GEREZA LA SIRI TANZANIA: MFUNGWA ASIMULIA YOTE/ ASKARI WANA ROHO MBAYA/ ILINILAZIMU/ SITARUDIA TENA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 июн 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #gerezani #magereza #mbanga

Комментарии • 32

  • @godfreykiama1930
    @godfreykiama1930 Год назад +5

    Mdupange …utafika mbali kaka keeping good work…no matter whatt!!contin…on what your doing..the future is yours ..

  • @amrikiobya8295
    @amrikiobya8295 Год назад +9

    Jifunze kuwaacha unaowahoji wasimulie story zao unaingilia unaharibu flow

    • @AmriOmari-tx9kw
      @AmriOmari-tx9kw 11 месяцев назад +1

      Uo ni wivu ndugu

    • @OfficialSamuel__Mtui
      @OfficialSamuel__Mtui 12 дней назад

      Wew jamaa kweli msahili wivu tena akati ameongea facts mchizi.​@@AmriOmari-tx9kw

  • @allyabdallah1768
    @allyabdallah1768 11 месяцев назад

    Polee

  • @eliannko
    @eliannko Год назад +1

    Okeeeeee

  • @salimgharib9888
    @salimgharib9888 Год назад +2

    Dupadumpange tuekee Show za Wasafiri yaani Mabaharia zinatufunza Mengi sana

  • @themanofgod7562
    @themanofgod7562 Год назад +2

    Kweli Bongo kikubwa Uzima.

  • @jillybeatz921
    @jillybeatz921 Год назад +2

    Sauti iko flat sana, rekebisheni

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Год назад +3

    Eti unapiga bakuli la msosi paaah , lkn unaona kama umekula KISHETI vile...msosi hautoshi 🤣🤣🤣

  • @sokastreet
    @sokastreet 7 дней назад

    Hao wanapga story sasa anakaaje kmya

  • @abuuomary7597
    @abuuomary7597 Год назад +3

    Hii nyingine tena mko faya 🔥🔥🔥🔥

    • @MrTzakaSanTz
      @MrTzakaSanTz Год назад

      Yaani back to back hatar 🔥🔥

  • @samwelmeela8384
    @samwelmeela8384 Год назад +2

    Mtangazaji umeharibu simulizi unaongea sana

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 4 месяца назад

    Uchunguzi wakiafrica tofauti sana na ulaya!! Haki ngumu kutawala!!! Ukiona mtu kakukalia vibaya bora sepa tu

  • @andrewcharugamba7498
    @andrewcharugamba7498 Год назад +1

    Mtangazj unaongea sana
    Uwe unatulia

  • @iddimasika1173
    @iddimasika1173 Год назад

    Ndugu mtangazaji unaharibu kw kuchomekea maneno hebu baada yakumuliza swalii jaribu kukaa kimya mpk uwe na swali jengine

  • @GodfreyEdmund-gv3zi
    @GodfreyEdmund-gv3zi Год назад +6

    TV yenu nzuri lakini Mtu wa Sauti ajitahidi inasikika Flat mnno.

  • @fridakalinga4068
    @fridakalinga4068 Год назад

    Duuuuh

  • @rajabuidrissa6611
    @rajabuidrissa6611 Год назад

    Si vyema kukalia makaburi

  • @abdulahmanmahalufu9524
    @abdulahmanmahalufu9524 Год назад

    Wazee wa chechemua

  • @Leminelimited
    @Leminelimited Год назад

    Kwanini mpo makaburini?

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Год назад +1

    Mtafute kabinyau tena dupa,,,hii story ya huyu jamaa haipandishi steam bro

  • @alleydalleyd
    @alleydalleyd 11 месяцев назад +2

    DUPA MAISHA MABOVU NENO LA SISI VIJANA WA MIAKA YA 70 TO 80..NDIO TUNAWEZA KUELEWA KISWAHILI HICHO CHA MAISHA MABOVU...AU LUPANGO..MAZABE..SHULE, JUMBA KUBWA...KULALA BURE KULA BURE...

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 Год назад

    Mmeamus mtulie makabirini

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 Год назад

    Du sio poa

  • @TaitasBang-qi5lh
    @TaitasBang-qi5lh 11 месяцев назад

    Punguza pwaguzi ndg mtangazaji