Hey family, no matter what you are going through in life, kindly Jitie moyo. Mapito niya muda Kesho yako ni kubwa. Kindly click on the red button to subscribe 🙏.
Wow 😲😲 solo this is so great,,true massage tena umetouch my soul with this song,,nimepitia magumu xana ktk maisha yangu wakati nilipoachwa n wazazi wangu watu waliona kama ndo mwisho ila mungu Ako upande wangu🙏💯
Nabalikiwa sana nawewe kaka kasolo Mungu azidi kuwa upande wako kwani bikwazo havikos ktk kazi ya Mungu ila jitie moyo uchipuke kilasiku kwani Mungu yupo nawee nakupenda sana kakayangu unafanya vizuri hata ukishilikiana nawa Tanzania wakwetuu
I ❤ u l am from vihiga county l hope 1 day we will sing together my mentor steve no matter what l am going through wacha nijitie moyo kwa maana sajja alipanga hivyo
JITIE MOYO🔥🔥🔥🔥...A great encouragement 🙏 Accelerating GRACE over you... Blessed by this,I love everything in the song👍👏👏👏 Kuteleza si kuanguka, I'll keep moving, Be blessed🙏
I love this, I can call it growth and maturity.... This is not the Kasolo i have been listening to his music with mixed reactions. Kama vile umesema kwa wimbo, kunaye MUNGU mbinguni anayetujale. Yes, the timbre, the arrangement and the blending are great. God bless you Kasolo
They keep on asking me kwanini sipati mimba na watoto wadogo wanapata mimba but I believe one day God will remember me haya ni ya mda tu .thanks brother for the song God bless you
There is hope irrespective of circumstances. Yes enemies shouldn't celebrate when one is down; Micah 7:8. It's just for a season. Thanks brother for this inspiring song. It has touched me a million times.
Amen ubarikiwe sana bro na mungu azidi kukuinua natamani niwennko karibu na ww ak ningejua kuimba na mm kupitia kipawa chako kaka mungu akuinue wimbo huu umenitoa machozi kbsa lkn naamini mungu yuko 😭😭 ubarikiwe broo
Micah 7:8 [8]Do not rejoice over me, my enemy; When I fall, I will arise; When I sit in darkness, The Lord will be a light to me.... I'm much encouraged by this 🔥🙏🙏more blessings#Kasolo
Hey family, no matter what you are going through in life, kindly Jitie moyo. Mapito niya muda Kesho yako ni kubwa. Kindly click on the red button to subscribe 🙏.
Mwa king niwatha elephant na brick 🧱 .....yakwa.....wathi ni museo mwa
Hongera kakangu kwa huduma hii.Jitie moyo
Mungu akuzidishie Mtumishi..Hope to see you soon
Amen man of God be blessed alot,,the song it's so encouraging
So encouraging .....be blessed
Message mzuri sana......"hata ikichukua muda itachipuka tena"
Keep the fire burning
Congratulations 🥳🥳🥳🥳 wacha nishare lazima itrend hii baraka king of kamba land
toa ngoma gal
🙏🙏🙏
Inshallah inshallah inshallah nitasimama tena
Usifurahi juu ya anguko langu
Nitainuka tena Amen
i just listen to this song daily,,,just like the part,,,,,apo nilipo ni kwa muda tu
good music all time nipeni likes nimefika mapema leo
Very great ❤
Jitie nguvu solo,,,kazi nzuri mungu akubariki na azidi na kupanue kipaji chako
Keep it up Solo nyimbo zako hunipa motisha na kujuà kuwa kunaye Mungu juu mbinguni ajibuye maombi yetu😭😭🙏
Nyimbo za baraka,Mungu na aendelee kukuinua.
Jitie moyo mtu wa Mungu, barikiwa sana bro kwa kazi. Nzuri
Asante Nabii
Amen fenny💞💞💞
ruclips.net/video/smJbmPYoVMg/видео.html
Fanny ukuje Burundi tunakpenda sana
love you fenny...I would like to meet you
God bless you ❤❤❤ amen
Mungu akuinue zaidi Mtumishi wa Mungu. .hakika nyimbo zako zinauwepo wa Mungu na zinatubariki sana ..God bless you Kasolo
❤good guri.fican
Wakwanza nipewe like
Like the work you're putting in gospel
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aky ni ukweli solo! Nko hali ngumu lakin wimbo wako umenitia moyo nguvu( nice song)☑️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Representing...👏👏👏👏👏👏👏
I like the way you support every artist Sammy kioko babako anauza kuni hehe
Asante Bro. Am encouraged to see your comment .
