Essence of Worship - Shangilia (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @dannmburu
    @dannmburu 3 года назад +64

    How many Kenyans 🇰🇪 are here for good gospel music.

  • @gracekasege7777
    @gracekasege7777 Год назад +21

    Tuliofika kusikiliza tena baada ya Mwl Mwakasege kuimba huu wimbo leo 21.04.2023 Dodoma gonga like

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 3 года назад +920

    Kenyans🇰🇪
    Where are you
    Kama umependaa huu wimbo
    👇Fanya ile kitu hapa

    • @vusinkuna453
      @vusinkuna453 3 года назад +4

      Mungu bariki hii team ❤️

    • @epifaniamwinuka7490
      @epifaniamwinuka7490 3 года назад +5

      Piga kelele kwa bwana

    • @waihiga124
      @waihiga124 3 года назад +4

      We are here na tumefanya ile kitu.

    • @suzannzuki6951
      @suzannzuki6951 2 года назад

      Iko super glorious. Loving Essence

    • @ahadimbindi4135
      @ahadimbindi4135 2 года назад +1

      Mungu afanyike baraka huu wimbo umefanyika baraka kwangu

  • @zainabuhashim6916
    @zainabuhashim6916 3 года назад +13

    Kwa yesu kuna raha bhana wewe acha tu.....kwa wimbo unaawezaje kutoka uweponi mwa mungu...aiseeee mungu atusaidie kuketi kwake milele na milele

  • @boazdanken
    @boazdanken 3 года назад +1276

    Niliusubiri Kwa Hamu sana God bless you Essence of Worship

  • @stellamrema5303
    @stellamrema5303 3 года назад +8

    Kwa sifa hizi wacha Mungu ajichukulie utukufu maana ametukuka milele

  • @mwamvitamhongole9320
    @mwamvitamhongole9320 3 года назад +20

    Najivunia kwakwel kuwa miongini mwa watanzania ...Mungu ameibariki Tanzania Kuna watu wanao mjua Mungu mpaka shetan anaona wivi ..Mungu iponye Tanzania sio kwamba tunastaili ila na kusihiii Kwa huruma zako tu Mungu

  • @minmianzi
    @minmianzi 3 года назад +15

    Hii ni duniani, imagine mbinguni tutakavyokuwa tukiimba.... hakika sitamani kukosa siku ile

  • @foodie2660
    @foodie2660 3 года назад +392

    Wakenya are you ready for this team this coming November? Drop your likes here. Due to public demand Evelyn Wanjiru must bring them

  • @ben-s4o7i
    @ben-s4o7i 2 года назад +36

    It had to be from Tanzania. I love how they are reserved and the art of the old cross kind of worship and praise . The Gospel of Jesus Christ cannot be " modernized " .

  • @ullyamos4205
    @ullyamos4205 3 года назад +80

    Biblical content 100%
    Vocal arrangement 100%
    Music arrangement 100%
    Stage, Light & sound are perfect.
    May God Bless @essenceofworship for the great Praise offering to him and being a pathway leading us to worship.

  • @lauralkinyaha
    @lauralkinyaha 3 года назад +208

    My best line......
    Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,
    Msifuni kwa matari na kucheza,
    Msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi....
    Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. Msifuni Bwana! Shangiliaaaaaaaaaa

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 3 года назад +249

    Tunaojua siku moja tutaenda kuimba na malaika mbinguni na Bwana tujuane tafadhali👏👏💃💃

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 3 года назад +10

    Brother Gwamaka Lazima Ufike Nchi mbalimbali Kubwaa Kuanzia Africa hii sehemu nyingi, Marekani, Europe, Asia na Hata miisho ya Nchi wewe na Team yako.

  • @ESTHERKIARIE-hn5tj
    @ESTHERKIARIE-hn5tj 8 месяцев назад +3

    Ametukuka katika maisha yangu milele apewe sifa

  • @derickmarton
    @derickmarton 3 года назад +14

    Na kuna watu eti wanatafuta chanjo jamanii wangapi tumepata chanjo kwa kusikiliza wimbo huu🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥chanjo ya rohoni fam essence of worship hawajawahi niangushaa mbarikiwe saaaanaa

  • @florianflorian9606
    @florianflorian9606 2 года назад +8

    Wimbo wa kusisimua Sana haki mpaka watu hawajapenda uishe wakaamua kujiimbia🙌🙌,kama uko Tanzania na umrudia zaidi ya mara kumi tujuane kwe like hapo👇

