HII NI JULAI YA RAYA(MRS BARNABA)NA MAMAKIMBO WANAUNZA MWEZI WA SABA KWA KASI YA AJABU SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 37

  • @rizikia6765
    @rizikia6765 Год назад

    Amen 🙏 mamake raya mungu alijbu hoja ya moyo wako nakumbea maisha marefu mom ujeuwaone na wajuku wako pia nakupenda bure kwa mawaidha yako mazur uliyo mpa dada ❤

  • @chuubydaudy5511
    @chuubydaudy5511 Год назад +2

    Ameen mama ni mtu bora....nakila mzaz anataman mwanae aolewe..inshaaalah ikawe kheri❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Год назад +3

    Jamani na mimi mwezi wa 7 kwangu uje kitofauti nipate mume niache kuitwa muhuni 🤲ila sio siri mwanamke ukiwa na mume waheshimika sana

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 Год назад

    Mashallah mungu awajaalie ndoa njema...mama mwenye busara...ila raya kafanana na mamake sana

  • @teresianjoroge2112
    @teresianjoroge2112 Год назад +4

    ❤😢furaha ya mama nikuona mwanae ana baraka na ndoto njema😢

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Год назад

      Ni kweli lkn asiseme kam mwanamke aliekua hajaolewa ana kua hajastirika, hana heshima sio kweli, stara na heshima unaanza kufundishwa kwenu tangu unapokua mdogo ni utashi tu wa binti au mwanamke kutokubal, lkn hakuna bint au mwanamke aliekua hajafundishwa stara na heshima kwao kabla ya kuolewa

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd Год назад +1

    😢maneno ya mama

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 Год назад

    Mama❤️

  • @DiabTutty-ke9bs
    @DiabTutty-ke9bs Год назад

    Ameen ameen thoumah ameen

  • @fatmahamesa2449
    @fatmahamesa2449 Год назад

    Kweli mama

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd Год назад

    Ila mkaka wa watu ndo anaitwa muhamed saiz😢

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Год назад +10

    Sasa anafundishwa nn sasa hiv wakat ashakaa na barnaba tangu enzi za nyerere 😅

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Год назад

    Samahani mama kimbo sina ndoa lkn ni binti na heshima zangu, sjawah kwenda kulala na mwanaume kam uyo mwanao unaeona ndo anaenda kuheshimika kwa kua anaolewa, sijaolewa lkn nna heshma zangu na nna stara zangu uupooo

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 Год назад +1

    Kwa mama kimbo sie tusiokuwa na waume hatuna heshima😇kwan na wewe huna mume mama kimbo?

  • @RoseMgonja-l9d
    @RoseMgonja-l9d Год назад +1

    Kwan mama kimbo we una mume😊

  • @lianajuma1779
    @lianajuma1779 Год назад

    Nakupenda bure raya watu wa tanga hatujawai kufeli usituangushe

  • @HakizimanaNadege
    @HakizimanaNadege Год назад +1

    Mnaniliza mie jamen🇹🇷😭

  • @mwizaluchiba6264
    @mwizaluchiba6264 Год назад +1

    Amen mama🙏🏻

  • @mmn7480
    @mmn7480 Год назад +2

    Amna ndoa apa😂😂😂😂😂😂

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Год назад

    Barnaba kazi anayo.mamkwe kampata kaingia .....😂😂😂

  • @muna1165
    @muna1165 Год назад

    ❤l