JIANDAE KUTAPIKA UCHAWI NAKUULIWA MAJINI WAOVU KWA KISOMO HIKI KIZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии •

  • @ziadamiraji9511
    @ziadamiraji9511 7 месяцев назад +2

    Yarab tunamuomba umlinde sheikh wetu na umpe umr mrefu wenye kudumu azd kutuombea nasisi shukran sheikh Othman Allah atakulipa zaid inshaallah hatuwez kukulipa hata theluth ya ulichosoma Allah ndio atakulipa inshaallah taala 🤲🤲

  • @ashuramachupa1050
    @ashuramachupa1050 9 месяцев назад +3

    Kwa uwezo wa Dua hii na kisomo hilo Allah aniondolee kila kilichokua kibaya ktk mwili wangu na mji wangu.iwe majini..uchawi hasad kijicho,na kila kilichojificha Allah akidhihirishe amiin akionyeshe..mungu nisaidi

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 года назад +8

    Masha'Allah me kisomo kilivyoisha Wallah nlijiona mwepes japo katkt ya dua nlihic usingizi mzito af miguu ikawa inawaka moto na vidole vilikufa ganzi Alhamdulillah

  • @HabibaHared
    @HabibaHared Год назад +1

    Manshaallah mwenyezi mungu akuzidishiya umry wako aakube maisha marefu na akujaliye janatul fardows Aamin ya Rabi

  • @afric01
    @afric01 3 года назад +8

    Aslm alkm ww......wallah Sheikh Othman, Allah akutaqabalie Dua zako ya Rabb. Allah akupe umri furaha afya njema na mafanikio duniani na akhera. Akulinde, akukinge, na akuhifadhi ya Rabb. Jazakallah kheir 🙏. Twakupenda sana. Allah akuweke. Shukran. Wlkm slm ww.

  • @ShaomoShahomi
    @ShaomoShahomi 8 месяцев назад

    Jazaka Allahu kher shekhe
    Yaa Allha kutokana na duwa hii niondoshee maradhii mm pamojaa na family yangu yarabi takabali duwaa

  • @fattyabou3755
    @fattyabou3755 3 года назад +1

    Sheikh kisomo chako nikikali shukran sana Allah amenitibu asante kwamsaada wako

  • @aishaissa2691
    @aishaissa2691 3 года назад +4

    Walikumusalam warahmatullahi wabarakatu masha Allah nashukur kwa msada sheikh Othuman Allah azidi kukupenda zaidi na kukuhifaz

    • @fatmamuyinga5195
      @fatmamuyinga5195 2 года назад

      Allah akuhifadhi duniani na akhera Inshaallah, nakupenda kwaajiri y Allah

  • @sumayyahally3199
    @sumayyahally3199 Год назад

    Subhananllah hi ni me kabisa shekhe maana Kira siku me hospital napimwa Kira kitu nipo Sawa yaarabi naomba iyo kitu inayonisumbua kwa mwili wangu na Maisha yangu naomba uviondoshe kupitia kisomo hiki shukuran jazziran shehe wetu kwa msaada wako maana mtihani wallah Allah atufanyie wepes waja hasa sisi tulio nchi za watu yarabi turinde na hii mitihani subhananllah subhananllah subhananllah

  • @HumairahHasnaty
    @HumairahHasnaty 11 месяцев назад

    shukran sheikh wetu Allah akuhifadhi Ya Allah nakuomba kupitia kisomo hiki iwe tiba kw maradhi yote ya rabbi

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 года назад +1

    Shukran jazaka ALLAH khery Mola akuhifadh wallahi kaz unayo ifanya ni kubwa Allah akulipe mema dunian na akhera Namuomba Allah ajalie Kazi yako hii iwe sababu ya Allah kukulipa jannah fridous kesho akhera Inshallah

  • @zeyyanesaid3451
    @zeyyanesaid3451 3 года назад

    Mashallah jazakallah khair sheikh Allah akupe kila la kheri hapa dunia na kesho akhera allah akondoshee mazito akufanyie yawe mepesi wallahy qur'an ni shifaa ulipokua wasoma nilisikia kisunzi naskia moyo wanienda mbio jasho jembamba lanitoka lkn nimehisi tofauti baada ya kisomo shukran sanaa sheikh Allah akupe mwisho mwema

