Kiukweli niko speechless hebu tungane kama East Africa tu support art. Issa Mungu abariki kazi ya akili yako maana haya mambo yanaitaji uwepo tu wa kufikiria. Pongezi nyote watanzania.kama umependa ubunifu please nipe like yako👌❤️🇹🇿. Real love from 254🇰🇪❤️
@@jitulamsitunifilms6387 leo naomba niwashauri BINGO MOVIES haikuwa na haja ya kuweka full movie youtube kwani njia hii haitaweza kukuingizia kipato chakutosha, So nn chakufanya ni kutafuta platform internationally za kuuzia movie mfanonzake kama Netflix zipo nyingi kama hizo
Hii movie inatufundisha Kuna kipindi mlango mmoja unafungwa ili uingie kwenye mlango mwingine kuwasaidia jamii nyingine....Yes Africa was meant to be there for help!! What a movie 👏👏
Aise dah, najiuliza hivi nilikuwa naangalia bongo movie kweli!!! Bonge moja la movie kaka umetisha, nilipoona tu jeshi la ukombozi nikajua unakoolekea itakuwa hatari, nimependa usmart wa walinzi
Issa Lito mwamba uyuapa since day1 anaweka record na anavunja mwenyew akuna hakuna akuna tena bongo nzima mleteni mnaemwaminia eshima kwako bro!! Love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️✌️✌️
kaka nilikuambia sku moja kuwa nitatafuta kila king'amuzi ambacho utaonekana finally na you tube upo tutabanana kila kona much respect bro i see you in Hollywood 👏👏👏🙏🙏
Mwamba anajua sana nazani kama ningepewa nafasi ya kuchagua best actor for the all time ningem point huyu AFRICA Nazani hata wakina agent bavo wanahitajika kujifunza kutoka kwako 🎉🎉🎉🎉
Aiseee mume nikisa asilimia mia BIG UP SANA Kwa Team nzima 👊👊 kama na wewe umekubali iyi movie, storia, uwigizaji basi gonga like apa kwa wingi sana 👊👊👊
Africa ❤Africa ❤Africa❤ nimekuita mara 3, Unajua hadi unajua tena yan🤝👊👌, Be Blessed kaka umetisha sana 🙏🙏na feel Bongo kama mbele💃🥰, niliitafuta hii movie kwa MDA mrefu sana ila niliishia kuona trela tu😔, but am glad nimeiona 2pe ya pili baba ❤❤
Weweeeeeeeh 🤭🤭🤭🤭🤭 Woooooooh ...... Samahani samahani samahani leteni part 2 ....... ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from Mecky Dimpoz🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 always Maharaj the King 👑👑👑 I like this movie so much...... Great job more than enough guys..... Je vous dis Félicitations les gars ..... Hii filamu ni ya Century marafiki zangu
Uyumwamba Kwa mala yakwanza nilimuona kwenye movie Fran mixer wanalipua soko la mbeya nilimkubali kinoma nilijitaidi kuwaambia wanangu walikuwa wananikataa lakin wanaona balaalake!!.. bongo tunazarauliana sana hatuheshimu kipaji chamtu One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
Dah!! Ktk watu ambao walikua wana kuchukulia poa mimi mmoja wapo... ata tuzo uliopewa nili ongea sana kwann ulipewa.... ila bro unahaki ya iyo tuzooo..... sito pita movie yako ata mojaaa... saluteee sanaaaa
Kilicho nivutia kwenye hii move ni sehem ya kuvunja TV na namagar inaonesha jinsi gani mlivo jipanga isarito mwigizaji wa kwanza 🇹🇿 hongera kipanga na gido lah!!nashindwa hata cha kusema hongereni sana
the first time nakuwa interested with our own movies,kiukwel sifa zenu mpewe u have improved a lot,mmefanya kwa kiwango kikubwa tofaut na kipind cha nyuma hope as days.goes on mtafanya makubwa zaid let's go men
@ isarito bro your much talented big up sana bonge moja la action hii ndio action bora Tanzania nzm umecheza na uhalisia mm ni film maker kaka umetisha umezingatia mambo kama yalivyo katika film grow wisely bro una kipaji tuinue baba nahis wewe ndio unaenda kuvaa kitu cha marehemu kanumba na tuzo ya muigizaji bora ilikufaa sana kaka be blessed and big up
Search season inaitwa USIAMINI utaona movie aswa .... Au operation m22 Binafsi sjaitazama hii ndo nimeanzia kwenye comment kisa niicheki lkn majamaa niliokuelekeza wanafanya poa zaidi
The movie is so educative and it gives more people morale,,,a soldier is a soldier no matter which department but the deference is just the attire..Much love from 254🇰🇪🇰🇪 ❤️. requesting for part 3
natumaini ijayo ni nzuri na hongereni kwa kazi nzuri, kuna kitu nimeona kingekuwa kizuri zaidi.....imetuonyesha bosi kashika glass ya kinywaji kwa hasira, angeivunja kwa mkono kabla ya kuvunja tv maana yeye anahasira sana na nguvu pia.
