Bravo babalevo. Umeweka nukta juu ya harufu. Umetoa elimu kubwa na mawazo yanotakikana ili wasanii wote wajipange, wasonge mbele. Music ni burudani sio vita. Na mtangazaji mashaalah mahiri, mtulivu na msikilizaji mzuri. God bless kenya n TZ ❤
Wasanii wengi hapa kenya ni yapaswa tuwapeleke huko shakahola wafungwe kwa miti kisha wavune viungo za mwili ndio wasije wakaimbe tena. If ilikuwa bien anapiga kelele I would listen to him,but not willy paul.Hes an €mbarrassm£nt to kenya music.Diamond has gone through the due process &hes the goat.Otile hujaribu lakini yeye anakiburi lakini sio kama willy paul.Otile akiaamua anaweza kuwa msanii nomaa sana.
Wajua Kenya music is not taken as a source of income we have other things tz it's your sources of entertainment just the same way movies Nigerian ni common imekuwa their source of income and not even for entertain so hatufafani buana is it by force na hao watz na Iyo mziki Yao na billionaires wengi wanataka Nairobi si tz we have other ways of getting money abeg in kenya it's not all about music Iyo ndio mmekataa kujua
Njia gani izo zinatumiwa na Willy paul, Bien, Otile, Bahati, Kama sio their talents as musicians? 😂😂😂😂. I dont know why you were born and i feel very sorry for your generation
Mtangazaji upo peace sana bruh, normal east african brothers talking. Look how your remembrance is synchrnized. Just having a conversation, no rudeness
Mseto how is that colabo important to the extend unabembeleza uyu jamaa na nikama unataka kumpigia magoti ati ndo diamond afanye kolabo na bien hii ni upuzi mseto mnatuangusha bana
Sasa nyie tuwaonee jelous ya nini 😂😂😂 Mbona unatia aibu Kwa Hii sentence 😂😂....Hamna kitu sio wabunifu,sio wajanja Ki biashara mmebaki na english tuu😂😂😂sasa tuone wivu gn ?ss hv kila kitu tumewapita hakuna tumaweza kujifunza kwenu May be maandano
Maku* nyie mnakera mnapo ongelea Kenya kwani ni nairobi 2...hivi hamjui msa kwetu uswazi kiswanglish kimenyooka..sio mna base sana Nairobi...mseto kuzi sn hivi hujui Mombasa sio Kenya au
Bravo babalevo. Umeweka nukta juu ya harufu. Umetoa elimu kubwa na mawazo yanotakikana ili wasanii wote wajipange, wasonge mbele. Music ni burudani sio vita. Na mtangazaji mashaalah mahiri, mtulivu na msikilizaji mzuri. God bless kenya n TZ ❤
Bonge la interview, B LEVO BA AKILI NYINGI, 😂big up pia mtangazaji unajua kazi yako,
Mtangazaji uko vizuri sana big up kwa B levo
Sana mtangazaji ana maswali ya muhimu sana
Ninyi vijana wa 2100, huyu ni Bii Levo Baaaa FUNDI MAJUMBA na hapa ilikuwa mwaka 2024
Iko sawa...Kuna kitu nimepata kwa hii interview
I have never heard Baba Levo speak this smart😂😂😂😂
He's smart but stupidity pays😂😂😂
@ 😂😂
Mimi kama Mkenya namkubali Harmonize yani Konde boy 🎉
Pia nami
Mpuuzi
Watanzania tunampenda Bien
Baba levo uko sawa
Huyu jamaa anaongea ukweli yaani wachana na kizungu tunatumia busara na facts
B levo baa nakuishimu sana
Wape somo baba
Babalevo kwani ww n mungu wakenye ama mm ndo sijakuelewa😅😅😅
Nimesoma kitu. Babalevo uko sawa
SAFI DIAMOND MPE SHAVU BIEN ANAWEZA SANA
Bien Bien Bien Bien Tanzania 🇹🇿 Tunakupendaaaaaa Sanaaaaa
Bien yaah no dought very super🇹🇿🇹🇿
Wasanii wengi hapa kenya ni yapaswa tuwapeleke huko shakahola wafungwe kwa miti kisha wavune viungo za mwili ndio wasije wakaimbe tena.
