Mch Moses Magembe - SIKU 15 ZA MAAJABU. SIKU YA 15

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 45

  • @bilhawambugu1587
    @bilhawambugu1587 3 года назад +8

    Mafuta ya mch Magemba iko juu Tu sana.this is a true man of most high God.watching from kenya

  • @marcodavid4183
    @marcodavid4183 3 года назад +2

    Libarikiwe tumbo lililokuzaa babu....hakika wewe ni baraka kwa kizazi hichi Cha siku za mwisho.

  • @Fortunefamilyyy
    @Fortunefamilyyy 3 года назад

    Nakupendaga sana maana unasemaga maneno ambayo sijawahi yasikia kabisa yaani ubarikiwe sanaaaaaa Baba yangu na unatoaga ufafanuzi mpaka nafurahi mno Mungu akurinde kila siku na kila wakati Mtumishi wa Mungu alie hai.

  • @rebecasamwel6185
    @rebecasamwel6185 3 года назад +1

    God protect us. Mungu akutunze mtumishi nimejfunza mengi mengi endelea kuwafungua na wengine

  • @cosmasnalimi4900
    @cosmasnalimi4900 3 года назад +1

    mchungaji Mungu akubariki kwa huduma yako nzuri kwa kweli una nibariki mno.

  • @elyanabiimasdi2752
    @elyanabiimasdi2752 3 года назад

    Amiin na penda sana mahubili yako na barikiwa sana nikiya sikriza

  • @kinangamakoye1384
    @kinangamakoye1384 3 года назад +1

    Amina tuyafue mavazi yetu tuwe safi mda wote

  • @bernadethathomas5957
    @bernadethathomas5957 2 года назад

    Mafundisho haya ni lulu kuu. Wengi hawayapati. Mungu akutunze Mtumishi mwema.

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 3 года назад +1

    Mteule uwe macho, mzee tunakuelewa Sana mzee Mungu akutunze kwanza sauiti iwafikie wengi

  • @festaaroni1736
    @festaaroni1736 2 года назад

    Ameni mtumishi ubarikiwe sana

  • @davidisayamalimbegu5202
    @davidisayamalimbegu5202 3 года назад

    Mtumishi Mungu wamajeshi akutie nguvu uishi miaka 150/=

  • @rebecasamwel6185
    @rebecasamwel6185 3 года назад +2

    Nani kama Mungu ningeyajulia wapi Mimi haya hata historia t ya kanisa nilikua siijuw

  • @amanimwakalomba8511
    @amanimwakalomba8511 3 года назад

    Ahsante Baba Mungu akubariki kwa kazi nzuri Musa wetu.

  • @exodusserviceagency2163
    @exodusserviceagency2163 3 года назад +2

    Hakika MUNGU AKUBARIKI BABA!
    Nimekufatilia kutoka Tabora KCC-TAG KITETE Be blessed baba!!

  • @anthonyjackson5912
    @anthonyjackson5912 3 года назад

    Nimepokea Baba,, nimepata neema kubwa kufahamu Neno, Mtu wa Mungu kazi Yako njema Sana,

  • @necodakagiye5473
    @necodakagiye5473 3 года назад

    Mungu akutendee mema baba
    Amen

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 3 года назад

    Ooh Mungu wangu nisafishe dhambi zangu kwa akili zangu siwez nahitaji nguvu ya Roho mtakatifu kusimama😭🙏

  • @wilsonngungu8931
    @wilsonngungu8931 3 года назад +1

    A true teacher of the Word,God bless you man of God

  • @richardmsuya913
    @richardmsuya913 3 года назад

    BARIKIWA SANA BABA

  • @isayamalale9833
    @isayamalale9833 2 года назад

    Baba mchungaji natamani Uje nakahama tulikuwa pamoja bukene

  • @hpmwamsiku9193
    @hpmwamsiku9193 3 года назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana.

  • @nangukidasu8040
    @nangukidasu8040 3 года назад +3

    Thanks Dady for teachings

  • @elpinnershehele7344
    @elpinnershehele7344 3 года назад

    Mungu akuzidishie nguvu mtumishi

    • @fidemikaeli8145
      @fidemikaeli8145 3 года назад +1

      Amina baba, ninashukuru Mungu sanaaa kuendelea kukutumia kwa viwango vikubwa Sana , azidi kukulinda baba yangu na kukutia nguvu nakuelewa sana

  • @anordnjau3164
    @anordnjau3164 3 года назад

    Asante mch naomba mawasiliano mch

  • @jasonheriwewejoas5282
    @jasonheriwewejoas5282 3 года назад +2

    19/1/2021, Niko naiangalia na ninabarikiwa

  • @navokisembo
    @navokisembo Год назад

    Ehh Mungu niweke tayari saa zote maana kweli itakuwa hali mbaya mtu ukibakia kwa unyakuo

  • @alphoncinejule6999
    @alphoncinejule6999 3 года назад

    Ameeen mutumishi wa Mungu tu mbarikiwa dunia inaticha

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 3 года назад +1

    Kweli Yesu anarudi 100%

  • @mosesmunialo3859
    @mosesmunialo3859 3 года назад +2

    Anacho kisema mchungaji nikweli kabisaa.. last year nikiwa Kwa maombi niliambiwa na Roho mtakatifu kua, " They are going to rule the world" .. pia kuna sanduku la agano ambalo bwana ataelegeza mteule atakalo lichukua mahili lilipo. Mkiona kuna juhudi za kulitafta pia mjue ujio wake Yesu kristo utayari..

  • @yusufukasato
    @yusufukasato 3 года назад

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @samwelintinda2593
    @samwelintinda2593 3 года назад

    Ubalikiwe mtumishi WA BWANA

  • @mbulabalenzi3790
    @mbulabalenzi3790 3 года назад

    Asante mtumishi wa Mungù

  • @samjapheth8411
    @samjapheth8411 3 года назад +1

    True word of God.

  • @mwadiabulymoshabani6336
    @mwadiabulymoshabani6336 3 года назад

    Mungu tusaidie

  • @mwadiabulymoshabani6336
    @mwadiabulymoshabani6336 3 года назад

    Mungu nisaidie kuwa mtoto wa Nuru

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 3 года назад

    Huyu Mchungaji huwa nikimsikiliza shida Zangu za kiroho huwa zinaisha kabisa

  • @pastornongoli4388
    @pastornongoli4388 3 года назад +1

    Ameen

  • @emmanuelmahande6164
    @emmanuelmahande6164 3 года назад

    Glory to God

  • @philipomiddojr1707
    @philipomiddojr1707 3 года назад

    acha nirudie kwa umakini baada ya kuwa live mchana...Matengenezo ya kanisa

  • @viviankoech6793
    @viviankoech6793 3 года назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @shalomphotostudio9286
    @shalomphotostudio9286 3 года назад

    nice

  • @jeniphaledaschali4594
    @jeniphaledaschali4594 3 года назад

    Ila mch, zuia mapambo kanxani ili wanawake twende wote mbingubi

  • @kyungnenoch5320
    @kyungnenoch5320 3 года назад

    Glory to God

    • @fadhilsebeku4908
      @fadhilsebeku4908 2 года назад

      Nampenda sana Yesu Kristo anayetufunulia mambo haya kupitia wewe mtumishi wake, hakika jina la Bwana wetu Yesu Kristo lihimidiwe. AMEEN.