BEFORE I MEET YOU 💔 { 26 }

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 251

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 14 часов назад +109

    Tulio subiri Kwa hamu gonga like apa🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 14 часов назад +30

    Wa kwanza tena leo lisa wewe ngojangoja uminza matumbo usipokua makini na mambo yko mmmh sisemi sana mmi I'm from...🇰🇪🇰🇪🇰🇪..like jamani🎉🎉🎉🎉

  • @Joeh-rc4xm
    @Joeh-rc4xm 11 часов назад +7

    Kiukweli loveness nimtu mzima anajielewa,Amina ebu acha shobo zako ety utakutana nacho unachomtakiy mwezako

  • @Mary-u4b2o
    @Mary-u4b2o 13 часов назад +9

    Mbna mwachelewesha sana ata tunasahau ❤❤❤❤

  • @RuthNassari-r5x
    @RuthNassari-r5x 7 часов назад +6

    Kaz nzur sana lakn mnachelewesha

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 11 часов назад +11

    Sijafurahi mpka baba na mwana yani Jarufu na mr D wajuane kua wote ni baba kijacho😂😂😂😂

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 13 часов назад +6

    Lisa peleka jaruff kwenu mapema ndio best bure usijejuta baadae❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @MikeTison-m1z
    @MikeTison-m1z 3 часа назад +2

    Wale Kenya 🇰🇪naTz🇹🇿 tumesubiria xana wapi likes zeyu jamani😂😂😂❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 13 часов назад +6

    Jamani tulikua tume imisi bala ❤❤❤❤tuone vituko vya Suzi😂😂😂

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 11 часов назад

      😂😂kako na mambo mingi aka suzy😂❤but nakapenda

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 9 часов назад

      Niatari nakwambiya😂😂😂​@@ChristineMaloba-hk9je

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 12 часов назад +12

    Huyu Suzi simpendi walai😄😄😄😄

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa 8 часов назад +5

    😂😂😂😂😂nipo na maya afe kipa afe beki lazima tujue ukweli dadekiiiii

  • @TumainiG
    @TumainiG 14 часов назад +11

    Loveness usijaribu kutoa mimba jamani 😢😢suzzy wacha ujinga eti atoe mimba 😢😢😢😢

    • @marxk1186
      @marxk1186 5 часов назад +1

      Usijisahau hii ni movie 😂😂😂

    • @TumainiG
      @TumainiG 3 часа назад

      @marxk1186 😭😭😭woiye hapo kwa kutoa n sin

  • @PhiloyceAlividza
    @PhiloyceAlividza 13 часов назад +4

    Yaani mnaendelea kutufurahisha zaidi na zaidi.
    Nawapeeni tu maua yenu. 🌹🌹🌹

  • @HajiboAli
    @HajiboAli 11 часов назад +3

    We loveness unakera sana ukitaka kufanya kitu usimshirikishe amina amua mwenyewe

  • @careenbionzel7099
    @careenbionzel7099 14 часов назад +6

    Raundi hii mumekawia sana 😊

  • @JumaKavula-u5e
    @JumaKavula-u5e 4 часа назад +1

    Hongeren sana donta tv🎉🎉 napenda sana series zenu mko vzur mwenyez mungu azid kuwapa afya njema na uzima pia🎉🎉🎉💞🙏.

  • @Vincentchakaya
    @Vincentchakaya 14 часов назад +10

    Wa kwanza kutoka kenya naombeni likes

  • @Mwanaisha-h4h
    @Mwanaisha-h4h 10 часов назад +7

    Huyu Mr d yuwanikera ajabu 😏😏

  • @TumainiG
    @TumainiG 14 часов назад +11

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤wa kwanza jamani nipeeni likes zangu nani amemisi hii movie kaa mm hepu ngonga likes tukisongoa😂😂😂

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 12 часов назад +1

      Kweli ww n wakwanza 😂😂😂❤

    • @TumainiG
      @TumainiG 11 часов назад +1

      @ChristineMaloba-hk9je wow 👌 👏 😍 nimekupea yako pia asante 😘😘🥰🥰

    • @TumainiG
      @TumainiG 11 часов назад +1

      @highlight @followers @commenters nimepea kila mtu likes zake nawapenda saana kunaye ajapata

