DIWANI |1|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 198

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp Месяц назад +71

    Unyama ni mwingi sana sapoti zenu muimu kwake 🎉🎉🎉🎉

  • @DanMark-jy2hk
    @DanMark-jy2hk Месяц назад +38

    Wangapi tunapenda kaz ya Comedy plus tuwapongeze kwa like

  • @NillyNilly-fm5pw
    @NillyNilly-fm5pw Месяц назад +7

    Marium mtoto wa diwani 😂😂 kazi iko hapa kiukweli😂

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa Месяц назад +7

    59,Jamani sisemi nawakubali sana,Mzee Simba waooooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د Месяц назад +20

    Jaman Diwani jambazi mtoto jangili waaah na hivi ndio viongozi wengi walivyo

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Месяц назад +7

    Namuona mzee MASUDI kwenye ubora wake.🎉🎉🎉🎉

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 29 дней назад

    Jamani hii movie ya diwani 😅😅😅😅, kwa ujangili huo😂😂😂

  • @deboramwakyusa2842
    @deboramwakyusa2842 Месяц назад +7

    Kazi nzuri🎉

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli Месяц назад +6

    Chuma mpyaaa yamotoo kabisaaaa❤❤❤

  • @mangalekhamis6476
    @mangalekhamis6476 Месяц назад +8

    Wakwanza mimii naombeni like zang

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n Месяц назад +2

    Kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee simba Mzee masuod kwa kazi nzuri

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂haha unamdangia mpka baba yako😂😂😂😂looo

  • @NoorEesa
    @NoorEesa Месяц назад +1

    😢😢😢hii ni dhairi kabisaa ni mambo yanatokea hongera sana❤❤❤❤

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 Месяц назад

    Kazi yenu nzuri ila hio kuwa mwili wazi si vizuri jifunzeni kujistiri nawapenda bure❤❤

  • @BarakahHans-p3k
    @BarakahHans-p3k Месяц назад

    Hao ndy madiwan wetu wa tz hongelen team comedy kwa kaz nzir❤❤❤❤❤

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp Месяц назад +1

    😂😂😂😂Diwani anasaidia watu halaf pesa anazirusha😂😂😂Sion haja ya kupiga kura Tena,,,naona napoteza time halaf mtu akipata cheo anajiangalia yy na family yake

  • @lilianmasinde-lm4wz
    @lilianmasinde-lm4wz Месяц назад

    Nawpenda sana jmn naenjoy kuwafaam❤❤

  • @godefroidniyonkuru7332
    @godefroidniyonkuru7332 Месяц назад +3

    Wakwanza kabisa from south 🇿🇦

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Месяц назад +7

    Jamani nipo hapa wakwanza kutokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...nipeni like kwnye movie nzuri hapa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @linusrichardmukuras8702
    @linusrichardmukuras8702 Месяц назад

    Umeama kwenye movie za kishirikina😅😅😅

  • @Gsh-ov2ut
    @Gsh-ov2ut Месяц назад +2

    Yaani huyu mzee simba ni mtu na heshima zake ata huu ujinga wenye amefanya mariam amemdhalilisha sana❤❤❤❤❤

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 Месяц назад

      Kama imekuumiza basi amevaa uhusika vizuri mzee Simba wako wazee kama hao

  • @Kmpshowpatient
    @Kmpshowpatient Месяц назад +1

    Tupo wa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 namkubali Naomi

  • @aisharashidi5162
    @aisharashidi5162 Месяц назад

    Chapa kazi kaka mwenyez mungu akusimamie kwenye kila hatua Inshaallah☝️

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Месяц назад +2

    Nawapenda sana kwa KAZI zenu nzuri

  • @kadegeolesaita6515
    @kadegeolesaita6515 Месяц назад +4

    Another one 🎉🎉

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 Месяц назад +2

    😂😂😂kwer hao wanannchi hawana kili 😂😂😂sasa unaachwa unaenda kwadiwani

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji Месяц назад +10

    Msipende sanaaa kukaa uchi jmn nawapenda sanaaa

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 Месяц назад

      Hawajielewi ao

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji Месяц назад +1

      @aishamuhammad7785 maana sometime ukiwa unaangalia watoto wanakuja kuchungulia inabidi kuanza kuwafukuza wapunguze muvi nzuri kuliko uchi

