MPIGIE MUNGU KELELE II JOHN MGANDU 4K

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 50

  • @maryjulius101
    @maryjulius101 2 года назад +7

    Amina Sana mbarikiwa sauti nzuri

  • @baltazalcornel3743
    @baltazalcornel3743 2 года назад +3

    Ahsanteni,mbarikiwe

  • @peterlugomoka3605
    @peterlugomoka3605 2 года назад +3

    Nyimbo zetu za mgandu dah hongereni kuna dogo mwembamba mrefu anaimba huku akiinjoi mziki mzuri

  • @denismwenda4530
    @denismwenda4530 2 года назад +4

    Sauti tamu😍

  • @cathytallo4445
    @cathytallo4445 2 года назад +3

    Kazi nzuri friends

  • @augustinowhite1435
    @augustinowhite1435 2 года назад +1

    Kazi nzuri
    Kongole kwenu🙏🙏🙏

  • @jimmyerick4021
    @jimmyerick4021 2 года назад +2

    Mbarikiwe sana

  • @marymimina
    @marymimina 2 года назад

    Waimbaji waliobarikiwa na sauti nzuri kama za malaika. Endeleeni kumtumikia Mungu na kufariji roho za wengi kupitia uimbaji wenu....am like alilililililiiiiiii🥰🥰🥰🥰

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 2 года назад +3

    Safi sana...Imetulia inatafakarisha...inalezea inapoelekea safi sana...very nice...Big up.The Galax and all Technicians...Respect Godian Congrats more.

  • @thompsonmasologo5093
    @thompsonmasologo5093 2 года назад +1

    Despina dah!Mungu amekupendelea hongera sana

  • @edwigaupendo
    @edwigaupendo 2 года назад +3

    Hongereni sana team kwa muziki mtamu

    • @josephmunene4010
      @josephmunene4010 2 года назад

      Tunakumiss pia Edwiga, hatujakuskia hivi maaajuzi.

  • @elizabethmathias3535
    @elizabethmathias3535 2 года назад +1

    Hongeren sana wimbo mzuri sauti nzuri,,,Mungu azidi kuwainua katika kaz yenu ya uimbaji

  • @TalentedMusiciansTMO
    @TalentedMusiciansTMO 2 года назад +1

    Asanteni kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 2 года назад

    Hongereni kwa kazi nzuri ya kutuinjilisha na kutafakarisha

  • @damiankatemi2103
    @damiankatemi2103 2 года назад +2

    Hawa makamanda wamatuleta katika ulimwengu wa tafakari Sana
    Kazi njema wapendwa
    Mungu awazidishie AMINA

    • @annamosha968
      @annamosha968 2 года назад

      Mungu awakumbuke kwenye ufalme wake🙏🙏🙏

  • @frolencesimchile4719
    @frolencesimchile4719 Год назад

    song zote za fireeeeeeeee

  • @IKOPAWA
    @IKOPAWA 2 года назад +1

    Duuuh huyo despina hahaha kapendelewa

  • @RoseMtega-rk5xh
    @RoseMtega-rk5xh Год назад

    Mungu awabariki sana nyimbo zenu ni nzuri sana ro

  • @tesharose5041
    @tesharose5041 2 года назад

    Mungu azidi kuwabariki kazi nzuri

  • @beatrisikimario8233
    @beatrisikimario8233 2 года назад

    Kazi nzuri Sana, sauti tamu zenye kumtukuza Mungu, mzidi kubarikiwa wapendwa🙏

  • @revocatuspaul42
    @revocatuspaul42 2 года назад

    Hongera sana kwa kuimba vizuri na kumuenzi mtunzi wa huu wimbo J.Mgandu.

  • @alexnkayamba8193
    @alexnkayamba8193 2 года назад

    Kama kawaida, kazi nzuri saaaaaana. ASANTE

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 2 года назад

    Waah hii sikuwai iona.. thanks

  • @shepherdhermas6763
    @shepherdhermas6763 2 года назад

    Jina la Bwana litukuzwe.Mbarikiwe Sana.Waimbaji Bora East Africa.💝🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @henryoreo2283
    @henryoreo2283 2 года назад

    peter perfect kinanda kimeweza

  • @sheldonshikhutsi6083
    @sheldonshikhutsi6083 2 года назад

    Caspian you are the best soloist

  • @stephankinyalwa5476
    @stephankinyalwa5476 2 года назад +1

    barikiwa sana

  • @josephmunene4010
    @josephmunene4010 2 года назад +3

    Nafurahia kazi nzuri yenu nzuri. You inspire me alot and i look foward to working with you one day for Gods glory.
    Godian and friends at Jaramogi, Mungu awabariki na abariki kazi zenu.

  • @janethmpinge8983
    @janethmpinge8983 Год назад

    Role model😊 Despinaa

  • @travinaandrea205
    @travinaandrea205 2 года назад +4

    👏👏🤗

  • @HabimanaDesire-f9o
    @HabimanaDesire-f9o Год назад

    Asanteni sana kwa wimbo huo

  • @ClaudioWachira
    @ClaudioWachira Год назад

    Mgandu all the way

  • @samuelnjeru4522
    @samuelnjeru4522 2 года назад +2

    Despina Mdende can turn any song into Masterpiece!!!!

  • @travinaandrea205
    @travinaandrea205 2 года назад +4

    👏👏👏👏

  • @PaskaAlaro-ir6ty
    @PaskaAlaro-ir6ty Год назад

    It's a wonderful song though am not understanding the language am Ugandan

  • @annebilonda3573
    @annebilonda3573 2 года назад +1

    Merci pour ces beaux chant qui nous aide à prier . Je vous écoute tous le jour .

  • @LifeCoach_001
    @LifeCoach_001 2 года назад

    Good presentation. Congratulations Patiu's team.

  • @LifeCoach_001
    @LifeCoach_001 2 года назад

    Peter perfect.
    U r perfect in deed.

  • @amosfrolian4549
    @amosfrolian4549 2 года назад +1

    Amina sana

  • @gregoryndanu3541
    @gregoryndanu3541 2 года назад

    Woww😍🙏🏿👏🏿

  • @albogastnkomezi2286
    @albogastnkomezi2286 2 года назад

    Good thanks

  • @neemaluisa
    @neemaluisa Год назад

    Good song

  • @TEACHER.CLEOPHAS
    @TEACHER.CLEOPHAS 2 года назад +1

    Great

  • @janem3806
    @janem3806 2 года назад +1

    Amina

  • @rwandastanley
    @rwandastanley 10 месяцев назад

    Amen

  • @TalentedMusiciansTMO
    @TalentedMusiciansTMO 2 года назад +2

    Asanteni kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏

  • @angeltarimo4613
    @angeltarimo4613 Год назад

    Amina