Siku zote Wana ume wa tambue hili, Hakuna mwana ume mmoja aweza kuwapa furaha wana wake wote wa wili laa hasha ☝️☝️ kabisa,ni Lazima tu Mmoja ateseke bhana.
Mzima kweli ww kutaka uke wenza ni kujitkia kulogwa kama hutologwa ww bas mwanao uke wenza ulikuw kipindi cha mitume now duniya imeharibika utakufa vibaya ohoooooooooo
Leo wa kwanza, aisee nimekuja race kuwahi nafasi hadi nimejikwaa, nimeteguka kifundo cha mguu ila nimewahi siti. Nipeni likes 50 tu wakuu
Blailam anajua nyieee...izi feeling anazoonyesh unawez fikir ni true mpen maua yake🎉🎉
mm sitk nying wakuu nipen like 10 too
Bailam hii moto walia ...naombeni likes yangu jameni 🙏 mob love from kenya
Bhailam i salute you 👑
Uwiiiiii,huyu mwanamke wa bhailam nampen.da bure,anamdomo,mchonganishi mpaka siyo poa
Uke wenzaaa nomaa hata mi c uenzi kwakwel 🤣🤣🤣
god bress you bailam mnajua kuchez vzri
Kazi nzuri sanaaa bailam keep it up
Ifike mahali wanaume mtambue kua akuna mtutu anapenda kushea mapenzi basi uku nikuoneana ssa mambo yakunilitea mkemwenzangu
Aki kunamimtu sijui inashinda mtandaoni😂😂😂Ndiyo kwnza imetok nikafkiri me nitakuw wakwanza Ila nakut comment nyomi tayr😢😢😢😢😂
mm sitak nying wakuu nipen like 10
Nakubali sana wanangu 😍
Bailam We Sio Mtu Mzuri 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Unajua Mpka Unakeraa Mzee Wangu This is True Stor to Me 🥹🥹
Aisee iyo imefika mahali nilipo sitakiwi kuongea ayo, mbwela mzee wa Ndonga duuuh.
Kwan mwaomba like mnapata nn jamn
Talaka tatu hazipiti Kwa mara mmoja ❤
Siku zote Wana ume wa tambue hili, Hakuna mwana ume mmoja aweza kuwapa furaha wana wake wote wa wili laa hasha ☝️☝️ kabisa,ni Lazima tu Mmoja ateseke bhana.
Pole naomi😢❤😊
Recho nampenda xna
Nice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Yani lecho 😁😁😁😁😁😁
Mhhh...nautaka huo uke wenza lkn Duuh unachangamoto nyingi
Mzima kweli ww kutaka uke wenza ni kujitkia kulogwa kama hutologwa ww bas mwanao uke wenza ulikuw kipindi cha mitume now duniya imeharibika utakufa vibaya ohoooooooooo
Sisi Wana wake hmm
nakukubali bailam 100 kwa usilias
Bhailam ongera sana lakini group la WhatsApp mliblock watu
Mwisho mzuri, ujumbe mzuri.
Kazi nzuri
Kazi nzuri
Uke wenza nimipishe mimi siwezi akaaaaaaa
Harafu inavyoonekana hata huyu mbwela ni mmakonde
Umenifundisha kitu kikubwa sana
Kaz nzur san bhailm anajua nyieee❤❤❤
Mke mdogo nae ana tatizo kwa nn akubali
Mashallah kuna ujumbe
Hiyi kali sana
Wallah movie zenu zote ni kali 🔥
❤❤❤❤
Top
Asante kaka tunakwelea endelea kuumiza kichwa kutupa kazi nzuri
I love it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤...
Hapa anatakiwa pia na bi mkumbwa apewe talaka sababu yeye ndio chazo
Kazi nzuli
Good movie ❤️
KAZI sasi
Nimeisoma hiyoooo
🥰🥰🥰🥰🇰🇪
huyu mwanamke hajui kujitetea
Mke wa pili mpole jaman
Tunaomba mumaliziye Movie mbona munaishiya Kati?
Season 28 na ya kuendeleya itakuwa lini?
Victoriani
nakukubal
Mnisaidieni na spelling za recho😂😂😂
Bailam on fire
Kwakweli
Like mwapeleka wap kwn 😂😂😂😂
Mbona mwisho sauti hamna😐
Naomi mwepesi rakini kakubar haraka😢
Muko poa
Inatakiwa umuowe mke wa mbwela
Mi napita tu