tunasema WASAMARIA WEMA mbarikiwe sana.
MUNGU Awabariki,Awalinde na Awatunze Watoto wazuri na Awape Ufahamu Mkubwa siku zoote Viongozi wetu wa miaka ijayo ❤❤❤,HONGERA SANAAAA Waalimu woote kwa kutufundishia Wajukuu zetu.
Woww! Hongera sana Yusufu hatimaye umemaliza la saba. Miaka inakimbia. Nakuombea mema. Mungu akulinde. Hongera walimu. Mungu awabariki wafadhili wa Yusufu. Endeleeni kumshika mkono🙏
Mungu wetu ni mwaminifu,hongera sana Yusuf,mbarikiwe wale wote mliofanikisha kijana huyu kufikia hapa,hakika mmemkopesha Mungu...@zabron singers kazi kwenu🎉❤
Wow Mungu pekee yake azidi kuwalinda na kuwatunza wote mlioweza kufanikisha jambo hili asiwapungukie akumbuke sadaka yenu kama alovyokumbuka ya Kolonerio nimefurahi sana kumwona mtoto Yusufu akiwa mkubwa asanteni ❤❤
In short watoto wamependeza sana hasa watoto wa kiume daah hadi raha jamani watoto wanaongea kiingereza noma 🎉🎉🎉🎉 hongereni sana kwa kuhitimu mungu awazidishie maarifa😊😊
😢😢dah mungu ni mwema jaman mungu awabarik wote walomshika mkon huyu mtoto hatimae anagradurate dah nisameh mungu wangu kam niliwah laum nilipopita kweny magum😢😢
Nimemfuatilia yusuph tangu waandishi wa habari walivyomwibua hakika nafurahi sana kuona kumbe watu wema bado wapo duniani mbarikiwe kwa sadaka yenu wazazi wenzangu mmenifundisha hata Mimi kutenda mema. Yusuph. Mungu akulinde pamoja na hao walezi wako.
Kila nikimuona Huyu Mtoto ,Sijui kwanini Machozi lazima yanitoke! Kwani kila nikikumbuka ,Alipotoka, na Alipo Sasa!!! Kweli MUNGU umuinua mnyonge, nakumketisha Pamoja na Wakuu!! MUNGU azidi kumpigania!! Na Yule alomtoa huyo kijana Yusuph, huko Alipo Kua Jamani! Abarikiwe sana!!!!
Sikuwahi kujua kama huyu mtoto alifadhiliwa na jamii yetu,ila niliwahi kumuona mtandaoni akiimba zamani sana na huo wimbo sikuwahi kuacha kuimba ,leo nimefurahu kumuona tena
Hongera mwandishi wa bongo trend kaz yako tangu unamfata dodoma imetimia mungu asimame na wew
@@SimbaJumanne Amina🙏
Hongereni woote mlomsaidia Yusuph mmemkopesha Mungu atawalipa
Wow! Sasa ni kaka Yusuph sio baby tena.
Hakika Mungu Ni Mwaminifu. Mibaraka iambatane na wote walioibua na kulea kipaji hiki.
I am very proud of Yusuph. Proud to have been one of the sponsors. Look what God can do. Life changed forever he will go far. God bless all the students and guide them always. God bless the teachers.
I'm proud of you dear. Ubarikiwe hakika🙏👏
Anaanza kufanana Ambweni mwasongwe❤
Mungu uwakumbuke kwa sadaka zenu kwa ajili ya mtoto Yusuf mmekopesha Mungu
Ameeen! Ameeen! Hallelujah! God bless you
Emen
Hakuna tendo zuri ata dogo namna gani ambalo halina malipo. Waliomfikisha hapa Yusuph mmemkopesha Mungu. Tuliomwona mtoto huyu kwenye media tangu akiwa kijijini tunasema WASAMARIA WEMA mbarikiwe sana.
Amina mungu asiwapungukie hakika
Yusuph, you look good .God bless those helping him
Hakika MUNGU awabariki sana mlojitoa kumsaidia mtto Yusuph Hadi kufikia hapo ❤🎉🎉
Jaman shule IPO.wapi.hii
Mpaka nimelia kwa furaha mwenyezi MUNGU awalinde wote Yusuf ukawe kichwa Amen
Wale walolimfanya mtoto Yusuf afike hapa, jamani mungu azidishe mlikotoa
Indeed indeed
Wasiwai pungukiwa mpaka vizazi vyao vya 10000 kila watakalo fanya litafanikiwa
Surely
Amina, na ikawe hivyo kwa kweli maana wamefanya jambo
@@williumteete2626 kabisa 🙏🙏🙏
Mungu awabariki waliomsaidia Yusufu kufika hapa
Barikiwa sana wote waliofanya jambo kwa ajili ya mtoto huyu. Mungu amtunze na awalipe wote waliohusika naye
Baba MUNGU Asante Kwa wema wako, umemwinua Yusuf kutoka jaani na kumketisha na wakuu, Jina lako litukuzwe!
