Air Tanzania yapigwa marufuku kutua katika nchi za Umoja wa Ulaya (EU)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 514

  • @aminakizenga6523
    @aminakizenga6523 11 часов назад +57

    Ndo tujue kujipendekeza akujawai muacha mtu Salama 😩. Rest easy Dr. JP Magufuli.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад +9

      Kweli kabisa alisema hii ni vita ya uchumi hawa watu hawatupendi. R I P Magufuli

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 9 часов назад +4

      Sababu hazina ubora kuna sifa ya ndege na usalama mkipata ajali mtaaza vitu gani sijui Mbona Ethiopian airline wanaruka, mnanunua ndege tu lkn hazina sifa nadhani kweli hazina sifa tujifunze tuwe makini tu kutaka vitu bora

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 часов назад

      @@atutweve4160 Nani kasema hazina sifa? Ushasikia mombadier ngapi zimedondoka duniani? Zile boing zilipokuwa zinadondoka (moja ya Ethiopia) zilitengezwa America na Boing wenyewe walizipiga marufuku.
      Kuna bombardier nyingi zinaruka, nadhani kuna siku nilisafiri na Qatar airline ilikuwa ni bombardier, labda waseme hatuna database za kutosha kuwazuia terrorists wasiingie kwao na bado sikubali Kwa sababu si wasiwape visa tu! Tanzania shiling inapanda na uchumi uko vzr wazungu hawawezi furahia, vita vya uchumi

    • @f2abooksuppliers122
      @f2abooksuppliers122 4 часа назад

      Kuna maelezo yanayosema kuwa ndege hazina viwango au​@@atutweve4160

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 3 часа назад +4

      Ni vita ya uchumi tu inawasumbua wanaona shirika letu likiingia ulaya biashara kwao itapungua maana ndege zetu zitaenda kubeba moja kwa moja wageni kuja kuitembelea nchi yetu.
      Hayo mashirika mengine yatakua hayana soko tena.

  • @AbdulAzizAli-i6x
    @AbdulAzizAli-i6x 6 часов назад +16

    Tujenge tabia ya kujitegemea na kupendana wa Africa na tujitosheleze bila ya kuwatgemea mabepari hao wanaoinyonya.Africa AFRICA UNITE❤🎉

  • @HemedyLukindo-y9h
    @HemedyLukindo-y9h 12 часов назад +42

    Vita ya kiuchumi viongozi wetu wa Africa wajitafakari sana ndio maana J .P.M hakuwahi kuwashobokea hawa watu wanatuona wa africa ni watu wa kuamuliwa na kupangiwa kila kitu

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 часа назад

      @@HemedyLukindo-y9h True✍️✍️

  • @yahyakabaila
    @yahyakabaila 12 часов назад +55

    R.I.P DR. JOHN POMBE MAGUFULI

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 12 часов назад +1

      ...uchawa pro max😊

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад

      ​@@DINASSOURso what? RIP MAGUFULI

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 10 часов назад +2

      @@DINASSOURYour name explains it all 😊

    • @vusumuzi_mathumo
      @vusumuzi_mathumo 9 часов назад

      Tanzania dont know english kkkkk

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 9 часов назад +11

    Shida ni ufisadi ndiyo unatawala Tanzanie, RIP JPM

    • @PakatJames
      @PakatJames 3 часа назад

      Mafisadi ni hawa wazungu wanaochukizwa na kukua kwa mashirika ya ndege ya Africa. Hizo sababu zao za kiusalama ni ujinga mtupu na ni mpumbavu muafrica pekee atakaekubaliana na wazungu kuwakandamiza waafrica kwenye maendeleo.

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 2 часа назад +8

    Dawa ya moto ni moto Tanzania ilipashwa ijibu mapigo ingezuia ndege za jumuia ya ulaya kutua Tanzania.

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu Час назад

      Aa! Hatujafikia kujibizana na hao watu, mchina mwenyewe bado anajipendekeza kwao.

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 Час назад

      Hapo utakuwa umejiua

    • @dicksonmoses9330
      @dicksonmoses9330 Час назад +2

      Kuzuia ndege zao sio suluhu sisi tunahitaji sana pesa zao acha waje

  • @eliasndomba7937
    @eliasndomba7937 12 часов назад +20

    Tuwakataze na sisi kuja Bara la Africa waingie na ndege zetu .
    Hii ni ni vita vya kiuchumi period no more

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 11 часов назад +3

      @@eliasndomba7937 hilo nalo neno nasie tuwawekee vikwazo tuone nani atukufa njaa

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 11 часов назад +3

      Tatizo watalii

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад +4

      ​@@ndukulusudikucho_kama watalii si ni wao wanakuja huku? Ndo shida ya uchumi tegemezi la sivyo tungewagomea na sisi waone kama bila wao tunaweza

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 10 часов назад

      @@MsAggie5Mnajimudu??

