Dua Na Adhkari Zenye Majibu Ya Haraka / Dua Ndiyo Ibada Kubwa / Sheikh Othman Micheal
HTML-код
- Опубликовано: 10 дек 2024
- Dua Na Adhkari Zenye Majibu Ya Haraka / Dua Ndiyo Ibada Kubwa / Sheikh Othman Micheal
Mashaa Allah Sheikh Othman Michael akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Dua Na Adhkari Zenye Majibu Ya Haraka / Dua Ndiyo Ibada Kubwa / Sheikh Othman Micheal
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RUclips @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Kwanza niseme alhamdulillah shukran❤❤❤ zote niza alaah rehma na amani zi mshukie kipenzi wetu shifaa wetu kiongozi wetu bwana wetu Mohammad rasulillahi swalallahu na mpenda sana alaah rahmani ailaze roho yake pema peponi inshaalah 🌹🌹💕💕💋💋😭😭
Wonderful thànk very much may god bless you
Aslm alkm ww.... Othman Michael Masha Allah!! Clip zake zina elimisha na kukuliwaza Masha Allah. Allah atuongoze. Jazakallah kheir sheikh. Allah akulinde 🙏
Mungu atazidi kiku bariki shekhe Othman Michael kwa kutufunza vitu vyenye kutuelimisha na kutubadirisha pia God bless you inshaaallah
Alhandullillah 🌹 inshallah Allah akuzidishie shekhe wetu
Kwanza niseme Alhamdulillah shukran zote niza Allah Rehma na manizimushukiye Mtume wetu kipenzi chetu kiongozi wetu na watakayo mufwata mpaka siku ya kuondoka duniyan wallah sheikh nashukuru sana Allah akujaliye umri murefu na ma sheikh wote tu endeleye kufaidika nyie niwatu muhimu sana katikajami mini moja mwawaliyo omba kuombewa Dua nasema Amiin Ya Rabby🤲 kwakutuombea mina wenzangu nanyie Allah awape zaidi hata kama sikuya mambo yangu haijafika nina iman kwakuombewa na watu wema apo nakuona pia unaka na waze I nsha Allah nina amin Allah atanijibu natakuja hapa kuwafahamisha I nsha Allah
Masha Allah mungu akuzidishie umri sheh wetu tunashkuru kwakutupa ilmu bila kutubania mungu azidi kukubariki
Mashallah sheikh mawaidha Yako yatupa Iman zaidi Mola na ss ajalie Wana wetu wawe kama wewe sheikh inshallah mbeleni na wao waongoze wenziwao katika kufanya kheri na Kwa njia ya Allah ameen ishallah
MashaAllah Shukran Sana kwa Dua Nakuombe kwa Allah Akufanyia wepesi kwa kila Jambo lako inshaAllah Mia naomba unifanyia Dua kwa Mwangu Apate Shufa inshaAllah Dua Ya watu wengi ni Dawa
Sukran saana sheikh Allah akujaze kheir na akuhifadhi
JazakAllahu khairan kwa ukumbusho, in sha Allah, Allah a nijalie niweze kusoma hizo dua na nyiradh
Mashallah shukran sheikh wetu Allah akuhifazi darass nzur Mashallah
Mashallah Allah akupe kila hitajio lako 🙏
Shekhe Othman mawaidha yako yanafariji sana nakupenda kwaajili ya allah
Asante saana Sheikh Allah akuzidishiee kheli n'a umburi muref kwakuzi kutupa elemu kubwa Saana nafurahia saana Darsa online JazzakaAllah khayran ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shukran sana shehe wetu allah akulipe her kwasadaka nzur
Asante''miimitoka''nasikilliza''mafunzoyako''''nimebadilika''kabisaaa'''sahitoka''naanzakusali''satisayausu''nimeona''mabadiliko'''''mimi'naombaduwa''lenunisilm''''kabisakabisa''''namwenyezi'mungu''anipatanishe'nayulenimemupenda''awemunamimi''nieshiwekamamwanamuke''kamawengine'''asante
Allah akuongoze shehe wetu na akuingize katika pepo yake
Bismillah Ma Sha Allwah,
JazakAllwahu khairan
Mashaallah sheikh Othman
Na ww shke wangu mzuri sna nakupenda sana ❤❤roho yangu ww daiman alaah rahmani akipenda inshaalah shke utakuja lini kenya njoo plzz tukule na ww idd Mombasa panga nawe kwa hisani yako bro mwaaaaac i love u so much forever.