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 Месяц назад

      ​@@xxxl-jf2jiNaona wamekaa km wanaigeria, Tanzania tunapoteza utamaduni wetu kwakweli

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 Месяц назад

      Waaaaa yani diwani amekupapesa kisha anatuma vibaka zinarudi kwake mwisho tena utazilipa looo zambii hii jamani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Месяц назад

    Duuu diwani nakatibu wake hawafai kabisa

  • @Jamillah96
    @Jamillah96 Месяц назад

    Janeth jina la sharifa halijamkaa sjui kwann😂Ila nawapenda wote,nimemmisi Naomi

  • @Mrbloodred
    @Mrbloodred Месяц назад

    Nakubali mzee simba umefaa kua diwani

  • @FaustaKessa
    @FaustaKessa Месяц назад +4

    Kwaiyo shetani imeiSha

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama Месяц назад +1

    Hii movie imeanza n moto sana❤❤❤

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Месяц назад

    Mmmmmmmh kazi ipoooo

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb Месяц назад

    Mie mwenzenu nampendaga issa anajua mpk anajua tena ❤❤😂

  • @KINGKISStv
    @KINGKISStv Месяц назад

    Yes I like it ,asali sana hii

  • @NasraLove-t2y
    @NasraLove-t2y Месяц назад

    Hongereni kwa kazi nzuli

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 Месяц назад +1

    Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha Месяц назад +1

    Kweli diwani 😂😂😂

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n Месяц назад

    Jamn nzur

  • @nerryabel7512
    @nerryabel7512 Месяц назад

    Series mzuri sanaa inaonekana, Mh Diwani kapendeza mno✌️✌️

  • @PaulCharles-p6o
    @PaulCharles-p6o Месяц назад +1

    Bonge la movie 🎉❤❤

  • @KabiyaBenoitMutanduzi
    @KabiyaBenoitMutanduzi Месяц назад +1

    Nimeipenda sana iyi kali sana
    Comment yangu kutokeya Congo DRC

  • @gloryjohn4531
    @gloryjohn4531 Месяц назад +1

    Ipo hot balaa ndio ninachowapendea toa kitu weka kitu halafu vya moto❤

  • @Mwanamisi-q6y
    @Mwanamisi-q6y Месяц назад +1

    Mashallah kazi nzur...❤...naomben Ata like moja😊

  • @MaryamMaryam-vl8lm
    @MaryamMaryam-vl8lm Месяц назад

    Usicheleweshe hii kazi jmn yaani mambo ni moto

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Месяц назад

    Apo kwanzo nmekubali 😂ur welcome my beb😂love from 🇰🇪🇸🇦🥰

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +1

    Chuma kipya❤🎉

  • @slokidog
    @slokidog Месяц назад

    wawuuh nimewayi leo ❤

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Месяц назад

    Noma san aisei❤😂😂

  • @ImuSoon
    @ImuSoon Месяц назад

    Tuna tmbaa na smsngziii haahha

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 Месяц назад

    Hayaaaaaaa sasa
    ❤❤❤❤❤❤

  • @Sukhan255
    @Sukhan255 Месяц назад

    Wangapi tunapenda kazi za comedy plus

  • @RehemaManyeso
    @RehemaManyeso Месяц назад

    Kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤

  • @SamouOman
    @SamouOman Месяц назад

    Jaman mtoto wa diwan nakupenda

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Месяц назад

    Kazi mzuri sana wakuuuu.

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Месяц назад

    Nawapenda mno nyinyi teama bhailam ❤❤❤❤

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Месяц назад +1

    Nomaa sanaa🙌

  • @slokidog
    @slokidog Месяц назад +1

    kazi nzuli sana nimewayi leo naomba link ata 10 apa

  • @rashidsaid6015
    @rashidsaid6015 Месяц назад

    Huyo ni mh diwani wangu kbs ktk kata yetu

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 Месяц назад

    Safii sanaaa😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад

    Mambo ni moto🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lindauma982
    @lindauma982 Месяц назад +9

    Diwani ndio nn jmn nyie mm mkenya mnifunze bac😂😂😂😂

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy Месяц назад +3

      Ni M.C.A

    • @lindauma982
      @lindauma982 Месяц назад

      @Beb-r9v ok thanks aki kumbe ni hivyo 🤔😂😂

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy Месяц назад +2

      Wenye kuwalisha ward diwani(MCA)