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 10 часов назад +3

      Na Tanzania wawagomee Ndege za Europe wasipite Anga ya Tanzania ni TIT for TAT

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 2 часа назад +5

    Ni kweli hatuna vigezo simba na,Yanga ndo kazi

  • @HenryShaury
    @HenryShaury 13 часов назад +53

    Ndege tununue kwao kisha hawazitaki zitue kwao

  • @DanielMangasa-hs4hx
    @DanielMangasa-hs4hx 11 часов назад +5

    Hatujali rorose wateule wa Mungu , acha kazi iendelee

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 11 часов назад +1

      Needed mbovu

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 часа назад

      @@rogerabdallah439 Tukusaidie Kuandika AuWe Mkenya?😁😁😁

  • @KarimShabaniNAHIMANA
    @KarimShabaniNAHIMANA 3 часа назад +3

    Hapo Tanzania ikisema ipige marufuku ndege za umoja waulaya sinitakuwa Moja kwamoja

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 12 часов назад +4

    Economic war it is affecting African countries to uplifting our sustainable development.

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 13 часов назад +7

    Ndege ya raisi ya kwanza kabisa alio nunua mkapa.......ilizuikiwa iliopo tua ulaya......wakamwambia mkapa itakuwa...achana nayo.haikuruk Tena Wala kubeba viongozi......inawezekana kunavigezo tumefeli

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 13 часов назад +4

    Good one

  • @toulashabib2131
    @toulashabib2131 13 часов назад +24

    Na sisi wa Africa tuna pashwa zuwiya nchi zao ku tua kwetu africa

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 13 часов назад +3

      Boss anuniwi

    • @nanyangahustler4305
      @nanyangahustler4305 13 часов назад +3

      Mzungu co boss

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 12 часов назад +4

      @ basi wew ndio boss, ulaya wanakuja kuchukua mikopo kwako😂

    • @ellsonmkonyi1319
      @ellsonmkonyi1319 12 часов назад +1

      Mhhhh hatari

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 12 часов назад +2

      @@GeorgeElias-p5oYani jibu lako limenifanya nicheke sana 🤣🤣🤣 ! Huwezi mnunua bosi wako 🤣

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 2 часа назад +5

    Hii ni kazi ya kibaraka Tundulisu pumbavu zake

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 13 часов назад +20

    Mkiambiwa simameni na urusi hamtaki mmeona sasa hawa mashoga hawatakagi mataifa mengine yapige hatua yaan nimasenge kweli kweli wazee wafigisu

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 13 часов назад +6

      Kwaiyo Mrusi ndo anatupenda sana? Kama unawaza hilo sahau,hakuna taifa lolote linamapenz na Wafrika

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 12 часов назад

      Upo sawa kaka me nipo pa moja na wew na pamoja na Putin

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 12 часов назад

      Wanaogopa kukosa hela za ndege zao. Ufaransa ilikataa kutua kwenye nchi za AES( Burkina Faso, Mali, na Niger) miaka 2 iliyopita. Unajua kimewakuta nini! Air France imeloose mililoni 64 Euro 💶. Sasa wanataka kurudisha tena Safari. Ni maslahi tu hapo yanayolindwa.

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 10 часов назад

      Chuki dhiki ya USA na Israel hazijawahi muacha mtu salama,yaani nikama mmelaaniwa Mikundu nyie sasa huyo urusi labda asimame na babaako ili awe anamfira,

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 часа назад

      Mzee,,, serikali iliwaengea wapinzani BILA sababu za msingi nasisi tumeoigwa ban BILA sababu za msingi tit for tat

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 4 часа назад +3

    Mukiona tunawekiwa vikwazo mjue mama yupo vizori sana mama enderea uwapiga spana awo mabeberu iyo ni vita ya uchumi tu

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 4 часа назад

      We nae ushaanza uchawa sasa 😂😂

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 часа назад +3

    Huenda Ndege za Bongo hubebe Watu Wasiojulikana!!

    • @Awatee
      @Awatee Час назад

      😂😂😂😂Sasa izo Viza na paspoti wamepata wap na hawajulikani

  • @fakijecha
    @fakijecha 13 часов назад +12

    Wazungu bwana yan wanavo jifaya kila kitu wanajua kumbe chuku zao tu wanataka lazima mashirika yao yatumike daa. Alafu wakija huku kuwekeza tunawapa maeneo wanafaya wanavotaka ila sisi tunaonekana km mbwa tujifuze hawa jama hawajawahi kua na ukwel kwa nchi zetu washezi hao

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 часов назад +1

      Ww ulifikiri wazungu ni wajinga kama ww.Hao ni watu wanaoendesha mambo kwa uhakika.

