Kila kitu kizuri nakiona kwa huyu mtoto,mungu akibariki kipaji hiki kisigeuke mwiba kwenye jamii ila kiwe keki ya taifa lote kwa ujumla Chukuwa maua yko dogo mapemaaaa 🌹🌹🌹
Katka vitu sanya umefanya maishani mwako hio ni zaidi ya nembo in English we call intergrity. Naamini katika kila mafanikio ya mtu kuna mtu na kwenye hilo kaskazni umepresent vizuri. Diamond u deserve respest ingekuawa mamlaka yangu sanamu lako lingejengwa basata. We love u Wasafi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
kwanza aliyemgundua huyu dogo si diamond.....aliyemgundua huyu dogo ni huyo hapo jukwaani anaitwa sanya mo town ndiye aliyemgundua so credit mpe yeye sawa bwana mkubwa
Am from Nairobi kenya,aisee! Uyu dogo ana kipaji sio siri, alafu anavyo manage stage mazee hatari. He moves the crowd like he has been there before in the industry🙌💪
Dadeki natype nafuta natype nafuta ila big up sana bro Sanya umetisha mno kujipatia blessings ni easy kama hivyo tu…it’s history. Dany Lunya noma mnoo kwa umri wake and how he is playing with crowds of people 🙌🏾 his energy of managing the stage confidence performance 🔥 5year to come Tz itakuwa far sana kwenye hii industry ya music taasisi mbali mbali watupie jicho huku kuna maokota mnoo✅
Aiseee mondi amsaidie huyu dogo atoboe anakitu kikubwa sana na anajiamini jukwaani kuliko watu wazima na anakiwasha kuliko wakubwa flani hana wenge yupo smart sn respect sn wasafi
Dogo kasenge kinoma yani,daaah sio poa mzee mdogo wangu kauwa kinoma kichizi 🔥 🔥 🔥 🎤
Anavopaform anawazidi hadi wasanii wakubwa biggerup dogo❤❤❤❤❤
Kila kitu kizuri nakiona kwa huyu mtoto,mungu akibariki kipaji hiki kisigeuke mwiba kwenye jamii ila kiwe keki ya taifa lote kwa ujumla
Chukuwa maua yko dogo mapemaaaa 🌹🌹🌹
Katka vitu sanya umefanya maishani mwako hio ni zaidi ya nembo in English we call intergrity. Naamini katika kila mafanikio ya mtu kuna mtu na kwenye hilo kaskazni umepresent vizuri. Diamond u deserve respest ingekuawa mamlaka yangu sanamu lako lingejengwa basata. We love u Wasafi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
kwanza aliyemgundua huyu dogo si diamond.....aliyemgundua huyu dogo ni huyo hapo jukwaani anaitwa sanya mo town ndiye aliyemgundua so credit mpe yeye sawa bwana mkubwa
Am from Nairobi kenya,aisee! Uyu dogo ana kipaji sio siri, alafu anavyo manage stage mazee hatari. He moves the crowd like he has been there before in the industry🙌💪
Yeah the kid is talented mazee
He's a natural performer
Dogo ni performer haswaaaaa....🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥
Vipi founder tz naye kwenye stage ya wafasi festival tunamusubiri kwa amu 🔥🔥 Congo mziki wake unazidi kufanya vizir sana
Founder alipata big chance kwa Wasafi wakatokea mapedeshee wakikongo wakasema they got him sijui wamempeleka wapi
Mttt umefanya nitamani toto dumeee nilifanye kuwa mnyamaaaaaa😂😂😂❤mnyamaaaaaa ❤❤
Ajabu Danny Lunya anafanana na young killer sura😮
😂😂😂😂😂
Nyieeee this toto n truly talented aseeh anaperform adi raha my God😂😂🙌🏽
Dadeki natype nafuta natype nafuta ila big up sana bro Sanya umetisha mno kujipatia blessings ni easy kama hivyo tu…it’s history. Dany Lunya noma mnoo kwa umri wake and how he is playing with crowds of people 🙌🏾 his energy of managing the stage confidence performance 🔥 5year to come Tz itakuwa far sana kwenye hii industry ya music taasisi mbali mbali watupie jicho huku kuna maokota mnoo✅
vibe kama loteee, hakuna festival iliyotisha kama mwaka huuu hadi wapinzani wanaangalia hii shoo daaadeq
Ana vaibu jukwannn kuliko lukambaaaa❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Young lunyaa au lunyaa Jr uyu mwenyewe ni young🔥🔥🔥🔥👍👍
He's talented 🎉 Anajua mpaka kucheza na stage kwa mashabiki 🙌
Dogo anasisimua balaa😊😊😊😊😊🙌🙌🙌
Kipaji kikubwa ila umri mdogo ila dogo ametisha
Umefanya kitu kikubwa sana mo town Sanya✔️
Sana mwanangu young lunya inapendeza alafu nataka colabo na ww lunya 🎉🎉❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥✊🏾✊🏾🔥🔥🔥🔥💓💓ndogo anaweza
Dogo on fire anajuaaa sanaaaa 🙌🙌🙌🙌
Simbaaaaaa &mbuziiii kuzeni kipaji hichoooo dg anajua sanaaaaaaaaaa mnooooo
#MoTown u made history kwa dogo hatoweza sahau hii u made it nigga #puretalent
this boy got talent
big up to the airplay wasafi festival
Waoh dogo anaweza sana
Dah!! Hyoo dogo tembea nae anakipaji sana aiseeee
Mziki hauna lika Acha dogo apambane
Nimerudia kuiangalia hii video lakini sichoki ❤️❤️ dah hongera sana mdogo wangu MUNGU atakupigania
Mmefeli uyo dogo mlikua mumuwekee Beat tupu sio izo za kufuwatisha apasuke tuone
Dogo mkali sanaa respect sanaaa 🙏🙏🙏🙏🙏👆👆👆👆👆
❤❤❤❤❤❤amazing
Damn it, Mbeya haijawahi toa maboko kwenye muziki, this guy he extra talented, God made this young king afike
😊kumbe unajua
@@BigDreamsWorldwide 😄ni balaa sana!
