USISEME - EPISODE 04 | CHUMVINYINGI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 231

  • @SelemanKayange
    @SelemanKayange 23 дня назад +21

    Kazi nzuri lakn na wana yanga mlike kwa ajili ya ushindi wa leo

  • @RasuliMnkande
    @RasuliMnkande 23 дня назад +62

    Makopa mengi KWA chumvi nyingi gang kazi nzuri na tunamumba Mungu amlaze mahalo mema peponi ndugu yetu palaga miezi nane imepita sasa amiiin wote tuitikie amiin KWA ajili ya kumuenzi palaga amby alikuwa ni chumvi nyingi gang❤❤

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 23 дня назад +11

    Team chumvi nying nawakubal san KAZI iendeleee❤😂😂🎉🎉😂😂❤❤🎉🎉

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 23 дня назад +9

    Kazi nzuri Mr chunvinyingiii,sante tumefurahia na tamthilia yetu hii tuloanzaaa nayoooo mwakaaa,nzuri ya kuvutia na kusisimua,asanteee sanaaa chunvinyingiiiii,na sana zaaidiii tunasubiria muendelezooo

    • @NagibKhamis
      @NagibKhamis 23 дня назад

      Asante sanaaaa tukopamojaaaaa

  • @StevenMbuya-m1l
    @StevenMbuya-m1l 23 дня назад +16

    Kazi nzuri sana unajitahidi kuwaisha kazi

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 23 дня назад +10

    Shani yambi yambi nimekuwa nimekumiss ❤❤ Alafu umenenepa kipenzi

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon 23 дня назад +10

    Eti wee buzie unaumiri wangu😢😮😅❤😂😂😂

  • @MisangaNassoro
    @MisangaNassoro 23 дня назад +13

    Wa 23chuvi kaza siumepata mshahara uogoouwo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SukhairaZaiytun
    @SukhairaZaiytun 22 дня назад +5

    Muvie hii nlichoipendea haichelewi inakuja kwa wakat wallah mungu akupe afya nzuri chumv na sisi ma fans wako inshaallah

  • @HazardBoy-h4w
    @HazardBoy-h4w 23 дня назад +11

    Chumvinying kaz kaz mung awape nguv

  • @Asma-hn1jk
    @Asma-hn1jk 23 дня назад +19

    Tulio furahi kumuona sham tujuane ❤❤🎉🎉na tulio miss chendu na nyau like zenu😢

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 23 дня назад +9

    Pat pesa tujue langi yako halisiii...chumvi ni sio mweusii jamaniii😂😂😂 duuuh nimecheka

  • @Witnessmontana424
    @Witnessmontana424 23 дня назад +10

    Nimewai Leo ❤❤❤

  • @dalalimwalimufurnitures
    @dalalimwalimufurnitures 23 дня назад +9

    Huyu mama anajua kuutendea haki uhusika wake hatari, kama unamkubali bi nyangemba gonga like tuondoke

  • @MazanzaOfficial
    @MazanzaOfficial 23 дня назад +5

    Hii Kazi Hii Basi Natamani Niseme Kitu Ila Kazi Yenyewe Inaitwa USISEME Chumvinyingi Usiseme, Nyangemba Usiseme🔥🔥💯💯

  • @HamisiNdale-qc9hl
    @HamisiNdale-qc9hl 23 дня назад +10

    Leo Niko karibu

  • @salehharuna7675
    @salehharuna7675 23 дня назад +4

    Nipo na shida ya milioni moja nitatuwe shida zangu ila hii movie inanisahaulisha kabisa asante broo chumvi

  • @HalimaMwamnyasa
    @HalimaMwamnyasa 23 дня назад +5

    Chumvi vp simba mweusi iko wp

  • @MavaibuTz
    @MavaibuTz 23 дня назад +12

    Wakwanza naomba like zangu kutokea mkoa wa mwanza

  • @SaidiNgomwa-f4l
    @SaidiNgomwa-f4l 22 дня назад +2

    jamani naomba mnisahidie jina ra hiyo nyimbo mapenzi ni nyota kuna kiza kikari mbere siwezi sogea iyo nyimbo nimependa🎉🎉

