MWALI KIGEGO PART 04 💞 Love Story | DONTA TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #love

Комментарии • 159

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 2 месяца назад +17

    Mko chapu kutoa move❤❤nimependa sanaa wanaowakubaliana na Wana donta plus gonga like❤❤🎉🎉

  • @PhinaMango-r6t
    @PhinaMango-r6t 2 месяца назад +65

    Bariki na kumuongezea miaka anaetizama hiii films na avuke mwaka akiwa mwenye afya njema..

  • @سيييققق
    @سيييققق 2 месяца назад +20

    Loveness na ndimu nyinyi mungu anawaona kumbe ni washenzi sanaa yani mama anaongea nyinyi mko na mambo yenu tuu nimechekaa😂😂😂😂🤸🤸🤸kama umecheka kama mm gonga like tujuane 😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SwafiyaNguja
      @SwafiyaNguja 8 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @DrlabaraniKivuyo
      @DrlabaraniKivuyo 4 дня назад

      😂😂😂😂😂

  • @Zuubaby-lp9uj
    @Zuubaby-lp9uj 2 месяца назад +29

    Habar zenum wa mwisho Leo lkn naombeni like zenu mm nalaiki Kila cku lkn mm mnanipita tuuu😢

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 месяца назад +10

    Loveness na ndimu nyinyi 😂😂😂😂 ribs zangu jamani from 🇰🇪

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 месяца назад +9

    Kila mmoja wetu aendelee kupata somo kutoka kwa hawa jamaa ,wana vipaji vikali mnoo , Let's keep supporting them guys

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 2 месяца назад +7

    Wakwanza Leo , Asante Kwa mafunzo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SaumuChengo-j1w
    @SaumuChengo-j1w 2 месяца назад +3

    Mob love guys
    Acheni tabu aendeleee kupata jina lake😂😂😂😂😂

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 2 месяца назад +4

    Kazi nzuri sana nimejifunza kitu

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul 2 месяца назад +10

    😂😂😂😂😂😂 ndimu bhan na love akili zenu nyiny ndog San daaaah nimecheka bi mkubwa anajimaliza pekee yke watu wpo bzy na mambo Yao nimecheka san❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅

    • @JoykwambokaJoykwamboka
      @JoykwambokaJoykwamboka 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      Alivo sema wee ndimu huyo mama yaoo😂😂😂

    • @CarenJulius-v7g
      @CarenJulius-v7g 29 дней назад

      😂😂😂😂 mm mwenyewe nakufa na kicheko yani iki kibande wamekitendeea aki🎉🎉🎉

  • @نورة-ذ3غ2ث
    @نورة-ذ3غ2ث 2 месяца назад +1

    Napenda hicho kinyimbo ni kizuri sana naburudika tu sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @olicej7837
    @olicej7837 2 месяца назад +5

    Ila tuseme ukweli mama tabu a.k.a mama kelvin anajua saana kuigiza tesa mwingine tena 😢unaigiza vizr saana mama🎉🎉

    • @RahmaSaid-d9q
      @RahmaSaid-d9q 2 месяца назад

      Yani anaigiza ualisia kabisaaa nampenda mama kelvin chukuwa mauwa yako namakopa kopa❤❤❤❤

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 месяца назад

      @@RahmaSaid-d9q umeeeona nyendo zake ni kama za marehemu tesa😢

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 2 месяца назад +8

    Loveness jamani na Ndimu yaani nimecheka kweli nawapenda sana from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦😂😂😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 месяца назад +1

      Ata mimi nimecheka saaana 😆

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 2 месяца назад +1

      @olicej7837 🤣🤣🤣🤣

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z 2 месяца назад +2

      Eti c umesema manesi wakule wachafu basi twendeni kwengine😂😂😂😂😂

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 2 месяца назад

      @@MariaSalim-u5z yaani Yuko inje ya mada kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @DrlabaraniKivuyo
      @DrlabaraniKivuyo 4 дня назад

      Ata mimi nime😂😂😂😂

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 2 месяца назад +5

    Hongeren Sanaa mm wa kwanzaa

  • @OrnellaMushengezi
    @OrnellaMushengezi Месяц назад +1

    Mama Kevin Mungu akubariki 🎉🎉Mauwa yako

  • @AngelAizack-n6w
    @AngelAizack-n6w 20 дней назад

    Jaman napenda ndimu ni handsome huyo❤❤❤❤❤❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂love na ndimu muko dunia yenu mama abu uku anaongea pekeake😅😅

