MWAMBA HUYU HAPA: ELIE MPANZU APIGA TIZI ZITO TAYARI KUANZA KAZI SIMBA | ONA HAPA AKIWA NA WENZAKE.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 дек 2024

Комментарии • 12

  • @MaherAbdulaziz
    @MaherAbdulaziz 4 дня назад

    ooooya wanaume kazi kazini kwenu kunakaz pia tupambane tu wanaume❤⚽⚽⚽

  • @FestoZakayo
    @FestoZakayo 4 дня назад

    Nawatakia kila Rakheri timu yangu pendwa yomoyo wangu uko Algeria mungu wasimamie na mpate nguvu na uturivu tupate matokeo

  • @MachoMidia
    @MachoMidia 6 дней назад +4

    Kila laeli timu yangu pendwa Simba uko Alijelia

  • @RamadhanMohd-q8l
    @RamadhanMohd-q8l 5 дней назад

    Myama❤❤❤

  • @laurentmyeule859
    @laurentmyeule859 6 дней назад +3

    Chama kubwa hili.... nataman Simba iongeze Kasi kwenye namna inavocheza

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 6 дней назад

      Haiwezi kwa maana huo ndo mpira wa south Africa ndugu

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 6 дней назад

      Unajilinda zaidi kuliko kushambulia

  • @Lytarboy
    @Lytarboy 6 дней назад +1

    Chama letu lakimataifa ilo mwaaaaaaaah

  • @MshaurKwezi
    @MshaurKwezi 2 дня назад

    Simba saf

  • @MesoHeri
    @MesoHeri 5 дней назад

    Tuna watakiya mechi njema musi tuangushe

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 6 дней назад

    🎉🎉

  • @MesoHeri
    @MesoHeri 5 дней назад

    Nguvu moja