    • @manoahjoseph5283
      @manoahjoseph5283 13 часов назад +1

      Uhakika unaousema ni kama justification tu ya ujinga wao, always wana Superiority mentality, it's a fact​@@MathewNathan-yb2bz

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 12 часов назад

      ​@@MathewNathan-yb2bzacha kuwapa bichwa kama wana endesha mambo kwa uhakika mbona 737 max waliambiwa zime feli na mbaka leo zipo zinafanya kazi kama kawaida na wafanya kaz wakisema wanauliwa

    • @fakijecha
      @fakijecha 12 часов назад +2

      @@MathewNathan-yb2bz nipe uhakika ww mwerevu Kwan ndege imetengezwa wap na siku zote walijuwa wapi Kuna tofauty ya elimu na akili sasa ww tumia elimu yako ndo mana munambiwa Kuna haki za binaadamu na munafta lakin hamjaelew mana yake cos munachoamini elimu peke ndo mana Mali yingi zinatoka Africa alafu zile zile tunauziwa Kwa bei hali unazani kosa nini na wasomi wapo

    • @nassormohammed9742
      @nassormohammed9742 12 часов назад

      ​@@fakijechauchaguzi ccm oyee

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 25 минут назад

    Inamaana uchumi wa Tanzania unaimarika ndiyo maana Wana presha wakatafuta kikwazo chauchumi hapo😊gonga like Kwa mama Samia ,Samia piga kazi taifa limekukubali mama harafu ningetamani nikuone nikupe mawazo zaidi Tanzania saivi dollar inakuwa nyingi mpka sio vizuri kirasku inaporomoka

  • @MgolelwaMhangati
    @MgolelwaMhangati 2 часа назад +3

    Uchumi uchumi uchumi

  • @DavidNdaha
    @DavidNdaha 12 часов назад +4

    Tatizo kubwa la kuwategemea ona Putin na chine wako wanajalibu kututoa mikononi mwao wanapata shida sana.Tuunganishe nchi zetu kama wao vinatushinda Nini!!?

  • @matalo0551
    @matalo0551 2 часа назад +2

    Kwann tusijibu mapigo na sisi kuzuia ndege zao kuruka na kutua ktk anga la Tanzania?
    Yaani wanataka kuua shirika letu la AIR TANZANIA baada ya kuona linakua kwa Kasi kubwa.
    Lini tumepata ajari na Mara ngapi? Shame on them.... let's ban their air line too....... tufanye ubaya ubwela.....tusikubali kuwa wanyonge.....

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 8 часов назад +5

    Hapo ni Russia na Tanzania, sio kivingine

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 12 часов назад +11

    Hii ni dharau kubwa sana ambayo Tanzania tumefanyiwa

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 12 часов назад

      Wale ndio walotengeneza hzo ndege so wanajua .....wanachofanya

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 12 часов назад

      Hizo ndege zimetengenezwa na wao wenyewe kwahiyo hawakurupuki

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 12 часов назад

      @@Oldskulgemini9991 usiongee usichokijua kukaa kimya pia ni busara

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 12 часов назад

      ​@@Oldskulgemini9991sio hawakurupk wao wanatk kil kosa watupia kwa w2 wengn 2 .km n 7bb z usalama nan alie itengenez c wao hy kos n kw nana ss au wao.n wao n sio ss ttz wat hamtk k2mia akil zen kuffnua maamuz y waoo bal mnatk muamuliw 2

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 11 часов назад

      @kamanapomo7029 we unajua nini ndugu yangu, acheni kukariri maisha

  • @ShishishiMohammed
    @ShishishiMohammed 12 часов назад +4

    Ingekuwa kenya mngesema mbona apo asemi

  • @NassorMuyugumbi-p9q
    @NassorMuyugumbi-p9q 12 часов назад +6

    Kama muna kumbuka Tanzania iliwahi kuingia mkataba na Urusi kwa ajili ya safari za moja kwa moja nafkiri hiyo ndo sababu machoko wamekasirika, hata hivyo wafanya biashara wetu mara kwa mara wanakwenda Dubai pamoja na China hivyo wazuie tu, ila dawa yake kuwapandishia tozo tu wakitaka kutua kwetu

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 12 часов назад

      👏👏

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 10 часов назад

      Uko sahihi

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 9 часов назад

      Sio kweli acheni chuki, hata Ethiopian au Turkey zinazoenda Ulaya ni zuri hatari lkn zinazokuja Tanzania Au Afrika zimechoka ile mbaya ndo ujue kutofautisha

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 часа назад

      Vp watalii KUTOKA kwao unamaanisha wasije?

