RAISI SAMIA AKIPIKA SAMAKI CHUKUCHUKU,MATEMBELE NA UGALI....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 32

  • @GraceTemba-nx3mw
    @GraceTemba-nx3mw Месяц назад +1

    Nimetamani mpaka mate yananitoka,Godbless you Rais wetu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @FloraKimaro
    @FloraKimaro 2 месяца назад +1

    Safi Sana Mh Rais Usiisahau Jana kwasbbu ya leo👍Tunakupenda mama yetu Mwenyezi Mungu akuzidishe Umri wa kuishi ulitimize kusudi lake alilokupa, Hujawekwa na watu kuingoza Tz, Ni Allah mwenyewe🙏🙏🙏

  • @FloraKimaro
    @FloraKimaro 2 месяца назад +3

    Mama Mungu akikuoenda akasema Yes mwanadamu asikusumbue, acha wapige kelele wewe Rilux Mom

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe Месяц назад

    Mama mzuri sana

  • @aishazahabu6152
    @aishazahabu6152 2 месяца назад +3

    NIMEPENDA NIMETAMANI NA MIMI NITAPIKA KAMA MAMA SAMIA ALICHOKIPIKA NITAJIHISI KM NIMEKULA ALICHOKIPIKA YEYE MHESHIMIWA,I LOVE YOU MAMA SAMIA WETU

    • @HOTBIZ
      @HOTBIZ  2 месяца назад

      Uje tufanye kipindi tule wote😇

    • @خليفهالرحبي-ف4م
      @خليفهالرحبي-ف4م Месяц назад

      ❤ماشاءالله تبارك الله❤
      Nipo Muscat Oman mama Samia tunakupenda soooooote pamoja❤❤❤

    • @خليفهالرحبي-ف4م
      @خليفهالرحبي-ف4م Месяц назад

      Mama Samia wewe ni mwanamke umekubalika kwa kazi zote❤❤❤
      MashaAllah mama na Rais..
      Ninamuomba Allah Akuhifadhi na akupe Nguvu na ujasiri na Subrah ya kila hatua unayopitia,,, Amiin yaarab

  • @amaniamani6391
    @amaniamani6391 2 месяца назад +1

    Unamuhoji sana ataunguza mboga we mtangazaji

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x 2 месяца назад

    Hongera mama

  • @HuSNaJuma-b7e
    @HuSNaJuma-b7e 2 месяца назад

    Mashallhwaa niliutaman mchuzi uyo wa chukuchuku

  • @mwanabsada7377
    @mwanabsada7377 2 месяца назад

    Mamaangu.nakupenda
    Mashallah.kumbe.unapata.mda.wakupika

  • @KainzwaBuzohera
    @KainzwaBuzohera 2 месяца назад +2

    MITANO TENA KWA SAMIA... AU KUMI KABISA 😊

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 2 месяца назад +2

    ww mama shikamoo iv unasikia utekaj watu wanauwa wa mmmh

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er 2 месяца назад

      Achana na watu kutekwa
      Umeona msambwanda 😂😂
      Nchi imeingia chaka bovu this time
      Sijui nano ataokoa hili jahazi

    • @youdya
      @youdya 2 месяца назад +1

      kwan yy ndio anawatuma

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er 2 месяца назад +1

      @@youdya nahisi umetype kwa kutumia MKUNDU maskini wa fikra

  • @MgangaDaud
    @MgangaDaud 2 месяца назад +2

    Wew dada achana na ujinga huo,toka jikoni humo mijitu yako inaiba ela zetu huku Morogoro aalaaah!

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 2 месяца назад

    Super woman 💪💪 Mama Africa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад

    jmni Mama yetu Samia, ukapendeza mwenyewe nyumbani na wageni wetu pia. niko njiani mama nije nami nile walau

    • @HOTBIZ
      @HOTBIZ  2 месяца назад

      akhsante kwa ujumbe wako tafadhali subscribe youtube channel yetu kupata taarifa bora zaidi

  • @marymtagwa3065
    @marymtagwa3065 2 месяца назад

    Mbona hatujaona na kula pishi la mama yetu

  • @MohammedMtoza
    @MohammedMtoza 2 месяца назад

    Kipi kinyemi

  • @KidawaMkwega
    @KidawaMkwega 2 месяца назад

    Bado afanye alicho kulia kiapo anafanya mambo yasio eleweka. Wananch wanatedeka.. wanaonewa na kuzulumika..akuna unacho kifanya

  • @lechoaidan8416
    @lechoaidan8416 2 месяца назад

    HONGERA SANA MAMA KUONYESHA MFANO KWA WANAWAKE ,NAOMBA NISAIDIE NA MIMI KUPATA GESI NA FRIJI NADHANI NIKIPATA HATA FRIJI NITAUZA JUISI NINUNUE GES MAANA AJIRA NIMEKOSA ( napenda nijiajiri)

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 2 месяца назад

    Hadi raisi anaonekana anapika. Wadada wa bongo baadhi hawapiki ndo mana hawaolewi.ikifika jioni wanaenda kununua chipsi.yaaani kila wakati chipsi chipsi chipsi chipsi du

    • @HOTBIZ
      @HOTBIZ  2 месяца назад

      akhsante kwa ujumbe wako tafadhali subscribe youtube channel yetu kupata taarifa bora zaidi

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x 2 месяца назад

    Kama ni raisi je hana haki ya kupika wala kushughukikia family yk?

  • @haikaelkiwia9705
    @haikaelkiwia9705 2 месяца назад +1

    Je hii ndiyo kazi aliyotumwa kufanya???

  • @FakiKhamisMaulid
    @FakiKhamisMaulid 2 месяца назад

    Hio ndo job yako bi mkubwa