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya Год назад

    Eh mwenyezi mungu kupitia duwa hii nifunguliwe Kila kilicho fungwa katika mwili wangu nakama Kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi vitoweke kwa uwezo wako Allah inshallah 🙏

  • @chimammywangu8822
    @chimammywangu8822 2 года назад

    Mashallaah kisomo kizuri sn mwenyezimungu akuzidishie kusaidia watu wengine km nilivo saidika mm tunakupenda sn kz zko zidimu daima dawama 🙏🙏🙏🙏

  • @yusuphabdulazizkinega3039
    @yusuphabdulazizkinega3039 2 года назад +1

    Allah akufanyie wepesi shekh wetu akupe ulinzi zidi ya kila aina ya vitimbi vya masheitwan wakijin na kibinadamu , waliokuwA wadogo na hata walio wakubwa Almighty Allah akupe ulinzi. Aaaaaaamin

  • @MwanaishaMwanzowa
    @MwanaishaMwanzowa Год назад

    Dua zako ziwe dawa ya maradhi nilionayo hayo yote unayo yazungumzia ninayo Allah akupe maisha marefu uzidi kutusaidia sie waislam nawasiokuawaislamu Mungu alete wepesi inshaallah Allahumma Ameen🤲🤲🤲

  • @AsminSalum-po8tm
    @AsminSalum-po8tm Год назад

    Inshaallah allah akuepushe na mahasind akuzidishie umri mrefu aķufungulie milango ya pepo umrikiam

  • @Gymnastics1.u
    @Gymnastics1.u Год назад

    Assalaam aleykum sheikh ...barakallah fi, Allah akuhifadh na akulinde kwa majini na mahasada. Shukran sana kwa kisomo

  • @muhimpundulareine4147
    @muhimpundulareine4147 2 года назад

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh shukran kw kisomo mim nina mwak minne ninaumw migu imekuw ganz inawak mot napia hat kutembea nahis huwa nakanyag miba sheikh napia nahis kisomo chako kitanisaidia in sha Allah. Maan nimesh tembea mahospital wamekos maradh naomb sheikh unisaidie kwa kisomo in sha Allah

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 3 года назад +1

    ALLAH akulipe Duniani na aghera ALLAH akusamehe ulipoteleza ALLAH akulinde na kila shari za majin na wachawi na wanadamu

  • @halimanj8544
    @halimanj8544 2 года назад

    Waleyk msalaam sheikh nasikza kisomo nikiwa Saudi nashukru sana Leo nilikua nimechanganyikiwa lkn nashukru Allah ameniponya kupitia kisomo chako mungu azidi kukupa uzima wa kher izidi kutusaidia

  • @rashidawangara1318
    @rashidawangara1318 Год назад

    Jazakillah kheyran sheikh. Allah akuzidishie kheyr na akujaalie khatma njema.

  • @RehemaSaidi-j3w
    @RehemaSaidi-j3w 10 месяцев назад

    Yaa Allah kupitia dua hii nifanyie wepesi kila kisichokuwa na kheri na mm kama ni husda,uchawi,majin basi inshaallah viniondoke

  • @aminamichael5023
    @aminamichael5023 3 года назад +1

    Shukran mizani yako na iwe nzito yaumul qiama kwa uzito wa sadaka hii

  • @rahmahabibu3067
    @rahmahabibu3067 3 года назад

    Shukrani Sana Allah akulipe kilakheri nilisikizaa ktkt nikawanausingizi mzitosana hadiulipo maliza naminikakaa sawaila nikawanauchovusana

  • @geerleebmuhamed8301
    @geerleebmuhamed8301 2 года назад +1

    Allah huma amiin yarab Allah bariik fii inshaa llah mungu ajalie shifaa yarab kwa visomo mungu awajalie kila kheri

