Kitu pekee ambacho AHOUA anatunyima sana wanasimba ni penetration passes ambazo zitazaa magoli hafanyi hio kazi kabisa💔 na ipo siku litabainika hili lakini pia kocha wetu aongeze sana maarifa katika mechi zetu lasivyo atakuja kulaumiwa
Kazi aliyoielezea Jemedari modern football inahitaji taarifa za kina kwa timu pinzani ili ujiimarishe ndio maana mbele wana analyst wa timu kazi yake ni kutathmini timu yetu na wapinzani
we mjinga sana haujui kujifunza wala hautaki kutolea ugali kwenye ubongo kaa ivo ivo na ufala wako... Ahoua tangu afike anacheza ivo ivo hana jicho la kupga mipira ya hatari,,,, unapowasikiliza wenzako tulia fikiria cyo unacoment upuuzi
Wachezaji wengi tutawaona hawafai tatizo maelekezo ya mwalimu hivi ushaona analaumu kwanin hajatoa pasi? yeye anapiga makofi hata kama kalibutua pira nje
Ila wachambuzi mjishikilie hakuna mchezaji anacheza kiwango kile kile , na pia mbona taifa stars ipo kwann wachambuzi msiungane km mnajua sana kuliko mwalimu ili timu yetu ya taifa iende kombe la dunia
Jemedari Kuna kitu hukielewi, hakuna kocha ataongea kwenye media kwamba wachezaji wake wamecheza hovyo itakuwa kuwakosea heshima ila vyumbani huko lazima awaseme
Kocha anaejua mpira na falsafa ya mpira hawezi kutamka hadharani kuwa wamecheza vibaya hayo ni mambo ya kambini wakati wa Match Review. Wote nyie hamjui kitu chochote kuhusu uongozi na falsafa za mpira katika kuwafanya wachezaji wasitoke kwenye winning mentality mko. Kiufupi wote ni ziro brain😂😂😂😂
Kwasabab kama mwalim huwezi kuwa na winga wa3 kweny mchezo wakati attacking middlefielders wapo nje eg. kwenye sub ya Jean Charles Ahua alipaswa aingie captain lucho
Kwan bravos wao sio timu nzuri mda mwengine muheshimu timu nyengine zinafanya vizuri
Bonge moja la uchambuz kwkwel i love crown
Kitu pekee ambacho AHOUA anatunyima sana wanasimba ni penetration passes ambazo zitazaa magoli hafanyi hio kazi kabisa💔 na ipo siku litabainika hili lakini pia kocha wetu aongeze sana maarifa katika mechi zetu lasivyo atakuja kulaumiwa
Kazi aliyoielezea Jemedari modern football inahitaji taarifa za kina kwa timu pinzani ili ujiimarishe ndio maana mbele wana analyst wa timu kazi yake ni kutathmini timu yetu na wapinzani
Manager manula anagubu toka akose namba😅😅😅
Uchambuzi wa hovyo. Kwani kila siku lazima mtu acheze ktk kiwango hichohicho?
we mjinga sana haujui kujifunza wala hautaki kutolea ugali kwenye ubongo kaa ivo ivo na ufala wako... Ahoua tangu afike anacheza ivo ivo hana jicho la kupga mipira ya hatari,,,, unapowasikiliza wenzako tulia fikiria cyo unacoment upuuzi
Mwambie uyu boya@@TryphonRabson
Ww ni mbumbumbu huwezi mwelewa kolo ww
shida ya wachambuzi wetu mnataka Tim zetu zicheze km Man city au Madrid....wanafki sana
MAVAMBO AKIANZIA BENCHI HAFANYI VIZURI.
YEYE ANATAKIWA AANZE NDIO ANAFANYA VIZURI
Jemedari ndomaana ukaitwa jina ilo unajua mpira kiungo mshambuliaji wa pasi za mwisho ni shida Kwa simba
Wachezaji wengi tutawaona hawafai tatizo maelekezo ya mwalimu hivi ushaona analaumu kwanin hajatoa pasi? yeye anapiga makofi hata kama kalibutua pira nje
Yani mimi nashindwa kuelewa kwanini huyu ahoua anaendelea kuanza kikosi cha kwanza
Kwel yani charles anatuzingua sana mzito sana yani tukipata namba 10 mchangamfu,
Wewe kuku
Me mwenyewe uyo jamaa simuelewi niwah sababu mbinafsi sana
Wachezaji wamecheza vizuri sana si wameshinda? Modern football ni strategies. Objective soccer. Analyst wa michongo
Ila wachambuzi mjishikilie hakuna mchezaji anacheza kiwango kile kile , na pia mbona taifa stars ipo kwann wachambuzi msiungane km mnajua sana kuliko mwalimu ili timu yetu ya taifa iende kombe la dunia
Jemadari na Hans toka hapo redioni mwende stationi au Karume mkaongee kama watu wa vijiweni hamna mnachpjua.
