STEPHEN KASOLO - NITASIMAMA NA BWANA (OFFICIAL VIDEO) SMS SKIZA 5966290 to 811.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 апр 2022
  • #StephenKasolo #NitasimamaNaBwana #NgommaGospel
    ©2022 Administered by Ngomma VAS Limited.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 543

  • @titomuli
    @titomuli 2 года назад +55

    This is how talent ministers,,I lack words to say but God bless you stevo for the ministry that u do through your songs

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo  2 года назад +44

    Mambo mengine yanaumiza lakini Mungu ni Mwaminifu!! ✌️💔😭

    • @kaninisalome8174
      @kaninisalome8174 2 года назад

      Jitie moyo,mungu atasimama na wewe kwa Kila hatua unachukua barikwa saana kasolo

    • @marymwende6090
      @marymwende6090 2 года назад

      Solo mungu ni mwaminifu ,lkn unanipatianga moyo sana najua siku moja mungu ataniinua nisimame na familia yangu

    • @felistasmwanzia6310
      @felistasmwanzia6310 2 года назад

      Mungu wa wajane atatake over....Amen

    • @annatufurahini6111
      @annatufurahini6111 Год назад

      AMEN

    • @Jamesmulei123
      @Jamesmulei123 Год назад

      Be blessed kasolo,Mungu hawezi kuacha watoto wake, Mungu wetu hawezi changanyikiwa akatuacha jangwani,kila wakati ako karibu nasi

  • @user-rw2fk8df9h
    @user-rw2fk8df9h Месяц назад +1

    Mr Kasolo nakupenda katika moto wangu ,unanijaza moyoni ,nikiskia nyimbo zako zinanijenga upya 🎉 you deserve reward ❤🎉

  • @MikeMwangangi-lp1zb
    @MikeMwangangi-lp1zb Год назад +1

    Pia mm nitasimama na bwana sitomuacha.....barikiwa sana kasolo

  • @AlfaniMohammed-zk1hn
    @AlfaniMohammed-zk1hn 24 дня назад

    Mungu akujalie hekima zaidi nyimbo zako zinagusa dunia nzima, nitasimama na BWANA"mlelee

  • @RebeccaMulatya
    @RebeccaMulatya 4 месяца назад +3

    Sauti unayo nzuri,, ukiimba mie najistukia nimelala😢

  • @medinacheronohildah7933
    @medinacheronohildah7933 2 года назад +8

    Our smart MCA na mimi nakutia nguvu simama na bwana baba shine all the best🤲🤲🤲

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 2 года назад +83

    This is ministry sir

  • @augarmutukuentertainmenttv
    @augarmutukuentertainmenttv 2 года назад +27

    😭😭😭😭so touching
    But full of wisdom
    Nitasimama na bwana

  • @KAMBATOTO3
    @KAMBATOTO3 2 года назад +1

    Wow👏👏👏,,,hakika Nitasimama na Bwana

  • @mangamwadime5082
    @mangamwadime5082 Год назад

    Ooh my GOD am sorry for her same thing happened many years ago i was asked to chose my JESUS CHRIST and my salvation or my marriage i chose to have my JESUS and my salvation because marriage will end in this world my my JESUS and my salvation shall take me to my internity in Heaven so keep the faith and move on with our LORD GOD Amen

  • @morrismbaabu7209
    @morrismbaabu7209 6 месяцев назад

    Barikiwa sana kasolo .Nyimbo zako zinanigusa.kwa kweli ni Mungu wa yatima na wajane.kwangu nitasimama na Mungu daima milele.Hakuna kutingizika kamwe.Amina.