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 10 часов назад +1

      @TumainiG Thanks so much 🙏🏼 🥰😍😚

    • @TumainiG
      @TumainiG 9 часов назад +1

      @@ChristineMaloba-hk9je welcome 🙏 🤗 😘 ☺️ Habibi

  • @IreneDonati
    @IreneDonati 14 часов назад +13

    Sijawahi kucomment ila niwape mauwa yenu🎉🎉🎉🎉

  • @JaelOkoth
    @JaelOkoth 11 часов назад +3

    Pole sanaa lisaaa kwa wakati mgumu unaopitia mmmnh ......Anita anakupoza Lisa

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 11 часов назад +4

    Lissa umevuka mipaka unamtusi umbwa ila umbwa imelala na wewe yote wewe njo umeyataka hayo yote sababu ya tama zako

  • @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse
    @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse 12 часов назад +5

    hi dear all I look at you from Congo Kinshasa 🇨🇩

  • @JoaquimleonardoguilhermeGuilhe
    @JoaquimleonardoguilhermeGuilhe 14 часов назад +4

    Kazi mzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @ChristopherKipiga
    @ChristopherKipiga 14 часов назад +6

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🧐❤️❤️ tuko nanyi mwanzo mwisho ❤

  • @NdikiminweCéline
    @NdikiminweCéline 7 часов назад +1

    Jamani ya leo kali😂 lisa eti unikome jisi ulikoma kiti ya mama yako😂😂😂😂pôleni sana ,semeni mapema kwa jalufu bila mambo hayijaalibikaaa

  • @HajiMwadin-t9l
    @HajiMwadin-t9l 6 часов назад +1

    Kazi nzur San 🎉🎉

  • @MasauShida
    @MasauShida 14 часов назад +3

    Kazi nzuri sana🇹🇿

  • @سيييققق
    @سيييققق 11 часов назад +3

    Mbona Kelvin mlimtoa jamani na yeye ndio hua anampea umbea jarufu😂

  • @SaidAbdalla-m8t
    @SaidAbdalla-m8t 13 часов назад +13

    Waloisubiri kwa hamu kama mimi gongeni likes please🎉🎉🎉

  • @NdikiminweCéline
    @NdikiminweCéline 7 часов назад +1

    Suziiii jamani 😂😂 nakupenda ❤ weye na lissa ❤ lakini suzi mushawuli baya kabisa

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 8 часов назад

    Fillamu iko moto moto ila Mr D wanivunja mbavu😂😂😂 Lissa jiangalie mambo yanaenda Kuharibika hongera sana wahusika wote mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Niclettekh
    @Niclettekh 12 часов назад +4

    Mulikua wapiiiiiii siku zote jmn Ila nime wa miss❤❤

  • @devotanyangala8984
    @devotanyangala8984 13 часов назад +2

    Go tell Jaruff everything and live everything to God kama kweli umeamua kuchange loveness.

  • @سيييققق
    @سيييققق 13 часов назад +14

    Jamani nipeni like pia mimi nimewahi jamani 😢 wakenya mko wapi gonga like tujuane tulio kua tukisubiri mwageni maua ya Mr D na loveness 😂😂

  • @AKMcarcollection
    @AKMcarcollection 13 часов назад +4

    Tunao mkubali Mr.D mambo yake gonga likes

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 4 часа назад +1

    Ila suzi 🙌

  • @ArH-p3r
    @ArH-p3r 2 часа назад

    Kazi nzuri na mumechelewesha ❤❤

  • @khadijaoshan6881
    @khadijaoshan6881 14 часов назад +4

    Wa kwanza🎉

  • @mwendemercy4488
    @mwendemercy4488 12 часов назад +2

    Suzzy sikupendi uko natamaa sana wewe siuchukue Mr D akuoe wewe.......loveness tuliza kipwinto tupo hapa single mum ❤❤❤

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 8 часов назад +1

    Kazi nzuri sana ❤❤

  • @MourineShamala
    @MourineShamala 13 часов назад +2

    Kwa kweli kaka Jarufu anajituma na kumjali Lissa ila lisa anamwangusha sana...

