CHAPATI LAINI KWA KUTUMIA MAFUTA TU NA MUDA MFUPI
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Jinsi ya kupika chapati laini sana kwa muda mfupi na mahitaji kiasi.
Mahitaji ya donge:
Unga vikombe 3
Maji kikombe 1.5 au zaidi
Chumvi robotatu ya kijiko kikubwa
Mafuya kijiko 1 kikubwa
Unga wa kufanyia kazi
Mafuta ya kutosha kukunjia na kuchoma
Mashallah nilisoma recipe zako nika try 3 times sasa nika na small mgahawa nimeanzisha wanapenda mandazi na chapati zangu😊😊 jazakallah khair sis
Nafurahi kusikia hivyo. Shukrani sana
Jazaka Allah khayran