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 13 часов назад +5

    pamoja na kusafili kila siku duu atr

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 12 часов назад

      EU hatutaki uchawa .. tunafanya kwaajili ya maslahi ya dunia

  • @vintz338
    @vintz338 13 часов назад +9

    Kibiashara wanaharibu Sana ,mim ningekua na uwezo ningeua Sana wazungu,wanaonaga Kam wao waamuzi wa watu wote dunian, Yan inamaaan sis watanzania hatupendi kuishi had tupande mandege mabov,hii ni kuingilia mambo ya nchi zingine,hay mataasis ya kimatifa ni yakifala Sana ,yanatudidimiza kila tukitaka kujiinua,shenz

    • @johnkomba4549
      @johnkomba4549 13 часов назад

      Ppk

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 часов назад +2

      Wao sio wajinga kama ww.Lengo lao shirika letu likidhi vigezo.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 12 часов назад +1

      ​@@MathewNathan-yb2bzhuna akili mpumbav sana wew yaani sijui mmerugwa na nani! Kama mtanzania hupaswi kupongeza ujinga Kama huu, wew hujui Kama hiyo ni vita baridi ya kiuchumi? na hii inakuja kwa 7bu sisi tunashirikiana na nchi za brics hiyo ndio 7bu ya vikwazo hivyo

    • @athumanshaban
      @athumanshaban 12 часов назад +1

      wewe huna akilli unaambiwa ni vita ya uchumi unang'an'gania hatuna vigezo vigezo gani ndege wametuuzia wao

    • @vintz338
      @vintz338 12 часов назад +1

      Kama lengo lao ni zuri kulikua na haj gan yakuweka tangazo kilamtu aone? Walikosa namna yakulifikia shirika la ndege la air Tanzania? Hio nikuingilia mambo ya nchi nyingine, hio ni sawa nakutangaza kuharibu mipango ya wenzako , ww ukiwa na biashara yako af mtu aweke tangazo eneo lako lote la biashara kua bidhaa zako zinamapunguf flan huyo analengo zur naww? Huyo si anaua biashara yako ,au anataka ww ukanunue anaponunua yeye au anavovitengeneza yeye, mi cjui kwann hay matamko ya hv serikali zetu zinakaa kinyonge sana, wakat ukipga hesabu hat wabongo wengi hawaend huko kwao,tunashusha Sana ila hawa watu hawana heshma

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 3 часа назад +2

    Kujipendekeza kwa Hawa viumbe ni Bure hapa Bora iwe ubaya ubwela

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 часа назад +2

    Sasa jaribu nawao kupiga marufuku ndege zao zisitue kwetu, tumekwisha

  • @InnocentBirdNest-nl4eg
    @InnocentBirdNest-nl4eg 7 часов назад +3

    Basi sahizi iende mtwara😂

  • @ProJays
    @ProJays 12 часов назад +2

    Ndio mulipiza na nyinyi pia

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 часа назад +1

    hizi ndege zetu ninzuri haxina upungufu wowote bali uchumi walaya meshuka sana wanataka watuie ndege zao tu ili angalau uchume wao ukae sawa haa kipindi hiki chasikukuu kwakuwa kuna abiria wengi sana

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 13 часов назад +5

    Vita vya uchumi vya Ulaya wakati ndege wanatengeza wao

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 часов назад

      Sio hivyo,lengo shirika letu likidhi vigezo.

    • @manoahjoseph5283
      @manoahjoseph5283 13 часов назад

      ​@@MathewNathan-yb2bzTutolee propaganda zako Hapa tunajielewa

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm 7 часов назад +3

    Magufuri angekuwepo angezuwia ndege kutoka EU countries kuja Tanzania.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 часа назад

      Na watalii tunaowataka watakuja KWA ndege zipi?

    • @charlessomi2506
      @charlessomi2506 Час назад

      @@josephwilliam5813 uliona Magufuri anatangaza utalii????

  • @Godfreyolekidongo
    @Godfreyolekidongo 2 часа назад +1

    iweubaya ubwela tu😢😢😢

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 13 часов назад +3

    Kwani lazma tuende kwao ,,na hatutaki kwenda ,,,tutabaki kwetu,nao wabaki kwao

  • @AbdulKarim-iz3db
    @AbdulKarim-iz3db 11 часов назад +2

    Hivi vita anaviweza magufuli tu.