Jazakllah khayra, Allah akuhifadhi na akupe afya njema
Shukran shheh
Ameen❤
Tunakupend sn ALLAH AKUANDALIE PEPO YA FIRDOUS SHEKH
Jazzakallah kheir ALLAH akuzidishie
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
Chkh wetu
Mwenyezimungu akupe kila la kheri
Maasha Allah 😇shukran Allah🥰 akulipe kheri
NafurahishwaSanaNaDarsa
Shukran sana shkh. Athman M. Kwa kutu elimisha, jazakallah kheir
Mashallah tabarakallah allah akuhifadhi dunian na akhera allah atukubaliye duwa zetu
Allah akujaze heri inshaallah
Maashaallah Allah akuhifadhi,ninakupenda kwaajili ya Allah mawaidha mazuri
Jamaani tufuate hayo maneno anaoyesema she wet wallahi mimi ni wa kwanza kufanya hiyo dua, mashaallah nilikua sina kazi wallahi nini ila nimefanya siku mbili nakuswali siku mbili siku ya tatu nimeitiwa kazi
Yaani hayo maneno hayana shaka wallahi sanaa sanaa ya mtume yunus na mtume wetu Mohamed umemaliza ishi kifalme fuata hayo maneno ila cha msingi uwe na yaqini unachokifanya
Mashaallah allah akuzidishie riziq
Shukurani.sana shehe Allah akuongoze ishaa.Allah
Jazaka llahu khery
Wajazakallahu rhaira,shukran kwa zawadi ya duwa
Maashallah jazakallahul kheir
mashaAllah sheikh
Mashallah jazz lllah lkh
Lailah anta subhaba innanaka kuntu minadwalimin hili ndilo ntalo dumu nalo kutoka kwako kaka angu walahi umenijenga sana kiakili k
Kwa ufahm nilivyomuelewa ustadhi ni lailah ila anta subhanaka inni kuntu minadhwalimin❤
Masha allah
Allahumma Ameen Yaa Rabbal Alameen ♥️🙏🏻.
Alhamdulillah panapo dhiki faraja yaja inshaAllah.
Mashaallah Allah akuhifadhi akujalie kheri uweze kutupa faida Inshallah
MashaAllah Sheikh wetu Allah akuzidishie na nasaa nzuri na mafunzo ya dini yetu mazuri.
Amen
Amiin🤲🤲🙏🙏
Asant shekh wngu
Shukrani kwaukumbusho
Jazakallah kheiran
Shukran shekh
Aslm alkm wwt ustadh Michael dawa ya uhasad hadi magoti inaniuma kutembea kwa shida kuswali shida kila mara kuchoka kusikia viungo inaniuma mimi mwenyewe ni daktari ninatibu watu watu wanapata afweni lakini mm mwenyewe niko mgonjwa
Asalam alaikum sheikh naomba Sala ya maradhi unirushie kwenye Simu yangu
Mashaallah
Kweli kabisa
MwamisiAthmanOmar
ufunguwe mawazo sheikh tumezama
Uhsant san sh
Aaallah atupe kituchakgeti
Şükran şegh
Maashaallah. Naweza kuzitumia hizi dua kwa niaba ya wanangu? Wapate mafanikio ya kazi?
Shekhe Wasiojuwa suratul yasin itakuwa je
MnguAKuzidishieBarakaNaNeemaZake
Laila haila antasubihanaka inkutu minali zwalimin ndio nadumu nayo inshallha
Hickory kitabu kama sina naweza tumia ganjularsh?
hii shule unayoitoa naielewa sannah
Jazaakallahu.
Allah taala mtukufu akubariki kwa hii a'amal tukufu iliyoifanya kuwa swadaqatunjaalia.
NmMungu akuzidishie shekhe wangu sichoki kujifunza kupitia mawaidha yako
Shukran jaziilan Sheikh, Allah akuhifadhi
Mashaallah