  • @Swamycute-l8o
    @Swamycute-l8o 2 месяца назад +3

    More ❤️ Love characters 🎉❤❤❤❤❤❤

  • @seifcash2275
    @seifcash2275 2 месяца назад +1

    Kipala Ndimu ana uchu huyo hajali hata kama kuna matatizo😂😂😂

  • @MartaSulley
    @MartaSulley 2 месяца назад +3

    Kz nzr sana inafundisha Cha mtu maviiii

  • @JacklinJastin-r5i
    @JacklinJastin-r5i 2 месяца назад +3

    Zuuu uko vizuli kuzuga

    • @sishamusic
      @sishamusic 2 месяца назад

      asante kipenzi❤

    • @RebekaNgave
      @RebekaNgave Месяц назад

      ❤napenda alicho fanya zuuu😂

  • @ZenaKhamis-pv1un
    @ZenaKhamis-pv1un 2 месяца назад +1

    Ndimu unajua 🎉🎉🎉

  • @CasemiroCasemiro-uc3gn
    @CasemiroCasemiro-uc3gn Месяц назад +1

    Uyu dada ana robo mbaya sana jamani mungu amlaani

  • @AplA-x9b
    @AplA-x9b 2 месяца назад +1

    Ndimu na loveness tayariiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SabrinaAliy-g9s
    @SabrinaAliy-g9s 2 месяца назад +2

    Me nataka tuonyeshwe uyo tabu jamani

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 2 месяца назад

    Big up Donta tv kwa kweli mko vizurii hongera sana wahusika wote alafu mama tabu aka mama kelvin uko vizuri mama kwa kuigiza mauwa yako mamaa🎉🎉🎉❤❤❤

  • @seifmohamed6346
    @seifmohamed6346 20 дней назад

    Mama Yuko katika mazungumzo Ndimu amtongoza Lavnes😅😅😅

  • @Khadijah-p8v
    @Khadijah-p8v 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana wapenzi mungu awapiganie katika kila hatua

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana ❤

  • @AlvinNuru
    @AlvinNuru 2 месяца назад +2

    Mmmh hawa wachepuko wanataka hivyo afe kabisa

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 2 месяца назад +1

    Ndimu na lovenesss 😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnnaDamiani-f3n
    @AnnaDamiani-f3n 19 часов назад

    Ndimu, unamacho mazuri sana hongera.

  • @IreneRaphael-u8c
    @IreneRaphael-u8c 2 месяца назад

    ❤❤ movie nzuri Sana

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 2 месяца назад +1

    Mashajjah❤❤

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 2 месяца назад +4

    Haki amina❤nimekumiss dadaa

  • @MwanashaSuleimanTabwara
    @MwanashaSuleimanTabwara 2 месяца назад +6

    Kweli damu nzito kuliko maji leo kaka mtu anathamini dadake amesahau alicho kuwa dadayake hakumtendea vizuri mke wa adam hadi mtusi.

  • @AminaMboma-s2l
    @AminaMboma-s2l Месяц назад

    Safi sana dawa ya mot moto2

  • @D.a4really6
    @D.a4really6 2 месяца назад +3

    wa kwanza hpaaaa

  • @NduwimanavovobiVovobi
    @NduwimanavovobiVovobi 2 месяца назад +1

    Mbona loveness kaharibika usoni au anajipaka mkorogo mkali jmn😢😢😢

  • @hadihadi9167
    @hadihadi9167 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂mnatongozana mbele ya mama 😂😂

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 2 месяца назад +1

    Courage ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 2 месяца назад

    Mapenzi wewe ❤ loveness na ndimu 😂😂😂😂

  • @Hawleydeson
    @Hawleydeson 2 месяца назад +1

    One chance bro ndimu

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua Месяц назад

    Loveness kiboko 😅😅😅😅mama anaongea pekeake wao wana yao😅😅😅

  • @TumainKelvin
    @TumainKelvin 2 месяца назад

    Hakuna kama donta ❤❤❤

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 2 месяца назад

    Nawapenda bureeèee wana donta❤❤❤🎉🎉

  • @PillySuleiman-p7x
    @PillySuleiman-p7x 27 дней назад

    Jamani ndimu apewe mauwa yake kwa usela wake😂😂😂

  • @EuodiaJoseph
    @EuodiaJoseph 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 2 месяца назад +1

    Mashallah kz nzur lkn tuendelee na step father plz..

    • @RuthNyatuka-qe3kd
      @RuthNyatuka-qe3kd 2 месяца назад +1

      Si iliisha kitambo

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 2 месяца назад

      @RuthNyatuka-qe3kd ok sw sukujuwa

    • @Ema-p7z
      @Ema-p7z 2 месяца назад

      Alikua amesafiri huyo

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 2 месяца назад

      uko dunia gani mbn iliisha kitambo sana labda mtoto wa bosi

  • @AnifaKomba-q8f
    @AnifaKomba-q8f Месяц назад

    Ila Tina😮

  • @samiamohammad6686
    @samiamohammad6686 2 месяца назад

    Hahaha kubayaaa 😂😅pole

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza 2 месяца назад +2

    Lonvress mamayangu uza contri kwenye pharmacie utiye kwenye mafuta yako yakupakala itaondowa ile ma tâche kwenye uso wako usikose ni dawa nzuri sana piya ni ya ukweli

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 месяца назад

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @KardMukama
    @KardMukama 2 месяца назад

    Mko chap kutoa move💜nimepend

  • @NajmahAbdillahi
    @NajmahAbdillahi 24 дня назад

    Hospital manesi wachafu🤣🤣🤣

  • @ShakiraZoka
    @ShakiraZoka 19 дней назад

    Aminaaaa❤

  • @MaimunaAbeid-h8w
    @MaimunaAbeid-h8w Месяц назад +1

    mm namkubl xna ndim

  • @HadijaMkondola-c5w
    @HadijaMkondola-c5w 2 месяца назад

    Mutuongee utamu jamani tunaenjoy sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 месяца назад

