SINTOFAHAMU KWENYE UCHAGUZI WA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Njombe, Rose John Mayemba, amewataka viongozi mbalimbali ndani ya chama hicho kudumisha nguvu na umoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
    Rose ameyasema hayo wakati wa uchaguzi wa viongozi wa Chadema Mkoa wa Njombe ambapo kulikuwa na sintofahamu wakati wa upigaji kura kuhusu suala la njama za kutaka baadhi ya viongozi kujitokeza.

Комментарии • 7

  • @PeterStephen-on4zz
    @PeterStephen-on4zz 22 дня назад

    😮😮😄😄😄😄

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 23 дня назад

    Mapandikizi yashafanya yao,yalipandwa kimkakati,😂

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz 22 дня назад

    Hawa wanaiaibisha chadema wasenge sana sasa utofauti na ccm uko wapi

  • @user-uc5py2ll5n
    @user-uc5py2ll5n 22 дня назад

    Hakuna asiye penda pesa hata huko chadema kuna wapenda pesa tu

  • @melchiadepaschal3097
    @melchiadepaschal3097 22 дня назад

    Huuu ndio ukokomavu, hakuna mchezo

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz 22 дня назад

    Mapandikizi yashafanya yao

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 23 дня назад

    Lazima sheria za chama zifuwatwe rushwa iwe mwiko ktk chama na wansoshindwa wakubali matekeo ndio uchaguzi Siri yake moja nje moja abaki kuwa kiongozi ktk watu