  • @paulclement25
    @paulclement25 3 года назад +12

    Kazi kali sanaaaaaa mbarikiwe sanaaa 🔥🔥🔥 na ina upako

  • @agathakatheu2791
    @agathakatheu2791 2 года назад +3

    Hapo sasa!! Kongole Tanzania👏🏾👏🏾
    Neema zake Mola ziwatoshe👌🏾👌🏾

  • @OneniDavid-r3v
    @OneniDavid-r3v 8 дней назад

    Vizuri sana ,iyi kwaya ina leta watu kujuwa nakuelewa ukuu wa Mungu,mubarikiwe sana

  • @Godwillbabette1
    @Godwillbabette1 3 года назад +296

    I loooove it am blessed and energized. God bless essence of Worship

    • @dicksoneremiah
      @dicksoneremiah 3 года назад +5

      I'm happy to hear from you Tanzania we wants to speak with our God that he's mighty forever

    • @speranzakiragu3848
      @speranzakiragu3848 3 года назад +3

      We love u too Godwill Babette... God bless u and increase u

    • @witsonjames
      @witsonjames 3 года назад +3

      Oooooh yeeeeesssss.. celebrate Jesus. I love u Jesus, i love my Tanzania

    • @speranzakiragu3848
      @speranzakiragu3848 3 года назад +3

      God bless Essence of worship abundantly👍

    • @berryhamso1003
      @berryhamso1003 3 года назад +2

      GODWILL my fav artist

  • @Lolo_makota
    @Lolo_makota Год назад +43

    I’ll sing this song on my wedding day❤️ when the time is right the LORD will make it happen 🙏

  • @gloryutukufu6343
    @gloryutukufu6343 3 года назад +20

    Hii siku ilibadilisha maisha yangu. Sifa zimwendee Bwana Yesu

  • @benjaminmunkondya
    @benjaminmunkondya 3 года назад +31

    Tanzania Is Blessed With 2 (Two) Things
    Mount KILIMANJARO And The ASSENCE OF WORSHIP.🙌🙌🙌

    • @barakakamugisha8182
      @barakakamugisha8182 3 года назад +1

      And so much more 😂

    • @d27music32
      @d27music32 3 года назад +2

      Bro u just made my day hahahahahaha.Essence wamenibariki ila bro kwa namna nyingine na wewe umenibariki pia

    • @ennymaphie84
      @ennymaphie84 3 года назад +1

      😂😂😂😂 Jaman jaman

    • @einotilarashi6178
      @einotilarashi6178 2 года назад

      Amina sana kaka 😊🔥

  • @Wakio231
    @Wakio231 3 года назад +474

    Tanzanian people don't joke with the gospel, I can see even the youths. This is super awesome.

  • @abrahamterah6316
    @abrahamterah6316 Месяц назад +1

    HallaluYAH!
    Praise be to Yahusha...
    Barak Tele!

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya 3 года назад +301

    It was a glorious day. Acha Mungu atukuke milele

  • @stellaakinyi-uk3ye
    @stellaakinyi-uk3ye 6 месяцев назад +1

    🤩👍💖i love it

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 2 года назад +18

    My baby is 10 months old and he hums to this song every time it plays. YES, LORD continue to speak to my sweet baby boy!

  • @mwanjokaully4904
    @mwanjokaully4904 3 года назад +42

    TANZANIA is blessed to have you Gwamaka and the whole Team hasa kwa kizazi hiki..... God bless you...!! Ametukuka..... Milele Ametukuka....

  • @jamesmumo9863
    @jamesmumo9863 Год назад +3

    Still making a spiritual impact in 2023.............zidi kutukuka bwana Yesu.

  • @kutswastanley7465
    @kutswastanley7465 3 года назад +265

    Essence of Worship is East & Central Africa's equivalent of Joyous Celebration...much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @happyvero9337
    @happyvero9337 Год назад +3

    Kaka ubarikiwe sana huu wimbo naupenda sana

  • @nathalietshibuabua5524
    @nathalietshibuabua5524 3 года назад +47

    Very nice, everything it is perfect and I'm blessed with this song from
    🇨🇩, I like Tanzania gospel
    Mungu ni mungu too

  • @aliceokoth3540
    @aliceokoth3540 3 года назад +3

    Acheni Mungu atukuke milele! Shangiliaaaaaa...!

