Maisha yalivyo ya ajabu sasa,yanatafuta sababu tu ili utoboe. Miaka yote umefanya kazi ya kubeba mizgo kariakoo nzima iwe usiku iwe mchana. Leo hii kwa tukio hili jinsi ulivyojitoa kusaidia watu.inaweza kukuletea picha nyingine kuhusu maisha yako.hongera saana kwa kujitolea
MUNGU ANA MAAJABU YAKE ,,Kuna wengine wamepatwa na matatizo kwa kusudi ilikuwasaidia wengine ..(asingekuepo uyo jamaa ao watu aliowataja wasinge okolewa mapena)🙏
Hao watu walozunguka hapo km wangeshirikiana na huyu kaka kufanya kazi ya kuokoa wenzao zoez lingepiga hatu kwa haraka .lkn waliowengi wametanguliza simu kurekod na kupiga picha. Subhanallah.
@@shaabanramadhan6770 kufukua na kuporomosha. Niajuavyo nyi wote hapo na visimu vyenu na mbwa wa uokoaji wanaweza kufanya zoezi. Lakini lazima timu ambayo iko trained ikae na kuja workable plan. Analysis ya jengo, kupeleka hewa safi, kuimarisha mabomoko kwa majukwaa. I wish niwe hapo. Eno hilo like scene, accessible tu kwa wanaofanya kazi. Waandoshi habari pisheni ili kazi ifanyike kwa utulivu. Msalaba mwekundu msipotunza pumzi na utulivu hadi usiku mtakua mmechoka sana unless kuna reserve. God is in control, huu ndio wakati wa kuungana na kuwa kitu kimoja kuokoa maisha ya wenzetu sio kunywa supu na kushabikia mipira
Hili tukio linakumbusha tuheshimiane huenda pindi Amana ipo huyu jamaa Kuna wahanga walikuwa wanampita tu hata salam Amna Huu niwakati ambao Mungu hutukumbusha kuwa wote ni sawa...... Mugu wasaidie wahanga wote
Allah akulinde akupe ujira wako umejitolea Sana bro we nijasiri Sana Ni kweli greda litazidisha maafa Ni Bora kutumia njia kama ulotumia wewe japo Ni Atari kwavile huna vifaa Ila Mungu amekulinda angalia mfano mdogo tu Pius kakupa mkanda wake Na umeminyana Hadi kumuokoa Na kumpa mkanda wake jamaa alitamani kukumbatia Kwa jihadi zako 😢😢😢😢nasema Tena asante Allah
Huyu ni shujaa,serikali lazima itizame vizuri huyu jamaa Wenye kazi zao wameleta grader na vikoti visivyo na mpango wowote Kweli unakwenda kookowa na vikoti😂😂
Hakika mungu tuu awasaifie wahanga watoke salama Walio kwenye kifusu waebdekee kumuomba mola wao Kila sekunde Uwezo na maarifa ya vyombo vyetu vya uokoaji ni mdogo mno ila maarifa ya waokoaji binafsi ni mkubwa mungu awajalie neema maisha Yao yote Je tunakumbuka mv bukoba walipofika wakatoboa juu ikazama yote je walipatiwa mafunzo mapya???? Unastahili kuwa sehemu ya jeshi la uokoaji
Mwenyezi Mungu akuzidishie moyo wa upendo ulionao. Thwawabu yako utaikuta Mbinguni. Amina.
InshaAllah
Ameen🤲
Aamiin
😊0
Amen
Mungu akubariki kwa kujitoa kwa ajili ya wengine ww ni shujaa.barikiwa sana
Hakika nimependa sana maneno yako adi machoz😢 mungu Akwongoze nimependa unavyo mtanguriza mungu kwa kila jambo Mungu Akuripe Dunia na Akhera❤❤❤❤
Huyu jamaa anatakiwa apige kozi jamani akili ya jeshi kabisa hii❤❤❤❤
Maisha yalivyo ya ajabu sasa,yanatafuta sababu tu ili utoboe.
Miaka yote umefanya kazi ya kubeba mizgo kariakoo nzima iwe usiku iwe mchana.
