Ndama mwenye miguu miwili ya nyuma awashangaza wakazi wa Likuyani
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Wakazi washangazwa baada ya ndama kuzaliwa akiwa na miguu miwili pekee ya nyuma. Wakazi wadai ukosefu wa maafisa wa kilimo wa nyanjani huenda imechangia tukio hili