Mmejitahidi ila nikumbushe hii ni movie flan ya kizungu ambayo mwanajeshi alifukuzwa akaenda kufanya kaz ya ulinz super market sku ya kwnz ya kazi yake alikuja bint mdgo akikimbizwa kama hvo wakamruhusu kuingia ndani ya super market kikaja kikundi cha maadui kumtafta pale ikawa batlle ya walinzi na wle watu ni the same story na hii . Kilicho badilika ni location tu na wahusika ila kama kuna mtu ni mfatiliaj wa movie sana hii mo vie atakua kaiona jina lake nmeisahau
Wow wow wow kumbe na sisi tunaweza sana tu sema hatukuamua daah yan wakat naangalia nikajikuta nasoma tena jina la movie ili nihakikishe kwel ni ya Tz hii....!! Just wow bro wa kukajah umeirudisha iman ya me kuanza kuangalia bongo movie asante sana kwa kaz nzur BIG UP😍
Kiukweli niko speechless hebu tungane kama East Africa tu support art. Issa Mungu abariki kazi ya akili yako maana haya mambo yanaitaji uwepo tu wa kufikiria. Pongezi nyote watanzania.kama umependa ubunifu please nipe like yako👌❤️🇹🇿. Real love from 254🇰🇪❤️
Shukran sana kaka,.,.Mungu Tu.,.,but OneLove 254 my second Home
@@jitulamsitunifilms6387 samahani mimi ni dada 😂🙏
@@jitulamsitunifilms6387 leo naomba niwashauri BINGO MOVIES haikuwa na haja ya kuweka full movie youtube kwani njia hii haitaweza kukuingizia kipato chakutosha,
So nn chakufanya ni kutafuta platform internationally za kuuzia movie mfanonzake kama Netflix zipo nyingi kama hizo
@@asmashariph5188 🙄🙄🙄🙄
Wasema kweli inapaswa tuwe na app ya east africa online streaming yetu yenye nguvu tuuze kazi zetu kwa faida
Umekosea sana kutaja idadi ya walinzi tuliokuwepo dah mmetisha sana 💥💯💯💯💯
Hii movie inatufundisha Kuna kipindi mlango mmoja unafungwa ili uingie kwenye mlango mwingine kuwasaidia jamii nyingine....Yes Africa was meant to be there for help!! What a movie 👏👏
Nyie aliefika sehemu akstop aje asome comments tujuane, Nyie luka ameweza sanaaa! Kwa mara ya kwanza nainua movie ya kitanzania kidedea 🔥🔥🔥
❤❤Asante
Luka. Wa jua Kali uko juu juu zaidi mmeifanya kwa moyo wote asanteni msichokeee
kwa hizi stunt nimeamua kuja kosoma comment maana washikaj wameua
@ isarito and @ mc mboneke nawabariki Mungu akawatambulishe kimataifa your much talented guys 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Oyaa aisee kiukweli mmeua kinomaa 😅😅ila izo BMW mlikua mnavunja vioo mmeniacha mdomo wazi kmke daah hii kalii sana nimeipenda 🏆🏆🏆
Hongera #isarito hongera Luka ni 🔥🔥 na Judith yupo 😍😍😍❤️
Aise dah, najiuliza hivi nilikuwa naangalia bongo movie kweli!!! Bonge moja la movie kaka umetisha, nilipoona tu jeshi la ukombozi nikajua unakoolekea itakuwa hatari, nimependa usmart wa walinzi
Shukran kaka
Issa Lito mwamba uyuapa since day1 anaweka record na anavunja mwenyew akuna hakuna akuna tena bongo nzima mleteni mnaemwaminia eshima kwako bro!!
