FUMANIZI KIMARA part II

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 14 дней назад +330

    Huyo jamaa mwenyew jamniiiii😂😂😂😂tuangaliege na wanaume wa kudate naoo,,,mdada mzuriii ila mkaka kama walee wa manzeseeee

  • @sophiarajab5476
    @sophiarajab5476 12 часов назад +9

    Kijamaa chenyewe kibayaaaa kichafu chafuu tuu khoooo afu eti anamkasirikia shogake Kwa bwana Gani Sasa?chefuuuuu visichana vingine hajitambui.

  • @savvymsaf4926
    @savvymsaf4926 14 дней назад +36

    Sema huyu dada ana kitu mwangalieni vizuri anaweza kuwafaa

  • @lidyabalilemwa1380
    @lidyabalilemwa1380 День назад +15

    Sasa anamtukana mwenzake kwann wakat alikubal ni challenge sijapenda huyu dada hazimo vizuri

  • @neemataigo1756
    @neemataigo1756 14 дней назад +181

    Siwezi kudeti na mwanaume anae vaa kitambaa kichwani😏

  • @irenechilewa
    @irenechilewa 14 дней назад +61

    Kwnz kiredio shukran Sana kwa kutuletea loyalty test vlogs humu ,nimefurah Sana sababu nlipokuwa nkitazama za Ayral nlitamani Sana bongo tuwe nazo maana ,unasaidia Sana kujua watu fake,pili Ni burudani .Ni vile tu fuatilia wanaofanya such videos ktk nchi mbalimbali upate contents nzr ,pia namna ya kupata sauti moja kwa moja ukiwa umejificha ,mfano mlipoenda kujificha chumbani ilitakiwa mbuni namna ya kupata sauti moja kwa moja kutika sebleni yaan mngekuwa na simu ya ziada then mngempigia mdada akiwa seblen ameshika simu bila nyinyi kuongea ili kupata mazungumzo yao moja kwa moja,panapo majaaliwa mpate usafiri wenu kwaajili ya kazi km hizo ,ya yote video nzr ,onheza ujuzi kutoka kwa RUclipsrs mbalimbali km I know Ayral , he's my favorite ili utuburudishe wapenz wa vlogs na videos km hizi... hongeren Sana kiredio na crew yako nzma kwa kazi hiyo..😌

  • @joelyansigary8213
    @joelyansigary8213 4 часа назад +1

    😂😂kwaio umeshaharibu fresh umewaacha wakamalizane wenyewe 😂😂jamaa ww

  • @brunongatena-7951
    @brunongatena-7951 14 дней назад +35

    Uyo demu hapo mwenye geto nimemkubali sana mno kweli kabisa ni mstaarabu pia mcheshi

  • @kuruthumumussa
    @kuruthumumussa 14 дней назад +37

    Daah ila wadada as anakosa gan mwenzake na aliambiw akakubali kil kitu asee Leo kgeuka shog ake ila jmn😂😅😊 wanaume

  • @Caren-og7qd
    @Caren-og7qd 21 час назад +6

    Huyu dada ana rafiki mwaminifu, sema yeye mpuuzi, alivyomuattack nimeboeka sana😅😅😅

  • @ibrah_lankii
    @ibrah_lankii День назад +2

    Mi nachekaga tu jamaa kameza kidonge kwenye maigizo show kakosa 😂😂

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm День назад +3

    Kazi nzuri msaidieni huyo nzuri mwanaume mwenyew sio wa hadhi yake huyo aende zake huyo

  • @Salma-ho6wx
    @Salma-ho6wx 14 дней назад +23

    Jamaa kampigia shem wake na kidonge 😂😂nimecheka kwa kweli

  • @joelkimaro
    @joelkimaro 14 дней назад +94

    Kiredio unajitahidi Sana kaka kuunda content much love from this side

  • @angolina1768
    @angolina1768 День назад +2

    Pole mpenzi wangu umejitoa lkn umeambulia kuitwa malaya kosa lako nini love you kwanza upo single na geto lako nzur unajiweza zako mwenyewe huna baya ❤❤❤

  • @user-hm8be5mb5w
    @user-hm8be5mb5w 14 дней назад +6

    Uyoóoo dada kazingua sa rafiki ake kakosea wapíii jamaniii na kamsaliti kiajeee sasaaa dada mzuri et """msenge.......mara kum.....'''''''😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-jr7jd6ye4x
    @user-jr7jd6ye4x 14 дней назад +6

    Uyo dada nae aache uchuro asa kam kasirikia mwenzak kwa kosa gan jmni

  • @ddontz
    @ddontz 14 дней назад +7

    Sema nakushauli mzee uwe unatembea ata na mbavu mmoja kwa usarama wako 🔥

  • @Rajabkizwele-rs2by
    @Rajabkizwele-rs2by День назад +5

    Kupenda kibaya sana uyo jamaa mwenyewe sasa bado anaweza karanga kwenye mfuko wa suruari😂😂😂

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 14 дней назад +12

    Sema Kijamaa kilikuwa na hamu na shem wake mpk kimeenda na vidonge kabisa ila kile mzigo fresh kisimamie kucha