  • @mercycherono7040
    @mercycherono7040 Год назад +1

    Mm Kila siku Kila saa ntasimama na bwana🙏🙏🙏

  • @ronocheruiyot6173
    @ronocheruiyot6173 5 месяцев назад

    😢Nitasimama na bwana ,hata kama kazi yangu iliisha na Nina watoto 3 na mke ,😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @peshnjiru8759
    @peshnjiru8759 2 года назад

    Kasolo nilipie hii deni 1 .6 nilikopa wakati wa mamangu.imefunga maisha yangu everyday napilokea threats

  • @AntonyVoma
    @AntonyVoma 2 месяца назад

    We Ni number moja wengine wanafuata Antony Kuma masinga

  • @gladyskanyaa
    @gladyskanyaa 2 года назад

    Nice one my bro....Heri kusimama na bwana.

  • @rosestephano2395
    @rosestephano2395 Месяц назад

    Jamani wewe umebalikiwa sana kijana mungu akupe nguvu zaidi

  • @asherimumbe3949
    @asherimumbe3949 2 года назад

    Sky solo sitawai choka kutoa machozi ,so ya uchungu wala mapito Hila Kwa furaha ya mungu Kwa ajili yako 😭😭😭😭aky mungu apewe sifa

  • @isabellazubeda5158
    @isabellazubeda5158 2 года назад

    Kasolo Mimi nyimbo zako unibamba na unitia moyo Kuna nyakati napitianga wakaty mgumu lakini nikisikia naonanga kaa mungu unionekania na najikutanga yenye nilikuwa napitia yamehisha 🙏🙏

  • @geffkivisu95
    @geffkivisu95 Год назад +1

    Pia mimi nitasimama na bwana Liwe Liwalo,Nifikisheni 100K Guys 💯💯💯💯💯💯💯💰

  • @amalexmunyoki9645
    @amalexmunyoki9645 2 года назад +4

    Wathi museo brother kasolo,Mungu aliyekuinua na anione ,,,,,,,,mawaidha tele

  • @margaretnyokabi2647
    @margaretnyokabi2647 2 года назад +1

    😭😭😭😭No matter the situation nitasimama na bwana

  • @philomenahmunyao8600
    @philomenahmunyao8600 2 года назад +1

    This is a call💗 Pongezi Mhesh

  • @isabellazubeda5158
    @isabellazubeda5158 2 года назад

    For real nimemuona bwana hii mwaka ingawa ni kubaya Lani yenye ametenda kwangu siwezi eleza na nitazidi kusimama naye

  • @empressbritneyofficial
    @empressbritneyofficial Год назад +1

    Nitasimama na uyu bwana Kwa mambo yangu

  • @JaneRose-lk1mn
    @JaneRose-lk1mn 21 день назад

    This song give us hope to live in peace and those who lose hope 😂😂😂because their dears and friend's God will weep them there tears I❤❤it God bless u my brother through psalmist's song thank u for ur song....read more

  • @jasminealmass6030
    @jasminealmass6030 2 года назад

    Woi nitasimama na Yesu wangu milele be blessed aki

  • @rosestephano2395
    @rosestephano2395 7 месяцев назад

    Mungu amekuchaguwa ufanye kazi yake ubalikiwe sana

  • @felistusmariamusic3022
    @felistusmariamusic3022 2 года назад +1

    Onakwa taku, niungama na Ngai mbaka ndatika ya muthya😓

  • @Ruth-iv3ke
    @Ruth-iv3ke 6 месяцев назад

    ❤❤aky ukijaribiwa na majaribu mengi lazima tusimame imara kila wakati wa shida ama LA akuna nice song 🎉

  • @fancykangogo8645
    @fancykangogo8645 2 года назад +4

    Nani mwingine amerudulia this song more than ten times. God bless you solo .

  • @doreenblessed1313
    @doreenblessed1313 Год назад

    Ninayopitia ni machungu na yanaumiza,lakini kupitia wimbo huu Kwa hakika nitasimama na bwana

  • @kykykyky2709
    @kykykyky2709 2 года назад +1

    Mungu akbar san kwa hiyo nyimbo

  • @josephmwanzia-rl1od
    @josephmwanzia-rl1od 8 месяцев назад +1

    Keep it up bro.