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 11 часов назад +2

    Mambo n moto ❤

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 14 часов назад +3

    Litha Suzy kakuharibia ni rafiki mnafiki harafu jarufu MUNGU akupe nini kila kitu unamfanyia litha but kunamuda litha anazingua😮😮

    • @VioletGikenyi-n8d
      @VioletGikenyi-n8d 12 часов назад +1

      Watuanguasha jamani ,,,,,,,,ni lissa

    • @ndiaofficial
      @ndiaofficial 12 часов назад

      Jifunzeni katika hii movie nimemaliza

  • @nginambilu5045
    @nginambilu5045 14 часов назад +3

    Mumechelewesha sana

  • @SamouOman
    @SamouOman 13 часов назад +2

    Kazi nzur

  • @Hgfd765Ghf
    @Hgfd765Ghf 11 часов назад +3

    Huyo sio rafiki mubeya harafu matata to🥺🥺🥺

  • @BenjaminRumwemuza-u5u
    @BenjaminRumwemuza-u5u 8 часов назад +1

    Leo nimewahi from 🇨🇩 naombeni like 😂❤

  • @BahatiDoman
    @BahatiDoman 10 часов назад +3

    Love atapata shida

  • @MussaLenga
    @MussaLenga 6 часов назад +1

    Kaz nzur

  • @bettymbeyu8746
    @bettymbeyu8746 11 часов назад +2

    🎉🎉🎉🎉nimechelewa ila nipoa nipo😊

    • @TumainiG
      @TumainiG 9 часов назад

      @@bettymbeyu8746 nimekupea 🥰🥰🥰

  • @AminaShaban-r7p
    @AminaShaban-r7p 11 часов назад +4

    Hv wanaume kama Jarufu wapo kwel😂😂

  • @Officialmjemah
    @Officialmjemah 12 часов назад +2

    ila suzy unajua bana👏👏

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 14 часов назад +2

    Tunajua Kuna Changamoto lakini Msichelewe Sana jamani Mpaka tunasahau Tulipo ishia

  • @NjoleZuma-ue9yo
    @NjoleZuma-ue9yo 14 часов назад +3

    🎉🎉❤first

  • @JoeriaAbdallah
    @JoeriaAbdallah 8 часов назад +1

    Next plz..nilikuwa nimekiss

  • @GraceMlowe-k4j
    @GraceMlowe-k4j 13 часов назад +1

    Jaman nlisubir sana haha 😂😂

  • @Wamwakera254
    @Wamwakera254 11 часов назад +2

    Mm kama mwanafamilia nina maoni kw lisa na Suzy 😢😢😢😢 move inayokuja bc uhusika wa lisa upewe Suzy na uhusika wa Suzy upewe lisa 😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪

    • @LastBorn-h6v
      @LastBorn-h6v 10 часов назад

      Suzy hawez igiza kama lisa

  • @DamarisdhahabuDamarisdhahabu
    @DamarisdhahabuDamarisdhahabu 10 часов назад +1

    Yani .Love sahii hautatosha😮😮

  • @nancepatrick4769
    @nancepatrick4769 12 часов назад +2

    😂😂mmeninyima like jamani

  • @delvinmoraa8688
    @delvinmoraa8688 10 часов назад +3

    Kwani mlienda wapi hamfanyi poa nashunguka u tube Kila siku kuwatafuta😂😂

  • @grotenmnawili
    @grotenmnawili 12 часов назад +2

    mnachelewa sana kuachia

  • @CiscoChepkurui
    @CiscoChepkurui 6 часов назад +1

    Kaz nzur sana lakini mnachelewesha

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 13 часов назад +2

    Finally mumewai mimi nilikua na stuka iliishia ama suzy wewe nimnafiki sana lisa utapoteza( 4) ukifafata (8)

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 10 часов назад +1

    Hapa majang

  • @AbdulyShomvi
    @AbdulyShomvi 8 часов назад +1

    Kumbee muvii hili lipo nlijua ndo mshalitupia store 😂😂😂😂🎉🎉

  • @Shasu2-re3hq
    @Shasu2-re3hq 10 часов назад +2

    Anaenda kubambwa mtuu toba😅😅😅

  • @MalingaJulie
    @MalingaJulie 11 часов назад +2

    Tulisubiri kwa hamu kbs❤😂

  • @Lover-m2k
    @Lover-m2k 13 часов назад +2

    Mbna umechelewa aki ila tuko pamoja 🎉🎉🎉🎉

  • @groryjonas
    @groryjonas 12 часов назад +2

    Mbon mmechelewa San kutoa iyoo picha jaman msiwe Ivyo jaman

  • @afrahelgoth5657
    @afrahelgoth5657 9 часов назад +1

    sema amina anakashape kake mjini

  • @Salama123-iw7hj
    @Salama123-iw7hj 11 часов назад +2

    From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawapenda lisa

  • @ScolasticaKirungu
    @ScolasticaKirungu 4 часа назад

    Ata mimi jamani napenda sana wajuane ao baba na mwana wanashea jaman nimemmisi kelvin

