KUNA MCHEZAJI MMOJA NILISHAWAHI KUMJIBU KUWA NDIO MAANA ANACHEZEA VIJIJINI, HANA NIDHAMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 14

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 дня назад +3

    Tungekuwa na viwanja vikubwa vizuri kama viwili au vitatu sababu timu zetu kubwa mbili azina viwanja namsaidia shabalala

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 3 дня назад

    Shoo mi the way Baba Ester

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 3 дня назад

    ❤❤❤

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 3 дня назад +1

    Kwanini kipindi cha Kwanza mnacheza vizuri mno afu kipindi cha pili dakika ya sitini mnakata upepo?

  • @kigotymeentertainmentkigoy4858
    @kigotymeentertainmentkigoy4858 День назад

    Badala umuulize wachezaji wa ligi ya ndani unaenda kumuulia kuhusu wakina baloteli kweli

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 3 дня назад

    Huyo mwandishi nimetokea kumpenda naombeni namba zake kama hajaolewa

  • @ramadhaniharuna5441
    @ramadhaniharuna5441 2 дня назад

    Pepe hujamtaja mbona.

  • @KassimNtara
    @KassimNtara 3 дня назад

    Kwani timu yeti mnapenda sana kucheza backpass wakati timu inahitaji matokeo?

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 дня назад

    Huseni huna baya unapambana sana ukiwa kazini hujawahi tuangusha

  • @ramadhaniharuna5441
    @ramadhaniharuna5441 2 дня назад

    Huyo mchezaji anayecheza vijijini,
    Sio Kongwe Sabato kweli huyo,
    😂😂😂😂😂😂,
    Maana khaaah!!

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 дня назад +1

    Baroteli sio mkorofi wanamkorofisha haswa ubaguzi yeye apendi na kila kila mtu apendi

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 дня назад

    Shabalala mkwala kwenye mechi lazima ubabe ubabe