Umeongea vyema sana. Waitara ni jirani yangu,mimi nipo Bungurere yeye Kangariani. Ni tapeli na kibaka anayelewesha vijana na wazee wa mila ili apate ushawishi na kukubalika
Nikushauri tu mzee wangu ujifinze kiswahili pia ufue sharti uliyovaa ili shart ya ccm ionekane kwa juu pia kesi ya mtu ambayo wewe so msemaje unaonekana hata kwako watu hawana amani
Acheni ujinga wenu Sasa mnamueleza nani kama sio majungu Nini?nyie mnaolalamika mko Jimbo la tarime mjini mnamlalamikia mbunge wa tarime vijijini kama sio kukivuluga chama Nini???!
Nyie endeleeni kujikanyaga Jimbo la Tarime vijijini ni la john Heche!!
😂😂😂😂😂Njaa ni mbya jamani
ccm niwahuni sasa mwenyewe umezibitish
Umeongea vyema sana. Waitara ni jirani yangu,mimi nipo Bungurere yeye Kangariani. Ni tapeli na kibaka anayelewesha vijana na wazee wa mila ili apate ushawishi na kukubalika
Kiswahili sasa dha
Eti rais ana hati miliki pumbavu
Kumekucha
Acha upuuzi ww hii siyo taratibu ya ccm ww ndiyo unataka kupasua chama
Kwaiyo mbunge hana chama🤔🤔
Nikushauri tu mzee wangu ujifinze kiswahili pia ufue sharti uliyovaa ili shart ya ccm ionekane kwa juu pia kesi ya mtu ambayo wewe so msemaje unaonekana hata kwako watu hawana amani
Kwani Mh. Wasira aligombea na Nani ?? Demokrasia
M 600😂😢
Mbunge wa vijijini msemaji wa mjini. Wapi ma wapi
Wewe umepata wapi mamlaka hayo
Nimependa hiyo bado mtaongea yote
😂😂😂😂😂🙌
Huna akili unaongea nini huna Elimu huna chochote kimpya wewe ni chawa tu hujui chochote
Mbona watu wa mjini ndo mnaseweweka na mambo ya vijijini ngicho ni wajibu wake kuwa Linda wagombea wa ccm Kwa nafasi mbali mbali,si vinginevyo,
Daaah kumbe!? Milioni 600 kuleta ushindi wa wabunge wawili tuu wa CCM?
Kwani wewe mzee hamna vikao vya dani hufai kuwa ccm milioni miasita hiyo ilikuwa ya nini ?
Acheni ujinga wenu Sasa mnamueleza nani kama sio majungu Nini?nyie mnaolalamika mko Jimbo la tarime mjini mnamlalamikia mbunge wa tarime vijijini kama sio kukivuluga chama Nini???!