Love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️✌️✌️
Shukran sana kaka
kaka nilikuambia sku moja kuwa nitatafuta kila king'amuzi ambacho utaonekana finally na you tube upo tutabanana kila kona much respect bro i see you in Hollywood 👏👏👏🙏🙏
😀😀😀Mpaka tufike Nchi Ya AHADI pamoja 💪💪Respect
Big up move nzur ,,. Sema sijapenda mlivyo kafanya Ako ka flat mkaamua kukapasua kweli 😃😃😃
Je vous aimes 🇨🇩, vraiment TZn
Mwamba anajua sana nazani kama ningepewa nafasi ya kuchagua best actor for the all time ningem point huyu AFRICA
Nazani hata wakina agent bavo wanahitajika kujifunza kutoka kwako 🎉🎉🎉🎉
Shukran sana kaka wote tupo Kujifunza 💪💪But Respect sana
Wow wow mara yangu ya kwanza kuwatch african action good work keep it up🙌🙌🙌
My brother huna kazi mbovu...jitu la msituni halisi🙌
Nyie me ninachojua broo irasito huna mpinzan💯💯hongraa snaaa mzee wa jua kalii au baba femii mungu azid kukuongoza zaid ya hapo
Aiseee mume nikisa asilimia mia BIG UP SANA Kwa Team nzima 👊👊 kama na wewe umekubali iyi movie, storia, uwigizaji basi gonga like apa kwa wingi sana 👊👊👊
Daaaaaaaa!!!!!!! aiseeeeeee huwez amin kama ni bongo sweet sweet hongeren san
Aisee hivi vitu tulivikosa kwa mda mlefu Sana bro, nakukubali Sana nizaidi ya Sana unajua
Africa ❤Africa ❤Africa❤ nimekuita mara 3, Unajua hadi unajua tena yan🤝👊👌, Be Blessed kaka umetisha sana 🙏🙏na feel Bongo kama mbele💃🥰, niliitafuta hii movie kwa MDA mrefu sana ila niliishia kuona trela tu😔, but am glad nimeiona 2pe ya pili baba ❤❤
Katika story zangu bora kwa mwaka huu hii moja wapo salute kwako mzee baba
Amani kigoye Mzee wa story Za mapigano umekubari kazi ya huu mwamba ☠️🤟⚔️✍️🦅
Shukran sana kaka
Kazi nzur wakuu nafatilia mve zako Uko vizur mwanangu Africa
Weweeeeeeeh 🤭🤭🤭🤭🤭 Woooooooh ...... Samahani samahani samahani leteni part 2 ....... ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from Mecky Dimpoz🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 always Maharaj the King 👑👑👑 I like this movie so much...... Great job more than enough guys..... Je vous dis Félicitations les gars ..... Hii filamu ni ya Century marafiki zangu
Shukran sana ndugu yangu
May God grants your wishes to arrive so far Brother...... You're the best star of the Century. I really liked the move
@@jitulamsitunifilms6387 part 2 jamani tunaomba 😭😭😭
Uyumwamba Kwa mala yakwanza nilimuona kwenye movie Fran mixer wanalipua soko la mbeya nilimkubali kinoma nilijitaidi kuwaambia wanangu walikuwa wananikataa lakin wanaona balaalake!!.. bongo tunazarauliana sana hatuheshimu kipaji chamtu One love from Iraq Bagdad 🇮🇶🌍✌️
Shukran sana kaka 🙏💪