  • @bintihemedmwarundu4615
    @bintihemedmwarundu4615 3 года назад

    Mashaallah kisomo kifanye kazi inshaallah Allah atufanyie wepesi

  • @sakinakopwe2679
    @sakinakopwe2679 Год назад

    Asante sana shekhe Allah akurehemu

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 года назад +1

    Mashaallah allah akuzidishie elm shekh wetu

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031
    @khadijaathumanikhadijaathu9031 2 года назад

    Mashaallah Allah Akuhifadhi shehe wetu Alinde na kilashali ishaallah

  • @HaneySweetheart
    @HaneySweetheart Год назад

    Ahsante sana kwa kisomo chako kivizuri

  • @LatifaJuma-m5q
    @LatifaJuma-m5q 11 месяцев назад

    Mashallah Allah akuzidishie kila la herii

  • @AhAu2-oi5wn
    @AhAu2-oi5wn 8 месяцев назад

    Allah akujaalie2 mwisho mwema kwa Katoa dua...

  • @najmagoa4727
    @najmagoa4727 Год назад

    Shukran shekh kwakisomo chako

  • @asmaasma603
    @asmaasma603 3 года назад

    Ila leo nimeshikiliza kisomo hili inshallah mungu alete kher na iwe ndiyo shifaa kwangu mana nimekuwa mwenye huzun moyon mwangu il mim ndiy kwanz leo naanza kusikilizaa

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya Год назад

    Inshallah Allah atatufanyiawepesi wote tunao pitia matatizo inshallah 🙏

  • @aminahmusa3723
    @aminahmusa3723 2 года назад

    Inshallah kisomo kikafanye kazi mimi pamoja na wazazi wangu Inshallah shukrani sheikh

  • @fatmaismail13
    @fatmaismail13 3 года назад +8

    Jee kama ni mja mzito waeza sikiliza hii Al rukia?

  • @margaretzacharia5877
    @margaretzacharia5877 Год назад

    Pastor Niko pamoja kwamaombi niopee kwa Mimi nimgochwa kwatumbo 🙏🙏

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 года назад

    Shukuran jaziran shehe wetu kwa dua zako Allah akufanyie wepesi kwa kira jambo

  • @aminarashid673
    @aminarashid673 2 года назад +1

    waleikum salam,mashallah namshukuru Allah kwa kukupa uwezo wa kuweza kuwasaidia wengine.

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya Год назад

    Jaman usingizi ulipo ntokea nzito hatari mungu nifanyie wepesi mja wako inshallah 🙏

  • @zuhurakaviche2225
    @zuhurakaviche2225 11 месяцев назад

    Ya allaah naomba unifungie vifungo vyote vya kichawi na majini yote kwa dua hii

  • @gracethenya
    @gracethenya Год назад

    Ee mungu nakuomba unilinde kupitia dua hii na uniondilee uchawi wote nilio tumiwa majin na mashetani vifugo zote nataka zifunguke

  • @GadnagihabashiHassani
    @GadnagihabashiHassani 3 месяца назад

    Mungu akupe umri mlefu

  • @RehemaRehema1
    @RehemaRehema1 Год назад

    Allah akuhifadhi

  • @seliidrashio6968
    @seliidrashio6968 3 года назад +5

    Asalamalaikum sheikh othman shukran mwenyezimungu akupe kheir na akulinde

    • @yusufseifu4967
      @yusufseifu4967 2 года назад +1

      Assalam Alleikum Warhammer tullaah wabarakatuh, Jazaa kallaahu haira sheikh

    • @yusufseifu4967
      @yusufseifu4967 2 года назад

      Shukran jazla sheikh, ALLAH akupe umri na akujaalie kila la kher hapa dunian na Akhera insha-ALLAH.