  • @NeemaNdunguru-h7b
    @NeemaNdunguru-h7b 23 дня назад +5

    Chuvi uko vizuri Sana Yani nakubarisana move zako

  • @abdallahmmanga2414
    @abdallahmmanga2414 23 дня назад +3

    mashallah chumvi nying hongera kwa kaz nzur ✅

  • @SilvesterMulwa
    @SilvesterMulwa 23 дня назад +4

    Yani nawapongezeni sana wana chumvi nyingi gang
    Nani yuaniunga mkono apan😅❤❤❤🫴

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 23 дня назад +5

    Wee kichenchede hebu karibu kubadilisha muonekano wa kucha zako season zote makucha na rangi nyeupe ni yaleyale na pia tofautisha herufi kati ya R na L sisi mashabiki zenu hatuangalii sura tu tunaangalia vitu vingi Kwa hiyo jirekebishe

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 23 дня назад +10

    Tumekubaliana tusiseme wadau ❤❤❤❤❤

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 23 дня назад +11

    Like za hans ni apa😂jamaa ni kipajii Sanaa

  • @Hkiller8481
    @Hkiller8481 23 дня назад +6

    chumvinying gang🔥🔥

  • @PatrickSimetikapolemba
    @PatrickSimetikapolemba 21 день назад +3

    Nafurahishwa na kazi yenu 🇨🇩🇨🇩

  • @LucySamwel-t9d
    @LucySamwel-t9d 23 дня назад +2

    Chumvi chukua mauwa yako 🎉🎉🎉 kazi nzuri

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 23 дня назад +9

    nyangemb mpak umaliz move mgongo unauma

  • @negoboy002
    @negoboy002 23 дня назад +13

    😂😂usiseme kama nilifatilia hii chumvi toka zama miaka 2 saii nasipati ata like😢

  • @SonjoKiddo
    @SonjoKiddo 23 дня назад +5

    Wp like zangu kwa chumvi nyingi gang nipeni like ila usisemeeeee😂😂❤

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 23 дня назад +3

    hahahahaha....Nyengembe...macho...ayoooo..😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂....chumvi nyngi kazi unayooo