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 12 часов назад +2

    Fresh 2 hakuna noma hzo zote 2 n figisu z kutak kutushusha 😁😁ila sio lazm kwenda ulaya

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 3 часа назад +1

    Hao ndio wa zungu hawajawai tupenda sisitu ndio tunao ji pendekeza kwao hawataki kutuona tukipga atua pumbavu zao

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 11 часов назад +1

    TANZANIA Airline Cooperates don’t stop what your doing keep the company moving forward let oppressor knowwe can do without then there’s 195 countries in the world. This ain’t colonial time

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад

      Well said 💯 👋👋👋

  • @yassinhamic5683
    @yassinhamic5683 12 часов назад +3

    Mbon sijaisikia uingereza Kwan haipo umoja WA ulaya now

    • @anny19988
      @anny19988 12 часов назад +1

      Ilishajitoa EU kitambo

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 Час назад

    Hongela sana tundulisu kwani pia ulisema utazikamata kabisa zikienda ulaya 🥺🥺🥺

  • @fastonsambo-du4rd
    @fastonsambo-du4rd 12 часов назад +2

    Lengo ni kuidhibiti Urusi ,Urusi ilishughulikiwe hili suala❤

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 10 часов назад

      😂😂😂 tangu lini Urusi anaweza waamulia nchi za ulaya?😢

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 13 часов назад +4

    Hilo mbona linajulikana tu waliosoma Cuba wanajua

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 13 часов назад +3

    Na hizo nchi Air Tanzania haijaanza kwenda hata nchi Moja hispokuwa walikuwa mbioni kwenda Ufaransa

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 11 часов назад +1

    Kwhy anga yetu ni tofauti na kwao😮

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 12 часов назад +4

    Ni ukosefu wa viwango rekebisheni watu hawataki siasa kwenye maisha ubabaishaji mwisho dodoma

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад +1

      Kwani hiyo air Tanzania inayokwenda India na China? Kuna itakayoaanza kwenda Dubai one way! Ni kiwango gani hicho?

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 12 часов назад +8

    Issue sio kusimmama na urusi ,mbona kenya haiko kwenye list ? Kenya Airways huwezi linganisha na air Tanzania bado tuna jitafuta

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 11 часов назад

      Kwan hujui Kenya 🇰🇪 ni kibara mtiifu wa umoja wa ulaya..??? Wake up .. Bado umelala

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 11 часов назад

      @@ellsonmkonyi1319 huna unachojui wew ongea mengine jambo usilolijua sio lazima kulizungumzia, afrika mashariki Kenya ndio kibaraka mtiifu wa wazungu halafu awekewe vikwazo tena! Kenya ameuza mpaka watu wake kwenda uliya mwezi juz tu hapo! halaf unajifanya umesahau?

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 10 часов назад

      Then you know nothing ​@@kamanapomo7029

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 13 часов назад +5

    Kwanza sisi wenyewe hatutaki undugu na wao tunahamia Russia

    • @JocyeAdrian
      @JocyeAdrian 13 часов назад

      Rasia ukafanye nn xaxa kununua nuclea

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 13 часов назад

      @JocyeAdrian kuna vitu vingi mfano Gesi, uranium,magari,kuna vyuo pia watanzania wenzetu wanasoma huko na mengine mengi

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 12 часов назад

      Kwahiyo Russia siyo wazungu siyo ?

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 12 часов назад

      @@noelbryson7840 kuna kikwazo gan wamekuwekea

  • @mapundarajabu5416
    @mapundarajabu5416 11 часов назад +4

    ivi mnajua kuwa dora imeporomoka adi apa kwetu Tanzania

    • @shuweikhaabdallah586
      @shuweikhaabdallah586 11 часов назад +2

      Hili ndo lilosababisha

    • @mayienga
      @mayienga 5 часов назад +1

      Dola haiwezi poromoka. Hiyo ndio msingi wa sarafu zote. Ni hela za TZ ndio imeimarika baada ya kudorora

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 часа назад +1

      Dola ni kama rula ili ujue umepanda au umeporomoka ni lazima ujipime KWENYE iyo rula

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 часа назад

      @@josephwilliam5813 ✍️✍️

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 2 часа назад

      @@mayienga ✍️✍️

  • @kageclemence7096
    @kageclemence7096 8 минут назад

    Tuliuziwa ndege feki mbovu na bado izo treni Yan wao ndo walio tuuzia lakn sasa😢😢

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 13 часов назад +5

    😂😂😂😂 mnajua nn sababu ni vile Tanzania 🇹🇿 ilikaaa aido kipindi kile cha mwanzo wa vita vya urusi na Ukraine balaa tupu