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 3 года назад

      Hakuna kama YEYE
      Ameketi pahala patakatifu 🙏🏿🙏🏿

  • @johncharlessingano8551
    @johncharlessingano8551 3 года назад +32

    Shallom my lovely brother ...nawapongeza kwa kazi kubwa ya MUNGU na kama unaamini Tanzania we are going the next next next levels in praise and worship..weka like yako hapa twende sawaaaa...

  • @HamisaMashambo
    @HamisaMashambo 6 месяцев назад +2

    Napenda Sana huu wimbo jmn unanibariki

  • @GodisGreatThroJesus
    @GodisGreatThroJesus 11 месяцев назад +3

    Anastahili sifa za mioyo yetu, hallelujah
    Hallelujah
    Vigelegele kwa Yesu
    Shangilia
    Piga kelele kwa bwana
    Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    (Shangilia) Shangilia
    (Piga kelele) piga kelele kwa bwana
    (Shangilia) Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Shangilia
    Piga kelele kwa bwana
    Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    (Shangilia) Shangilia
    (Piga kelele) piga kelele kwa bwana
    (Shangilia) Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Huyu Yesu
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Eeh bwana, jina lako la milele
    Mungu nguvu la vizazi hata vizazi
    (Eeh bwana)
    Eeh bwana, jina lako la milele
    (Kumbukumbu la)
    Kumbukumbu la vizazi hata vizazi
    Mataifa yote msifu bwana
    (Enyi watu wote humu ndani)
    Enyi watu wote mhimidini
    (Mataifa yote)
    Mataifa yote msifu bwana
    (Enyi watu wote mhimidini)
    Enyi watu wote mhimidini
    Msifuni kwa mfumo baragumu
    Msifuni kwa kinanda na kinumbi
    (Msifuni kwa matari)
    Msifuni kwa matari na kucheza
    (Kila mwenye pumzi)
    Kila mwenye pumzi na msifu bwana
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    (Huyu Yesu)
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    (Huyu Yesu)
    Ametukuka, milele ametukuka
    (Huyu Yesu)
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    (Huyu Yesu)
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Shangilia
    Piga kelele kwa bwana
    Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    (Shangilia) Shangilia
    (Piga kelele) piga kelele kwa bwana
    (Shangilia) Shangilia
    Msifu bwana wa mabwana
    Shangilia
    Piga kelele kwa bwana
    Shangilia
    (Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
    (Shangilia) Shangilia
    Piga kelele kwa bwana
    (Shangilia) Shangilia
    Msifu bwana wa mabwana
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka, milele ametukuka
    Ametukuka!
    Ametukuka, milele ametukuka
    Shangilia

  • @mercyremmy9580
    @mercyremmy9580 3 года назад +127

    Who else is here after the 72 hours of worship at Kingdom seekers Nakuru Kenya.
    Church without walls we were blessed.
    You guys are on fire for Jesus,a blessing to this generation.
    More Grace

  • @pastorsafari6087
    @pastorsafari6087 3 года назад +120

    Wow! Congratulations. Powerful song

  • @SurprisedLotusFlower-ve2wj
    @SurprisedLotusFlower-ve2wj 9 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉shangilia...kwa hakika aametukuka🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @wasalipaharembo16
    @wasalipaharembo16 3 года назад +6

    Mbarikiwe sanaa watumishi wa MUNGU!

  • @mgosingwa2000
    @mgosingwa2000 3 месяца назад +2

    Mbarikiwe sana Essence of Worship kwa kuvaa nadhifu na kujisitiri. Endeleeni hivyohivyo msiige mavazi ya Bongo Flava! Nimewapenda bure!!

  • @dionesiasarakikya7963
    @dionesiasarakikya7963 2 года назад +3

    Wooooooooooow shangilia piga kelele kwa Bwana

  • @reganmahene6358
    @reganmahene6358 3 года назад +2

    Samahani mimi naomba kuuliza,,,,,Kuna baadhi ya maneno kwenye wimbo sija yaelewa,,,,,,,,
    Hv ni
    Ee Bwana jina lako la milele Mungu nguvu la vizazi hata vizazi,,,,,,,,,
    Au pote panaibwaa
    E bwana jina lako la milele Kumbu kumbu la vizazi hata vizazi

  • @irenehmbatha7745
    @irenehmbatha7745 3 года назад +21

    Sifa zote kwa Mwenyezi Mungu...i can't imagine the feeling in heaven if I myself is this happy

  • @ireenndanshau6532
    @ireenndanshau6532 3 года назад +2

    Nawapenda sana essence nyimbo zenu mbarikiwe sana napatika kinondoni revival church

  • @karenkimambo3686
    @karenkimambo3686 9 месяцев назад +5

    Yesu Yesu asifiwe

  • @HappyGreyElephant-kk3ih
    @HappyGreyElephant-kk3ih 8 месяцев назад +1

    Wimbo mtamu kazi nzuri sana!