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy Месяц назад +1

      @@lindauma982 🙏🙏yes

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 Месяц назад +1

      Yani hujui diwani aaah umeniangusha khaaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Месяц назад

    Mtoto wadiwani kweli sio poa tapeli wamapezi na baba tapeli wawanainchii

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 Месяц назад +1

    Bakhilam yupo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @ZanabZone
    @ZanabZone Месяц назад

    Jamani ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @witnessmaturege2944
    @witnessmaturege2944 Месяц назад

    Ila Marimu khaaaaaaaa

  • @LuqmanIbraah
    @LuqmanIbraah Месяц назад

    Kazi nzuri sanaa 🇧🇮🇧🇮

  • @SaidAli-g8z
    @SaidAli-g8z Месяц назад

    Amazing

  • @BINTmohammed-fu9gp
    @BINTmohammed-fu9gp Месяц назад

    Maryam my favourite person love you from Kenya

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo Месяц назад

    kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @RukaiyaMzuzuri
    @RukaiyaMzuzuri Месяц назад

    Kazi mzuri

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt Месяц назад

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉Kitu kimpy🎉🎉

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r Месяц назад

    Mzee masud jmn 😂😂😂😂

  • @Ademjunior-l6b
    @Ademjunior-l6b Месяц назад

    ❤❤❤❤love this

  • @RebecaAseri
    @RebecaAseri Месяц назад

    𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐚 ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 Месяц назад

    Hii Moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MutukuMututumutush
    @MutukuMututumutush Месяц назад

    Kazi zuri sana

  • @Maryamhassan-kq9ql
    @Maryamhassan-kq9ql Месяц назад

    Ila Mariam ww 😊😊😊

  • @OmmyChisawani
    @OmmyChisawani Месяц назад

    Jackmipamba umejamba kwenye daladala umeludi umefumaniwa pumbavu umalaya tu kutulia aaaah

  • @Naima-v6x
    @Naima-v6x Месяц назад

    Mariam aliposhtuka tu nimejua amemwona babake 😂😂😂😂😂😂. Inatisha

  • @yunuschum3754
    @yunuschum3754 Месяц назад +1

    New season 🎉❤

  • @UZURIHamza
    @UZURIHamza Месяц назад

    MUkaze mutatokaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 Месяц назад

    Nice movie ❤❤❤❤❤

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR Месяц назад +1

    WA KWANZA KUTOKA DAR ES SALAAM NAOMBA MAUWA YANGU LEO NIMEWAHII

  • @sinashabani-k7q
    @sinashabani-k7q Месяц назад

    Nice job🎉🎉

  • @webnet5652
    @webnet5652 Месяц назад

    Nc San ❤❤❤

  • @AngelinaArchard
    @AngelinaArchard Месяц назад

    dihno yuko Wp

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j Месяц назад

    Huna baya kaka bhailam

  • @JibranMursali
    @JibranMursali Месяц назад

    Mnachelewa banaaa😢😢😢😢😢

  • @hashimvilla7089
    @hashimvilla7089 Месяц назад

    Jaman mbn naomi simuoni

  • @mwajeybakary2346
    @mwajeybakary2346 Месяц назад +2

    Diwani litakukuta jambo

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg Месяц назад +1

    Ila Diwan unakuja kuumbuka vbaya sana au bas hii n movie tu

  • @AngelaNabifo
    @AngelaNabifo Месяц назад +4

    Wa kwanza Leo naombeni like zenu please 🙏🙌

  • @ZuhuraAbdallah-u9o
    @ZuhuraAbdallah-u9o Месяц назад +3

    Wa 33 from. Oman

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 Месяц назад +2

    Wowo❤🎉❤🎉🎉npo na nyie kuanza movie mpya

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg Месяц назад +1

    Hii n Diwan kwl make mmmh

  • @danieljuma4387
    @danieljuma4387 Месяц назад

    Leten season 3 shetan

  • @chrislandan6288
    @chrislandan6288 Месяц назад +1

    Diwani

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 Месяц назад

    Ww Maryam kazi kukaa uchi tu

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna Месяц назад

    Daah ipo hot balaa ila maryam ety kimbelembele cha nn 😂😂😂😂😂