  • @loisekaindi4732
    @loisekaindi4732 2 года назад

    Hata mimi nitasimama na bwana katika hali yangu na ninajua he wont disappoint me😭😭😭😭😭

  • @justuskelly7071
    @justuskelly7071 2 года назад +2

    Mungu wa wajane na baba wa yatima jidhihirishe kwa familia ya musau

  • @jennifermukuicharles6427
    @jennifermukuicharles6427 2 года назад +2

    The ministry itself 😭to my coming wedding namwamini bwana na nitasimama naye katika hali zote sitachoka kwa kazi yake,, mbaki nae milele na neema izidi kukubeba🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @teresiateresia6464
    @teresiateresia6464 2 года назад +1

    Awesome song keep going sky is the limit

  • @rymadeironlady9949
    @rymadeironlady9949 2 года назад +1

    This song imenitoa machozi

  • @annnkathakarani580
    @annnkathakarani580 2 года назад

    Wimbo poa ina variki, na mungu amekutengesea njia pita vila kupingwa,

  • @oleisrael733
    @oleisrael733 2 года назад

    God bless you My friend KASOLO...PENDA WW SANA MTU wa MUNGU

  • @pastormeriothmuthoni7616
    @pastormeriothmuthoni7616 2 года назад +15

    Comfort ! Comfort!
    Powerful confession.., ( Nitasimama na Bwana Yesu) all other ground is sinking sand🙏

  • @victormutunga3456
    @victormutunga3456 2 года назад +23

    The creativity behind this is on another level

  • @winniemwongeli1641
    @winniemwongeli1641 2 года назад +23

    Great song, emotionally touching , spiritually healing ,nitasimama na bwana ......

  • @jackygesare4620
    @jackygesare4620 2 года назад

    For sure Kasolo umenitia moyo sana nitasimama na bwana sitamwacha

  • @riyahriyaan9802
    @riyahriyaan9802 Год назад +1

    Nasikilizanga kila siku 😭

  • @juliuskitheka7105
    @juliuskitheka7105 2 года назад +8

    Kenyans,we are blessed,this is ministry solo,and God bless you

  • @ruthmuli7116
    @ruthmuli7116 2 года назад

    Kasolo...am your silent followers....I genuinely love 💕 your work...keep up

  • @MaryMuthui-ig3ro
    @MaryMuthui-ig3ro День назад

    Congrats bro God bless y

  • @willybett5412
    @willybett5412 2 года назад +1

    Nitasimama na bwana katika hali yangu

  • @puritymbithe4483
    @puritymbithe4483 Год назад

    Amen nitasimama na Bwana katika Hali yangu barikiwa kasolo and keep the fire burning amen

  • @christinenyakio7889
    @christinenyakio7889 2 года назад +4

    Kweri kabisa afadhali kusimama na bwana ata dunia ikitingika simama na bwana you are ever blessed mheshimiwa👍💕

  • @scolasimiyu171
    @scolasimiyu171 2 года назад +4

    Wimbo poa bro,somo la hekima simama sanaaa bro MUNGU akutie nguvu zaidi,,nitasimama na bwana katika hali yangu yote sitamuacha kabisa

  • @emmamukiiluka1826
    @emmamukiiluka1826 2 года назад +1

    Weka kwa tiktok

  • @felistermusili5473
    @felistermusili5473 2 года назад

    Hii song imenitia moyo ...nitasimama na bwana sitomwacha barikiwa solo

  • @noorn7633
    @noorn7633 2 года назад

    Tusimame na bwana Yesu kila wakati kwa kila hali

  • @faithmusilah2583
    @faithmusilah2583 2 года назад

    Kasolo,Mheshimiwa Mungu akubariki zaidi yakiwango amekubariki. Nakupenda bure u really inspire me alot.It has bn ma wsh Godatukutanishe 2 cku moja.God Bless u man of God mch