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 3 года назад +9

    Jamani amkeni amkeni amkeni Tz yetu kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️ hii nyimbo itakuwa international anthem maana kila kitu kipo katika viwango vyake 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AngelSunta-c6j
    @AngelSunta-c6j 9 месяцев назад +1

    Kwa uimbaji huu hatar sana

  • @alexkaishamimoh3237
    @alexkaishamimoh3237 3 года назад +7

    Wimbo ulioje huu. Mungu wetu kwa kweli anastahili sifa za mioyo yetuu. Kazi nzuri Essense of Worship. Napendezwa na sauti hiyo ya wanaume(Bass) perfect rendition and arrangement. Soxophonists perfect work. Mungu ametukuka milele

  • @phyllismuthoni8217
    @phyllismuthoni8217 Год назад

    Kweli ametukuka🙏🙏

  • @Simply-Life-with-Es
    @Simply-Life-with-Es 3 года назад +4

    Shangilia Piga kelele kwa Bwana
    Shangilia Msifu Bwana wa Mabwana*2
    Ametukuka milele Ametukuka*😊
    EE Bwana jina lako la milele ,kumbukumbu la vizazi hata vizazi
    Mataifa yote Msifu Bwana ,Enyi watu wote mhimidini
    💃💃💃💃💃💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺💃💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺🕺💃💃💃

  • @fortunemmanta9827
    @fortunemmanta9827 3 года назад +210

    Shangilia🙌 heard this for the first time on Trace gospel and was so blessed. Here I am praising God in a language I don't know but absolutely love. Love from Nigeria 🇳🇬
    P.S: I'd really appreciate the lyrics .❤️

    • @veeJesus
      @veeJesus 3 года назад +1

      Ure welcome

    • @christinaalexander1213
      @christinaalexander1213 3 года назад +2

      God bless you,this is SWAHILI lg from East Africa.Shangilia means shout out /rejoice .

    • @marysadock5258
      @marysadock5258 3 года назад +1

      Amen,be blessed.

    • @herryowuor1250
      @herryowuor1250 3 года назад +3

      un official
      Shangilia
      Piga kelele kwa bwana
      Shangilia
      Msifu Bwana wa Mabwana
      Ametukuka milele x6
      Shangilia
      Piga kelele kwa Bwana
      Ee Bwana jina lako la milele
      Kumbukumbu la vizazi hata vizazi x2
      Mataifa yote msifu Bwana
      Enyi watu wote Mhimidini x2
      Msifuni kwa mvumo wa baragumu
      Msifuni kwa kinanda na kinumbi
      Msifuni kwa Matari na kucheza
      Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana
      Ametukuka milele, ametukuka

    • @danielnolo5331
      @danielnolo5331 3 года назад +2

      This is Swahili language from Tanzania(East Africa)...Shangilia means shout out/ rejoice....

  • @wambui_davids
    @wambui_davids 3 года назад +154

    How beautiful and blessed is this!! Sending all the love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. God bless you guys!!!!

    • @petronillalhmaloba2043
      @petronillalhmaloba2043 3 года назад +3

      Kwani it's from which country

    • @wambui_davids
      @wambui_davids 3 года назад +2

      Essence is a music ministry from Tanzania❤️❤️❤️

    • @hannahskitchenke
      @hannahskitchenke 3 года назад +3

      I'm seeing you leading this song very soon 😊😊

    • @gladnessmugisha4038
      @gladnessmugisha4038 3 года назад

      🐷tþ5řu…

    • @lenahmwangi2315
      @lenahmwangi2315 3 года назад +1

      I am here because of you @Rhozee, your status made me be aware of their existence

  • @MariaEnock
    @MariaEnock 5 месяцев назад +6

    Nipo kwa kitanda halafu nacheza pekeangu juu ya huu wimbo, kristo Yesu awainue zaidi na zaidi.

