Nyimbo za kiadventista ndizo hizi , za nikumbuza wakati ule waadventista wasbato walikua moto na njili ya ujio wa Yesu mara ya pili...barikiweni wapenzi
@@EsterMasanja-pl1bz waadventista wa sabato walianza na ujumbe huo ,kuna vile tumekoma nikama tulifuka ,,,,,mambo ya madhehebu zingine ndizo tunafuata tumeaja Imani yetu iliyokua imara kama mwamba,
Kwa kweli Tanzania tungekuwa na kwaya ishirini kama hizi, neno la Mungu lingeenda mbali kwa kasi. Lakini enendeni mbeli V.O.P kwa sababu Mungu hutumia watu wachache ,👉 Waamuzi 6,7
Wooooooow..... Nimepata wimbo mzuri sana na uko RELEVANT... Na Hii ndiyo maana ya THE VOICE OF PROPHECY (V.O.P) Bwana awabariki sanaaaaaaaaaaaaaa jamani... @Kutoka Mbeya Tanzania 🇹🇿
Nyimbo za kiadventista ndizo hizi , za nikumbuza wakati ule waadventista wasbato walikua moto na njili ya ujio wa Yesu mara ya pili...barikiweni wapenzi
Kwaya pekee inayofunua ukweli bila kuogopa Mungu awatumie tena na tena hakika nyimbo zenu zina ujumbe mzito wa kutafakari Mungu awe nanyi hata mwisho.
@@EsterMasanja-pl1bz waadventista wa sabato walianza na ujumbe huo ,kuna vile tumekoma nikama tulifuka ,,,,,mambo ya madhehebu zingine ndizo tunafuata tumeaja Imani yetu iliyokua imara kama mwamba,
What a wonderful church choir.
Nadra sana kukutana na nyimbo zenye zimesoma kama hii.
Unabii!!! ❤....Waooo.
Mungu awazidishie hekima ya ubunifu.
Mbarikiwe sana VOP kwa kuendeleza kuuambia ulimwengu juu ya hila za mwovu. 🙏
Asante luis kwaujumbe wako vop umeupokea
mubarikiwe
Tena wanavaa vzuri sana hakuna ambaye amesuka nywele
Their dress code is Godly❤, Mungu awe nanyi
Mungu awabariki zaidi Kwa Kazi Nzuri kuweka uwazi Sauti y'a unabiii........ wimbo ulio na mafundisho tele .napenda Kazi hiii
Amina, Mungu atukujzwe🙏
Kwa kweli Tanzania tungekuwa na kwaya ishirini kama hizi, neno la Mungu lingeenda mbali kwa kasi. Lakini enendeni mbeli V.O.P kwa sababu Mungu hutumia watu wachache ,👉 Waamuzi 6,7
Kabisa mtu wa Mungu, Nyimbo za hii kwaya huwa ni mahubiri tosha!
Yaani Natamani kanisa lifike mahali lisisitize uimbaji wa mahubiri zaidi
Mungu aendelee kuwavuvia roho wake tuimalize kazi. Nawapenda sana kutoka Nairobi -kenya
Sijui hata nisemeje lakini nabarikiwa sana na nyimbo za kwaya hii VOP mungu awazidishie mibaraka
Thank you for blessing us with your songs...May God continue to use you to proclaim the everlasting gospel through your songs
amen
Hello,plz the vop choir drop your contacts.We would like to chat
Wimbo huo unatuhimisha jinsi ya kukabiliana na changamoto ya maisha barikiwa nyote
Roho Za Kuzimu zi na tawala Dunia yote Nzima sooner ba ta Tupiwa Motoni Mu LAKES Of 🔥 Amen Amen 🙏
Mungu awatumie tena
Mbarikiwe sana na
Mungu kwa ujembe wenu mzuri
I love you 😗💞 very much my sister's and my brother s for nice song God bless you very much ❤️❤️😍💕
Barikiweni Sana kasulu
Mmependeza sana daa
Vop mm huwa nawaelewa sn Mungu wetu azidi kuwatumia kipindi hiki ambacho kanisa la Mungu limefunikwa na kiza kinene nakujichanganya na Dunia
Nawapenda sana🥰🥰
Mubalikiwe ninawapenda sana
asante
Munanibariki sana
Bwana na aendelee kuwatumia
Great performance
Wonderful message in the song
You have done your part the message is out
Raw data
This is a great song. A good reflective of the last quarter of 2022 adult Lesson. May God keep using you for His glory and to reach many souls.