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 12 часов назад +1

    endeleen kuwapenda wazngu kama ndg zenu

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 12 часов назад +2

    Tutakuwa Tumefeli inspection..Uzuri wakirekebisha wanaruhusiwa😂

  • @softlips001
    @softlips001 12 часов назад +4

    Who's here before 1M 📍🏡🧑‍💻🧢🔥👌🇰🇪

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 11 часов назад +2

    Ujerumani watuludishiye mjusi wetu mbwa ao chukitu basi vyongozi wetu wataonga madini

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 10 часов назад +3

    Vizuri sana wamekataza isiende huko haina hata vigezo bora yazunguke huko mikoani customer care zenu mbovu nlishuka Dar na Tarkish nikawaonyesha ticket nlinunua online nataka kwenda Arusha wakanizubaisha hadi ndege ikaniacha na pesa hawakurudisha mbwa nyie Air Tanzania😏

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 9 часов назад +1

      Bora wewe unaelewa watu wanawaza tu ubaguzi, kuna nchi zipo serious mnoooo hawaelewi Tz wametoea fake fake life

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 9 часов назад

      Ndege za tz ni nzuri kuliko ndege nyingi sana za kiafrika ww unaye sema haya unaongea kama huna kichwa tuulize sisi tunao safiri na ndege nyingi duniani

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 8 часов назад

      Ndege za tz ni nzuri kuliko ndege nyingi sana za kiafrika ww unaye sema haya unaongea kama huna kichwa tuulize sisi tunao safiri na ndege nyingi duniani, ait tz ni nzuri kuliko ndege za uturuki zinazo kuja huko kwenu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 7 часов назад +1

      @ UZURI NA UBORA VITU VIWILI TOFAUTI 😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 7 часов назад +1

      UZURI NI SAWA NA MWANAMKE ALOJICHUBUA, AKAONGEZA MAKALIO LKN AMEOZA KULIKO MWANAMKE NATURAL 😋

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 11 часов назад +2

    Vita vya kiuchumi msishangae Sana wamenuna dola yaoTanzania imeporomoka

  • @Shadia544
    @Shadia544 Час назад

    🙏🙏🙏TZ ❤

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 3 часа назад +1

    Awa mmbwa ni wanafki hi ni hegelian dialetics 😒 a solution to a problem creates another problem ni wa pumbavu sana hizi western countries

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 12 часов назад +2

    😂😂😂😂hawa jamaa wanakuwaga na roho mbaya but wakenya still wanawashokea

  • @MwanamseIziany
    @MwanamseIziany 2 часа назад +1

    Na zao Tupige Malufuku 😂
    Kutuwa Tz

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 12 часов назад +2

    Wazungu hawajawahi kuwa na upendo na WA Africa wanataka ndege zao tu na mambo Yao tu ndo yakufuatwa🙌🙌

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 12 часов назад +2

      @@mtulivu-ir1nq issue sio ndege hii ni vita ya uchumi kwa nchi ambazo hafuati matakwa yao fuatilia matamshi ya trump wiki juzi kuhusu nchi zinazo shirikiana na brics na kuhatarisha uchumi wa sarafu yao utapata jibu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 11 часов назад +2

      @@mtulivu-ir1nq suala ni kutimiza hivyo vigezo ambavyo wanadai hatuna kwani suala la usalama wa abiria ni muhimu sana.Tusikurupuke na kuanza kulaumu.

    • @mtulivu-ir1nq
      @mtulivu-ir1nq 11 часов назад

      @kamanapomo7029 really broo🔥🔥

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 5 часов назад

      Mbona mashirika kama Kenya airways hajazuiwa tatizo tumeshindwa kusimamia daladala mwendokasi treni ijekuwa ndege

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 часа назад

      @@mwlpierre uko sahihi na umeongea vema.

  • @UMEUTEKAMOYO
    @UMEUTEKAMOYO 11 часов назад +1

    Muwe mnawatafuta wahusika kwanza kuuliza vitu Kama mnavyomtafuta Ahmed ally kuusu jambo la Simba maana kichwa Cha habari hakina afya kwa Tanzania 😢😢😢 Leo mmebugi sky

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 11 часов назад +2

    Hapo ni moto juu ya moto,wakitaka kuja huku na wao wapande ndege zetu au waje na bodaboda

  • @Simions-q2i
    @Simions-q2i 8 часов назад

    Ndege zetu waliwahi kuziteka na kutaifisha
    Na hizi wametutenhlgenezea wao leo ndege wametengeneza wao wanasema sio salama
    Huu ni uhuni
    Wa hali ya juuu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 11 часов назад +1

    Tukidhi vigezo na tuwe kimataifa, Hawa jamaa wanaona Mbali wakati mwingine, nadhani tuichukulie hii taarifa kama changamoto na tukabiliane nayo na tuitatue

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 13 часов назад +2

    Sisi waafrika tupande ndege zetu kuna Ethiopia Kenya airways luanda south Africa na zaidi sitopanda ndege za hawa wazungu tena tit for tat wivu una wasumbua hawa mishetani wanaojiita mabos

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 12 часов назад

      Hizo ndege za Africa zilitengenezwa wapi ndugu yangu?