Leo hii kwa tukio hili jinsi ulivyojitoa kusaidia watu.inaweza kukuletea picha nyingine kuhusu maisha yako.hongera saana kwa kujitolea
Kweli
Jmn 😢
In shaa Allah Amina
Allah akuongoze Sheikh wng
Huyu jamaa apewe kazi ya jeshi Samia muajiri huyu mtu Samia mpe ajira huyu kaka
MUNGU ANA MAAJABU YAKE ,,Kuna wengine wamepatwa na matatizo kwa kusudi ilikuwasaidia wengine ..(asingekuepo uyo jamaa ao watu aliowataja wasinge okolewa mapena)🙏
Jeshi hamna hela , bora afosi tu mtaani . MUNGU atafungua milango
@@NOVAEDGE0201Amna hela mbona awachi kazi pesa ipo bhana itakuwa
Majaliwa wa kariakoo, hongera. Mwamba
Huyo jamaa mwamba kwelikweli, mzalendo haswaa,
Tena anaongea kama mtaalam ,🎉🎉
Sana kabisa
Hongera sana kwa ukoaji unastahili heshima
Mungu akuzidishie maisha uliyoyaokoa utazidishiwa kaka
God bless you bro for that help!🙏🙏.
Mwenyenzi Mungu Akubariki sana Kaka!!!!
Omar be blessed for helping others
mungu akubarik
Hongera sana mzalendo kwa kazi nzuri
Omari mungu akubariki ,na akulinde Inshallah
Asante kaka yangu mungu akutie nguvu 🙏
Hongera kaka Mungu akubariki sana
Hongera sana kamanda . Huyu jamaa anastahili kupewa ajira
Jamaa yuko na maarifa sana yafaa apewe nafasi.
Mungu ambariki kwa kuokoa maisha
Huyu ni mzanzibar sisi tuna utu sana na upendo ubarikiwe omari
Yes👍
Barikiwa sana kaka , kazi nzuri sana
Mashallah kaka Omar Allah atakulip kesho akhera kwa wema ulofanya Allah akujaliye maisha marefu Zaid yenye kheir
Aandikwe kazi na police good person ana moyo wa kujitolea big up mungu akuzidishie
Mungu akubariki bro akuzidishie palipo pungua kwenye maisha yako
Mungu akuongoze kaka ufanikiwe moyo wako wa thaman🙏
Mungu akubarki bro
Hongera kaka mungu atakuli piya inshallah
Dah poleni sana na hongeraa kaka kwa msaada wako
MUNGU AKUBARIKI NA AKUONGEZEE UMRI, AFYA NA RIZQ.
Ningependa kupata number yake huyo roho yake nzuri kweli
Polen sana ndugu zetu Allah ndie kakadilia tumshukulu kwayote
Hadi nimeria Omar mungu akubariki
Hao watu walozunguka hapo km wangeshirikiana na huyu kaka kufanya kazi ya kuokoa wenzao zoez lingepiga hatu kwa haraka .lkn waliowengi wametanguliza simu kurekod na kupiga picha. Subhanallah.
Mungu ambariki huyu kaka ❤Upendo
Subhana Allah..laa illah haillah Allah Yarrab.. atupe subra kwenye mitihan
Hongera omarii, ubarikiwe
Ubarikiwe kaka kwa kuokoa wenzako
Mungu akulinde mwamba
Chalii yangu omary,umetisha kufanya uokozi
Huyu ni Mwamba kabisaaa kabisa🎉❤
Ww ni shujaa kaka angu Mungu akutunze uendelee na moyo huo2
Ongera Allah akubariki inshaallah
Omar Ali Omar Mungu akubariki wewe na uzao wako
Dah yani mpaka machozi yananilenga
Mungu akubariki ndugu
Mungu akubaliki kaka🎉🎉
jamaaa ana life skills sasa hawa tuliwaowaamini na kuwapeleka shule balaaa
God bless you bro unatoa maelezo ambayo ilihitajika mtu mwenyewe PhD ndo ayatoe
Allah akujaalie na akuzidishie imani yalabi jalia nduguzetu watokesalama inshaallah😂😂😢
❤ jamaa una maaarifa sanaa❤
Serekali haina watu malum au kikosi kilicho somea kuokoa watu ?? Raia ndio wanaokoa watu huyu jamaa apewe zawadi kajitolea ktk hatari
Huo Ndo ubinadamu, mungu akupe maisha marefu
Mungu awe nawewe kaka angu alhamdulilah
Barikiwa sana kaka mungu hakubariki
Barikiwa kaka
Bro hongera sana kwa utu ulio uonesha napia hii pia ni point grader haipo kiusalama japo inaweza kufukua kwa haraka
@@shaabanramadhan6770 kufukua na kuporomosha. Niajuavyo nyi wote hapo na visimu vyenu na mbwa wa uokoaji wanaweza kufanya zoezi. Lakini lazima timu ambayo iko trained ikae na kuja workable plan. Analysis ya jengo, kupeleka hewa safi, kuimarisha mabomoko kwa majukwaa. I wish niwe hapo. Eno hilo like scene, accessible tu kwa wanaofanya kazi. Waandoshi habari pisheni ili kazi ifanyike kwa utulivu. Msalaba mwekundu msipotunza pumzi na utulivu hadi usiku mtakua mmechoka sana unless kuna reserve.