  • @rosestephano2395
    @rosestephano2395 Месяц назад

    Unaimba vizuri sana njoo musoma

  • @godsdaughter9023
    @godsdaughter9023 2 года назад

    Bwana ni nguzo yetu tusiwahi kumwacha ijapokuwa majaribu ni mengi

  • @gladyswanza8728
    @gladyswanza8728 2 года назад

    Baba Shine u neva disappoint...Pia mm nitasimama na Bwana

  • @mercymiteu3631
    @mercymiteu3631 Год назад

    Pia mm kama wewe STEPHO ,,nitasimama na BWANA katika Hali hiii

  • @fancykangogo8645
    @fancykangogo8645 2 года назад

    My prayer kasolo to succeed in mca ward of mlango ward. All the way from saudi Arabia.

  • @muthamiabby7104
    @muthamiabby7104 2 года назад

    Great Kasolo,,,hata Mimi Nitasimama na Mungu

  • @simonmuiawisemanmusicministry
    @simonmuiawisemanmusicministry 2 года назад

    I must be kasolo of tomorrow 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😊
    Your songs gives a preaching and new songs 🙂

  • @trillianbennahbennah5312
    @trillianbennahbennah5312 2 года назад

    kasolo utaenda mbali nyimbo zako unibariki sana machozi uwa aikosi kutiririka

  • @mercymyrahnzwili923
    @mercymyrahnzwili923 2 года назад +3

    Kasolo napenda nyimbo zako huwa zanibariki kwa sana.. Tusimame na bwana na tumepende zaidi Amina

  • @bensonkangesa5898
    @bensonkangesa5898 7 месяцев назад

    Bro kasolo, you are really talented,let the sky be the limit Go Go Go Amen

  • @mwikalimulatya7198
    @mwikalimulatya7198 2 года назад +7

    This is ministry kasolo worried not 😭😭😭endelea kusimama na mungu wako

    • @annendave2663
      @annendave2663 2 года назад +1

      Wooow wat a nice song solo go go

    • @apostlesmart2537
      @apostlesmart2537 2 года назад

      Hallelujah hallelujah hallelujah

    • @apostlesmart2537
      @apostlesmart2537 2 года назад

      Hallelujah hallelujah hallelujah

    • @virginiamasee833
      @virginiamasee833 2 года назад

      @@apostlesmart2537 it's a nice song ...pray for me all kasolo your songs always bless me ..napitia kilio pia haki nimewaitisha maombi...nikiskia huu wimbo nalia...

  • @miriammeka9820
    @miriammeka9820 4 месяца назад

    Kasolo niombee sana nisimame kwa ndoa

  • @mcjuniorofficl723
    @mcjuniorofficl723 2 года назад

    Ntasimama na bwana 💥💥 congratulations bro iyo gomma imenikwanza mahali

  • @marykmusiq8442
    @marykmusiq8442 2 года назад +3

    Wimbo una mguzo Kwa kweli solo, nitasimama na bwana katika hali zote, nakupenda sana solo

  • @elidahmusicent.7215
    @elidahmusicent.7215 2 года назад

    Weh utafanya niokoke bana...you are talented mweshimiwa

  • @marymwangi3024
    @marymwangi3024 2 года назад

    Some situtions in life are very hard to bear but "tukisimama Na Bwana " tutashinda. Mary Mwangi from Canada.

  • @lonachepkorir1116
    @lonachepkorir1116 Год назад

    Nabarikiwa n nyimbo zko bro kasolo inanitia nguvu ubarikiwe sana

  • @winniekathini7547
    @winniekathini7547 Год назад

    Zidi kuinuliwa tu solo,,, na uniombee aitaji kufika umbali kama huu .