If ilikuwa bien anapiga kelele I would listen to him,but not willy paul.Hes an €mbarrassm£nt to kenya music.Diamond has gone through the due process &hes the goat.Otile hujaribu lakini yeye anakiburi lakini sio kama willy paul.Otile akiaamua anaweza kuwa msanii nomaa sana.
Congratulation b levo ba wewe ni smart sana kk
Baba levo kuna kitu amesema ni point kubwa sanaa
Bien tunamkubali tz
About Bien that's true
Mtangazaji pokea maua yako🎉🎉🎉 what a logical interview?
Good work chairman Mr the Don
KUMBE KUNA WASHIKA MIC WENYE AKILI HUKO KENYA😮😮😮😮😮😮😮 SASA WALE WENGINEO HUWA WANAHOJI NINI
Fundi manyumba nimekuelewa sana kweli akili kubwa 🇹🇿
Huyo b n wa sauti soul,sauti soul tz huku tunawaelewa wanachoimba ila wengine wajipange bado sana.
B levo next year nakupatuzo perfect
Babalevo haongoei uongo
Inashtusha iyoo😂😂😂
14:00 somo kubwa sana hili kwa mwenye uelewa 🙌🙌🙌🙌
From tz apa mwandish unajua upewe mauwa yako sio kama wale waandsh wachochez
Na congratulation kwa mtangazaji pia yuko vizuri anajuwa kuliko watangazaji wa tz
😂😂et chombeza kama mimi ila ni hit iki kichwa😅
Baba levo yuko so mature than Mwijaku.nampenda
From kenya uko right
Mkawadharau watu wa mombasa nka waeka nyuma .kina susumila nwakali san
Nyota ndogo hata aje leo tunakesha nae
Ikitokea amejikwaa kwenya akaumia nguu tutajua mmemtega yaan patachimbika b levo ndo Icon yet🇹🇿🇹🇿
B Levo baa mtaaram fundi manyumbaa akitoa shule ya bure
Comedy ya TZ iko chini haiwezi fikia Kenya..Kenyan comedy is the best in Africa tunashindana labda na south africa na nigeria
Mbona hatujawaona watu wenu wakienda Perform nje ya nchi??Bado tunarudi palepale hamuwekezi Nyie kwemye talanta zenu😂😂😂😂😂
Mda utatuambia
Bbalevo👍
BONGE LA DARASA KWA WASANII WA KENYA NA EAST AFRICA YOTE
True
Wakenya huwa mnaanzisha af sisi wa 🇹🇿 tunacopy tunafanya kiwetu af tunatake over.
Huwezi endelea sehemu yenye njaa na ujuaji mwingi, kila mtu ni mwizi
Baba levo nakuaminia
Baba levo hawezi kuwa hata top 30 ya wasanii bora bongo. Ngoma yake ya high na low ni nzuri sana.
Mapromoter wa Kenya mlimshusha Otile brown msanii aliyekuwa amefkia wasanii wakubwa wa 🇹🇿, sahiv mmekua vcheko.
Ww baba levo ujajua tu ao wakeny n wabinafsi atali
Wewe jamaa unasimp sana
Ata muazilishi wa mapiano sio msouth africa ni ni DJ mnaigeria anayeishi south Africa
Ni sw ila si yuko sauz afrika ndio ni sw
WaTz🇹🇿 tunamkubali Bien tu🔥
🇹🇿🥂
I can't imagine we fighting tz because of willy paul of all the people in the world😢😢.
Bien is serious artist,he's takes his work serious
True that
Baba levo big up
Wajua Kenya music is not taken as a source of income we have other things tz it's your sources of entertainment just the same way movies Nigerian ni common imekuwa their source of income and not even for entertain so hatufafani buana is it by force na hao watz na Iyo mziki Yao na billionaires wengi wanataka Nairobi si tz we have other ways of getting money abeg in kenya it's not all about music Iyo ndio mmekataa kujua
Big man speaking nonesense 😂😂😂😂.
