#MV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #isleblogTV Serikali imeamua kutokuiyuza Mv Mpainduzi II baada ya kutowafiki bei ya wanunuzi, jambo lilopelekea Serikali kutoa maamuzi ya kuifanyia matengenezo makubwa ya kuifufua Mv Mapinduzi tu, Waziri Dk. Khalid anafafanua hatua zilizobaki na maamuzi ya Serikali baada ya kukamilika mambo yote. Kama bado hujasubscribe chanal yetu fanya hivyo sasa ili uwe wa kwanza kupata habari zetu na kuwajuza wengine. Asante Like|Comment|Share|SUBSCRIBE NOW

Комментарии • 8

  • @PapaaMasauti-q7o
    @PapaaMasauti-q7o 13 дней назад +1

    Serekali ni wezi sana

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 13 дней назад

    Hii Melissa it's to old 😢

  • @mwalimhamad3825
    @mwalimhamad3825 10 дней назад

    Wanataka kuuwa watu

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 13 дней назад

    Ilipokuja hiyo meli tuliambiwa ni MAPYA cha ajabu imelala baada ya muda mfupi wenywe walikua wakaliiiii CCM😅

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 12 дней назад

    😂😂😂😂 😈

  • @ishmaelfaki
    @ishmaelfaki 13 дней назад

    Wanataka kutowa watu muhanga

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 13 дней назад +2

    Shein na Seif Iddi walikula haki za wahanga MV spice na kuiba mabilion, Toka mali haijaja Zanzibar tuliambiwa kuwa ni changa la macho. Tusubirini Akhera sio mbali na siku zimekaribia.