  • @mcsimohmutuku
    @mcsimohmutuku 2 года назад

    Hiii ndio huduma ya kutiana moyo it's 👍

  • @faithmusilah961
    @faithmusilah961 2 года назад

    Barikiwa sana stephene Kasolo. U really inspire me alot.It has bn ma dream dat one dei God atukutanishe coz mm kila mara nikuonapo ktk mitandao unanipa motisha kuwa kuna Mungu Binguni

  • @cesiliamaingi6677
    @cesiliamaingi6677 2 года назад

    Eeeh uyo anatosha ,;mungu ,kila kitu ni yy ata ukitaka bingu muamini tu

  • @annengumbi5551
    @annengumbi5551 2 года назад

    Asante Kasolo kwa kumutembelea Mrs Musau. Counseling a person is a good healing process.

  • @user-in2wi7se1r
    @user-in2wi7se1r 3 месяца назад

    Kabisa ata mm ntasimama na bwana

  • @anthonyngao2363
    @anthonyngao2363 2 года назад +8

    So touching. She will heal in Jesus Name. Tusimame na Bwana

  • @SAUTI_YA_DHAHABU
    @SAUTI_YA_DHAHABU 2 года назад +1

    Napenda huduma yako daddy

  • @kyalogedion8509
    @kyalogedion8509 Год назад +1

    Nice 👍👍👍 one

  • @elizabethwakanyi1017
    @elizabethwakanyi1017 2 месяца назад

    Nitasimama NA BWANA ATANIFUTA MACHOZI
    I KNOW EXACTLY THE PAIN OF BEING A WIDOW....AM TWO MONTHS A WIDOW

  • @user-wp2rt6gn4y
    @user-wp2rt6gn4y 8 месяцев назад

    Nitasimama na bwana kwa yenye napitia😢😢😢😢😢

  • @SethMasika
    @SethMasika 10 месяцев назад

    Amen and amen, huwa unanitia moyo sanaaa bro

  • @abednecomwaka3055
    @abednecomwaka3055 Год назад

    woooh have ever never give tention to thiz song only to realize evegelist evelini is my spiritual mother pole mum God loves u soo much

  • @simonngunjiri7047
    @simonngunjiri7047 2 года назад

    God bls you mighty man of valour.Gideon like you had come from a humble background but he led Israelites to conquer Midianites for the Spirit of Almighty God was with him.Go go go go.`~~ KABIRIA Nrb.

  • @phaustinewanjekeche4114
    @phaustinewanjekeche4114 Год назад

    So touching...ni mengi tunapitia but tutasimama na Bwana.

  • @juneserastochales7172
    @juneserastochales7172 2 года назад

    AMEEEN hakika Mungu akubariki sana,, nyimbo zako zinaupako from to Tanzania

  • @josephinesheehama752
    @josephinesheehama752 2 года назад

    Ups NITASIMAMA THAT'S THE WORD IN THE MEANING BRO/SIS IN THE HOUSE OF GOD

  • @MarionMishi
    @MarionMishi Месяц назад

    Keep it up kasolo

  • @josphatmuathimeministries1946
    @josphatmuathimeministries1946 2 года назад +5

    Kasolo you never disappoint..... UMenitia moyo aki....Nitasimama na bwana katika hali zangu

  • @ericmutinda2611
    @ericmutinda2611 2 года назад +2

    This is sure bet

  • @jerryjerrychepkemboi8143
    @jerryjerrychepkemboi8143 Год назад

    It's true God gives you ministry of worship may God continue to keep you daddy

  • @user-lc9ig3si5t
    @user-lc9ig3si5t 9 месяцев назад

    Aky napenda nyimbo zako your so cute ungekuwa umeoa me nigepita na wewe

  • @signaturemirriamofficial6686
    @signaturemirriamofficial6686 2 года назад +2

    NITASIMAMA NA BWANA SIMUACHI NG'O,TUJIFUNZE KWA WALIOSHINDA,OH YES , MUATHIME U ARE BLISSING TO MANY 🙏🙏👌

  • @maryatieno7590
    @maryatieno7590 Год назад

    Kasolo umebarikiwa may God continue stand with you

  • @JanetNdati
    @JanetNdati Месяц назад

    May the glory be with you,nyumba zako zatia moyo