saf kabisa kiba umetutoa kimasomaso tulikuwa tunateseka sana tulinyanyasika sana na hii ni crown media namba moja tanzania mpaka sasa najiulia tuliambiwa kiba hana hela sasa redio haina matangazo izo hela za kuwalipa hawa jamaa alikiba anatoa wap??????????????
Mkai Hana Raha ni bas2 afu ukimchek Hans nikama vile ana Fanya Buttle na usafini wakat Bado anakop kwa Ambangile brother listen Wasafi till on the top There like Tie in the sky........
Dah nawakubali sana wote hans mkai jof lea upande mwingne Ahmed nasri ambangile kitenge jaman kama usajili tupeni madini kwenye soka letu tutwafuatilia kotekote
Hansi bwana Mimi nakutafuta kule upande wa pili kumbe wewe huko huku daaah basi kuanzia Leo Mimi nipo hukuuuuuuuu jamaniiiiiiiii hansi my brother unajua sanaaaaaaaa
HUYU JUMA AYO YUPO KAMA MGANGA WA KIENYEJI HAFAI KIPINDI CHA MICHEZO,NAFIKIRI ATAFUTIWE KIPINDI AWE ANAFANYA MAHOJIANO NA WAGANGA WAKIENYEJI NA WACHAWI,HAPO SPORTS HAPAMFAI KABISAAAA
Wasafi never die coz Paul mkai Role model Ake Ni Yusuphu mkule huyo hans Role model wake Ni Ambangile so wasafil till on the top Top.....Guys wasafi ni too much Levels
Bongo ni kuiga na kupaste wasafi walianza kwa kuchukua watangazaji EFM. Hawa nao wanachukua wasafi. Jambo zuri ila mtaani nako wapo watu wengi hawana ajira wawaamin watakuwa wakubwa tu
brother hiyo ni biashara.! hapo kipindi kimeanza unaona kabisa hakina wadhamini, underground ni ngumu sana kutangaza kipindi kikawa kikubwa mpaka kuvutia wadhamini kuwekeza. so, kwa kuweka hao watu wenye uzoefu inasaidia kuvutia show na kuwavutia wadhamini,,, kumbuka wadhamini ndio wanaleta thamani ya kipindi.
Ee bhn nawapata kutoka magomeni, mpe hai jof lea saiv namuelewa sana mana kule alipokuwa alikua anatafta samaki kwenye mwili wa nyoka saiv mambo saaaafi nimpe eshima yake,, shikamooo kak jofu akika umetisha sana,,
leo sasa ndo mnenifurahisha mana wachambuzi wangu wotemmenea apo studio joffureya hansi rafael poul mkai atari sana kama simba ijayo naona watu wakizima viredio vyao 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
I never come to Appreciate Hans Coz uchambuzi wake umejikita kiushabiki mie ni Yanga but hans ni mnafikiiiiiii kajawa na Uyanga Daily mchezaji anasajiliwa kutokana na Namba uongo mtupuuuu ww
Ina elekea Simba wame msainisha kabla masharti yote katika mkataba yame kamilika. Maana Simba walitakiwa wajirishe na timu inayo mmiliki wake kwa wakati huo kabla ya kumsainisha mchezaji.
Congratulations crown fm Kwa usajili huu wa Mzee wa SWADAKTA WA SWADAKTA PAUL MKAI amekutana na mwanae HANS RAFAEL
Crown sport Iko pow sana tunaomba ifike kwetu Dodoma tunapenda❤❤❤
Evance anajuwa sana ameongeza kitu cha tofauti ukiacha hayo majina makubwa hongeren crown kwa kutuletea kipaji kipya 🙌
Wawooow!! nawapata vizuri kutoka Shinyanga
Mambo nimoto crown alikiba anapesa sema namkubali sana hajioneshi nakubali sn crown sports
Paul Mkai Huyu Jamaa ni Balaaa, yaaani Jamaa wote Ni Cleam mno
Mambo nimoto❤❤❤❤❤❤ Crown
saf kabisa kiba umetutoa kimasomaso tulikuwa tunateseka sana
tulinyanyasika sana
na hii ni crown media
namba moja tanzania
mpaka sasa najiulia tuliambiwa kiba hana hela sasa redio haina matangazo izo hela za kuwalipa hawa jamaa alikiba anatoa wap??????????????