Hello bro.. si uniite nataka kujoin kwavonza
ruclips.net/video/smJbmPYoVMg/видео.html
good to see your surport here😃Kwavyonza school represented well👍👍
Amina bro tukianguka tutasimama na kuendea Kwa neema ya baba.Barikiwa sana nice song👏👏👏
GOOD MUSIC FOR GOOD PEOPLE GOD BLESS YOU PAPA
Amen ... Kutereza sio kuanguka.Mungu akubariki sana mtumishi.
I knew it will shock the haters 😝😝😝😝am in love with this stanza ❤hapa nilipo ni kwa muda najua nitatoka👏👏big up solo
Amen
Mtu wa mungu jitie moyo...kazi nzuri...I love it
Never give up no matter what you just keep going because tomorrow is better than today and Lord is always there for us in good and bad situation
Kabisaa mti ukikatwa utachipuka tena.... Awesome work Broo... great message
The best of best pita na like yako kwa king of kamba gospel❤💥
Wonderful very nice and touched the voice is🙏🙏
Nabarikiwaga sana na nyimbo zako kaka Kasolo, natamani kuimba na wewe siku moja. Ubarikiwe sana
😭😭😭😭😭umenikosesha maneno kasolo mungu akubariki yaani pale mm nafika mwisho unatoa nyimbo yakunifariji 😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻mungu akubariki
Hallelujah...the ladies are dancing so beautiful .......🙏🙏🙏 Mavazi Yao ya heshima
Barikiwa sana... Jitie moyo mtu wa Mungu
So nice song 👏🙏 and beautiful ladies ❤️💕😘😘
God bless you 🙏🙏🙏
Huu wimbo umenibariki sana, Mungu Azidi Kukubariki Bro🙏
How I wish to be one of your best dancers I really love your music they've got a message ❤💜♥💕
Wow 😲😲 solo this is so great,,true massage tena umetouch my soul with this song,,nimepitia magumu xana ktk maisha yangu wakati nilipoachwa n wazazi wangu watu waliona kama ndo mwisho ila mungu Ako upande wangu🙏💯
Glory to God ,hii iko moto sana barikiwa sana Brother Kasolo
I like your voice sir you make me feel like I'm in heaven love you papa from papa from Zimbabwe plumtree
Nice song bro God bless u mahana unanitia moyo
Nabalikiwa sana nawewe kaka kasolo Mungu azidi kuwa upande wako kwani bikwazo havikos ktk kazi ya Mungu ila jitie moyo uchipuke kilasiku kwani Mungu yupo nawee nakupenda sana kakayangu unafanya vizuri hata ukishilikiana nawa Tanzania wakwetuu
So touching,ulipitia yote ulitoyapitia ndio uwe wa kuwatia wengine moyo ndugu yangu.soaring higher every time🙌
❤ Good worded song 🎵, najitia nguvu katika vita zote....@Kasolo be blessed brother.
Be blessed our best gospel singer in Kenya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Najitia moyo najua yupo Mungu ambaye ujibu maombi🙏wala kuteleza sio kuanguka.
Nice song son of my motherland @stephen kasolo
Representing Kenyan in Saudi Arabia it's so blessings inanitia moyo I say
Nyota wa nyimbo za injili ukambani. Congratulations 👏🎉👏 beautiful song there
So wonderful I'll gracefully move on never to fall down ,I'll move on and press on(jitie nguvu ) nimalize mwendo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌 wapi likes.
I ❤ u l am from vihiga county l hope 1 day we will sing together my mentor steve no matter what l am going through wacha nijitie moyo kwa maana sajja alipanga hivyo
Woow!
I knew itakua kubwa hivi
More grace broooo!!
Kiii ni kinene ukai mwone,wimbo poa zana solo
✌👏Ithoka
Woowi Amen
Kabisaa
Kuteleza sio issue ,, kusimama ndo bora 🙏🔥🔥🔥🔥🔥
Is the wadadas for me ❤️🔥🔥
I know 😋
You bless and lift me up the time when Iam down
Ooooooh Glory to our Lord Jesus. Congratulations kindus goood job and more Grace
🙏
Steve nyimbo zako zanitia moyo sana.
I have listened to your songs and you are blessing to me and many in the body of Christ.May God catapult you in higher dimensions.