Kwl broo ahoua line line anaboa sana
Muda utaongea lakini huo ndo ukweli japo wapo wanaobisha
Mm naona wachezaji we2 tatzo starehe zimezid viongozi wasipokuwa makin tim ziaharibika ttzo uongoz
Starehe zipo yanga sio simba😂😂
Simba wa porini umfanyie starehe kama vyura wa jagwani c atakumaliza
Cocha hajiwezi huyu utamlaumu namba kumi au tisa nane swali je anawafundishaje?
jemedari mtu wamaa kabisa
Mabadiliko alikosea hesabu
Wachambuzi mipasho na udaku sio kuchambua Soka
We akili hauna labda wangeongelea ngono ungeelewa pumbavu
Uko sahihi Jemedari Said, simba ilikuwa na very poor performance
Kila mashindano ya namna ya kuyaendea, ukijifanya papara unaweza kula 2-0 nyumbani
Jemedari Kuna kitu hukielewi, hakuna kocha ataongea kwenye media kwamba wachezaji wake wamecheza hovyo itakuwa kuwakosea heshima ila vyumbani huko lazima awaseme
Huyu Hans muongo muongo na taarifa zake nani akwambie ahoua na Debra wanahitajika wachezaji wa kuwa challenge acha uongo tapeli ww
Ko nyie mnataka Kila siku mnashinda nne Tano unafikili wao hawataki kushinda acheni ushabiki maandaz huo ni Mpira sio rede
Simba tupunguze kusodoa wachezaji kinatuponzaga sana
Wachambuzi wa Tanzania!!!!! Plans wenu ziwe kwa Mwalimu?? Basi kuane Mwalimu
Fatilieni sana mavambo anapafom vizr akicheza na kagoma
Kwel kocha uyu ashaanza useng bhn
Kocha anaejua mpira na falsafa ya mpira hawezi kutamka hadharani kuwa wamecheza vibaya hayo ni mambo ya kambini wakati wa Match Review. Wote nyie hamjui kitu chochote kuhusu uongozi na falsafa za mpira katika kuwafanya wachezaji wasitoke kwenye winning mentality mko. Kiufupi wote ni ziro brain😂😂😂😂
Hamna uchambuzi hapo
Akili yako ndo inaishia aya wanayoongea saivi hauwaelewi ata kidogo..
Cocha hamfundishi hivyo angempa kazi ya kupasia angefanya ttz mafundisho ya cocha ni mbovu
Me nahisi mwalimu bado hajachagua au hajajua kipi ni kikosi bora ambacho kinatakiwa kuwa ni best first 11 na kwa mechi ipi
Hata kwenye sub zake pia alipotea
Kwasabab kama mwalim huwezi kuwa na winga wa3 kweny mchezo wakati attacking middlefielders wapo nje eg. kwenye sub ya Jean Charles Ahua alipaswa aingie captain lucho
Mtoto msenge yulee ahoua timu sio ya babake km haonyeshi kuvuja damu akae benchi km barua ajifunzw simba kubwa babu asituletee usenge
Kocha haeleweki Hana kikosi Cha kwanza anabadilishabadilisha mwishon Deborah atashuka kiwango
UKIONA MAJORITY WANASEMAA TEAM IMECHEZAA VIBAYAA,KOCHA ANASEMA TEAM IMECHEZA VIZURII UJUE KOCHA HANAA MBINUU,IMEANZA KUWAA KAMAA ROBERTINYO
Km ramovic
Kweli
Huyo atakuwa kocha wa yanga sio kocha wa Simba
Hivi Simba ingeshindwa mngesema nini nyinyi manyang'au? Hivi Bravo iliyocheza vizuri imepata points ngapi?