Mkai anajua sana usajili mzuri
Mmepatia sana,tatizo wale Jamaa tu
Mkali anajua sana kutagaza michezoo ogeleni crown kwa usajili wa mkali
Mm nawaombeaa mungu ck moja muwe kituoo Cha kwanza Tanzania kwakutoa habali zenye mauzuii sahihi kwakila lika mungu awatanguliee
mbona wasafi inakufa, mkai we ni hatar san kwenye sports bila kumwacha hansi
kitu kipya kikiingia kipe mda kwanza. kadri muda unavyokwenda ndio utajua hizi pumba au mchele clown.
@@husseincbado hapo unaongea kiushabik😂
Mkai Hana Raha ni bas2 afu ukimchek Hans nikama vile ana Fanya Buttle na usafini wakat Bado anakop kwa Ambangile brother listen
Wasafi till on the top There like Tie in the sky........
@@NajimaJuma ilikuwa ila sio sasa
ivi mnafahau kuwa oscar oscar ni mchambuzi mzur tuu sema kule alipo ndo tatizo niamini mimi siku moja mtakuja ona maneno yangu 💪
Kiba hela anayo ila yeye nikama gsm hapigi kelele wala hajazi mabaunsa wakumlinda nawenye hela nyingi wengi hawana kelele😂😂
Crown media kwenye ubora wakee ❤❤❤❤❤
Nawapata sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Paul mkai..bonge moja la usajir
Dah nawakubali sana wote hans mkai jof lea upande mwingne Ahmed nasri ambangile kitenge jaman kama usajili tupeni madini kwenye soka letu tutwafuatilia kotekote
Mbona mkayi kama unafuraha sana huku safi keep up broo sikuiz mkono kinywani kwanza love siyo ishuuu😂😂😂😂
Mashaallah powmkal
I love you crown sports ❤❤❤❤
Hansi bwana Mimi nakutafuta kule upande wa pili kumbe wewe huko huku daaah basi kuanzia Leo Mimi nipo hukuuuuuuuu jamaniiiiiiiii hansi my brother unajua sanaaaaaaaa
I love you crown sports ❤❤❤❤ 8:11
KENYAAAAAA NAIROBI MTAA NI DANDORA PHASE 2
Crown sport Iko pow sana tunaomba ifike kwetu Dodoma tunapenda❤❤❤
Hik ndy kipindi bor san kuliko vote
Crown media kwenye ubora wakee ❤❤❤
Mpo vizuri kuweni makini na maadili ya kazi msinunuliwe tu kama clouds na wasafi gsm nisumu kwa afya ya wachambuzi
HUYU JUMA AYO YUPO KAMA MGANGA WA KIENYEJI HAFAI KIPINDI CHA MICHEZO,NAFIKIRI ATAFUTIWE KIPINDI AWE ANAFANYA MAHOJIANO NA WAGANGA WAKIENYEJI NA WACHAWI,HAPO SPORTS HAPAMFAI KABISAAAA
Wasafi never die coz Paul mkai Role model Ake Ni Yusuphu mkule huyo hans Role model wake Ni Ambangile so wasafil till on the top Top.....Guys wasafi ni too much Levels
Number one crown
Atr Nanus watangazaji Wakubwa Ndani Ya Redio Kubwa Majilani Nawacheka Kwazalau
Najua watu watamkubali King wetu 🎉🎉😂😂😂
Bongo ni kuiga na kupaste wasafi walianza kwa kuchukua watangazaji EFM. Hawa nao wanachukua wasafi. Jambo zuri ila mtaani nako wapo watu wengi hawana ajira wawaamin watakuwa wakubwa tu
brother hiyo ni biashara.! hapo kipindi kimeanza unaona kabisa hakina wadhamini, underground ni ngumu sana kutangaza kipindi kikawa kikubwa mpaka kuvutia wadhamini kuwekeza. so, kwa kuweka hao watu wenye uzoefu inasaidia kuvutia show na kuwavutia wadhamini,,, kumbuka wadhamini ndio wanaleta thamani ya kipindi.