Nimebarikiwa sana na hii wathi...fanya ufike shimbahills kuna wakamba pia
Amen 🙏 I believe that my life must change in Jesus name and I will never give up
Kuteleza sio issue kusimama nto Bora..... I believe ipo siku😢🙏
I lost my baby and surely this song is giving me hope and strength to believe that God will bless me with double of what I lost💪
pole sana
MUNGU akutunze. Wewe mtu wa Mungu jitie moyo🙏🙏
Wooow!!! getting to higher level of Gospel music, proud of you our own Kasolo
The dressing code for you guys is very 🔥🔥🔥🔥....nice vocal Kasolo..#Kuteleza #sio #issue #kusimama #ndio #bora
Great song so encouraging this song has given me hope in my life I can't stop listening to this as many times i can
Iyo wimbo inanitia nguvu wakati nimefika mwisho good song for me God bless you
Mr. Kasolo, I really lack words to express your songs. It really lift me towards God's presence. May God not forget you when blessing His chosen ones
Kasolo kuteleza sio issue
Acha nijitie Moyo 🙏🙏🙏
What a song. Imenipata na depression mob but nimejua kuteleza sio issue✊
Amen
Hongera sana mtumshi kasoro
Well done kasolo. Great piece.
God is great
Full of content
Such a touching song
Waooo,bro twende nalo. Huu umechiputa aki 🙏🙏🙏🙏👊👊👊
JITIE MOYO🔥🔥🔥🔥...A great encouragement 🙏
Accelerating GRACE over you...
Blessed by this,I love everything in the song👍👏👏👏
Kuteleza si kuanguka, I'll keep moving,
Be blessed🙏
Kazi nzuri mtu wa Mungu,acha MUNGU akubariki
Kusimama ndio bora in love with this message Congratulations
Wow congratulations bt naomba mavazi pia yaoneshe kuwa huyu ni mwana wa MUNGU,,jistirini vizuri maana imeandikwa msiifuatie namna ya dunia hii🙏🌹🤝🙌
the dressing was on point...patia the dressing mngr ✅.. i.love the colors.
the music is awesome.
Salimia hao warembo .
wako sawa..
Ni muvea muno.
On point💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫💫
I love this, I can call it growth and maturity.... This is not the Kasolo i have been listening to his music with mixed reactions. Kama vile umesema kwa wimbo, kunaye MUNGU mbinguni anayetujale. Yes, the timbre, the arrangement and the blending are great. God bless you Kasolo
Usifurahie juu yangu,adui yangu niangukapo mm nitasimama tena
Your songs are actually good. The Swahili ones that I can understand
Yes
Bali na kua hii ni hit ya mwaka pia look umepiga ya mwaka🔥🔥🔥🔥🔥
Smart bro ,it is God's Grace
My favorite,ehee majozi yangu n ya muda tu💃💃💃💃💃💃💃
Jitie moyo ooh yes thank you Jesus
Ubarikiwe sana pamoja na mama africa hâta kama sijui jina za mwengine,na wasalimu kutoka drc kongo.
You are really becoming a script manager....sir this song is on another level......grace grace grace....shalom
They keep on asking me kwanini sipati mimba na watoto wadogo wanapata mimba but I believe one day God will remember me haya ni ya mda tu .thanks brother for the song God bless you
Wow, wow, congratulations, good song expecially going through hardships
Naendelea kujitia moyo hata kama nipite katika mambo mengi ila najua mungu yupo asante sana kaka kasolo
So wonderful steve may God bless your ministry ,,I love your song it makes me to stand stable in Jesus Christ
Congratulations solo...huu wimbo umenibariki sana
The best hit.the infor came on its best time.have loved everything.God bless you solo &the great team
Hii song imenibless sana.... nuru yangu na ishuke🔥🔥🔥
Oooh the message in song...
Can't get enough of it..
When I grow up I want to be like you 🙏
Sure leo yangu inaeza kua ya kilio lakini kesho iwe n kicheko❤❤❤
There is hope irrespective of circumstances. Yes enemies shouldn't celebrate when one is down; Micah 7:8. It's just for a season.
Thanks brother for this inspiring song. It has touched me a million times.
Amen ubarikiwe sana bro na mungu azidi kukuinua natamani niwennko karibu na ww ak ningejua kuimba na mm kupitia kipawa chako kaka mungu akuinue wimbo huu umenitoa machozi kbsa lkn naamini mungu yuko 😭😭 ubarikiwe broo
The beats and lyrics ...that song is on fire message wise
Kasolo naieshimu neema iliyo juu yako.
Yani Mungu anakutumia kwa njia kubwa.
Micah 7:8
[8]Do not rejoice over me, my enemy; When I fall, I will arise; When I sit in darkness, The Lord will be a light to me.... I'm much encouraged by this 🔥🙏🙏more blessings#Kasolo