  • @johnwainaina6542
    @johnwainaina6542 3 года назад +5

    Kila kilicho na uhai kimsifu Bwana.. Hallelujah..Shangilia ni wimbo ambao umetoka kwa wakati. Asante sana Essence of Worship..the vocals are on point..sops,tenors and the the deep bass voice the bgvs are amazing..mpangilio wa wimbo uko sambamba.

  • @FURAHAK
    @FURAHAK Год назад

    Ametukuka milele ametukuka 🎉🎉

  • @MiriamSagini
    @MiriamSagini 3 года назад +124

    Hii wimbo is such a vibe, and is a millennial hymn! Thanks for putting up the translation too for those who won’t understand the language, so that we can Shangilia the Lord together. God bless you! Love and joy from +254 🇰🇪 .

  • @JacksonLokusi
    @JacksonLokusi 7 месяцев назад +2

    Mataifa yote msifu bwana❤❤❤

  • @shaddymcheshi7085
    @shaddymcheshi7085 3 года назад +108

    I guess we Kenyans 🇰🇪 are your biggest fans. Thank you for the beautiful song 🎵 as we make a joyous celebration unto the Lord.

  • @mpukuchicollin4617
    @mpukuchicollin4617 8 месяцев назад +2

    Najivunia kuwa moja ya watu walioweka kumbukumbu kwenye live recording ya huu wimbo CCC UPANGA mwezi wa 6 , 2021 🎉

  • @freedriwa7050
    @freedriwa7050 3 года назад +33

    This is what we can call Worship. When people are lifting the name of Jesus and not bragging about their wealth and riches...
    Hope Tanzanian gospel artists will Learn from this group..

  • @saadarajabu441
    @saadarajabu441 2 года назад +1

    Acha tushangilie kwa bwana

  • @brinnalevison7926
    @brinnalevison7926 2 года назад +3

    Nawapenda sana jamani majua kusifu 🇹🇿🥰🥰 ametukuka yesu amen

  • @philomenanzuve2323
    @philomenanzuve2323 3 года назад +2

    Mnatubariki sana ,,, na Bwana azidi kuwapa nguvu ya kuendelea na huduma yake, ametuita tuijenge nyumba yake Daudi iliyoanguka, tuijenge maanguko yake tuisimamishe . Amina.

  • @jaymushy5600
    @jaymushy5600 3 года назад +8

    I love it am blessed and energized. wow thanks GOD, "Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. GOD bless essence of Worship

  • @dorothdavid6193
    @dorothdavid6193 2 года назад

    Ametukuka milele🙏🙏😘😘

  • @christinahallai9521
    @christinahallai9521 3 года назад +74

    GLORY to GOD.....POWERFUL, AMAZINGLY, BEAUTIFULLY 👏🙌❤😍💖

  • @HappyGreyElephant-kk3ih
    @HappyGreyElephant-kk3ih 8 месяцев назад

    Wimbo mzuri sana jina la Bwana libarikiwe

  • @johnchege1280
    @johnchege1280 3 года назад +31

    God is raising a generation of true worshippers,essence of worship great vessels in the potters hands🙏🙏🙏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AustrianDesigns
    @AustrianDesigns 5 месяцев назад +2

    THIS IS IT.AMEN,AMEN,AMEN😎💯💯💯🔥🔥🔥🔥

  • @savian1072
    @savian1072 3 года назад +8

    Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu azidi kuwainua katika viwango zaidi na zaidi

  • @paulenos402
    @paulenos402 3 года назад +1

    Woooooh so amaizing jamaniii had raha kumwimbia huyu YESU

  • @marthanyambe8155
    @marthanyambe8155 3 года назад +7

    Nimemuona Bwana katika Nyimbo hii 🙏🙏🙏

  • @evelynegaudence3991
    @evelynegaudence3991 8 месяцев назад

    Ametukuka milele na milele yote🎉🎉🎉❤

  • @ndayishimiyeelysee3795
    @ndayishimiyeelysee3795 3 года назад +30

    I'm from Rwanda but I am so Impressed with this Incredible song.
    let us make a Joyful song. AMEN

  • @faithmutua9566
    @faithmutua9566 2 года назад

    Hallelujah,Ametukuka milele

  • @tabithamarami8133
    @tabithamarami8133 3 года назад +35

    Great worship song, exalting the Lord with a shout of praise!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lealingalangala8141
    @lealingalangala8141 11 месяцев назад +1

    Ametukuka milele

  • @lifecoachghosnr.9963
    @lifecoachghosnr.9963 3 года назад +160

    Several things stand out in this video production of shangilia - First, it's all about Jesus Christ, then you'll notice that the production is all about excellence, then the joy of the Lord is evident, and the vocals and the instrument are amazing, I would rate this as one of the best worship videos I Have come across in East Arica. Kweli Ametutuka Milele. GHO Snr.