thank you for your message
Keep up
Amin
Serious Singing Bussness. Blesed be you Wana wa Mungu
Wapedwa mbarikiwe, maana hamuimbi tu mnafundisha neno la Mungu.nas tunabarikiwa pia.
amina asante kwa kututia moyo kuwa pamoja nasi kuutangaza upendo wa kiristo
Mahubiri tosha.... Tubarikiwe sote
I'm very much humbled as i listen to your prophetic songs be blessed
amen
Mbarikiwe,wimbo mzuri.hii miujiza itapoteza wengi
soma na uiepuke
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya Mungu,
asante saana
Hakika tumebarikiwa
Brethren lets read the bible's to understand prophetic God bless the choir
amen
Great 👍 work 👏 watching from 🇰🇪 🇰🇪
keke nya or what ok Godbles you
Amina mbarikiwe sana nyimbo zenu zinanibariki sana
Ameeen nimesikia neno
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenuuuu! Mungu azidi kuwatumia kwa kazi yakeee
Wooooooow..... Nimepata wimbo mzuri sana na uko RELEVANT... Na Hii ndiyo maana ya THE VOICE OF PROPHECY (V.O.P) Bwana awabariki sanaaaaaaaaaaaaaa jamani...
@Kutoka Mbeya Tanzania 🇹🇿
barikiwa
naomba mawasiliano yenu tafadhal
Mungu awabariki sana ila punguzeni midundo ktk bit
asante barikiwa
Thanks for the great teachings be blessed
amen
Mbarikiwe sana VOP
Rpix production asante
Nabarikiwa Sana na nyimbo hizi
VoP Kasulu best written songs.
1.. Kitini pa Enzi
2. 666
3. Roho tatu za uchafu
follow this channel
MUNGU awabariki sana sana
Unlike the daughter's of zion,its realy the voice of prophecy.God bless you kazulu choir💓
kasulu sda choir
Shukrani sana kwa Wimbo unao jaa mafundisho!
👏🏻👏🏻
asante
Mafundisho yawo ya na tokeya mu KUZIMU
Good and prophetic song that sent me back to the Bible.
May God bless u VOP
amen
Mubarikiwe sana
Mungu awabariki sana!nimepata kichwa cha hubiri langu katika wimbo huu.
kweli basi barikiwa
Nimeamini nyimbo in hubilitosha wimbohu umenifunya nikumbuke sabato
Akika kwaya inaimba hadi inashawishi tuwe waadvesnta
🙏🙏🙏
Mbarikiwe saana choir
Nawafuata Toka DRC 🇨🇩
shed mumber ukiwa DRC barikiwa saana
@@thevoiceofprophecy7757 Asante saana. Muendeleye hivo
hakka ni wimbo mzur sana,hongeren san kwaya yang ya kanisa
barikiwa pia
amina saana
Wapendwa someni mandiko na kuyaelewa
Sabato njema wapendwa
amina
Mungu awabariki, awape ujuzi zaidi
Vip Mungu awabariki sana KAZI yenu nzuri sana
Barikiweni kwa ujumbe mzuri
asante
Mbarikiwe sana
Munngu
amina
Aminaaaa 🙏🙏🙏
Wow! Hongera tena! Excellent! Thank you for your strong words of truth.
thanks
Aminaaaaaaaaaaaaaaaa🙏🙏🙏
problem solved God bless you
Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
This is the real meaning of voice of prophecy
yes youright
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa barikiwa sana
phina watwego endelea kuwanasi kwaajili yakueneza injili
Asanteni kwa wimbo uliosheheni ujumbe murwa
asante pia kutufuatilia saana
Mungu awabariki.
amina
Kweli nyinyi mnajua wakati...
tunajifunza
Aminaaaa 🙏🙏
Mungu awabariki, awape ujuzi zaidi
amina mtuombee tuu