UNITALENTSHOW|GRAND FINALE|SEASON 04|PART 3
HTML-код
- Опубликовано: 27 сен 2024
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04
Hawa majaji wanataka kuharibu mashindano wenyewe,,,badala ya kutangaza mshnd wanaleta habar za 50/50
Asee Urasa 😭 kwa nn hamjamtendea haki bhana , amevibisha sana
urasa alistahili kuwa mshindi.
Littleboy ANGEPEWA HELA YKE TU
❤❤❤
Littleboy ndo amefanya final iwe fire
Mshindi wangu Sasa namba 1
surely we have talents
Majaji nimewakubali Sanaa hawana maneno ya kejeli kama wale wa BSS
Akir huna ww hujui smtmes maneno humjenga mtu
Sikiliza vocal za hawa alaf nenda bss ndo utajua mziki n kit kingne kule mtu akifika final anakua tyr ni msaniii aliyeiva
@@lastsimbatv1497 sawa Asante ndug
Haya
Kuma la mamaaako
Tuone Hilo neno litakujenga akili 😂😂
@@mohamediddy5615😂😂😂😂😂daaaah ila ww
Abdu ndoo mshindi aseee
Uyu mkali
Achia like za finally #tellaaxistz
AbdulRahman namkubali na mashairi yalioenda skulini
Kama kawaida abduli
noma sana
Mbona wakwanza ndiye wa pili?
Abdul
U a de wine 4 re
Abdul aisee
Famasiala ama nn????
Urasa alikua na mwamba hii show sichoki kuacha kuangalia mwamba alikua na energy ya kutosha anajua kutumia band na kucheza na audience
Uyu mduduu n jin sio mtu aisee
Coz c unajua men