Mie nikushauri hebu wambieni viongozi wa serikali msiwasifu tuu wapelekeni na hayo matatizo ya wananchi miaka 60 naaa bado tunalia na maji 😢😢aibuu na fedheha yashapitwa na wakati hayo mambo jamanii hee
Hii serikali tunayolipia kodi zetu ili itatue matatizo haya iko wapi? Wabunge na wawakilishi wa hili jimbo wako wapi? Mshara wa mwezi mmoja wa mbunge na mwakilishi tu unaweza kujenga mradi wote huo na kutatua hii kero. Hii nchi ina mafisadi vibaya.
Chakushangaa viongozi wanajenga mambo yasio na maana eti kiwanja pesa kibao zimetumi watu wanahangaika kwa maji wao waninjoy kwa Kodi zetu kudadadeki hasira uongozi wa xxm hamna maana pesa mbili machizi washirikina wakubwa nyinyi hamna ata huruma
Kwa kweli wanyonge tunapitia mazito sana ewe MWENYEZIMUNGU tujaalie jannat katika mwisho wetu😢😭😢😥😓
Enyi matajiri enyi matajiri enyi matajiri😓😥😢😭 Allah anaeaona
Subbuhanallah. Subra . Kijiji gani hicho huko pemba
ALLAAH awalipe khery na awape MOYO wa Subrah juu ya hio shida...wanayoipitia ...Aamin
Aamin
Jamani wenye uwezo wachimbieni visima hawa kina mama kwenye sehemu zao.
Mie nikushauri hebu wambieni viongozi wa serikali msiwasifu tuu wapelekeni na hayo matatizo ya wananchi miaka 60 naaa bado tunalia na maji 😢😢aibuu na fedheha yashapitwa na wakati hayo mambo jamanii hee
Ni shida juu ya shida kwa wananchi
InshaAllah biidhnillah taala
Inafaa hawa wananchi watumie solar itakayo wawezesha kuvuta maji ili iwe rahaisi
Poleni sana😢 Musijali kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wa Allah
Allah atupe wepesi kwenye mambo ya kheri tuweze kutoa miongoni mwa Alivoturuzuku Allah nisehem gani hapo
Sahau mdogo wangu alfatah hawatokujibu sehemu gani hata sielewi kwa nini Allah atuongoze
Allah atawalipa
Allah atajalia wepes inshaAllah
Allah awalipe kheir
Huku ni kwenye kujiekeza Ndugu zangu tuwasaidie Hawa Waislam wenzetu
Kijiji gani hicho??
Ivyo Raisi mwinyi afanya Nini ewe mzee saidia. Wananchi
Tunaomba namba kwa sh 100 tulionayo tuchangie
Namba zinapita hapo kwenye video
Hii serikali tunayolipia kodi zetu ili itatue matatizo haya iko wapi? Wabunge na wawakilishi wa hili jimbo wako wapi? Mshara wa mwezi mmoja wa mbunge na mwakilishi tu unaweza kujenga mradi wote huo na kutatua hii kero. Hii nchi ina mafisadi vibaya.
😅😅Khatari