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 4 часа назад

    Moja ya sifa wanazotaka hao jamaa ni kuwa, uwe chini ya uchunguzi wao kwa viwango vya hali juu. Tujipange kwa kuwa na technolojia ya hali ya juu na uchumi mzuri kwa watu wetu ili tusiwe tegemezi.
    Mungu ibariki Afrika.
    🌍🌍🌍🌍🌍

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 2 часа назад

    Hivi, mwingereza alisha jitoa kabisa EU, hao wana ubaguzi sana, tutaenda UK na marekani, hao miungu watu tutaachana nao.

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 12 часов назад +4

    Leteni kenya abiriria wenu tutawasafirisha

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 12 часов назад

      Sis SioWatumwa Kama Nyinyi

    • @shantisam-wo8wj
      @shantisam-wo8wj 12 часов назад +1

      Sure😂

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 11 часов назад

      @@mahmoodmohammed1679 hatuna ujinga Kama wakwenu kuuza watu wenu kwa vipande vya sarafu

    • @esem135
      @esem135 10 часов назад +1

      @@JomoKilawe Mkifinywa manakumbuka utumwa. Ingekuwa Kenya Airways nyinyi watanzania mngekuwa na sherehe!! Tunawajua nyinyi riho chafu!!

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 5 часов назад

      @@esem135 Ss Sio Vibaraka Tutasafir Hata China Na Russia N Kwingine Sio Lzm Kwa Hao Mabwana Zenu..

  • @babueric
    @babueric 54 минуты назад

    Karibuni wakenya wa zalendo mnaotetea airport zenu

  • @AbdulAzizAli-i6x
    @AbdulAzizAli-i6x 6 часов назад

    Vzr kuwa zisizuiliwe ndege zao ni bora.ikitua tu bila ya kushuka mtu ndege yao irushwe hapo hapo irudi inakotoka

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 12 часов назад +2

    Hp nyinyi mnawazuia lini ili wasiingie kwenu😢😢😢😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад

      Hatuna jeuri hiyo, tungewazuia wasije kwetu Kwa kutumia ndege zao 😂 lakini hatuwezi lol

  • @JosephLoy-k2g
    @JosephLoy-k2g 2 часа назад +1

    Hizo ndege si wao ndio wametengeneza? Serekali iwarudishie wakatengeneze zenye ubora

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 13 часов назад +2

    Hii haina uhusiano wowote na usalama, ni siasa tu - viongozi wa Umoja wa Ulaya ni kundi la wahalifu.

  • @happygombe1969
    @happygombe1969 13 часов назад +5

    Safi sana maana utekaji umezidi sana Tanzania yani hii ni laana ya damu ya mzee kibao inayo lia kila siku

    • @kateahmed5852
      @kateahmed5852 12 часов назад +1

      Acha ubabylon kijana mwandu

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 12 часов назад +1

      Munatekana wenyewe musituchoshe, musituketee siasa zenu za kipuuzi

    • @happygombe1969
      @happygombe1969 12 часов назад

      @@rashidalihamad7228 ccm utawajua tuu wanaumia wakiguswa mpuuzi niwewe usiojielewa kwani ndege za babaako nyie ndio mnao nunua mandege ambayo yana takiwa kwenda mkoni nyie mnapeleka kwenye nchi zawatu

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 12 часов назад +2

    Baba wa taifa katupa kiburi WASITUTISHE na sisi hatutui kwao. NINO KWA JINO

  • @bakarimajaliwa247
    @bakarimajaliwa247 12 часов назад +2

    wazungu jau

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 13 часов назад +6

    Na wao wasitue kwetu 😂😂

  • @AdrusHassan-c5m
    @AdrusHassan-c5m 19 минут назад

    Hao ndio wazungu mnaowaona watu wa maana

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 3 минуты назад

    Hata magari ya abiria ya Tanzania yapigwe marufuku.

