Daaah inauma sana 😭😭😭😭 Ila usimuue hata mmoja muachie mungu na kwa mke wako umdai talaka muache aende zake muombe mungu atakupa mwingine atakayekuheshimu mana heshima ni kitu muhimu kwemye mahusiano Ukisema uuwe utadhan umemaliza tatizo kumbe bado ni umejiongezea matatizo kwa kuwa sheria haitambui umeuwa kwa sababu ipi endapo ikithibitisha kwamba umeuwa Cha msingi ni kuwaacha waende zao mungu ndiye atakayewalipa
Kill no one,,go and start a new life,,killing cant give you an internal happiness,,, All in all ISARITHO,,you know how to capture the feelings of audience #BIGUP
Waa hii kali sana.chakufanya wafukuze waote apo kwa nyumba 😢😢
Kaka Hakika Wewe Ni Msanii Bora ✊✊
Sana alfu anajua sanaaaaa
Anajiitaje jina lake lenyew naomb kujua
7:47
Kk asante kw kazi nzuri❤
💥💥🔥🔥🔥🔥 Mungu azid kukubariki kaka kazi zako 🔥🔥🔥
Shukran sana kaka
Daaah inauma sana 😭😭😭😭
Ila usimuue hata mmoja muachie mungu na kwa mke wako umdai talaka muache aende zake muombe mungu atakupa mwingine atakayekuheshimu mana heshima ni kitu muhimu kwemye mahusiano
Ukisema uuwe utadhan umemaliza tatizo kumbe bado ni umejiongezea matatizo kwa kuwa sheria haitambui umeuwa kwa sababu ipi endapo ikithibitisha kwamba umeuwa
Cha msingi ni kuwaacha waende zao mungu ndiye atakayewalipa
😁😁😁😁😁😁
Nice Story brother
Dj afro
Daaaaah umetishaaaaa 🔥🔥🔥
Usiuwe bro wafukuze tu
Kaka kitambo sana umepotea wapi tunahitaji move kali tunakutegemea hongera sana
Usijal sister zinakuja
Daah kwa hisia sana ndugu
😢😢😢
🙌🙌🙌
Nakubali sana
Waowanishe kaka
Inauma sana usiombe yakukute
Icho kisu katia na tunda lolote afu wape wale hapo utakua umetisha bro.usilipe ubaya kwa ubaya💪💪💪
😁😁😁😁😁
🔥🔥🔥
Good Story
Wasameh tu kaka afu huyo mwanamke mfukuze baada ya msamaha hakufai huyo ni mbwa
My favorite artist 💥💥
Aki dula kisu wallahi unamajaribio,basi hapo wakati unakipapasa mm nishafika nje😂😂😂😂😂😂 kifo bana Daaaah
Kali bro imenitouch sana 😰😰😰
Swadakta isaa aminia kaka
Kill no one,,go and start a new life,,killing cant give you an internal happiness,,,
All in all ISARITHO,,you know how to capture the feelings of audience #BIGUP
Shukran sana kaka
👏👏👏👏
Never disappoint
Fire🔥🔥🔥🔥
Mm acha nicheke😂😂😂😂😂😂😂
Uwa wote
Wote uwa
🙄🙄🙄🙄
Jiuwe wewe 😅😅😅
Nakubar 🔥🔥🔥🔥
Daaah polesana kbs kaka 😭😭😭 aponauwamtu
Kaka wewe ni bom la nyuklia 😃😃😃 dah Mungu aendelee kukuinua 🙌
😀😀😀😀shukran sana
😭😭 asnte sana Ben
Apo kaka angu usiuwe hata mmoja...fukuza watoke kwenye nyumba yako waende zao kufanya ujinga wao huko inje
Mlete na mbanga atupee michano mikalii
😀😀😀sawa
Kiukwl Jamaa unajuwa saan
Duuuuuuh, iyi moja kali
Nkbl sana bro...jitahid uwe unaweka thumbnail ambayo ina HAMASA SANA KWA MWANGALIAJ ILI uwez kupata more views😊
Shukran sana kaka kwa maoni
waaaaaa
waache waoane..... kaka ww ni fireeeeee
Shukran sana kaka
Big up
Waoanishe 2 kaka isarito
Shukran sana
Mm sichoki kuangalia short film zako kaka
Shukran sana kaka
Lusaritho broo
Temana nao otee angalia pc zingine
Kaka sorry naomba kujiunga naww na
Jogoo auliwe tu
Daahh
Daah
Uzuni,somo,fundisho great job ever