Mimi naona huyo mchezaji wa kadi nyekundu alidhamiria kumuumiza kabisa Boka, kana kwamba ametumwa rasmi.na ubaya ubwela kama walivyotumwa Azam kuumiza pacome na yao ili yanga isiendelee kucheza kimataifa. Kwa boka hapo walilenga tarehe 19.
Mpaka mseme, msimu uliopita mlikuwa mnasema Aziz ki ndio hatari na mlishawahi kusema pia kuwa pacome ndio hatari. Ila leo mnasema max ndio mchezaji hatari siku nyingine mtasema mzize ndio hatari na bado bacca nae mtasema ndio hatari. Kwa hiyo kwa kifupi yanga yote ni hatari tupu😅
Yanga imeruhusu bao ngapi Imecheza match ngapi? Ina points ngapi? Ina bao ngapi za kufunga? Je team iliodrop inaclean sheet 4 halafu unasema imedrop Sema striker wa Yanga hawako makini lkn haijadrop
Mimi naona huyo mchezaji wa kadi nyekundu alidhamiria kumuumiza kabisa Boka, kana kwamba ametumwa rasmi.na ubaya ubwela kama walivyotumwa Azam kuumiza pacome na yao ili yanga isiendelee kucheza kimataifa. Kwa boka hapo walilenga tarehe 19.
Mpaka mseme, msimu uliopita mlikuwa mnasema Aziz ki ndio hatari na mlishawahi kusema pia kuwa pacome ndio hatari. Ila leo mnasema max ndio mchezaji hatari siku nyingine mtasema mzize ndio hatari na bado bacca nae mtasema ndio hatari. Kwa hiyo kwa kifupi yanga yote ni hatari tupu😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mpira wa tz bwana yani sifa au kupondwa ni tofauti ya siku tu , 😂😂😂
Ni kwl bro😂
Kabisaa 😊
Kifupi yanga uwezo umepungua ni kama ile fighting spirit imeisha.....hichi kirusi chama walichokimbilia kukiingiza kikosini kitaitafuna sana timu.
Huujui mpira kaka
Kasome kwanza ndo uje na FACT
Tarehe 19 uta sema kweli
Yani kwa mechi tatu ndo yanga kachoka mtego huo mzee kimbia 😂😂
Yanga imeruhusu bao ngapi
Imecheza match ngapi?
Ina points ngapi?
Ina bao ngapi za kufunga?
Je team iliodrop inaclean sheet 4 halafu unasema imedrop
Sema striker wa Yanga hawako makini lkn haijadrop
@@DIVINEPROMISE-c1nwengi siku hizi wana aina fulani ya utindio wa ubongo kwenye kuona soka