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 10 часов назад

    Msemaji wa serikali amesema sio kweli , habari ipi tuamini

  • @IbrahMsengwa
    @IbrahMsengwa 12 часов назад +1

    Tunajua bwana vita ya ukrain ilipoanza kenya walisaport EU tz hatukua upande wwt wanashindwa vita wanalipa kisasi kwetu any way mi binafsi wazungu wt warudi kwao km vp

    • @ahamadiyusuphu6011
      @ahamadiyusuphu6011 9 часов назад

      Inchi yetu imekuwa ya wachina kaka....kuna vitu havipo sawa......na miaka ijayo mtaishia kula vura.......si umeona hata traini kuna wahuni wanagiza zakwao za diesel........na zitatoka china....

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 13 часов назад +5

    Vita ya uchum hatari 😂😂😂😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 часов назад

      Akili ndogo

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 12 часов назад +1

      Kwanza tanzania inauchumi gan shlika mbovu

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 12 часов назад

      ​@@ShedrackShedrack-c2b kwani mchawi akikuroga anamanisha una hela mno au hujui kwamba pia urusi kafungiwa sisi ni wajamaa ukumbuke

  • @ErastoOldean
    @ErastoOldean 13 часов назад +2

    Hawa wazung washatuon hatuna akil ndo maan wanafany wanavotaka an

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 12 часов назад

      Atleast umejua😂😂😂..muanze kuamuka😂😂😂😂

  • @UpendoSalum-uo3zl
    @UpendoSalum-uo3zl 12 часов назад

    African unit

  • @aabedi541
    @aabedi541 13 часов назад +3

    Kwani ulaya ni mbinguni Air Tanzania tafteni sehem nyingine kamavile Asia na Africa wabaki na in'chi Zao.

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 13 часов назад

      Boss anuniwi

    • @aabedi541
      @aabedi541 12 часов назад

      @hamoudcreator6343 ongeya kwa hoja bila matusi . Sikiliza vizuri taarifa ya simulizi ni rohombaya tu ya wazungu hawataki in'chi zakiafrica kufanya kazi kwenye in'chi Zao. Ok tena tafakari Acha ushabiki

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 12 часов назад

      @ mapka huu ufisadi na rushwa utasema mzungu ndio katuletea au..!?

    • @aabedi541
      @aabedi541 12 часов назад

      @GeorgeElias-p5o ndio ufisadi na utawala mbovu wazungu wanacha ngia kabisa asilia %100

    • @Karimchembela
      @Karimchembela Час назад

      Hivi hawa wanao wa sifia wazungu ni mabwana zao au mana wanaona kama miungu watu

  • @MathewAlphonce
    @MathewAlphonce 12 часов назад +3

    Nani kama mama😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 11 часов назад

      Yeah! Kawapenda wazungu lakini wanaona anapeleka nchi mbele ameudhi

  • @pastorgodwinchengula7848
    @pastorgodwinchengula7848 Час назад

    Hizo ndege wanazoamini ktk usafiri wake si ndio zinapata ajari sana na nyingine hadi leo hazijulikani zimepotolea wapi zikiwa na abiria. Lini waliona ndege zetu zimepata shida au ajali?. Watasubiri sana kuona ndege yetu yoyote ikidondoka.

  • @Omarimsimbazi
    @Omarimsimbazi 11 часов назад

    Alishawah kusema dj sma kuwa Hawa wazungu wanazingua Yani wanatuuzia wenyewe ndege then wanakataa tusizitumie kwao na wao ndo wamezitengeneza sasa hatar ipo wap hapo😭

  • @msheleally-p7z
    @msheleally-p7z 12 часов назад

    Tunataraji mamlaka husika nao watoe marufuku hiyo hiyo kwa ndege zao kuingia nchini kwetu kama ambavyo tulifanya kwa wakenya na mwisho wake wakasalimu amri, hii ni vita vya kiuchumi, na Hili lisinyamaziwe kabisa kutokana na athari zake mbaya kwa uchumi wetu. Isije ikawa tulijititimua kwa jirani zetu kwa kuwa tuliona ni ngozi nyeusi wenzetu na kwa hao wengine tunaufyata.

  • @zanzibarbikelife9815
    @zanzibarbikelife9815 13 часов назад +2

    Vikwazo ivo😂😂

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 Час назад

    Kwahiyo shida yao wanataka Tufilisike turudi enzi zile 😢

  • @Godfreyolekidongo
    @Godfreyolekidongo 3 часа назад

    Tupige marufuku nasisi au vip!

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 13 часов назад +2

    Mda c mrefu tunaenda kuifanya dunia yenye usawa wazungu watabakia uko uko ulaya

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 13 часов назад +1

    Vita yakiuchumi