Daah bonge moja la action movie..! Hongeren kwa waandaaji wote na washiriki kwa ujumla👏👏👏
Shukran sana kaka
🙏🙏🙏🙏@@jitulamsitunifilms6387
Big up sana kaka isarito bonge moja la story..Action Nzuri sanaaa Nina Kila Sababu ya Kukupongeza Kaka MLINZI Bonge Moja la movie
Shukran sana
Kijana na uku upo 😅🙌🏻
Burundi🇧🇮🇧🇮Tunawapenda sana Movie Nzuli
Nimefatlia hii movie duuh imetumia gharama kias chake hafu hamna charactor alie feli safi sana kazi nzur
Yani kila ninavyozdi kuianglia stamn iishe jamn 😊❤@isarito unajua mpka unajua tena
Dah!! Ktk watu ambao walikua wana kuchukulia poa mimi mmoja wapo... ata tuzo uliopewa nili ongea sana kwann ulipewa.... ila bro unahaki ya iyo tuzooo..... sito pita movie yako ata mojaaa... saluteee sanaaaa
Respect sana Bro 💪🏿💪🏿
Pamoja sanaaa bro
Kilicho nivutia kwenye hii move ni sehem ya kuvunja TV na namagar inaonesha jinsi gani mlivo jipanga isarito mwigizaji wa kwanza 🇹🇿 hongera kipanga na gido lah!!nashindwa hata cha kusema hongereni sana
Shukran sana sister ❤
Dulla wa sanura Anatisha sana uyu Jamaa namfatiilia sana anajua na anakipaji kikubwa sana
Movie nzuri sana, Watanzania tukiisapoti kazi zetu nzuri hizi bajeti ya movie itaongezeka tutapata kazi ya kimataifa zitakazo tuweka kifua mbele
Gonga like kama umeipenda hii movie kaa mm naifurahia nikiwa kenya
the first time nakuwa interested with our own movies,kiukwel sifa zenu mpewe u have improved a lot,mmefanya kwa kiwango kikubwa tofaut na kipind cha nyuma hope as days.goes on mtafanya makubwa zaid
let's go men
nakwombeeni mafanikio zaid ktk kazi yenu,,,kaz nzur sana msikate tamaa endlea kupambana tafika mbali sana
Amen🙏
Nimefurah kuona watu wa home mmeanza kua na upendo na umoja kama watu wa chuga...Mbeya moja tukiacha na ilo hii ni moja kazi nzur tz
Shukran sana kaka
Daaaahhhhhh vizur sana,, ckuwaza ka nngeangalia ila nmejikuta nataka kujua na sehem ya pili ipo wap
Good
Nimeburudika sana tena zaidi ya sana ingeleni sana movie nzuri nimeipenda kwa 100%
Africa Kazi nzuri San mungu akubariki akupe maamuz ya busara nimeipenda sana
@ isarito bro your much talented big up sana bonge moja la action hii ndio action bora Tanzania nzm umecheza na uhalisia mm ni film maker kaka umetisha umezingatia mambo kama yalivyo katika film grow wisely bro una kipaji tuinue baba nahis wewe ndio unaenda kuvaa kitu cha marehemu kanumba na tuzo ya muigizaji bora ilikufaa sana kaka be blessed and big up
Bonge moja la movies lina unyama mwingi sana shot out to isarito
Yanii wewe Kaka kila nikionaga movie yoyote upo wewe lazima niangalie napenda Sana nafasi yako katika kuigiza kwako all the best.