  • @MasauShida
    @MasauShida 18 дней назад +1

    Kazi nzuri sana Mr. Chumvi nyingi🇹🇿

  • @JITULAMTUMBA101
    @JITULAMTUMBA101 23 дня назад +3

    Mbona fumanizi la mapema😂😂😂

  • @MaulidDirivo
    @MaulidDirivo 23 дня назад +6

    ʷᵃᵖⁱˡⁱ ᵏᵘⁱᵖᵃᵗᵃ

  • @RadhiaYussuf
    @RadhiaYussuf 23 дня назад +4

    Kwahy simba mweus ndo bas au

  • @jacklinekamando9555
    @jacklinekamando9555 23 дня назад +2

    Nani kaimba huo wimbo jamani
    Nimeupenda sana❤

  • @MrsDariya-y1j
    @MrsDariya-y1j 23 дня назад +2

    Nyangemba Fundi sana aisee🎉

  • @MrsDariya-y1j
    @MrsDariya-y1j 23 дня назад +2

    Shami nilikumiss pia hongera umenenepa

  • @WardaKambi
    @WardaKambi 23 дня назад +3

    Mungu atulinde na azid kutupa baraka🎉🎉🎉

  • @kingbrother-p6t
    @kingbrother-p6t 23 дня назад +5

    Movie izi ndio zako kaka

  • @KHARIDIALLY
    @KHARIDIALLY 23 дня назад +2

    Nimefulah kuwaon mama batul na mama kinee

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh 23 дня назад +2

    Asante sana chumvi kwakutupa burdani🎉🎉🎉

  • @nancymakau
    @nancymakau 19 дней назад +1

    Umerogwa ww😂😂..., chumvi lazma uuze mbuzi😂

  • @PenieDaniel
    @PenieDaniel 23 дня назад +3

    Leo niko no 27 kukoment

  • @mkaliwow3435
    @mkaliwow3435 23 дня назад +5

    Mambo hayo

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 23 дня назад +6

    ❤❤❤

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 23 дня назад +3

    Kope maruperupe😂😂❤❤

  • @UpendoRamadhani-d5j
    @UpendoRamadhani-d5j 20 дней назад +1

    Jmn simba mweusi ndo basi au

  • @shakwikindolo
    @shakwikindolo 23 дня назад +1

    ila shami Kawa kibonge jmn ❤❤❤

  • @AbdurahmanThabiti
    @AbdurahmanThabiti 23 дня назад +4

    Good job🎉🎉🎉

  • @HendriBunuas
    @HendriBunuas 19 дней назад

    Jamani kama mnankubari chumvinyingi basi mungu awabariki, KUTOKA MZ🇲🇿 ❤🎉🙏🙏

  • @PenieDaniel
    @PenieDaniel 23 дня назад +3

    Jitahidi kuongeza muda kidogo

  • @joelnyaga1985
    @joelnyaga1985 22 дня назад +2

    Kwani simba mweusi kuliendaje

  • @KilistnDamin
    @KilistnDamin 23 дня назад +2

    Tupeni flaha zetu jamn tupo pamoja

  • @StephankulwaJeremia
    @StephankulwaJeremia 2 дня назад

    Huyu mkaka mweupe anafanan na jeimelod wanao Amin hvyo ngonga like 😮😮

  • @ATStar-j9w
    @ATStar-j9w 15 дней назад

    Chunvinyingi gang nawapa mauwa yenu maana kwa hii kazi nikikosa buku ya bando naumia sana, kazi nzuri sana chunvinyingi gang.

  • @BakaryMsumary
    @BakaryMsumary 23 дня назад +2

    Chumvi nyingi naona unakunywa maji Sasa 😅😅😅

  • @KibzJay-r6w
    @KibzJay-r6w 23 дня назад +1

    Safi sanaa ❤❤❤...kichenchede mwanzo alikua anaogopa camera sai amekuwa perfect ❤❤

  • @Gwamxo
    @Gwamxo 23 дня назад +2

    Simba mweusi vipi kaka

  • @Rayya-n3p
    @Rayya-n3p 23 дня назад +2

    Yan ma bibi mnajua ad mnajua tena

  • @salumscaba8240
    @salumscaba8240 23 дня назад +3

    Kazi kazi

  • @ShaibuAzenga
    @ShaibuAzenga 10 дней назад

    We chumvinyingi msenge mbuzi anafananaje na shaibu

  • @AldadyKadzomba
    @AldadyKadzomba 21 день назад +1

    Msanii mwenye aliimba hio nyimb

  • @HARMONITZ
    @HARMONITZ 9 дней назад

    😂😂😂😂😂 umerogwaaaaa chumvi we unatuvunja mbavu unamuuliza mbuzi

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo 19 дней назад

    Uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri uzuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Moçambique 🎉🎉🎉🎉🎉 chelaaa

