- Видео 843
- Просмотров 162 832
West Tv Live
Кения
Добавлен 27 апр 2024
Westv is a Regional Tv Station found in Western Kenya. It is located in Bungoma Town.
watch us on Startimes PANG 118
watch us on Startimes PANG 118
Видео
Viongozi wa upinzani wajikusanya kuweka mikakati ya kumwondoa Rais Ruto Mamlakani
Просмотров 142 часа назад
Huku siasa za uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 ukianza kushika kasi nchini, viongozi wa upinzani wakishirikiana na mwanasiasa rigathi gachagua wameapa kushirikiana ili kumg’atua mamlakani rais william ruto kwa uchaguzi mkuu ujao
Mwanafunzi wa gredi ya nane ashukiwa kujitia kitanzi katika nyumba ya Mjombake Mautuma
Просмотров 412 часа назад
Maiti ya mvulana mwenye umri wa miaka 14 imepatikana ikining’inia katika nyumba ya mjombake katika mazingira tata, wakazi wa kijiji cha sinoko b katika wadi ya mautuma eneo bunge la lugari wakishangazwa na hatua hii
Vijana wawili wakamatwa Bungoma kwa kujidai ni maafisa wa tume ya EACC
Просмотров 722 часа назад
Washukiwa wawili wa ulaghai wamekamatwa jumatatu hii mjini Bungoma na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini eacc. Inadaiwa washukiwa hawa wamekuwa wakiwalaghai wananchi kwa kujidai kuwa maafisa wa tume ya EACC
Gavana wa Kakamega amtaka Seneta wa kaunti hiyo kuomba wakazi msamaha kwa matamshi ovyo
Просмотров 234 часа назад
Baada ya Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa na Seneta wa kaunti hiyo Boni Khalwale kujaribu kuonesha ubabe wao wa kisiasa wakati wa ziara ya Rais William Ruto katika kaunti ya Kakamega, sasa Gavana Barasa anamtaka Seneta Khalwale kuwaomba wakazi wa kaunti ya Kakamega kwa kudhalilisha afisi ya Gavana
Rigathi Gachagua adai serikali inamsukuma Jaji Mkuu Martha Koome ajiuzulu
Просмотров 264 часа назад
Mwanasiasa Rigathi Gachagua amejitokeza na kudai serikali ya kenya kwanza inatumia mbinu ya unyanyasaji kutaka kumtimua afisini Jaji mkuu Martha Koome
Rais William Ruto akumbatia amri maalum ya marekani kuhusu ndoa ya jinsia moja
Просмотров 164 часа назад
Rais William Ruto amepongeza amri maalum ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu jinsia ya kike na kiume. Kulingana na Rais Ruto, hatua hiyo inaambatana na sheria za dini ya taifa la Kenya
Gavana wa Vihiga adai wanasiasa waliwashinikiza wananchi kuwazomea viongozi mbele ya Rais Ruto
Просмотров 1627 часов назад
Siku chache tu baada ya Wafanyibiashara wa soko la Luanda katika kaunti ya Vihiga kuwazomea viongozi wao mbele ya Rais William Ruto, sasa Gavana wa kaunti hiyo Wilber Otichillo amejitoka na kudai kuna baadhi ya wanasiasa ambao waliwashinikiza wakazi hao kuchukua hatua hiyo
Rais William Ruto awakashifu viongozi wanaopinga bonasi kwa wakulima wa miwa
Просмотров 647 часов назад
Rais William Ruto amewashambulia kwa maneno viongozi wa upinzani wanaopinga kutolewa kwa bonasi kwa wakulima wa miwa
Wakazi elfu 28 zaidi kuunganishiwa umeme katika kaunti ya Bungoma
Просмотров 537 часов назад
Wakazi elfu 28 zaidi kuunganishiwa umeme katika kaunti ya Bungoma
Easy Numbers : Multiplying numbers composed of 3s
Просмотров 119 часов назад