Asante sister
aiseeeee nimeitazanaaa hii movie kiukweli ni bonge la movie .hongeraa sanaaaa mwambaaaa nmekubali hii kazi,unaweza sanaaa
Mwenye hii move ninani kwa kweli... aliandika vizuri sana.. ongera sana
Nakubari Wana TZ kazi nzuri🎥🎬🎞️
Hii siwezi kosa aki ni best one, #bigup brother
Nimerudia Mara mbili kuangalia hii Move ni nzuri sana❣ BIG UP BROTHER 🙏
iMovie angekuwepo bavo haaaaaa moto ungezd
Hii n international wide salute mkali wetu wa action movie
@mc mboneke umezaliwa kuwa comedian kaka unajua sana kaka Mungu akukuze zaidi
Nimependa kumuona Judy wa Luka humu ..
Movie nzuri sanaa
Mbeya stand up
Judith Mrembo🥰
Yes
Afrca nimeipenda iyo uko vizur Broo nilichokosa hapo nikuona wife katekwa ila muv Kali stor nzuri pia
Movie ya kwanza ya East African action kuwatch hadi mwisho,congrats Tanzanians and a call awake for the other countries 🎉
Misukosuko the best action movie ever
Search season inaitwa USIAMINI utaona movie aswa .... Au operation m22
Binafsi sjaitazama hii ndo nimeanzia kwenye comment kisa niicheki lkn majamaa niliokuelekeza wanafanya poa zaidi
S
Hongera sana tmt kama ulaya yani wala haichoshi
The movie is so educative and it gives more people morale,,,a soldier is a soldier no matter which department but the deference is just the attire..Much love from 254🇰🇪🇰🇪 ❤️. requesting for part 3
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
Safi sana mlinzi,
Kazi safi sana bro una talanta mi hukufuatilia kwa sanura pia
Shukran sana
Jamaninini patio 2 plz muvi tamu xna shukrani shukrani xna ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
natumaini ijayo ni nzuri na hongereni kwa kazi nzuri, kuna kitu nimeona kingekuwa kizuri zaidi.....imetuonyesha bosi kashika glass ya kinywaji kwa hasira, angeivunja kwa mkono kabla ya kuvunja tv maana yeye anahasira sana na nguvu pia.
Brother unafanya kazi nzuri kiukweli baada ya kutoka uncle JJ wewe ndiye mwenyewe 👏👏👏
Uweeee,adi nimesahau kama nilikua na heartbreak jamani,, hongeratulations 👏👏🥳🥳🎉 kaka
Asee saiv unachek movie huku unafurahia story nzuri wachezaji wameitendea haki mlinzi bonge la movie🙌🙌🙌
Respect kaka
@@jitulamsitunifilms6387 pa1 church boy sema unatuangusha kwenye jua kali mtoto kanyooka unafeli wap kaka 😂😂😂
Asee isipochukua tuzo naandamana hongereni Sana washiriki wote...my blood isarito unajua nn namanisha🏆
Nilikua nikiipuza ii movie jamani dah kaka isarito umeweza umeweza umeweza tena ❤️
Mwenyezi Mungu Aku raisishiye kwa kazi unayo ifanya ndugu yangu.
Bonge moja la movie, ambalo historia yake inakaribia kufanana na yangu. Ila mimi nilikua kule juu yenu😂😂😂💣. Hongera sana baba femi. Huku ulikiwasha
Shukran sana kaka
Dah jamani movie emiisha nailikuwa I meanza Wanaotaka part 2 gonga like 👍
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
kwani part 2 ipo jamani
❤❤❤ kazi nzuri
Poa
Hio ni full move haina party to
Aliyependa alivyosema dogo amedondosha elf kumi na tano gonga like ( ilikua saa 1:00 sekunde 24
Atutaki😂😂
Hamjuwi
Kich mbov kadondsh elf 15
Alivo dondosha sikuwepo naomba iludiwe gonga like
AFRIKA!AFRIKA my guy....kazi safii kabisa na your team.....kongole sana💪💪
kazi nzuri sanaa ongeza bidii tutafika kamandaaaaaaaaaa
Very nice movie watching from Kenya, leteni zingine mingi
Oyaaa, action kama mbele 🙌🏾🙌🏾. Mwanzo mzuri sana bro✊🏾🙌🏾
Shukran sana kaka
Mmejitahidi ila nikumbushe hii ni movie flan ya kizungu ambayo mwanajeshi alifukuzwa akaenda kufanya kaz ya ulinz super market sku ya kwnz ya kazi yake alikuja bint mdgo akikimbizwa kama hvo wakamruhusu kuingia ndani ya super market kikaja kikundi cha maadui kumtafta pale ikawa batlle ya walinzi na wle watu ni the same story na hii . Kilicho badilika ni location tu na wahusika ila kama kuna mtu ni mfatiliaj wa movie sana hii mo
vie atakua kaiona jina lake nmeisahau
Wanangu isalito ,dimos ,modo,meneja wa lukamba mmetisha
Mbaka nikatamai pia nami ni fanye na yeye move moja jameni 🙏🙏🙏
Aiseee kusemesha ukweri hii movie kaliii Mzee dhuuuuuu 😄 mpaka nilikua nailudia ludia aiseeee nime ipenda mubalikiwee
Apo fresh kbsa ❤😂ila Tunaitaji ifwatayo ❤😂😂🎉 happy new year !
