Rais William Ruto akumbatia amri maalum ya marekani kuhusu ndoa ya jinsia moja
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Rais William Ruto amepongeza amri maalum ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu jinsia ya kike na kiume. Kulingana na Rais Ruto, hatua hiyo inaambatana na sheria za dini ya taifa la Kenya