Easy Numbers : Multiplying numbers composed of 3s
Easy Numbers: Mastering Numbers and Multiplying with ease
Просмотров 49 часов назад
Easy Numbers: Mastering Numbers and Multiplying with ease
Mhudumu wa bodaboda afariki baada ya kuhusika kwa ajali katika soko la Kipkaren
Просмотров 829 часов назад
Mhudumu wa bodaboda afariki baada ya kuhusika kwa ajali katika soko la Kipkaren
Viongozi wa upinzani wamtaka Rais Ruto kuruhusu jopo maalum kuteua makamishna wa IEBC haraka
Просмотров 439 часов назад
Viongozi wa upinzani wamtaka Rais Ruto kuruhusu jopo maalum kuteua makamishna wa IEBC haraka
Rais William Ruto akamilisha ziara yake eneo la Magharibi hasa katika kaunti ya Bungoma
Просмотров 129 часов назад
Rais William Ruto akamilisha ziara yake eneo la Magharibi hasa katika kaunti ya Bungoma
Viongozi wakuu wa kaunti ya vihiga wazomewa na wakazi wa soko la Luanda
Просмотров 90414 часов назад
Viongozi wakuu wa kaunti ya vihiga wazomewa na wakazi wa soko la Luanda
Wakulima wa mpunga watarajia kunufaika zaidi baada ya ziara ya Rais Ruto Bunyala
Просмотров 2114 часов назад
Wakulima wa mpunga watarajia kunufaika zaidi baada ya ziara ya Rais Ruto Bunyala
Wafuasi wa chama cha ANC washauriwa kuunga mkono hatua ya Musalia Mudavadi kisiasa
Просмотров 14114 часов назад
Wafuasi wa chama cha ANC washauriwa kuunga mkono hatua ya Musalia Mudavadi kisiasa
Mkondo mpya wa siasa za Kaunti ya Kakamega
Просмотров 12119 часов назад
Mkondo mpya wa siasa za Kaunti ya Kakamega
Wawakilishi wadi wanaomuunga mkono Gavana Natembeya waapa kusimama ngangari
Просмотров 22День назад
Wawakilishi wadi wanaomuunga mkono Gavana Natembeya waapa kusimama ngangari
Ndama mwenye miguu miwili ya nyuma awashangaza wakazi wa Likuyani
Просмотров 67День назад
Ndama mwenye miguu miwili ya nyuma awashangaza wakazi wa Likuyani
Mtandao tasa wa Wifi ya serikali katika kituo cha matatu cha Bungoma
Просмотров 42День назад
Mtandao tasa wa Wifi ya serikali katika kituo cha matatu cha Bungoma
Awamu nyingine ya kutengeneza Mahandaki eneo la Sabwani Namanjalala kuanza tena
Просмотров 11День назад
Awamu nyingine ya kutengeneza Mahandaki eneo la Sabwani Namanjalala kuanza tena
Mrengo wa upinzani unadai Rais Ruto anaongoza kikosi cha watekaji nyara nchini
Просмотров 126День назад
Mrengo wa upinzani unadai Rais Ruto anaongoza kikosi cha watekaji nyara nchini
Afisa wa Polisi aliyetengeneza shule ya kuwasaidi watoto wasiojiweza katika jamii yake
Просмотров 37День назад
Afisa wa Polisi aliyetengeneza shule ya kuwasaidi watoto wasiojiweza katika jamii yake
Habari potovu kuhusu tatizo la selimundu kwa wakazi wa magharibi na Nyanza
Просмотров 115День назад
Habari potovu kuhusu tatizo la selimundu kwa wakazi wa magharibi na Nyanza
Wakenya milioni 17.8 wasajiliwa na Mamlaka ya SHA kwa bima ya SHIF
Просмотров 8День назад
Wakenya milioni 17.8 wasajiliwa na Mamlaka ya SHA kwa bima ya SHIF
I have no reason to Resign - Chief Justice Martha Koome
Просмотров 5314 дней назад
I have no reason to Resign - Chief Justice Martha Koome
Wakenya akili zao mda wote ni kupinga hata ni kitu bora kwa maendeleo yao,hovyoo sana.