ISSARITO bro umeua sana🤙🤙🤙
Daah ndo kwa mara ya kwanza naitazama jamn like hata mbili jamn
Bro talent mnazo je mngekuwa n big investment ata Michael J white n wezanke wacinge gusa moto wenu ata kidogo movie kali mnajua sn
Wanataka kuniuwa kwa sababu nimeona wanauah irikua katika harakati za kutengeneza kontent
Mc mboneke like kwake
Daah nimependa watu walivyojitoa muhanga kuumia, kupoteza vitu daah, aiseee bongo fireee
Wow wow wow kumbe na sisi tunaweza sana tu sema hatukuamua daah yan wakat naangalia nikajikuta nasoma tena jina la movie ili nihakikishe kwel ni ya Tz hii....!! Just wow bro wa kukajah umeirudisha iman ya me kuanza kuangalia bongo movie asante sana kwa kaz nzur BIG UP😍
Shukran sana sister ❤🥰Enjoy
Wow nce movie I need part 2 Mr am from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪waaa
Next part.... I loved the inspection behind it
WE BRO NLIKUWA NIMEKUSAHAU KWELII😂😂😂😂😂❤
It's a nice movie am enjoying it am from riyadh saudi arabia. Big up guys muko vizuri.mungu awape nguvu muendele kutoa movie nzuri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥oyaaa ISSA unayohela ya soda
Daah nouma saanaaa..sem mchaw part 2 muendelez muhim!!!
Muvi nzri sana natamn ht isingeisha Africa umeweza
Nimeisubiri sana hii kwa hamu hatimae 🔥🔥🔥🔥 umeua sasa kaka
Enjoy💪💪
Steve ak Isarito nampenda sana huyu makaka hongera sana na Mungu aibariki kazi ya mikono yako
🙏🙏😊Shukran sister
Mi mwenzenu nampenda Sana huyu mnyakyusa japokua nshaolewa dah 😂🙆🙈
oya pat2,ngoma nagwa bavo wasikose baba
amin
Mashalaaa! Movie Kali Kali inasisimua misuri,,, awaiting part2
Kumbe Tamu ❤️❤️❤️nmelia Hak MUNGU awape afya muendelee kupgania Familia zenu hakka Kla Kaz inamagumu yake.
🔥🔥🔥
@@yusuphanyimike9945 😘
Duuu BONGE LA MOVIE aisee,naipataje ktk mfumo wa DVD?? BONGO kwa Sasa tupo mbali sana HONGERA SANA 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
Kioo cha BMW kimevunjwa hvi hvi. Kweli bro mpogo serious tofauti na mwanzo👍
movie ni nzur sana na imetulia nimeipenda sana sana .... Tunaweza
Endeleeni kuandaa movie bora kama hii na mungu awape wepesi
Isarito u never disappoint in your acting
💪💪
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
Isarito unatuangusha sana. Wewe sio wakucheza jua kali. Wewe ni wakutengeneza mawe kama haya . Hebu rudi huku tuishangaze dunia.