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 3 года назад +2

    Mashaallahi.usitanz.wetu

  • @najmagoa4727
    @najmagoa4727 3 года назад

    Mashallah shukran shekh kwakisomo Allahamdhullilah

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya Год назад

    Amin

  • @ZuuhRaniya
    @ZuuhRaniya Год назад

    Yaj Allah tulinde tuepushe na maladhi 🙏

  • @fatmamtete3191
    @fatmamtete3191 3 года назад

    Asante shekhe jazakallah heri

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 3 года назад

    Masha allah shuqran jazakaallah kheir sheikh

    • @ashanibigira5898
      @ashanibigira5898 2 года назад

      Asalamu alayikumu warhamatulahi wabarakahu Mashaal Allah akulipe kila laheri APA duniyani n'a kesho ahera Mashaal Allah

  • @ummynyevu1027
    @ummynyevu1027 3 года назад

    Amina may Allah give you long life.akujalie na pepo njema

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا 3 года назад

    Alla akupe umri mrefu uzidkuttusaidia ndugu zako

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 года назад +1

    waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazaakaAllah kheir sheikh Michael Othaman.

  • @JonathanJofrey-qn4ls
    @JonathanJofrey-qn4ls 11 месяцев назад

    Shekh mimi siyo mwisilamu ila ninamapepo yameshakataa kutoka na kipindi nasikiliza kisomo hiki nilikuwa najikuta kichwa kinazunguka nataka kuanguka lakini ufahamu nakuwa nao ,me yamekatalia kichwani hadi kwenye koromeo linabana nikimeza mate linaenda ila linarudi,mwanzoni nilikuwa nasikia vitu vinatembea mwilini tena vinachoma kama sindano lakini nikienda kupima ugonjwa haunekani.tangu elf 2015 hadi sasa 2024 yapo nateseka hadi nimeshataka kujaribu kujiua nisaidie ,lakin pia sipati radha ya tendo la ndoa ,na yananifunga kunya namaliza hadi mwezi bila kwenda toilet nisaidie tafadhari nipomkoa wa mwanza kayenze

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 11 месяцев назад

    Kwa maoni yangu naona hakuna mutu asie kuwa na shaitwani juu izo Dalili kila mutu anamo 1 wala Zaidi

  • @mwanalimas7039
    @mwanalimas7039 3 года назад

    Shukran sana Mungu akuongoze katika yaliyo mema inshaAllah

  • @dekahassan2334
    @dekahassan2334 2 года назад

    Jzk keran

  • @janetmutua4275
    @janetmutua4275 7 месяцев назад

    Dua hii naomba njini alionikia nikiwa nimelala Kwa kiti mchana nikanyongwa nikakosa kutoka sauti adi pale nikapewa maji nikaongea, kutoka hapo nikangonjeka sana,ni miaka mbili Sasa nasubuka sana

  • @ummynyevu1027
    @ummynyevu1027 3 года назад

    Nasikiliza kisomo nikiwa saud.may Allah aniondolee maradhi ishallah

  • @asmaasma603
    @asmaasma603 3 года назад

    Asalam leikum inshalah kher mim nasubuliwa na mguu nahis kama kuna wadudu

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 2 года назад

    Walleykum sallam warhamatullah wabarakatuh, Aamiyn Yarrabi
    Allah akulipe khery ,naitaji namba yako nipo mbali na nna mtihani mkubwa japo mbele ya Allah hkn kubwa

  • @asmaomary8634
    @asmaomary8634 Год назад

    Hapo pakuchapa mtoto Hadi moyo wangu unauama nilimchapa Mwanangu miaka saba iliopita mpaka Leo sisahau ama kweli hayo mambo yapo jamani nilikua najuta nampaka Leo bado najuta tuu nahasira nalia hovyo jamani ila nashukilu shekhe naona nasaisika kupitia visomo vyako

  • @bebeb779
    @bebeb779 3 года назад

    Assalm alyikum walhumatullah wabalkat allah akup kila lakheri mimi nimrtowa myayu mala nyingi na jicho rakuchoto rikawa rinatowa machozi

  • @ibraahmghai5626
    @ibraahmghai5626 3 года назад +2

    Allah azid kukulinda Shekh Baada ya kutawadha nikaket chin na Earphones zangu kuanza kuskiliza Dua baada dua kufikia kati yarab nimeachama mdomo juu na misuli kukaza ,na kutetemeka.

  • @tunusefu2018
    @tunusefu2018 3 года назад

    Allah akujalie khel inshallah

  • @mwanashehekashu6626
    @mwanashehekashu6626 2 года назад

    AA! Sijakipata hicho kisomo ni dus gani? Lakini Shukran!