Amina 🙏
Mungu awabariki wote waliomsaidia huyu mtoto hadi kuhitimu class seven. Mbarikiwe sana
MUNGU Awabariki,Awalinde na Awatunze Watoto wazuri na Awape Ufahamu Mkubwa siku zoote Viongozi wetu wa miaka ijayo ❤❤❤,HONGERA SANAAAA Waalimu woote kwa kutufundishia Wajukuu zetu.
Woww! Hongera sana Yusufu hatimaye umemaliza la saba. Miaka inakimbia. Nakuombea mema. Mungu akulinde. Hongera walimu. Mungu awabariki wafadhili wa Yusufu. Endeleeni kumshika mkono🙏
Mungu wetu ni mwaminifu,hongera sana Yusuf,mbarikiwe wale wote mliofanikisha kijana huyu kufikia hapa,hakika mmemkopesha Mungu...@zabron singers kazi kwenu🎉❤
Mungu awabariki wooote waliomsaidia huyu mtoto mungu awazidishie
Yusufu, asante, you never gave up, Mungu ni mwema, stay blessed
Hivi ndiyo vitu vya kuwafundisha watoto wamjue Mungu kwanza na kutenda mema
Mungu awabariki sana watoto wazuri, taifa la kesho 💪🏾💪🏾❤️💯
Nimechangaa sana!!mtoto Yusuf amekuwa mkubwa,na naendeleya na kuyimba! Mungu ni wema,amubalikiye yote kwa mayisha yake 🙏🙏
Utukufu kwa Mungu!!!! Mbarikiwe sana mliomsadiia huyu mtoto,hakika hamtakosa thawabu yenu..
Wow Mungu pekee yake azidi kuwalinda na kuwatunza wote mlioweza kufanikisha jambo hili asiwapungukie akumbuke sadaka yenu kama alovyokumbuka ya Kolonerio nimefurahi sana kumwona mtoto Yusufu akiwa mkubwa asanteni ❤❤
May the stars of these children shine forever in Jesus name amen
In short watoto wamependeza sana hasa watoto wa kiume daah hadi raha jamani watoto wanaongea kiingereza noma 🎉🎉🎉🎉 hongereni sana kwa kuhitimu mungu awazidishie maarifa😊😊
Mungu awabariki sana walezi wote waliomlea yusuf.
Mungu awabariki sanaa sanaa
Wow!!!! Hongera!!!!
Mungu azidiiii kumlinda anaimba vizur sanaaa yaniii daaaaah basiiii tu ila mungu azid kumtumia kwa viwango vya hali ya juu
Ninampenda huyu mtoto alafu nampenda sana Mungu ambariki amebebwa na amebebeka
Wooow safi sana munguawazidishie pale mlipotoa kwa ajili ya mtoto huyu
Mungu atujalie macho ya rohoni tuwaone wahitaji tuwashike mkono.Kila la kheri Yusufu.Naamini Mungu ana makusudi na maisha yako.
MUNGU awabariki wote mliohusika kumkopesha MUNGU kwa Ajili ya mtoto YUSUF maana amebeba kusudi la Mungu God bless you,Hii ndio sadaka
Sure I love this school Heritage,I wish to get a chance for my Kid,God give me the way🙏🙏
Nimelia sana jmn😢Ahsante mungu kwa uaminifu wako
Mungu awabariki,sifa heshima na utukufu ni kwake Mungu
😢😢dah mungu ni mwema jaman mungu awabarik wote walomshika mkon huyu mtoto hatimae anagradurate dah nisameh mungu wangu kam niliwah laum nilipopita kweny magum😢😢
Mungu awabariki wote waliomasomesha Yusuph
Jaman kweli mungu azidi kuwa bariki wale wote walio weza kubadilisha maisha ya yusuphu mtoto ame kua amepemdeza sana pia kipaji kina zidi kukua
Nachoamin n kuwa kila gumu linakuwa na wepes mbeleni na Mungu analipa njia heshima na utukufu juu yako muumba ❤❤❤
Woooooow 😢😢Mashaallah
Nimemfuatilia yusuph tangu waandishi wa habari walivyomwibua hakika nafurahi sana kuona kumbe watu wema bado wapo duniani mbarikiwe kwa sadaka yenu wazazi wenzangu mmenifundisha hata Mimi kutenda mema. Yusuph. Mungu akulinde pamoja na hao walezi wako.