    Hqhahaa huoandi karanga ukavuna njugu😂😂😂

  • @MaryamKher
    @MaryamKher 2 месяца назад +1

    Wa20 leo like zangu

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 2 месяца назад +1

    Ndimu na lavu kulikoni😂😂😂😂😂

  • @MealiiKolo
    @MealiiKolo 2 месяца назад

    Amina kwa ushaur wake sasa😅

  • @MosiSalehetondo-u3q
    @MosiSalehetondo-u3q Месяц назад

    Jaman kwani huyo tabu kafa au maana haoneshwi bila kusahau movie inafundisha sana pia ni fupi

  • @EnisaMwalewela
    @EnisaMwalewela 2 месяца назад

    Napenda movie zenu

  • @aminamunga9030
    @aminamunga9030 2 месяца назад +4

    Walimwengu wamekufunza taabu 😂😂😂😂😂

  • @nusra-q8d
    @nusra-q8d Месяц назад

    kaka kelvin muendelezo wa mtt wa boss unatoka lini mbona muda unakuwa mkubwa w kusubir

  • @JacklinJastin-r5i
    @JacklinJastin-r5i 2 месяца назад

    I love it

  • @MwanashaSuleimanTabwara
    @MwanashaSuleimanTabwara 2 месяца назад +2

    Adam mzee wa kuvhepuka

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 месяца назад

    Lovenes jaman 😂😂😂😂😂😂

  • @golehaezekiel8187
    @golehaezekiel8187 2 месяца назад

    Na mm naomba laiki

  • @JohnMosses-m7e
    @JohnMosses-m7e 2 месяца назад

    Mko vizur sana

  • @fatmaabubakar-b5d
    @fatmaabubakar-b5d 2 месяца назад

    hii mnatoa chap hadi raha toeni mwendelezo basi wa malaya mgeni

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 2 месяца назад

    🤣🤣🤣🤣love na ndimu 😂😂😂

  • @IhaveMy-d6h
    @IhaveMy-d6h 2 месяца назад +2

    😮🎉🎉

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 2 месяца назад +1

    Tabu umalaya wako ume kuponza ebu aceni n'a mabwana za watu

  • @CarolyneMungathia-ip1hg
    @CarolyneMungathia-ip1hg 2 месяца назад

    Loveness 😅😅😅

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 2 месяца назад

    Kazi njema

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 месяца назад

    Hahahaaaa hupandi karanga ukavuna njugu

  • @officialtainjr-sl3uj
    @officialtainjr-sl3uj 2 месяца назад +1

    Like kama zote wakwanza mie

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад

    Tabu pole kwa kweli matokeo hayo

  • @MrpasakaonlineNewsUpdate
    @MrpasakaonlineNewsUpdate 2 месяца назад

    TABU KAYABANANGA UMALAYA TU KUOGA HAAAA😂😂😂😂😂

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 2 месяца назад

    Unachotakiwa jipendekeze kimapenzi Kwa mkewe. Mdekeze mpetipeti atakubali. Sio kumuombea msamaha Tabu. Nasio kwenda Kwa mganga.

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад

    Mambo nimazito 😢

  • @MartinmutuaMuthini
    @MartinmutuaMuthini 2 месяца назад +2

    🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @AishaH-e3k3w
    @AishaH-e3k3w 2 месяца назад

    Laveness uzur kasha uharbu kwa mikorogo mtu ukimsifu sana nilimwambia asijichubue haskii mazara yake unaambukia vpere unacho taking laveness Acha mkorogo tafuta sabuni ya kukausha vpere

  • @khadjaysph
    @khadjaysph 2 месяца назад +1

    🥰🥰

  • @ZuhuraKitanga
    @ZuhuraKitanga 2 месяца назад

    Sote inshaallah.

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Wamwakera254
    @Wamwakera254 2 месяца назад

    Tabu ulimwengu umemfunza xx

  • @VictoriaDenis-d9m
    @VictoriaDenis-d9m 2 месяца назад

    Aaaaaaaaaa, tabuuuu umeuponza mwali wangu

  • @AnastasieSmith
    @AnastasieSmith 2 месяца назад

    La suite svp

  • @RajabuTecno
    @RajabuTecno 2 месяца назад

    Nzuli

  • @Emelanciene1652
    @Emelanciene1652 2 месяца назад +1

    Taabu atajina lako munafanana 😅😅

  • @Sallher96
    @Sallher96 2 месяца назад

    🔥

  • @RossRoss-n3s
    @RossRoss-n3s 2 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 2 месяца назад +1

    Haya sas chuma hicho

  • @MariaSshilla
    @MariaSshilla 2 месяца назад

    Nice

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 2 месяца назад

    ❤❤❤

  • @BethahMasudy
    @BethahMasudy 2 месяца назад

    mambo yatabu nikiboko

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 2 месяца назад