IBRAHIM URASSA - AMAPIANO
HTML-код
- Опубликовано: 5 июн 2023
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04 Развлечения
Yan wewe Kaka ulipaswa uwe no 1 Ila fitna tu Sasa ucjal toa nyimbo yako 1 tu watanzania wote tutakusupport
Uku n Bora kuliko bss
Woyo woyo 🎉❤
Waoh 🌺
Mchagga akiona hela mbele ni shiiida big up
Huyu jamaa alishika namba ngap jaman mbn hatar
Nice
Big up brother....hongera sana kwa KAZI nzuri na kuonyesha kipaji....big up sana kwa familia YAKO ya Wana miburani sec...daima wako pamoja nawe ..I feel proud of you....big up
All of her performances were on top...
Bro unakipaji sana. Utafika mbali. Watanzania wanahitaji Performance, Vibe, Entertainment, and Vocal unayo. Nakukaribisha kujifunza vingi Heavenly Vocal and Music School.
Wow! Amazing talent❤🎉🎉
Unitlent is unfair the way haukukuwa wa kwanza.u deserve the 1rst place
Og unajuaaaaaaa
Oaaaa utaua familia so poa bro
Urasa ni fundi
Hao wapiga vyombo n dunia nyingne 😂😂😂😂khaaaaa
Umeona na ww kumbe.
🔥🔥🔥iki kisanga kingine👐👐
Atareeeeeeee huyu mwambaaaaaaaa
🔥🔥
Love
Keep it up bro
Byser 😂🫡
Mshindi wang
Nomasana
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Jamani angekosa ushindi uyu kaka ningesema uchawi upo
Kazi kazi
Anakaa.costa kimpango
🎉🎉🎉🎉
Yani ww ndo ulistahili kushinda
Mlifanya tofauti hapa huyu ndo mshindi 2nayemjua sie
Alikosa Akapewa Mdada, huyu ni wa pili
Charii chuga unajua jox umekaza kinoma man si chuga tuna kupa ligwala
Me sioni talent. He could be a good MC and he can pull a crowd and has vibes. Lakini talent nop
Hujajua maana ya neno talent... MC pia ni talent.
Na wewe yako😂