Bro umeongea kitu kikubwa sana Ww no mtu was maana sana@@kenyzach9124
Unateseka ukiwa kijiji kipi😂😂
Kutazama tyu kucomment aaah
😆😆
🤣🤣🤣
Mtotooo kautaaaaaka 💥
Mkiendelea kuchambua mambo kindani na ukweli na msiweke watu wenye eitha kuiponda Simba au Yanga hakutakuwa na maana KAMA WAJINGA WASAFI
Nimewakubari sana crown FM hawa jamaa ni hatar
mko💥💥💥💥habar za Uwakika na uwerediii
Nampenda sana Paul Mkai akiongoza kipindi siyo yule Juma Ayo
Uchambuzi wenu ni nzuri kwa club ya Simba,kusajili mchezaji Bila kuangalia mfumo wa simba.
Tuna wakubali sana mbno kwenye vin'gamuz vya azam tv hatuwaon
Congratulations 🎉 0:27
Ee bhn nawapata kutoka magomeni, mpe hai jof lea saiv namuelewa sana mana kule alipokuwa alikua anatafta samaki kwenye mwili wa nyoka saiv mambo saaaafi nimpe eshima yake,, shikamooo kak jofu akika umetisha sana,,
Paul mkai unajua my brother
Paul mkai unajua my brother
Paul mkai unajua my brother
Background ya ndani tunaomba mmbadilishe ikiwezekana inaharibu video yaani haionekani vizuri
Kwan hao yangu wanataka nn jmn Kila mtu wanamtaka yeye
Noma sana
Paul mkai nizaidi la bonge😂😂🎉🎉
Mambo ni motooooooooo❤❤❤❤😂
Goood crown
Siku hizi kazi ya utangazaji ni sawa na bar maid leo yuko Kimara bar kesho utamkuta Manzese tiptop.
Kila kazi lazima uangalie maslahi
Geof alimlenga GSM kuhusu upangaji wa matokeo "Kasongo kamkwepa vizuri"
leo sasa ndo mnenifurahisha mana wachambuzi wangu wotemmenea apo studio joffureya hansi rafael poul mkai atari sana kama simba ijayo naona watu wakizima viredio vyao 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
🔥🔥🔥
Jamani arusha ningapi ngapi radio 📻
Jamani arusha ningapi ngapi radio 📻
Jamani arusha ningapi ngapi radio 📻
Yes hii ndo radio yetu pendwa
🎉🎉🎉
I never come to Appreciate Hans Coz uchambuzi wake umejikita kiushabiki mie ni Yanga but hans ni mnafikiiiiiii kajawa na Uyanga Daily mchezaji anasajiliwa kutokana na Namba uongo mtupuuuu ww
Sana wanangu wa crown 👑
Crown juu na wafatilia nikiwa africa ya kusini
Napenda anavongea
Da,watu wa nguvu sana ,,hapa ni nyumbniii
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ina elekea Simba wame msainisha kabla masharti yote katika mkataba yame kamilika.
Maana Simba walitakiwa wajirishe na timu inayo mmiliki wake kwa wakati huo kabla ya kumsainisha mchezaji.
Toka makambako Town hapa weji
Namsalimia kutoka nyumbani zanzibar
Hapa ni nyumbani 😂😂🎉
Oi oi oi tupo pamoja mpaka badaee sana
nawafatilia sana kipindi kipo hot sana ila kwa kilazo simba wangetoa at kwa mkopo
Gud job
Safi kabsa crown
🔥🔥
Mnatisha saana
Background😢😢😢mbaya
nawapata vizuri nikiwa mbeya
Ebwana hap ninyumban
Kiba bado salama ngare mwanadada anajua yule mchukue kaka
Miminafikir
Kostounion
Watapata
Matatizo
Kwasabab
Zakisheria
Lakini
Kwasababu
Kimtaani
Nisawa
Ilkesi
Ipo
Nawatajuta
Watangazaji ote wanajuwa Sana Sana nafulaiya Sana
Paul mkai unajua my brother 10:08
Songea ruvuma tunawpateje friqeens ngapi
Crown fire fire
Mmi ni shabik wa Simba na wasafi sjui machoz yangu yarakauka lin😭😭😭😭😭😭🤣
The media to the world
Mkai unajua sana kaka
asee munajua Sana kweli mumekuja kufanya mageuz ya kweli nawakubali san
442 😂 HANS muongo muongo ila anaupiga mwingi big up
Safii crown
Uchambuz mzur sanaaa
Hapo Ally Kiba alichokosea ni Juma ayo wakawaida sana.
Saa ngap kipindi Chao kinaanza
Asikwambie mtu crown tamu
Umesikia Bakharesa kupiga kelele
💯💯💯💯💯
Nawapata kutoka mazinde mkowa watanga