KIBU DENIS / MUTALE NI WACHEZAJI WAZURI SANA.. WENYE SPEED NZURI ILA SHIDA YAO WANAPOKIMBIA WANAWEKA KICHWA CHINI INAFIKA SEHEMU WANASHINDWA HATA KUFANYA ASSIST NZURI.. NA WANAPOKUWA KARIBU NA GOLI WANAPAISHA MIPIRA ...
Deborah mavambo you have to change the way you play number 8 , because you have unnecessary movement Left and right even backward , you play with a lot of energy yourself,Without any reason, you follow a ball every where backwards, right,left, forward, please try to understand, cooperate with your fellow number 6,you need to make good good cooperation with number 6 and 10 not many many running, please please in the next game, play as a true number 8, be humble, relax, stick in the middle avoid to run left, forward, backwards and right. Be creative stick in the middle in order to pass a ball to Right and Left wings as well as to number 9
Ikawe heri ya ushindi kwenye mchezo wetu ujao 🎉🎉🎉
Pray for Simba sport club 🙏
Simba sports club ya mpira Tanzania "NGUVU MOJA ✊
Okjepha my best midfielder for now, he is a skillful and big brain, fast in releasing a ball to others God May protect him ❤ sana okjepha
Mungu ibariki timu ye2
Kila la kheri Simba Sports Club 🙏🏻
KIBU DENIS / MUTALE NI WACHEZAJI WAZURI SANA.. WENYE SPEED NZURI ILA SHIDA YAO WANAPOKIMBIA WANAWEKA KICHWA CHINI INAFIKA SEHEMU WANASHINDWA HATA KUFANYA ASSIST NZURI.. NA WANAPOKUWA KARIBU NA GOLI WANAPAISHA MIPIRA ...
Jamani kocha asijaribishe wachezaji kwenye mechi za kitaifa.juzi na bravos pressure zetu zilikuwa juu sana
Hivi uwanacheza lini
Simba nguvu moja❤❤❤
Kila la heri munguawape nguvunawepesi wakupambana tupate ushindi 🎉🎉🎉❤ mungu awaepushe na husda zawaja
Mungu awatangulie
Nguvu moja🎉🎉🎉
Jamani ❤❤❤❤❤ ubaya ubwela na mpanzu sijui anacheza lini
Shime sana kipindi cha pili msipunguze spidi lakini mzidishe kwakuwa ni kipindi cha lala salama cha furaha na amani Yaaa Rabuna
Mjitahid tupate 3 point juz mlicheza vibaya mnoo
Ungeenda kucheza na wewe
🎉🎉
Nguvu moja 🦁
Timu mdhamin wa vifaa vya michezo no sanda lakin watu wqnq begi za puma na viatu vya Adidas na nike
Nguvu moja
Mchezo upo lini
Juhudi ziongezeke Ile siku ya mechi ya Bravos tumecheza vibaya mno
Okajefa you are agood player
Waambieni wachezaji wafanye mazoezi ya kufunga hatutaki ujinga wa kufunga goli moja moja kila mechi
Ila Joshua turud tu mbeya tukatengeneze mashamba bado hatujachelewa
Mchezaji YUPI AME achwa ILI ku chukua nafasi ya mpanzu
Simba kipindi cha pili wanapotea waongozeeni dozi
Streka jamani mukwala aache papara tupeni Raha tuliyokosa miaka mitatu.ateba tunakuaminia sana.
Ngoma nikichaa 😂😂😂
Kwan hmn mechi yaligi ndani yasiku hiz mbili kabla ya mchezo wa caf..
ilikuwepo na singida black stars, Simba wme omba isogezwe mbele mapaka warud
@storytime1204 ooh sawa ..kweli ngoj waende kwanz huku .wakirud ndo wachez maan nimech ngumu na singida
Bunju makao makuu ya mnyama
Timu tunayo ila ni uombe uongozi waongee no ten na no 2 dilisha dogo ateba nakosa creator kama chama tu angekuwa na magoli mengi mno
Deborah mavambo you have to change the way you play number 8 , because you have unnecessary movement Left and right even backward , you play with a lot of energy yourself,Without any reason, you follow a ball every where backwards, right,left, forward, please try to understand, cooperate with your fellow number 6,you need to make good good cooperation with number 6 and 10 not many many running, please please in the next game, play as a true number 8, be humble, relax, stick in the middle avoid to run left, forward, backwards and right. Be creative stick in the middle in order to pass a ball to Right and Left wings as well as to number 9
Forward na mawinga nani aliye waroga, mbonaa butu kiasihicho kwanamna mnavyopoteza nafasi ubingwaa tutabaki kuuskia kwa utopolo
Weeeeeeee ngogwe huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc hujitambui😅😅😅😅😅😅😅
@Gisakijamaduda endelea kuchekaa tuu,Tim.kushinda mpaka penati sku tukikosa penati utanikumbukaa
We tulia dirisha dogo vitu vinaongezek inshallah