Nice dogo yumo na wasanii wengine tuige mana kuiga jema co zamb
Talent is talent bro , introducing this little boy on platform is cool , age not matter let's support young generation bro
Umeweza sana mo town sanya kijana hatariiii
Kipaji pure💯💯💯💯 but hii haijakaa sawa kutumbuiza majukwaa makubwa kwa umri wake!!! All in All uzuri ndani ya dustbin
Hapana anaruhusiwa kuperform kwemye umri wowote hata kama anamiaka miwili. Ila haruhusiw kwenda kutazama lazima afikishe 18
Dahhhh kweli wasanii chipkizi tunatakiwa kukaza mana vipaji ni vingi sanaaa
Kipaji kikubwa🔥🔥🙌
Dah janja Yuko vizuri sana mungu amuongoze
Afu dogo ana confidence👊
A message to the next generation: Never let this talent die....!
the confidence of this kid is fire🔥🔥🔥
Dogo katisha sana
This kid is a rapper and a greater perfomer too I like his courage
I love his Energy
Dogo anakipaji Kipaji kikubwa sana aendelezwe then ni good performer on the stage
Confidence pekee imetosha kumfikisha mjini😂😂😂😂😂 nibora amejigundua mapema
Dogo anajikubali sana duh😂😂😂adi mguu kwa spika
😂😂😂 dogo yuko poa
🤣🤣🤣 kinoma yan
Aiseee mondi amsaidie huyu dogo atoboe anakitu kikubwa sana na anajiamini jukwaani kuliko watu wazima na anakiwasha kuliko wakubwa flani hana wenge yupo smart sn respect sn wasafi
dogo anaweza 2mungen mkono
now this is young lunya for real
Wasafi asiejielewa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Dogo Noma
Sanya angeacha dogo atawale jukwaa Sasa anampangia mpka ngoma dj dogo anataka seazon4 alete mizuka yeye anaua vibe.
Energy, confidence and style he is artist in born.
Nomaaaaaaaaa sana
Respect dogo langu 👊🏽🇧🇮🇧🇮
Dogo balaa huyuu🔥🔥🔥kinyamaa
Dogo unyama mwingi sana
Walai tenaaa nomaa Sanaa 🔥 Dogoh Yuko fty sanaaa 🔥💯
Balaa ziiitoooo Aisee 💪🎼🎶🎵🔝💯🔥💥
Sema dogo anamapafu ya DMX au BUSTER RHYMES
😂😂😂😂
Duuu kipaji kikubwa iki utasema yy ndo mwenye ngoma mana kpg shoo dogo
Cku hz watt ndio wanacmamia family MUNGU amfungulie na ampe wakat wa ku2bia 🤲🤲🤲
Aaah huyu dogo🔥🔥🔥🔥
Oyaa dogo ametisha sana anacomfidence
Dogo ni real super star
Woooow amazing😮
Mtoto ni balaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dogo yupo vizuri kweli 🙏
Kumbe nww umeona
Dogo ameua show ❤❤❤ 🇰🇪🇴🇲
Tz vipaji vipo aseeeh😮 East Africa hakuna km Tz
Hahaha, this kid ni mnyama sana, alindwe sanaa
Dogo yuko na pumzi sana safii,maana kuruka hivo na kurap wengi wanatweta😂
Huyu kijana mnoma sana
Dogo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kujiamini 100% ✅✅✅✅✅
Kelele nyingi...
Wow I really love this song ❣️❣️❣️❣️
that Energy awesome damn kuwa sane hii real talent
Big xnaa dongo janja good bless one day yes never give 👆
Noma
Wasafi akuna asiejilewa nasahiisha nimekosea
Yani dogo anajiamini na anavyopiga Show kama ye Ndo mwenye izoo Nyimbo .. Bag Tallent
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤dogo nomaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
He's so good ♥️
Mamaamamaammamaaaaaaaaaaaaeeeeeeeeeeeeee U KILL IT MY NIQQA
mbuzi mdogo mdogo😂😂 hatari sana💯💯
❤❤❤❤❤❤❤Doqo❤❤❤❤
He has something very special ❤just support him❤
He s so goood💛💛💛💛💛
Dogo anaweza
Danny lunya the next generation
Dogo janja wa mbeya 🔥🔥
Mungu ambarki anakipaj sana atafka mbali
Dgo anajua ku manage stage mbya
Dogo kamiliki jukwa kuliko lunya mwenyewe, kanisiaimua kwa kweli dah
Dogo ni OG haswaa
Young of new generation
Anaweza
don't let that talent die
Dogo umetishaaa
Dogo ana energy sana😂