Kuna simulizi unatamani sana kusikiliza, lakini jamani, mimi natamani sana Felix Mwenda asimulie, hakika huyu mwamba wa sauti Felix Mwenda amesababisha nishindwe kabisaaaaa kusikiliza simulizi baada ya kuifunga na kukutana na sauti hasa za wanawake, kumwondoa Veronica Frank namkubali sana sauti yake haichoshi, msimuliaji no one Felix Mwenda, no two Anko Jei na Dr oen. Veronica Frank anakipaji
safi sana nimeipenda sana
🎉🎉🎉 asante kiogoz 🌹🌹🌹
Wow nice one
😂😂😂😂😂Hadi nmecheka apo mwisho eti subutuuu mm sitaki kuowa mchawi 😂😂😂😂😂
Wakwanza mimi Leo jmn ❤😂
Jamani story nzuri na msimulizi anasauti nzuri
We dada nakupenda mpaka nakupenda tena unajua mpaka unaboa yani😂😂❤❤❤ Ahsante sana Simulizi mix, Salute kwa mtunzi na msimuliaji🥰🥰
Asante mpnz! Nakupenda pia❤
@@careensteve308 thanks love 😘
Waooo my dear careen nilimiss hii saut jamn 🥰🥰🥰
😅 jana tu kasimulia
Huwenda sijasikiliz si unajua u busy my😝
😀😀
Pole
Asnt my dear
Mashaal asant sana kwasimurinzi ❤❤🎉🎉🎉🎉😢
Msimuliaji is best one, kwakweli nakupenda san we dada ningekuwa na kaka ningekup. Napenda sana simuliz km izo
Asante mpnz 😂😂😂😂
T,t,t ffxtyrrrttd,s
Dada unasauti nzuri mno mm hata ukirudia simulizi sawa tu❤❤❤
Sijachelew jamn he'll
Tusa jiloo❤❤❤❤🎉
❤❤❤
Msimuliaji unatumaliza kwa sauti murua kipenz 🎉
Asante mpnz
😂😂
First 😅
❤
Mnabadili jina la simulizi
Ukwel
Nahis wametuchok kabix maan xo kwa uludiaj huo
Ukwel wasimliaj hua awasikilzag cmliz zawenzao
Shids zao Hawa hawana ukalib wa kujua hii imeshasimuliw au bad kil mtu kivyak ndo sis tunakuj mwishow tunabolek
@@ReginaJumanne nikwel nf zinrudiwa nawasimliaj tofaut
Kuna simulizi unatamani sana kusikiliza, lakini jamani, mimi natamani sana Felix Mwenda asimulie, hakika huyu mwamba wa sauti Felix Mwenda amesababisha nishindwe kabisaaaaa kusikiliza simulizi baada ya kuifunga na kukutana na sauti hasa za wanawake, kumwondoa Veronica Frank namkubali sana sauti yake haichoshi, msimuliaji no one Felix Mwenda, no two Anko Jei na Dr oen. Veronica Frank anakipaji
Jamani hii simulizi mbona km mtunzi amekopi kuna simulizi ilisimuliwa km hii
Mashaal🤎💓
Wanaridia simuliz
Hii haijawaisimuliwa hapa .labda km uliisikiliza ni kwingne My dear ..
❤❤❤