MBWADUKE: Watachapika tu/ Simba ya Fadlu moto/ Ikifanyia kazi haya Waalgeria Constantine hawaponi...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 51

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 3 дня назад +9

    Allah Akbar naiombea kher simba tukashinde inshallah

  • @RamadhanSumaku
    @RamadhanSumaku 3 дня назад +3

    Asante kaka Hawa jamaa tutawafunga2

  • @ZakaliaGodeni
    @ZakaliaGodeni 3 дня назад +6

    Shoow shoow Ubaya ubwela popote kambi mungu simama upande wetu hio siku

  • @MsanjuGabriel-vs4bf
    @MsanjuGabriel-vs4bf 2 дня назад +1

    Safi uchambuzi mungu akubarki

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 3 дня назад +2

    Mungu nimwema tutafungaa love ❤️ simbaaaa

  • @AlbanoLucian-wc5nb
    @AlbanoLucian-wc5nb 2 дня назад +1

    Nakukubari sana maana huna ushabiki kwenye kazi

  • @laizerJr-p8l
    @laizerJr-p8l 2 дня назад +2

    Allah Akbar tutashinda kwa kudra za mwenyezii

  • @MatiasBroo-z7b
    @MatiasBroo-z7b 2 дня назад +1

    Nakubal sana kaka uchambuzi wako mzuri

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 3 дня назад +1

    ❤❤❤❤ daah mungu aisimamie tyuuuu team yetu wakiwa na afya njema wachezaji kila kitu kinawezekanaaaa

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa 3 дня назад +4

    Mbwaduke oyeeeee!

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 2 дня назад +1

    Nakubali sana mwalimu

  • @cyrilmtei700
    @cyrilmtei700 3 дня назад +2

    Mungu tupe nguvu nna Imani Simba itashinda

  • @SAIDSALUM1981
    @SAIDSALUM1981 2 дня назад +1

    Ninaiombea simba ushindi siku ya tarehe 8 mungu aitangulie

  • @heriseba8058
    @heriseba8058 День назад

    Nakubali mwamba data kwa kichwa

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 2 дня назад

    Kila laheri mnyama 🦁

  • @ShameNgeza
    @ShameNgeza 3 дня назад +1

    Mungu tujaaliye ushindi inshallah

  • @GodyMwashiuya
    @GodyMwashiuya 2 дня назад

    Unyama brother we ❤❤❤

  • @KhalfanHabibu-z3l
    @KhalfanHabibu-z3l 3 дня назад +1

    Ongera sana mchambuzi wetu pendwa wakimataifa.sisi simba hatuna shida ubaya ubwela.lakini mukwala asicheze match iyo atatukosesha ubingwa.

  • @melissa_garden
    @melissa_garden 2 дня назад

    Nakuombea Simba iende. Salama na irudi salama Kwa ushindi

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 2 дня назад

    Wewe Mbwaduke Osama tena😂

  • @Alexpastor-e7c
    @Alexpastor-e7c 2 дня назад

    Ubaya ubwela ata tripor ilikua hvo hvo lakin walipigwa 3 🦁🦁💪

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 3 дня назад

    Munguu simama na simbaa tufunge mengiiiiii wachawi wazidi kuliya tu maana kuongo kumeishaaa tumesha wajuwaaaa vipingamizi vyote chini

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 3 дня назад +1

    Utakuwa mchezo mgumu na mzuri..lakini kocha wa simba ni mjanja Sana japo watu wengi hawamuelewi..
    Kaamua kuingia tofauti kila mchezo kuwapoteza wapinzani kikubwa matokeo mazuri yapatikane ikiwezekana...
    Kila la kheri kwa "MNYAMA" 💪

    • @ZulphaMsangi-s9g
      @ZulphaMsangi-s9g 2 дня назад

      Ni kweli anafanya hivyo ili kuwapoteza wapinzani

    • @tumaini37
      @tumaini37 2 дня назад

      Kweli jamaniii, Niliona hili piaaa...
      Ubaya Ubwela

  • @PichaYangu
    @PichaYangu 3 дня назад +1

    Tutawashenyenta huko huko kwao😂

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 3 дня назад +1

    Sawa mwalimu Sasa huu mfumo wao wa ugenini unao tuelezea Kwa Sasa
    Je wakiwa nyumbani

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 3 дня назад

    Watachapika kweliiii tena sio kidogo ,watake watapigwa wasitake watapigwaaa

  • @ephraemlucas6880
    @ephraemlucas6880 2 дня назад

    Saivi wanaongoza ligi ya Algeria wakiwa na point 18 wakiwa wamecheza mechi 10

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 дня назад

    ASANTE SANA BABA KWA UWEZO WA MUNGU SIMBA ITASHINDA KWA KISHINDO.

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 3 дня назад +3

    Amechoka mabululu hata huyo atachemka tu

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 День назад

    Huyu ndio mchambuzi wng wa muda wote

  • @ramadhankavenuke1070
    @ramadhankavenuke1070 2 дня назад

    Basi wamekwishaa

  • @thabitmgeni8775
    @thabitmgeni8775 3 дня назад

    ULLO ULLO NI SIMBA MNYAMA NAIOMBEA DUA TUSHINDE AMIN

  • @DanieliNyagwe
    @DanieliNyagwe 29 минут назад

    Tuta shinda tuu kikubwa kumtanguliza mungu

  • @thabitmgeni8775
    @thabitmgeni8775 3 дня назад

    MUNGU HUOBWA NAMI NAMUOMBA UTUSAIDIE TUSHINDE MECHI HIYO AMIN

  • @dkchannel4697
    @dkchannel4697 3 дня назад +1

    Unajua kuchambua maua kwako Kaka

  • @CharlesFadelis-te5fp
    @CharlesFadelis-te5fp 2 дня назад

    Kagoma yupo tusubili Boli litembee

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina 2 дня назад

    Nime angalia baadhi ya mechi zao ni WAkawaida sana sema wanacho tuzidi sisi ni rangi tu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ShuaibuMsofe
    @ShuaibuMsofe 2 дня назад

    Unaonekana unauhifadhi mzuri kitab cha mungu umehifadh kiwango gani ndugu???

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 дня назад +2

    Ubaya ubwela

  • @Frenk-c6p
    @Frenk-c6p 3 дня назад +1

    Ubay ubwela hawo cs watapigiwa hukohuko kwao

  • @ismailijsheketo4695
    @ismailijsheketo4695 3 дня назад +2

    Kibabe

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 3 дня назад

    pamoja

  • @NassoroKilehe
    @NassoroKilehe 2 дня назад

    m naona Simba wanawahi kukata pumz halafu kukatanakatana mitama ndni ya box lapenat marefa wa caf hawana mchezo na mtu

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 дня назад

    Mabululu alikaaa nayeye atakaa tu

  • @thabitmgeni8775
    @thabitmgeni8775 3 дня назад

    FADLU HIYO MECHI NGUMU WEKA WATU MKAKATA HAKUNA KULEMBA

  • @heriseba8058
    @heriseba8058 День назад

    Tuta shindatu

  • @MohammedRidhiwan
    @MohammedRidhiwan 2 дня назад

    Kipogo kw cmba