God is in control, huu ndio wakati wa kuungana na kuwa kitu kimoja kuokoa maisha ya wenzetu sio kunywa supu na kushabikia mipira
Jamaa kaongea point sana
Be blessed kamanda
mungu akubaliki sana kaka yangu umetumia ujasili mkubwa sana yan
Mungu akubalikii kaka akee uwo n moy uwo uwoo
Mungu. Akuzidishie. Ujasli.
MUNGU akujalie afya njema kaka ameeen
Mungu tunaomba rehema yako
Kaka respect kwako za kutosha🎉🎉🎉🎉
Allah akuongoze bro nakuombea kila kheri
Mashallah mkaka ana roho ya utu sana mungu akulinde kaka popote uendako😢
Alla awafanyie wepesi
Poleni sana 😢ila tumshukuru m.mungu
Mungu akubariki bro hakika wewe ni shujaa
Hawa watu wenye ujasili majeshi ya uokozi wanatakiwa wawe wanawachukua. Make haya majeshi yanahitaji watu majasili poleni sana wana dar
Maashaallaah
Kaka Allah azidi kututia nguvu na nalipo yko akuwekee huko tunakienda
Hili tukio linakumbusha tuheshimiane huenda pindi Amana ipo huyu jamaa Kuna wahanga walikuwa wanampita tu hata salam Amna
Huu niwakati ambao Mungu hutukumbusha kuwa wote ni sawa......
Mugu wasaidie wahanga wote
M/mungu akupe umri mrefu kaka.
Kaka ongera sana kakangu
Kazi zuri ushauli mzuri. Ubarikiwe
Mtu wa mungu... Subhanallah...
Mungu akubaliki kaka angu
Mama Samia huyo kijana inabidi umuangalie sana raisi wetu
Hongera Sana bro kwa jitiahda zako
Hongera
Kaka angu barikiwa sana❤
Allah akulinde akupe ujira wako umejitolea Sana bro we nijasiri Sana Ni kweli greda litazidisha maafa Ni Bora kutumia njia kama ulotumia wewe japo Ni Atari kwavile huna vifaa Ila Mungu amekulinda angalia mfano mdogo tu Pius kakupa mkanda wake Na umeminyana Hadi kumuokoa Na kumpa mkanda wake jamaa alitamani kukumbatia Kwa jihadi zako 😢😢😢😢nasema Tena asante Allah
Kama ni Ushauri wangu,huyu mwamba apewe maua yake.
na aende jeshini,
Huyu ni shujaa,serikali lazima itizame vizuri huyu jamaa
Wenye kazi zao wameleta grader na vikoti visivyo na mpango wowote
Kweli unakwenda kookowa na vikoti😂😂
Dar poleni Sana ndugu za Gu Kwa majanga mungu atawasaidia.
Hata mimi sijawahi kuona Greda likitumika kuokoa. Ni mikono na vitu vidogo vidogo sio greda
Yaan likigusaa sehem panatitiaa😢 udng unashuka
Mungu kwakweli amekupa nguvu ubarikiwe
Jamaa anaakili nyingi sana hao wakofia waongo tuu
Tupendane hujui atakae kusaidia kesho
Anastahili apewe mauwa yake kaka Omar Allah akujalie na moyo wa upendo uwo uwo
Safi sana jamaa bonge la idea
Hakika mungu tuu awasaifie wahanga watoke salama
Walio kwenye kifusu waebdekee kumuomba mola wao Kila sekunde
Uwezo na maarifa ya vyombo vyetu vya uokoaji ni mdogo mno ila maarifa ya waokoaji binafsi ni mkubwa mungu awajalie neema maisha Yao yote
Je tunakumbuka mv bukoba walipofika wakatoboa juu ikazama yote je walipatiwa mafunzo mapya????
Unastahili kuwa sehemu ya jeshi la uokoaji
Unastahili tuzo brother umeokoa maisha ya watu 5
Allahu akilipe janna kwa hili ulilolifanya
Allah akubariki kaka yangu
Nimegundua elimu kubwa inapoteza uwezo wa mtu kufanyaa mamboo Kwa nguvu halisii
Mungu akubariki Innshallh
Yakheee upo sawaaa sanaaa
Be blessed bro