    • @samwelmwaijumba6018
      @samwelmwaijumba6018 3 года назад

      Amen hallelujah....

    • @Wakio231
      @Wakio231 3 года назад +1

      I agree sir, Jesus Christ, Excellence and the joy of the Lord.

    • @rodahjerop4582
      @rodahjerop4582 2 года назад +1

      I agree a hundred percent. To Gods glory

    • @Serah3433
      @Serah3433 2 года назад

      Don't forget the dressing code 💯💯💯

  • @edwardnzambimana2827
    @edwardnzambimana2827 Год назад

    Safi sana kwa wimbo mzuli balikiwa sana

  • @shyakaryizaathanaseofficia397
    @shyakaryizaathanaseofficia397 3 года назад +23

    Woooooow, Nice song, I missed you so long, Africa is able, Blessings, Love from Rwanda 🇷🇼

    • @margyimbanga8692
      @margyimbanga8692 2 года назад

      Praising Jesus Christ in an African way keep on until Jesus comes,be watchful in prayer

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 2 года назад +2

    Mungu.anastahili.sifa.zote.milele.na.milele

  • @mwanaharusiyange
    @mwanaharusiyange 2 месяца назад +2

    Mimi nimuisilamu Ila napenda nyimbo zenuu zinanibaliki

  • @shenangaikumi1995
    @shenangaikumi1995 9 месяцев назад

    The energy hapo mbele powerful ❤

  • @KatOyoo
    @KatOyoo 2 года назад +28

    Truly, This is the sound of heaven. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🌞🌞🌞🌞🥳🥳🥳🥳!!!!

  • @ephyanyango8608
    @ephyanyango8608 7 месяцев назад

    Amen 🙏🙏🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 God bless you

  • @geofreyouma6142
    @geofreyouma6142 2 года назад +7

    For along time,Young Kenya s have longed for a well done song and not the rap,mar sijui gengetone gospel,mara vituko etc, Thank you so much Tanzania for showing us the Light and right way again.

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 11 месяцев назад

    Mungu azizdi kuwabariki

  • @marthakims1712
    @marthakims1712 2 года назад +4

    More Grace to ur ministry ...
    All your songs are spiritual,blessings from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @digitalcontentsforlocalbas3336
    @digitalcontentsforlocalbas3336 2 года назад

    Mungu awabariki saana

  • @Ksammusic622
    @Ksammusic622 3 года назад +15

    This is sooo amazing.. Mungu awainue zaidi. Everything is just in order.. Nawapenda sana @essence of worship.

    • @Ksammusic622
      @Ksammusic622 3 года назад

      @@essenceofworshipministries Amina. Nyinyi ni wa baraka. Nawaomba tu msikawie sana kuziwachilia hizi nyimbo🙏.

    • @nelsonleyian1906
      @nelsonleyian1906 3 года назад

      Kwa kweli neema ipo, mungu azidi kuwa bariki, mkija kenya mtuarifu mapema, Blessings blessings, 🙏🎶💞

  • @marianandisi1641
    @marianandisi1641 2 года назад +1

    I swear Kenyan Gospel sai has nothing on Tanzanian Gospel... Essence of worship Mungu azidi kuwainua. #DoItForTheGloryofJesusChrist

  • @emilynjuguna1913
    @emilynjuguna1913 3 года назад +14

    I’m here after this group led worship in Kenya - 72hrs of worship and I’m totally sold to their songs! Praise God!!

  • @marrylema6836
    @marrylema6836 Год назад +1

    Mungu azidi kuwapa hekima na kunyenyekea chini ya mkono wake

  • @MINISTER-EMMANUEL
    @MINISTER-EMMANUEL 3 года назад +14

    WHEN THE PRAISES GO UP
    HIS GLORY COMES DOWN

  • @jjjeremy4650
    @jjjeremy4650 7 месяцев назад

    Oooh yeaaa Shangilia👏🏽👏🏽 Happy Labour Day 🇰🇪🇰🇪👍🏽

  • @ruthg.lyanga8083
    @ruthg.lyanga8083 3 года назад +16

    That's my family Essence of worship....
    All the glory to almighty God..