Hon Julius Shimanyula thanks for the presser ..You are a true soldier of HE Hon Musalia.
Kwani huyu mamaalikufaa alifanya nini
Ken kumbe umekuwa mzee
My secretary pale The Bungoma Umri.🎉
Ma'am, are you from what country?
Rip mum.
Well said
Mzee kombo
I never cared to listen to Natembeya before but after Machugwa insults I think He is a good leader.very composed and focused
Mama Nangabo fire
Ukweli mtupu
Wachting form 🇪🇺🇩🇪
THAT IS THE TRUTH.THERE ABDUCTIONS GANGS IN KENYA AND THEY MAY BE CONNECTED TO OUTSIDERS DUE TO LACK OF CONTROL IN PEOPLE ENTERING OUR BORDERS. GOVERNMENT BE SERIOUS.OUR COUNTRY HAS NEVER BEING IN THIS SITUATION.WE HAVE ALWAYS BEEN PEACEFUL IN OUR LIVES.
Si baba you gave your money for her treatment.. then at her demise ati bragging.. but you did it right.. and it was the truth let it walk naked as it is.. kudos governer
If Mulembe nation has no space for this leader,kindly donate him to Baite republic (meru)
U can have him
Orioooo Muno Simakulu
Ichungwa ni Bure
This man is a leader
My G
Tell them jirani😂
Mr. George tembea kokote nchini ukiwambia wananchi ukweli,itawaramba hao viongozi lakini Kenya itabadilika kabisa
Rigichi naye hapana, please. He's a very mannerless triblist
Tuko na leaders kama Natembea, Matiangi who can lead this country na heshima. Kimani injungwa cannot even came home.
Sema yote our good governor .Sema yote governor wakumaliza umasikini
The sad truth is that we are leaderless and lack directions. Something is wrong with us, luhya's. We're very satisfied with poverty and playing spectator roles. We need serious civic education to wake up.
A sober minded leader. Governor ignore big mouths. Fanya kazi.
Professional liar.He got second most corruption award winner in the world 😅😅
I love listening to Governor Natembeya I would vote him anytime 💯👌🏾👍🏾
Ameheshimu Kidiki..
You don't need any one's permission to meet Gachagua
the nandi murderer use same method used by arap moi kalenjin mafia that killed robert ouko; they said ouko killed himself, broke his arm and burnt his skull; this nandi killer say the genz abduct&kill themself; same method kill genz then use public tax money to run narrative that blame and condemns the victims for their murders 😮😅😅😅
Natembea we are solidly behind you
It's very unfortunate this is the kind of leaders we have,Ichungwa very useless
Bwana Governor, keep on na usitishwe. Bomoa hao kabisaa if you get platform.....keep calm as always and let them wabuekee baadaye.
My bro you don’t have to explain why you would meet gachagua, you can meet whoever you meet
I love my brother Natembea, this guy is brilliant, Kenya needs Natembea, onyonka,Omtata, ndindi,Maina wanjigi to salvage this country, bro don’t bother about ichungwa he ain’t your equal
Chagua Rigathe mufanye kazi pamoja utafute na wengine 2027 wakenya Washikane wapeleke hawa Jamaa nyumbani
Natembeya for president.
Mr. Governor, most people are with you. Me,I don't know you but I support you. Try to recruit new people.new politic. Old politic Tawe.
Ichugwa Junet just somebody puppy's🐶 bweka bweka bweka to someone home 😜 very silly puppy s
May uncle rest in peace
i told you this governor is brilliant
Kingpin ongea tuko nyuma yako
Our kingpin in western is George Natembeya . wetangula Tawe! Musalia Tawe! Oparanya mtu wa peremende Tawe! Atwoli mtu wa kudinya wasichana wadogo Tawe!
Atwoli Tawe akwende uko adinye wasichana wadogo .
Natembeyaa was right to articulate issues as a leader Ichungwa was too emotional and disrespectful
😂😂😂😂 so bad
It's so painful to lose your mum early as now but uncle just take heart 😭😭😭😭😭😭