Aibu ya bibi na mjomba,waliomtesa,kumbe mungu alimuandalia maisha mengine,mungu ni mwema🙏🙏🙏🙏
Usiwalaumu bibi na mjomba. MUNGU ndie anayetoa hukumu. Pengine asingefika hapo. Bibi na mjomba walikua maskini sana. (Poverty )
Mungu awabariki sana mliofanikisha kusudi la Mungu kwa mtoto Yusuf
Kamaliza darasa la 7 huyu mtt jmn " hakika Mungu n mwema sana azid kumuinua kwa viwangi vikubwa🙏
Mungu mkubwa sana
Utukufu kwako BWANA ❤❤❤❤❤
Wengine wanalia,i understand hiyo vibe enzi hizo shule daah.hongereni nyote.
Hakika mliye sababusha uyu mtoto anafika hapa alipo mbarikiwe na Mungu akubuke uzao wenu kabisa🙏🙏🙏
Nmependa sana,....
MUNGU na azidi kumsimamia, nawote walio msapoti kijana huyu MUNGU na awabariki🫡
Hatimaye Yusuf kakuwa namna hii Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wawooo huyu mtoto daaa namkumbuka sana
Jamani ni nimmiss sana since day one mpka leo sijawahi msahau ❤❤❤
Mungu ni Mwema
Mungu Anafanya njia Pasipo na njia ❤❤❤❤
Wow, congratulations though it was not easy but you made it.👏👏
Mungu abariki wenye walisaidie Yusuf
MUNGU asiwasahau wote waliohusika kumsaidia huyu mtoto Yusuph. MUNGU awabariki na kuwazidisha
Hakika Mungu ame kutendea mtoto mzur. Mungu amekukunguta mavumbi hakika
Daaaa inapendeza ❤
Amekuwa handsome sana
Aiseee ana sauti ya malaika ❤❤❤
Ooooh My God 😭😭😭😭😭😭
Am speechless 🙊.......
I like your consistency in following up a story. Barikiweni sana.
Kila nikimuona Huyu Mtoto ,Sijui kwanini Machozi lazima yanitoke! Kwani kila nikikumbuka ,Alipotoka, na Alipo Sasa!!! Kweli MUNGU umuinua mnyonge, nakumketisha Pamoja na Wakuu!! MUNGU azidi kumpigania!! Na Yule alomtoa huyo kijana Yusuph, huko Alipo Kua Jamani! Abarikiwe sana!!!!
Wale waliomfikisha hapo Mungu awatunze bila kumsahau mjomba wake aliegundua kipaji chake God is good
Hongera Yusuph. Nakuona mbaliii
Hamna zito la kumshinda Mungu
Amekuwa kijana mungu akusimamie
MUNGU awabariki sana
Glory be to jesus'❤❤❤
😢😢 machozi ya shukrani! Jina la Bwana lihimidiwe hata milele
Mungu kweli ni mwaminifu
Baba usiwaache kbs❤
Hongera sana kwa wafadhili. Mungu atawazidishia.
Wow❤
Sina mengi ya kusema lakini Mungu ni mwema sana
Ooh nimekumbuka mbali kipindi namaliza masomo ya primary' school..😢😢mungu awe mwema MAISHA ni safari ndefu🙏
Mungu aendelee kukutunza.
This is abig testimony this young boy came from far blessings to those who uplifted him😅
Be blessed.
Wow! Yusuph
Thawabu yenu ipo Yesu apewe sifa
❤❤❤Amen
Yusuph kwao Dodoma sehem gani
Sijui nalia nini😢😢
MUNGU awabariki🎉🎉🎉🎉🎉
Mliyemtoa kijijini MUNGU awaongoze
Nice❤
Amina
Mungu wa mbinguni akubariki wewe uliyemuwezesha
Nawapongeza sana,jambo lapili nipeni namba za fundi alieshona nguo
Sikuwahi kujua kama huyu mtoto alifadhiliwa na jamii yetu,ila niliwahi kumuona mtandaoni akiimba zamani sana na huo wimbo sikuwahi kuacha kuimba ,leo nimefurahu kumuona tena
❤❤🎉🎉
to God be the glory🙏🙏🙏❤
Wamependezaaa
Waooo baby sauti nice
Kweli aliyenfahamu huyu mtoto atakuwa na sababuv ya kumshukuru Mungu kwa walio msaidia.
Aminaa 🎉🎉😂
Mungu awaongoze na kuwalinda🙏🙏🙏
Amen mugu atawaacha wamtafutao