  • @justinbieberofficial5837
    @justinbieberofficial5837 3 года назад +1

    mashaallah may allah bless from Canada

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 3 года назад

    Allah akuzidishie inshallah

  • @saumuomazy7673
    @saumuomazy7673 3 года назад

    Shukran jazeelan 🤲🤲

  • @maisaalawy4512
    @maisaalawy4512 3 года назад

    Mashaallah Allah reward you.

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 6 месяцев назад

    Alhamdulillah

  • @khuiii9032
    @khuiii9032 3 года назад +2

    Mashallah

  • @aminamichaelkupaza1186
    @aminamichaelkupaza1186 3 года назад

    Shukran shekh

  • @bintihemedmwarundu4615
    @bintihemedmwarundu4615 3 года назад

    Kila mwenye kunifanyia uchawi haadhirike inshaallah

  • @irenemulira3626
    @irenemulira3626 3 года назад

    Asalam Alykum. Shukrani

  • @nyangomarachel7117
    @nyangomarachel7117 3 года назад

    Amen

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 года назад

    Shukrani shelkh

  • @asiamwiru6620
    @asiamwiru6620 2 года назад

    Shekhe Michael mm nataka dawa nkupata wap

  • @FadhilaAbrahman
    @FadhilaAbrahman Год назад

    Ustdhi ntakupataje Mimi npo zanzbar

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Allah Allah akulipe kher

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 года назад

    Allah akuakupe umri mreeeeeeefu wenye kheri na bakara.

  • @SharfaSharfaadamu
    @SharfaSharfaadamu Год назад

    ❤❤

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 Год назад

  • @monaishaboto1072
    @monaishaboto1072 3 года назад

    niombee dua nimekuwa mtumwa wa wachawi kila usiku wananifwata na kunikamua.

  • @JamilaBint
    @JamilaBint 3 года назад +2

    walykamu salaam warahumatullahi wabarakatuh

  • @عليالقرشي-ن9ذ
    @عليالقرشي-ن9ذ Год назад

    nifanyie maombi n mm

  • @khailatv-e7v
    @khailatv-e7v 3 года назад

    Wa Alaikum Salam warahmaturullah wabrakatuh djazaaka Allah kheri

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Год назад

    Amiin yarabby

  • @nellynelsainkcdulah726
    @nellynelsainkcdulah726 3 года назад

    Ameeeen ameeeen ameeeen
    Ameeeen ameeeen ameeeen ameeeen ameeeen ameeeen

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا 3 года назад

    Sheikh mie baadhi ya dalili nnazo allah atupe Shufaa kupitia visomo vyako tunavyo viskiliza

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 3 года назад +2

    Assallaam.alayikum.usitanz.mm.nimesikiliza.dua.yako.bada.ya.mud.mguu.wa.kushoto.nimejikuta.vitu.vinafiya.finya..kweny.mguu.wangu

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije 2 года назад

    Neema na maarifa zisikukome !!?

  • @sheilaally9248
    @sheilaally9248 2 года назад

    Shekh naweza pata no yako

  • @miwanamalau2594
    @miwanamalau2594 2 года назад

    Sheikh.nasubiri

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 3 года назад

    Waalaykum salaam waramatullah wabarakatuh

  • @salmankya7019
    @salmankya7019 3 года назад

    Yaani dalili zote ninazo na nilipata baada TU ya kujifungua

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 3 года назад +2

    Assallaam.ayakim.nilisikiliza.kw.mar.ya.pili.bada.ya.mud.nikapitw.na.usigiz.bad.yahapo.nikaota.eeti.nimelalia.mkono.wa.kulia.mut.akashuk.nikaza.kupabana.nae.nilimpiga.hadi.mkono.nikaw.ninanium.nikwa.usigizin.bad.ya.mud.nikashuta.hapo.hap.nikamuka

    • @husnaameen9309
      @husnaameen9309 3 года назад

      Ashura lekebisha alama za uwandishi mpendwa hizo nukata

    • @ashuraomary8859
      @ashuraomary8859 3 года назад

      @@husnaameen9309 inshallaaahi