Njia gani izo zinatumiwa na Willy paul, Bien, Otile, Bahati, Kama sio their talents as musicians? 😂😂😂😂. I dont know why you were born and i feel very sorry for your generation
If ur music doesn't pay you it means you're not professional musician. Our artists in Tanzania makes good music that they can live out of it
Back with evidence
Itaviyuu kama hizi ndio tunahitaji
Kudunisha Bien mbele ya Diamond....😢😢😢😢
S2kizzy atari
Wakenya wacheni ujeuri na bif
Ukwali
HUYU JAMAA ANA AKILI SANA NINAVYOMUANAGA NURU OKANGA NIKAWANAJUA WENGI WA NCHI HIYO WAKO HIVYO KUMBE KUNA BAADHI WATU WAKO VIZURI
Wacha kuwachanua hawa wanajifanya wajuaji sana fanya urudi
😂😂😂😂❤️🇹🇿🇰🇪🤜🏾
media za kenya zinahitaji content za panch na zenye kwenda sambamba na walaji wanachotaka ila media za bongo zinapenda ukakasi ili zipate content
Utile brown alishushwa na mapromota wa kenya. Mchawi ni mkenya. Ukiona wasani wa Tanzania kuwekeza kwenye medea
Sasa ukiandikiwa nyimbo na melody na mtu mwengine, xxa hiyo ni kua msanii kweli??
Wakati utawakosa utadu???
Zimia tu!
Mtangazaji upo peace sana bruh, normal east african brothers talking. Look how your remembrance is synchrnized. Just having a conversation, no rudeness
Kwani thamani ya dollar tz ni how much ? $4000/ achani ujinga buana
Uwekezaji siyo Kwa music tuu, ni Kila kitu, lazima uwekeze
no sensé bien ni mkubwa kuzidi DIAMOND
Bien is More Talented Than Diamond but Not a Bigger Artist Maybe in Your Head.
Baba levo ni bonge la mtu.
Babalevo hajachamba,ameongea vitu sahihi,wanao chamba ni wanawake,u what i mean?
HUYU reporter ametoka msitu gani
Waache unawagea
Miwani ndo atleast inakuingiza...mkundu wewe
Mseto how is that colabo important to the extend unabembeleza uyu jamaa na nikama unataka kumpigia magoti ati ndo diamond afanye kolabo na bien hii ni upuzi mseto mnatuangusha bana
Kiburi tu kipo ndani yako bro😅😅
😂😂😂mtaiva tu
So what u need ..? Let's tell us
Kiburi bila talent ni Sawa naaaaa?????
Zile mavazi costume za kisheta shetani ndio kuwekeza .Maajabu haya.
ubunifu ni WA muhimu acha uchochezi mjifunze muziki
Wasanii wa Kenya shida yao ni Sheng ya chokoraaa watoto wa mtaani. Shengi haina njia mwafaka ya kujueleza na hawajui kuongea na lugha nzuri
Wakenya ni wapumbavu ❤
As a Tanzanian kaka umekosea
We got love for these dudes 🇰🇪
Wewe ndo mpumbavu mshamba wewe.
Acha ushamba Broo
Unatukana Taifa Zima?
Wabongo hatuko hivyo man
Kama mamako tu
Simba hana 18M followers
Anao huko Instagram
Wamesema 15M, whats ur problem
@vinny.morales wamekosea ni 18M not 15M
Akuna diamond ni 👿👿👿
B levo
Unavyanzo gani vya fedha ww acha uongo ww masikini tu kama masikini wengine
wewe reporter kumaamako....kujipendekeza tu kama kahaba
Kahaba kumshinda mamako😂😂😂😂 ali utaka ndio maana una pumua leo na pua na mkundu😂😂😂😂
Reporter Tena kwan anareport news😂😂😂😂😂🚮🚮🚮
Chuki humchoma anae iifadhi
This guy and TZs have a lot of jealously of Kenyans
Sasa nyie tuwaonee jelous ya nini 😂😂😂 Mbona unatia aibu Kwa Hii sentence 😂😂....Hamna kitu sio wabunifu,sio wajanja Ki biashara mmebaki na english tuu😂😂😂sasa tuone wivu gn ?ss hv kila kitu tumewapita hakuna tumaweza kujifunza kwenu May be maandano
Stop being delusional!! You have nothing in Kenya for us to feel jealous. Face facts
Maku* nyie mnakera mnapo ongelea Kenya kwani ni nairobi 2...hivi hamjui msa kwetu uswazi kiswanglish kimenyooka..sio mna base sana Nairobi...mseto kuzi sn hivi hujui Mombasa sio Kenya au