  • @MagrethHalla-t1p
    @MagrethHalla-t1p 9 часов назад

    Lisa Bora umwambie ukweli jarufu,ukweli utakuweka huru

  • @KhadijahKinyuri
    @KhadijahKinyuri 13 часов назад +2

    Pete nd ishapoteza mwelekeo ama😂😢

  • @HadijaKenya
    @HadijaKenya 10 часов назад +2

    😂😂😂😂Uyu Suzy anazambi

  • @SilviaWabwire
    @SilviaWabwire 11 часов назад +1

    Hii ndio mambo wasichana wanapitia huko nje,but Suzi mungu anakuona 😢

  • @Lena-y2s
    @Lena-y2s 13 часов назад +1

    Baba atakua baby hau baba atakua kaka🎉🎉🎉

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 часа назад

    Mbona mshairegesha hii movie jaman au sio hivo maana naona imerudiwa tena

  • @MwasitiAlmasi
    @MwasitiAlmasi 7 часов назад +1

    Nawapenda sana mko poa sana ❤❤❤

  • @NiyonzimaTantine
    @NiyonzimaTantine 12 часов назад +2

    Tuliowa miss like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChristineWafula-bn7tq
    @ChristineWafula-bn7tq 10 часов назад +1

    Mr D 😂😂😂😂 jameni nawapeni maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 4 часа назад +1

    Suzy kapendeza leo

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 часа назад

    Aya Kuna mtu namwonea huruma apa 😂😂 kazi zuri congratulations 👏 from Kenya

  • @ZainabMxalu
    @ZainabMxalu 12 часов назад +2

    Muwe mnasahisa basi Kama mwanzo

  • @AshaMtumwa
    @AshaMtumwa 4 часа назад +1

    Wanachelewesha. Kweli

  • @AziziMfaume-p2d
    @AziziMfaume-p2d 10 часов назад +1

    Mbona haielewek

  • @irenemuthoka6678
    @irenemuthoka6678 9 часов назад

    Was kwanza kutoka kwa kasogo nipeeni like

  • @ZinhaZinha-w7d
    @ZinhaZinha-w7d 13 часов назад +2

    Nimewa🎉🎉

  • @Joeh-rc4xm
    @Joeh-rc4xm 6 часов назад

    Yan m kiukweli Suzi ckupendi kwamaushauli yako kwamwezako,una mambo meusi xana😢😢

  • @siphamathew503
    @siphamathew503 14 часов назад +3

    NAMBA MOJA NIPENI MAUA YANGU JMN😂

  • @SalhaRashidi-h4c
    @SalhaRashidi-h4c 11 часов назад +1

    Maya nakpnda kipenz Kama jna lko lilivyokua Zur na ww mzr pianakpnda

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 8 часов назад

    Lissa bola umwambie ukweli jarufu kuliko kulakiya siozizuli usimsikilize Amina atakama farufu akikuwacha basi naiyomimba bolauitoe

  • @BeatriceMalumbo
    @BeatriceMalumbo 11 часов назад +4

    Apo apo uckubali adi ukweli uujue

  • @NadiaBamba-s9h
    @NadiaBamba-s9h 14 часов назад +2

    Acheni kuchelewa sana

  • @عائشة-ذ9م
    @عائشة-ذ9م Час назад

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @noreennafula-zj8zp
    @noreennafula-zj8zp 12 часов назад +2

    Mnachelewa jamani

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 6 часов назад

    Sitaki kujua kutaendaje,,,,,bora Maya ameona kitu,,,sooo ivi karibuni kitajulikana ana Jarufu atamchukuia mdogo wake pia😂😂😂

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 14 часов назад +3

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @JamilaBocha
    @JamilaBocha 14 часов назад +2

    Finally mmechelewesha hadi tukasahau

    • @RamboDaniel
      @RamboDaniel 12 часов назад

      Na bado wameirudia hyo eps