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 23 дня назад +1

    Sijawah wahi ,leo mara ya kwanza

  • @paulmaganga9700
    @paulmaganga9700 23 дня назад +1

    Hongera sana mkuu

  • @ladyj5089
    @ladyj5089 23 дня назад

    Nyangemba yupo sw Kila party yuwacheza❤

  • @Judithnyiva-pk9dq
    @Judithnyiva-pk9dq 23 дня назад +1

    Kwaivo do simba mweusi imeisha

  • @JaysonZinga-l7u
    @JaysonZinga-l7u 23 дня назад

    We jamaa chumvi unajua kaka let's go bro

  • @RashidiIssa-k3z
    @RashidiIssa-k3z 23 дня назад

    Nimeipenda hiii nyinbo inaitwaje nitafute nambie ni

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 23 дня назад +1

    🤣🤣🤣aca ufezereke ubaya umezidi

  • @MchasyMsangi
    @MchasyMsangi 23 дня назад

    Simba mweusi vip au. Imekwisha

  • @HashimKigomba
    @HashimKigomba 23 дня назад

    ❤❤mpo vizur naomba kujiunga na gang yenu

  • @JacquelineErick
    @JacquelineErick 22 дня назад

    Kazi nzuri
    Sas mbona Simba mweusi ipo kimya

  • @YusufuAthumani-c4i
    @YusufuAthumani-c4i 20 дней назад

    Noma sana chumviii

  • @RamadhaniNgokoro
    @RamadhaniNgokoro 23 дня назад +1

    Kaz Kaz 🎥

  • @jafetykaberege4948
    @jafetykaberege4948 23 дня назад +2

    Sio mbuzi hao ni misukule😂😂😂😂

  • @RukiyaAbdillahi
    @RukiyaAbdillahi 23 дня назад

    Hansi anaish hii maish dhooo noma anfaa kuish mjiniii

  • @عايشهسالم-ح6ز
    @عايشهسالم-ح6ز 23 дня назад

    Chumvi simba mweusi😢 jamni tunasubr pia

  • @SilasJanson-f5r
    @SilasJanson-f5r День назад

    Asiemkubali chunvi mmingi mchawi

  • @nicksonkibas7072
    @nicksonkibas7072 23 дня назад +1

    Chumvi nying vp kuhusu Simba mweusi naona Ngoma imekwama

  • @RahmaKhamis-r5p
    @RahmaKhamis-r5p 23 дня назад +1

    Huku yanga inanipa raha huku chumvi nyingi 2025 nakuwa bonge kwa raha

  • @dtv6734
    @dtv6734 23 дня назад +1

    Hao Mbuzi nahisi ni Watu 😂😂😂

  • @issamtolwa
    @issamtolwa 23 дня назад

    hyo nyimboooo naomba jin lake alieimba naniiii

  • @SteveStevereonadynjuki
    @SteveStevereonadynjuki 17 дней назад

    sana chumvi nyingo

  • @HadijaAthuman-u1z
    @HadijaAthuman-u1z 23 дня назад

    Kazi pambe sana kaka chuvi ❤❤

  • @LettyLussi
    @LettyLussi 23 дня назад +2

    Kisofaa😂😂😂😂

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 23 дня назад

    Uongo uo uongooooo😂😂😂😂chumvi 🎉

  • @benedictionbekakambula
    @benedictionbekakambula 21 день назад

    Nyau ikowapi natamani kumuona mu sirizi idjayo ama iyi iyiiii❤

    • @raphaeljohn4307
      @raphaeljohn4307 20 дней назад

      Nyau anagang yake inaitwa nyau gang mfatlie Yuko na chendu

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 16 дней назад

    Congratulations bro wangu

  • @KimtiBoy
    @KimtiBoy 21 день назад

    Mjini gharama nyingi kuigiza mumehamia shamba

  • @NacirMendez-j5c
    @NacirMendez-j5c 23 дня назад

    Nilimissss hiyo uongo uongo uongoooo huo uongoooo huo oungoooo uongoooo 😅😅😅😅

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 23 дня назад +1

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂usiseme

  • @meggaelisha3584
    @meggaelisha3584 5 дней назад

    Kaz nzur sanaa

  • @HusseinAluwa
    @HusseinAluwa 23 дня назад +1

    Una baya brother

  • @jumasadiki141
    @jumasadiki141 23 дня назад +1

    Hv hii simba mweus ndo imeisha mbn mnatulia hela zetu tu

  • @SharifaALLY-cd7uy
    @SharifaALLY-cd7uy 23 дня назад +1

    Uwongo uwoooo uowoooo😂😂😂😂